WANANCHI WAANGUA VILIO MKUTANONI kwa MAKONDA WAKISUBIRI WASIKILIZWE KERO ZAO ARUSHA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • WANANCHI WAANGUA VILIO MKUTANONI kwa MAKONDA WAKISUBIRI WASIKILIZWE KERO ZAO ARUSHA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 141

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @bahatimwawende5187
    @bahatimwawende5187 Месяц назад +8

    Mh-makonda kupitia hili nakukubali sana,mungu akulinde sana ktk vita hii ya kutafta haki,Amina

  • @MasuleKiloga
    @MasuleKiloga Месяц назад +5

    Pastor makonda oyeeee

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx Месяц назад +3

    Dah taifa hili😢 Makonda Makonda unastahili kuwa kiongozi mkubwa kbs wa taifa hili

  • @siaammo1104
    @siaammo1104 Месяц назад +11

    Huyu ni.mtu wa Mungu kweli makonda akitulia anakitu atafika mbali

    • @MonayLai
      @MonayLai Месяц назад

      Si hatuna shida maana km kaokka tu sawa

  • @rubanimponzi8259
    @rubanimponzi8259 Месяц назад +3

    Safii!! Hadi machozi yamenifika Mungu awe pamoja nawe

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd Месяц назад +3

    Asante Mungu kuweka utumishi wa kiroho na kimwili ndani ya makonda Mungu akubariki mtumishi wetu

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Месяц назад +8

    God bless you

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 Месяц назад +5

    Jamaa anakitu huyu.. asikilizwe 🤔🫡

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri Месяц назад +4

    Uko sahihi kabisa mhe Makonda Mkuu wa Mkoa Arusha Mungu akubariki sana akupe umri mrefu akupe Mabega makubwa uzidi kutubeba aamina yarabi Mungu aamina.

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 Месяц назад +3

    Mungu akubark sana mh.makonda

  • @Safarguy
    @Safarguy Месяц назад +15

    Nchi ya Chuga imepata Rais❤❤❤

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990
    @aishaomaryyousefomaryloiru1990 Месяц назад +6

    Mungu akupe umri mrefu, akupepe ulinzi kila maali ukanyagapo,

  • @gasperaroni5751
    @gasperaroni5751 Месяц назад +3

    Tunakushukuru sana mama samia mungu akulinde umemuona makonda mtetezi wa watu maskini asante mama

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb Месяц назад +3

    Mungu akubariki sana Mchungaji mtarajiwa P.Makonda!

  • @user-yz3cl7pf9r
    @user-yz3cl7pf9r Месяц назад +3

    Machozi yamenitoka mimi nimuoslam Naitikia dua Amin mana umeomba kwa Mungu hukuomba kwa mtu Allah Ailinde Tanzania na watanzania

  • @user-ry8xf1no2s
    @user-ry8xf1no2s Месяц назад +3

    Mueshimiwa makonda Alha akulinde
    Na maadui inshallah

  • @user-cd8ge8mx7p
    @user-cd8ge8mx7p Месяц назад +3

    Barikiwa sanaaa Mh.Makonda Mungu akuweke saana. Niko moshi lkni nakuombea heri na amani ktk kazi yako.

  • @kilianamapunda3170
    @kilianamapunda3170 Месяц назад +3

    Huduma yako Mungu amekuchagua katkat ya wanyonge machozi yao ya haki na yatamkumbusha Mungu ,Mungu akutetee wewe na uzao wako ,pale palipopungua kwenye maisha yako pakaongezeke Mungu akupe wewe na mkeo uzazi na ubarikio wa watoto wako unaoomba omba kwake kila siku hakika umenarikiw sana sana huduma yako na idumu

  • @SamsonSamsoni-ix7vi
    @SamsonSamsoni-ix7vi Месяц назад +6

    Paulo makonda 👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @siaammo1104
    @siaammo1104 Месяц назад +10

    Naona.watu wananena kwa lughaa jamaa anaupako bwana

  • @Timoclement
    @Timoclement Месяц назад +4

    Arusha tumepata mtendaji wetu in bracket (rais wa Arusha)

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад +5

    Asante mungu kwa kumleta makonda

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior Месяц назад +5

    UNSTOPPABLE!MUNGU AKUTUNZE!KUNA WATU MIOYO YAO IMEJAWA NA UCHUNGU SANA.KWA KUNYIMWA HAKI ZAO.KWA HAYO MAOMBI TU ROHO MTAKATIFU AMEANZA KUPONYA MIOYO ILIYOJAA UCHUNGU.
    SONGA MBELE,KAZI YAKO INAONEKANA.

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf Месяц назад +7

    Duuuh kamanda kwelii kwelii huyu jamaa anatisha kama ukoma kwa mafisadi wote

  • @EvarineMdaki
    @EvarineMdaki Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana kwa Ujasiri wa Kulitaja Jina lipitalo kila jina. Wako Maaskofu na Mapastor ambao huona aibu kulitaja jina la YESU, wanapopewa nafasi za kuomba mbele za wakuu wa Nchi.

  • @user-yh8ny1nf3f
    @user-yh8ny1nf3f Месяц назад +7

    Makonda noma sana kawa mchungaji 😂

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 Месяц назад +1

    Mungu akubariki sana Mhe. Christian Makonda. Uso wa Mungu uende nawe

  • @juliethmoshi2923
    @juliethmoshi2923 Месяц назад +1

    Hongera sana Makonda okoa watu wanateseka sana

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 Месяц назад +6

    Mwenyezi mungu aendelee kukupa uzima nguvu na afya njema undelete kuwatetea wananchi wako 😢😢😢

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 Месяц назад +3

    Makonda,Mungu akupiganie❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk Месяц назад +5

    Uko vizuri wengine wanavimba tu na hawawezi hata kutatua migogoro

  • @newchemchem5251
    @newchemchem5251 Месяц назад +2

    Aminaaaaaaaaa 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @JamesKalisa-ht5xm
    @JamesKalisa-ht5xm Месяц назад +3

    Nakuelewa makonda Mungu yu pamoja nawe

  • @widsonmusa9274
    @widsonmusa9274 Месяц назад +4

    Duh!! Hii ni zaidi ya kuongoza.

  • @lizzykoyo9307
    @lizzykoyo9307 Месяц назад +2

    Mungu akulinda Mh,makonda

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Месяц назад +3

    Eeehhh MUNGU hivi vilio vya wamama vinaumiza sanaa isiieeehhh wapi viongozi wa Africa wanafeli daaah tunanynyazwa kwa ardhi yetu, MUNGU tuhurumie😢😢😢😢

  • @jafarchuan8537
    @jafarchuan8537 Месяц назад +4

    Nakubali Boss💣💣🔥🔥🔥🔥🚀

  • @shekhaahmed3961
    @shekhaahmed3961 Месяц назад +1

    Allah azidi kumlinda na kumhifadhi Rais wetu Samiha Suluhu Hassan,na Serikali yake, na Amhifadhi Ndugu yetu Paul Makonda..awawezeshe kutenda haki n uadilifu kwa wananchi hawa

  • @MarioMwambasa
    @MarioMwambasa Месяц назад +4

    Tanzania yetu imekuelewa damu ya YESU ikufnike pande zote .wakti was BWANA ukifika hkuna wa kupinga.

  • @MosesEmanuel-fs3lc
    @MosesEmanuel-fs3lc Месяц назад +3

    ❤❤❤❤❤big up makonda 🙏🙏🙏🙏☝️☝️☝️☝️😭

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 28 дней назад

    Asante makonda wewe chapa kazi sisi tunapiga maombi

  • @user-li6jb1ju2g
    @user-li6jb1ju2g Месяц назад

    Brother kazi nzuri Mimi niko nyuma yako nanitasimama na Wewe daima mungu akupe maisha marefu na akuepushe na wabaya 🙏

  • @KweliAdventure
    @KweliAdventure Месяц назад

    God bless Tanzania god bless the world, keep working Mr makonda

  • @TamimuGambo
    @TamimuGambo Месяц назад +1

    Mungu akulinde kaka

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 Месяц назад +1

    Kam mm nnaria hivi 😭 naninatizama tu vidéo.wario kuwa wanamuona live😭😭kaka ukimarizana nawana arusha.njo n'a Burundi🇧🇮

  • @jighaba
    @jighaba Месяц назад +1

    Amen and Amen

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 Месяц назад +2

    Dah yani makonda unanifanya mpaka nataka kuhamia arusha mana we jamaa nakuelewa saana

  • @JosephatBahakaso-yn9hg
    @JosephatBahakaso-yn9hg Месяц назад

    Amina Amina Amina Makonda uko sawa

  • @hyy4114
    @hyy4114 Месяц назад

    Allah akuhifadhi nataman ck moja unisaidie na mie kaka maana nina mazito kwel moyon 😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Месяц назад

      Pole jamani,umeandika kwa uchungu,ipo siku utasaidika Mungu yupo.

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 Месяц назад

    Amina sana mkuu

  • @johnshirima6176
    @johnshirima6176 Месяц назад +3

    Ndio maana unajiamini sana usimuache Mungu mshike

  • @GraceSanga-jg5er
    @GraceSanga-jg5er Месяц назад +1

    Haya makonda mungu wambinguni amempenda lli awatee wanyonge lkiwa mungu amempa nafasi hii. Nani atapinga ?

  • @user-bt5gu3gy6p
    @user-bt5gu3gy6p Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @TuliaKonga
    @TuliaKonga Месяц назад

    Amina Haleluya

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 Месяц назад

    Amen amen

  • @user-rt4nr7wk9k
    @user-rt4nr7wk9k Месяц назад +1

    Mungu akupemaisha marefu makonda viongoziwengi kinachowasumbua hapa Tanzania nikiburi nazarau kwakweri wewe nimtu muhimu kwenyehiri taifa

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 Месяц назад +1

    Nashangaa wakuu wa Mikoa walopita walikua wapi dhulma zimejaaa Arusha

  • @SalamaAli-cv6uj
    @SalamaAli-cv6uj Месяц назад

    Ni viongozi wachache wanaotete haky za wananch tena wanyonge wa hali ya chini
    Mwenyezi mungu akubariky

  • @user-lz3os7su7r
    @user-lz3os7su7r Месяц назад

    Respect

  • @furahadaudi9516
    @furahadaudi9516 Месяц назад

    Amen

  • @fikencharles9993
    @fikencharles9993 Месяц назад

  • @zainabumohamed4763
    @zainabumohamed4763 Месяц назад

    ❤❤❤

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Месяц назад

    Mungu akuongoze ktk haqqi
    Uijue haqqi il uachane na batili

  • @kilianamapunda3170
    @kilianamapunda3170 Месяц назад +1

    Ningekuwa na maraka ningekuteua urais bila kula

  • @aloycelucas1823
    @aloycelucas1823 Месяц назад +2

    Hiv mbona tanga hakuna mambo hayo!! Tuna kesi na TANGA cement miaka 26 toka Mwaka 1998 na mwezi march 2021 tulishinda kesi ikaamriwa tulipwe haki zetu mbele ya mh jaji Mruma wa mahakama kuu TZambapo usiku wa siku hiyo tukampoteza aliekuwa mh raisi wa jamhuri ya muungano Dk Magufuli, aisee kuanzia hapo tunapelekwapelekwa bila mtetezi hivi msaada wetu utatoka wapi jamani!!?

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Месяц назад +2

    Ndo maan magu alikua anampenda

  • @user-jl5zh6qi2w
    @user-jl5zh6qi2w Месяц назад +2

    Huyu akishika nchi kwakeri nchi itang'aa

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 Месяц назад

      ​@@j4ally534katiba ataipigania vipi na yeye ni mtumishi wa serekali iliyoko maamlakani Rc. Hino ni kazi yetu sisi na Wewe pamoja na Wanasiasa. Wacha Makonda atusaidie Vile awezavyo. Mungu Amlinde inshaAllah

  • @user-sp7de7iv9q
    @user-sp7de7iv9q Месяц назад +1

    Makonda ungekuwa kilimanjaro mdogo wangu anasota mahabusu yapata mwaka amesingiziwa kesi ya mauaji sijui nasaidka vipi yupo gereza lakaranga

  • @NabiiMkuupdYohana7974
    @NabiiMkuupdYohana7974 Месяц назад

    Amen in Jesus

  • @user-cs4wh8ez7m
    @user-cs4wh8ez7m Месяц назад +1

    MUNGU akubariki Kiongozi

  • @khadija5761
    @khadija5761 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 Месяц назад +1

    Komaa sana Makonda watasema kwa lugha nyingi lakini kazi inaonekana kwa jamii.

  • @user-ku3cx6yj7m
    @user-ku3cx6yj7m Месяц назад +1

    Makonda naomba wende n'akwa masaï nao wende wapi

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Месяц назад +2

    Hii ndiyo aina ya uongozi na Viongozi tunayoihitaji.....
    Mahakama zinatumia muda mrefu kutoka haki......
    Tena rushwa imegubikwa kila mahali....
    Iwe heri kwa nchi yangu Tz

  • @GraceSanga-jg5er
    @GraceSanga-jg5er Месяц назад

    Mungu ankutazama kwajicho lahuruma kaza buti usiwaogope wanadam mwogope mungu pekeake soma sana biblia kausalama wanafsi yako

  • @MonayLai
    @MonayLai Месяц назад +4

    Bora ata hy jamaa anaubunif kidogo ivi mkuu wa Dodoma uyu mama si angeondolewa tu maana kazi yake ni kuzungukia miradi inayojengwa anaoneshwa juu juu tu kumbe watu wanapiga ela umo umo lakini humuoni kitatua kero za wananchi kama za aridhi. Halaf na kufungua makongamano ndio kazi yake.

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 Месяц назад

      Natamani.makonda sikumoja angeletwa dodoma.
      Kingeeleweka

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 Месяц назад +1

      Dodoma sikumbuki nilini ilipataga.mkuu wamkoa aliye changamka nakutatua kero za wananchi

    • @sabinahobe3478
      @sabinahobe3478 Месяц назад

      Ni yupi huyo? Au ndo yule Senyamule

    • @vintz338
      @vintz338 Месяц назад

      Dodoma tulipataga mkuu wa wilaya tu katambi, ila huyu bi mkubwa saiv sijui hat anafanya nn hapa anazingua tu

    • @fadhilishabani4368
      @fadhilishabani4368 Месяц назад

      Haa😂😂 Senyamule

  • @albusaidi5132
    @albusaidi5132 Месяц назад

    Aibu kubwa sana ktk nchi ii

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 Месяц назад

    Duuh huyu awe Rais tu bila kupingwa😢

  • @smiletv1405
    @smiletv1405 Месяц назад

    Jamani si nawengine tuige hivi kutatua migogoro ya wananchi

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Месяц назад

    Unataka kiongozi Gani? Tena

  • @jebace
    @jebace Месяц назад +1

    haya sasa mlizani mmemalizana na magufuli haya sasa amerudi kivingine, eti walisema uwa legacy 😂😂😂, nyambafu chuma kimerudi tena jpm

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад

    Mh....

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa Месяц назад

    Haki Itendeke Lakini Maana Hapo😮😮

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 Месяц назад

    Haki huinua taifa udhalimu ni aibu tunakuunga mkono kiongozi na viongozi wengine na waige iwe vita ya kupambana na mdhalimu kuanzia kaskazini hadi kusini mapaka nchi yetu iwe salama.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Месяц назад

    ukweli wengi wa watendaji wa kata ni maharamia!!wanawasumbua wananchi kwa tamaa za kutaka RUSHWA!!

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Месяц назад

    Yasiwe maneno km ulipokuwa mwenez. Ulitatua shida za mtu km njaa, pesa, na gari, lkn haki ya watu haikupatikana waliotekwa, waliozurumiwa, na waliofukuzwa kimakosa kazn, ally hapi yuko iringa wananchi wanalia kero ni zilezile walizokueleza ww.

  • @sirmwita3351
    @sirmwita3351 Месяц назад +4

    Huyu jamaa ana kitu

    • @j4ally534
      @j4ally534 Месяц назад

      ANA CHOCHOTE KOMED TU IV USHAWAI KUMCKIA ATA CKU MOJA ANAONGELEA KATIBA MPYA?SHIDA IPO APO

    • @russiababawakutokomezaushoga
      @russiababawakutokomezaushoga Месяц назад

      ​@@j4ally534Katiba kaweke nyumbani kwako😂😂😂😂sisi tunataka vitendo tuuu😂😂😂😂

    • @alexjohn7361
      @alexjohn7361 Месяц назад

      ​@@j4ally534kwahiyo akiongelea katiba ndo kafanya kazi. Mnashida sana pingapinga fc. Katiba ya chama chako tu ni hovyo halafu unakuja kushadadia ya taifa ambalo liongozwe na chama kilicho na katiba mbovu

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Месяц назад

      ​@@j4ally534Angalia utendaji wake huyo ni mkuu wa mkoa sio mwanasiasa Elewa hilo.

    • @j4ally534
      @j4ally534 Месяц назад

      Ss ww unazan vilio vitaisha kwa maigizo anayofanya shida sio viongozi mfumo m'bovu,

  • @user-dq1wz9fw6n
    @user-dq1wz9fw6n Месяц назад

    Upo vitani Makonda ,KIVULI CHAKO KITAISHI SAANA,MNARA WAKO UTAKUJAJENGWA na watakujaupaka rangi Tena na tena

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg Месяц назад

    😅

  • @dicksonkisanga7380
    @dicksonkisanga7380 Месяц назад

    JINSI UNAVYOONGOZA MKOA NIMEPATA PICHA SIKU UKIPEWA NCHI UTAONGOZA KWA MFUMO GANI..SAFII.

  • @restitutalucian78
    @restitutalucian78 Месяц назад

    Mbunge wa Arusha mjini 2025

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu Месяц назад +1

    wewe makonda ndio unatakiwa uwe raisi sio mama mama kafeli anawagopa wezi na hawachukulii hatua yeyote

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Месяц назад

    Viongozi wengi wapo hivyo Tanzania nzima misukosuko ya ardhi unakuta kuwanja kimoja wanauziwa watu 10 na kila moja anapewa hati

  • @user-zn4fw9cl1g
    @user-zn4fw9cl1g Месяц назад

    Mama mpe huyu MTU uwaziri mkuu!

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад

    ccm ilitakiwa iangushwee yote miaka 60 ya maumivu sio muungano

  • @chiefnyanda3260
    @chiefnyanda3260 Месяц назад

    Makonds

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania Месяц назад +1

    Arusha hiyo mpya na rais wao Mh Makonda

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x Месяц назад

    Makonda watu kama wewe dunia haiwataki, nitafute

  • @imranhassan9994
    @imranhassan9994 Месяц назад

    🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    👉Jamani huku kwetu kenya mbona hakuna neema hizi...
    🇹🇿 Maana Tanzania kuna MAKONDA WA HAKI...
    🇰🇪 Kenya yetu nayo MAKONDA NI WA MAANDAMANO...
    🇹🇿 MAKONDA WA TANZANIA Kavalia Hekima Kichwani...
    🇰🇪 MAKONDA WA KENYA Kavalia Sufuria la mtori Kichwani...
    😒😡😡 Afadhali nikawachunge tu mbuzi wangu wasile mahindi...

    • @tato8979
      @tato8979 Месяц назад

      😂😂😂 itakuja tu kuwa nasubra