FRAGILE EGO kaka chris, vitu vingi kwenye hasira vinatokana na hicho kitu. Makuzi ndio inasababisha mmno, vile mtoto anachukuliwa bila heshima, hisia zake hazitiliwi maanani, kufungwa mdomo kutoruhusiwa kusema ukweli wake, kuona jinsi wazazi wetu walivyokuwa wanachukua mambo yao wakiwa na hasira... Wengi unakuta walikuwa kimya na walikuwa wanalipuka from time to time, we adopt from that...
MMI kiukweli nna ghadhabu Sana endapo mpenz wangu akiwa ananidanganya au kuniletea upumbavu daaa haziishi mapema harafu Nakuwa na kinyongo mno hapa nifanyaje doctor
Asante doctor manake me nahasira kias kwamba nikigombana na baby wangu hata kazi haziend, Kama nimepika tamwaga chakula nimlaze njaa🤣 daaaa!! Yn nafanyaga vituko af badae namuonea huruma tena
@@ceninibe7622 mimi naongea with experience, baba yangu ana kisirani hatari na ana miaka 65 huko... Mpaka wa leo ana kidonda cha utotoni alichopata kutoka kwa wazazi wake walikuwa wakoloni hatari, na mpaka wa leo haachi kusema "Baba alitutesa sana" bado ako na hasira za utotoni... Mimi enyewe bado nasemwa na vitu vya mwaka 2011 hadi leo... Ceni HATOBADILIKA, ujue makucha ya mtu yanajitokeza akiwa comfortable. Caleb, take notes anavyokasirikia sana ndipo utajua aliumizwa wapi... USIWEKE MATUMAINI KWAMBA ATABADILIKA, wewe sio daktari kazi yako eti ni kumtibu mumeo juu ya hasira zake, hiyo kazi ni yake mwenyewe ajitambue, ajirekebishe, kama hawezi usibebe mzigo usiokuhusu... SEPA! Hatobadilika na anaweza kuwa mmbaya zaidi.
Kuna watu unaweza mwambia siko tayari kuongea kwa sasa may be kesho or after 2 or 3 days anadhani hiyo inahalarisha kuwa anavovihisi/anavoviwaza ni sahihi. Imagine mtu anakuforce you have to speak hata kama ni kwa mangumi you must speak NOW regardless umekwazika kiasi gani
Kwa post uliyotuma, bro umefeli. Umekuwa ukipost good lesson but for that post you failed. Nasubiri unakuja na recommendation gani to change attitude za watu vs you especially men.
FRAGILE EGO kaka chris, vitu vingi kwenye hasira vinatokana na hicho kitu. Makuzi ndio inasababisha mmno, vile mtoto anachukuliwa bila heshima, hisia zake hazitiliwi maanani, kufungwa mdomo kutoruhusiwa kusema ukweli wake, kuona jinsi wazazi wetu walivyokuwa wanachukua mambo yao wakiwa na hasira... Wengi unakuta walikuwa kimya na walikuwa wanalipuka from time to time, we adopt from that...
MMI kiukweli nna ghadhabu Sana endapo mpenz wangu akiwa ananidanganya au kuniletea upumbavu daaa haziishi mapema harafu Nakuwa na kinyongo mno hapa nifanyaje doctor
Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿
Thunks sana doctor mm ntakusikiza Kila siku mana hasira ni shida kubwa sna kwangu
Ahsante Dr kwa mafundisho
Iam short tempered
Asante kwahilo hata mmi nahasila Sana umenisaidia sana
Apo kwa hasira umenisaidia Sana Asante sana
Ahsante brother nmekuelewa,
Mim ninahasira Sana nikichokozwa thanks dr
Mimi nimmoja wao hasira zangu sinaniudhi mwenyewe ,mana hata presha inapanda ,hua nnamaneno makali nasijizuii kusema ,kulia ,hususan kw wtt wangu ,wanaponikwaza
Ubarikiwe sana kaka mafundisho ni mazur na nimeyapokea
Hongera sana kwa hili somo kwan nmenufaika
Asante doctor manake me nahasira kias kwamba nikigombana na baby wangu hata kazi haziend, Kama nimepika tamwaga chakula nimlaze njaa🤣 daaaa!! Yn nafanyaga vituko af badae namuonea huruma tena
uyo n mm kabisa
Thank so much Doc ila mimi ninahilo tatizo kabisaa 😊😊ila sbb Zipo kuliongelea hapa n ngumu basi Toa no zako simu watu wakuulize more
Mm ninahasira za karbu asante snaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Naomba msaada nikiwa na hasira siwezi kuongea neno Bali nabaki kulia Hadi maishiwa nguvu na kuanza kutetemeka.nisaidieeer tafadhali tu baba .
Thanks for the lesson, be blessed
Jaman mim. Ninazo asira san
Ahsante Dr
mume wangu ni mtu WA hasira sana sijui utamsaidiaje
Thxs
Thxs
Mm Nina ilo tatizo nashindwa kujizuia kabisa nahasira
Nimekuelea kwa sehem mtalam
So helpful
Yan jaman mm hasla itaniua jaman 😢😢😢😢😢
Asante sana
Thnx Dr b bless
Thanks dr.
Hii itanisaidia hata mimi
Sante sana
Ahsanteee Uncle
Shukran
Hakika haya masuala ni magumu sana
Thank you
True
Nipo nasomatu comment za wadau nionee maon yao
Naweza kupata namba yako kivipi Dr.?
Facts
MI nasira za karibu na nilipatikana huku Warabuni🤣🤣🤣
Mume wangu ako na hasira za mkizi hadi nafikiria kutoroka ili nipate amani.
Dada, beba vitu vyako, HATOBADILIKA
@@DaveHumphrey2514 🙄😂😂😂😂 amuombee kwanza
@@ceninibe7622 mimi naongea with experience, baba yangu ana kisirani hatari na ana miaka 65 huko... Mpaka wa leo ana kidonda cha utotoni alichopata kutoka kwa wazazi wake walikuwa wakoloni hatari, na mpaka wa leo haachi kusema "Baba alitutesa sana" bado ako na hasira za utotoni... Mimi enyewe bado nasemwa na vitu vya mwaka 2011 hadi leo... Ceni HATOBADILIKA, ujue makucha ya mtu yanajitokeza akiwa comfortable. Caleb, take notes anavyokasirikia sana ndipo utajua aliumizwa wapi... USIWEKE MATUMAINI KWAMBA ATABADILIKA, wewe sio daktari kazi yako eti ni kumtibu mumeo juu ya hasira zake, hiyo kazi ni yake mwenyewe ajitambue, ajirekebishe, kama hawezi usibebe mzigo usiokuhusu... SEPA! Hatobadilika na anaweza kuwa mmbaya zaidi.
Wallah ondoka tyu atakuja kukupiga bisibisi yashingo akuuwe hawa viumbe hapata kwakweli
🙏🙏🙏
Okay🤔
Thanks sana
🙏
Kuna watu unaweza mwambia siko tayari kuongea kwa sasa may be kesho or after 2 or 3 days anadhani hiyo inahalarisha kuwa anavovihisi/anavoviwaza ni sahihi.
Imagine mtu anakuforce you have to speak hata kama ni kwa mangumi you must speak NOW regardless umekwazika kiasi gani
Hatakwambia Unajeuli sana
@@lovenessdiva3370 hapo sasa
Namba ako Dr tunaipataje
Kaka mimi ninashida ya ushauri wako naomba nikutafute watsAp namba zangu 0652847114
Naomba unitumie sms kwa 0713407182 kupitia whatsApp
Kwa post uliyotuma, bro umefeli. Umekuwa ukipost good lesson but for that post you failed. Nasubiri unakuja na recommendation gani to change attitude za watu vs you especially men.
Kalale
Acha ushamba we Kama huelewi hujalazmishwa kuckilza
Ahsante Dr
Asante Sana Dr