Umenikumbusha mbali sana doctar maana hiyo ilikuwa fimbo ya kunichapia kutoka kwa mume wangu lkn tuliisha achana umeyataja nikaumia sana, ila ubarikiwe kwa mafundisho yako mazuri
Dr. Asante sana maneno yako ni LULU. kuna watu huku ni WAVIVU wa akili. Wanataka unapo anza kuzungumza tu Uanze na Points .No .kuzungumza ni FANI na kuna taratibu zake . Dr Go ahead uko vizuri
Yaan kaka hapa nilipo ungeniona nahisi umejiambia Mimi kabisa yaan mpenzi wangu hayo mambo kila siku ananiambia yaan naumia moyoni sana yakejel,ya dharau mpaka naishiwa pozi jaman naumia halafu nampenda mpaka mda mwingine hamu nae sina ananitukania hadi kwetu kwamba nimelelewa maisha ya uswahilini, nikimuuliza kitu ananiambia Mimi mshambenga yaan mpashukuna aide ni mambo mengi kwakweli yaan naumia jaman sijui jifanyeje yaan naumia kwelikweli si masihara
Dr.your right, Kwangu mimi naamini ili muishi kwa amani bila misuko suko. 1.mme na mke lazima uje tabia ya mwenza wako 2.mme na mke jitahidi sana kumjua mwenza wako anapenda nn na hapendi nn na kwa wakati gani,maake usilazimishe kitu fulani ambacho mwenzio unaona kwa muda huo hayupo sawa,Kwan ukilazimisha ndio yanafuata ambayo Dr.umeyasema hapo. 3.hata wanawake wana hizo tabia pia za kubeza waume zao,mf:- utasikia baba fulani kajenga nyumba nzuri au kanunua gari jingine sisi tunatembeaga tu kwa miguu... 4.wanawake nao wajue maneno ya kuongea na wenza wao muda gani na kwa wakati gani. Asante
Hivi Kama mwanamke ..... unampenda .... Unampa kile Anacho taka yaani unaenda kazini huku ukiwa unawaza kwamba mm naumia kwasababu family yangu ishi vizur Alaf unalud nyumbani mkeo hana Hata Time na ww unamkuta yy Anacheza na mwanae tu kwende tendo la ndoa __ yaani usimguse nahata Kama Akikupa mpaka Akusimange hii ikoje mkuu
Doctor mimi naishi na mwanaume kama huyu miaka 6 nipo nae kwenye doa ila jogoo waki hapa du mtungi ila bando tuu nipo naomba unishauli nifanyaje doctor
Brother, life is like a coin with two sides, moja ya udhaifu wetu tunapenda kuzoeshana na kufundishana mambo mazuri. Kama ndivyo shauri makabrashi yote yanayoeleza mambo ya nyuma yaani historia ifutwe. Tupende kusikia na kupokea hata yaliyo machungu na yenye kuumiza.
Tunapitia changamoto kubwa sana kuvumilia mapungufu yao ndani lkn huwa hawajali wanajiona wako sawa kwa kila jambo lkn IPO siku mungu ataonesha kila kitu hadharani
Dk criss umenigusa na ni kweli nilishafanya hayo kwa mke wangu na mwisho wa siku aliondoka ila bado nafanya jitihada za kumrudisha tafadhali naomba pia unisaidia nitakupata vip nimezaa nae watoto wawili.
Dr Chris wanawake pia huwa sababu ya kuambiwa..mfano yeye ndio anayoyafanya hayo kwako..mfano anaona ameolewa na wewe basi we taipu yake...sio handsome..kuliko x wake..basi hata mali uliyonayo kawaida sana ye kaona vidume Wenye pesa mjini..anakwambie x wake anampa pesa kufika wewe..sasa kwa haya utaacha kumwambia madhaifu yake...most women are selfish wasichopenda kufanyiwa ndio wanafanya kwa patnaz wao...dr Mauki..
Jaribu kuangalia upande wa pili-silaha hizi hizi hutumika pale mwanaume anaposhuka kimaisha(km kupoteza kazi au biashara)huonekana mjinga kuliko mtu yoyote dunian..mwanaume anapewa stress na ndipo stroke na visukar vinapoaanzia mara kwa heri
Dunia ya Sasa ukimlea mwanamke kama yai Ndio inaonekana utammiliki....!.....Ndugu zangu kuna Watu wamebembeleza ‘ wamelea’ wamehudumia’ tena mke nje na ndani ‘ ..!...Lkn wamedondokea PUA ‘ Yaani ndugu kama Uko Poa katika ndoa yako shukuru MUNGU....mwanamke mridhishe kila nyanja ‘ Lkn siku anaweza akamuonea huruma mteja muokota MAKOPO akampa...!...au umemnunulia gari Lkn akamtamani mtu na BAISKELI yake akampa..!....hahahaa..! Tatizo MAPENZI hayana FORMULA ni maneno maneno mengi tu ya MITANDAONI..! ila Ahsante dokitori mauki umewasilisha Kwa Asilimia kadhaa kuwasaidia wapenzi kuchunga ndimi zao...!....ITAWASAIDIA
Jesus is my reference In life... Jesus didn't came here to rip people off... Unfortunately most of thee Earthlings rip people off systematically suggesting things that you ain't do a thing about it... #HellNo
Sasa ukuwa na mke asie elewa mwanamke hajasoma alafu anajiona nzuri pia anaketa zarau unashindwaje kumwambia maneno hayo unastaili kumfanyia hvo mwanamke mwenye akili wasio na akili wenye tharau Ni kuwanyoosha tu
wee kaka unajua kwel saikolojia ya mtu yaan nilikua nachukia mwenza wangu alipokua akinambia hv weweee watoto we2 tutakaozaa watakua na akil kwel??wakifata akil zko wamekwishaaaa yaan kaul kama hii na nyingine nyingi zilikua zikinikwaza had ikapelekea kuachana jmn kuna wanaume wana midomo nyieeeee uwiiii
Asante mwalimu sababu somo nimelielewa Na naweza vipi kurudisha furaha tena katika mahusiano yangu
Ni kweli nimekuwa muhanga wa kuambiwa hayo,Asante mungu akubariki kwa mafundisho haya,
Yn unayosema 2nayapitia yn nakuombea kwa mungu akupe afya njema dr mungu akubariki sana
ASANTE DR.WENGI WETU TUNAPITIA HAYO..NAJUA SIKU MOJA WATABADILIKA.
nimeipenda hii nimejifunza sana doctar
Umeniongezea maalifa. Mungu akubariki
Vitu vyote ulivyoviongea Dr mauki huwa sivipendi kuviongea mbele za mke wangu kabisa na spendi kabisa kumuzalau
barikiwa sana najifunza
Asante kwa somo zuri
Dr.! Nimekuelewa sana.
Mafunzo mazuri sana ya ndoa barikiwa @Dr Chris Mauki!👏👏👏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante kwa darasa Dr
tembea humo humo unatuguxa xn❤💯💯
Yaani ni kweli kabisa wanaongeaga hivi wanaume mimi niliondoka kabisa was over mpaka leo
Genius xn chris mauki
Sana Dr upo sahihi
Hello good message lakini maneno ya kiingereza umezindisha mno..kwani si wote wanaokusikiliza wanajua kiingereza.
Umenikumbusha mbali sana doctar maana hiyo ilikuwa fimbo ya kunichapia kutoka kwa mume wangu lkn tuliisha achana umeyataja nikaumia sana, ila ubarikiwe kwa mafundisho yako mazuri
Asante sana Dr,unaongea kweli.
Swadakta Umetowa mada mzuri asante
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dr. Asante sana maneno yako ni LULU. kuna watu huku ni WAVIVU wa akili. Wanataka unapo anza kuzungumza tu Uanze na Points .No .kuzungumza ni FANI na kuna taratibu zake . Dr Go ahead uko vizuri
Well said doctor
doctor nimekuelewa sana madundisho yako
Uko Sahihi Dr Chris Mauki
Asante sanaaa kwaelimu yako
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
God bless you br...
Great! Sir ..nimeelewa Dr.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Shida wanapenda kusifiwa mno wanachosha brother.
Babaa ako angechoshwa na mama ako ungekiwepo wewe
Asante kaka
Yaan kaka hapa nilipo ungeniona nahisi umejiambia Mimi kabisa yaan mpenzi wangu hayo mambo kila siku ananiambia yaan naumia moyoni sana yakejel,ya dharau mpaka naishiwa pozi jaman naumia halafu nampenda mpaka mda mwingine hamu nae sina ananitukania hadi kwetu kwamba nimelelewa maisha ya uswahilini, nikimuuliza kitu ananiambia Mimi mshambenga yaan mpashukuna aide ni mambo mengi kwakweli yaan naumia jaman sijui jifanyeje yaan naumia kwelikweli si masihara
Dr.your right,
Kwangu mimi naamini ili muishi kwa amani bila misuko suko.
1.mme na mke lazima uje tabia ya mwenza wako
2.mme na mke jitahidi sana kumjua mwenza wako anapenda nn na hapendi nn na kwa wakati gani,maake usilazimishe kitu fulani ambacho mwenzio unaona kwa muda huo hayupo sawa,Kwan ukilazimisha ndio yanafuata ambayo Dr.umeyasema hapo.
3.hata wanawake wana hizo tabia pia za kubeza waume zao,mf:- utasikia baba fulani kajenga nyumba nzuri au kanunua gari jingine sisi tunatembeaga tu kwa miguu...
4.wanawake nao wajue maneno ya kuongea na wenza wao muda gani na kwa wakati gani. Asante
asante sana
YOTE HAYA ALIOONGEA DKT.
UKIONA HAYAJAKUINGIA AKILINI.
USIOE WALA KUOLEWA
BAKI SINGLE.
Axante Docta umenisaidia xana nimepona mimi binafsi
barikiwa dr
Kweli wangu anapenda kunifananisha na x wake
Ina maelezo mengi zaidi sikusikilizi una mega Sana mb
thanks very much doctor Chris for your teaching s.
Docta nakukubali mimi sipendi kabisaaa ukinambiya mimi ivo namapenzi yanakwisha
Sasa utaolewa na wangapi?
Mme na mke kila mmoja anatakiwa ajue mwenza wake anapenda nn na hapendi,ukishajua hilo hupati shida tena.
Ahsante sana mkuu
Umenifundisha sana mkubwa
Vraiment j'adore vos vidéos, que Dieu vous bénisse
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Ahsante Dr.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
That's true doctor
ni kweli iminitokeya
Wana wake wa Sasa huwajui broo ebu kasome tena
Hivi Kama mwanamke ..... unampenda .... Unampa kile Anacho taka yaani unaenda kazini huku ukiwa unawaza kwamba mm naumia kwasababu family yangu ishi vizur Alaf unalud nyumbani mkeo hana Hata Time na ww unamkuta yy Anacheza na mwanae tu kwende tendo la ndoa __ yaani usimguse nahata Kama Akikupa mpaka Akusimange hii ikoje mkuu
Point man
Wengine tumeambiwa maneno yote hayo na kwakurudiwa sana
Hakuna ata kipengere kimoja ambacho mume wangu hajawahi kukifanya kwangu
Nimekuelewa baba
Kweli kabisa
Excellenty superb .
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Kweli bhna Mambo hayo yapo
Hiohaitakiwii kwa woteeee2.
Nimekuelewa na nimejifunza sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Tuko pamoja kaka
Umeongea yote ya kweli doctor.
Congratulation brother
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Jaman nenda straight to the point
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
You are true...
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Doctor mimi naishi na mwanaume kama huyu miaka 6 nipo nae kwenye doa ila jogoo waki hapa du mtungi ila bando tuu nipo naomba unishauli nifanyaje doctor
Nice
Na mimi ni mchanga,ubarikiwe
Dr nipo kwenye msogo wamawazo baada ya kutendwa,hana muda na mm tena nifanyeje?
Brother, life is like a coin with two sides, moja ya udhaifu wetu tunapenda kuzoeshana na kufundishana mambo mazuri. Kama ndivyo shauri makabrashi yote yanayoeleza mambo ya nyuma yaani historia ifutwe. Tupende kusikia na kupokea hata yaliyo machungu na yenye kuumiza.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Ujumbe mzuri sana
Asante sana sana
Habari unapatikana wapi Dk naomba namba
Hi...iko sawa kabisaaa
Mbona wao wanatusema kila siku? Wanawake wanawasema wanaume vibaya tena kila siku?
Hata mmeo hupaswi kumwambia haya..
Tanx doc
Word
02:27 NDIO POINT YA KWANZA INAANZA, you welcome.
umetisha
Ahsante sana👍🏼
Asante Sana
Safi mzee baba
“‘Kula nyama hizoo kwa baba ako havipo hivoo😂😂😂😂😂’”
Unaongelea kitu kimoja point zote
Yaan ww utasema Kama unakaa na mm nyumba moja Kama umemsoma mume wangu tabia zake yupo Ivo ivo
Ww huna akil
Tunapitia changamoto kubwa sana kuvumilia mapungufu yao ndani lkn huwa hawajali wanajiona wako sawa kwa kila jambo lkn IPO siku mungu ataonesha kila kitu hadharani
@@swalhinajuma4149 aise rafiki yangu uko sahihi kabisa tumwachie Mungu tu
kweli wanaume wanadhalau sana jamani
Kuna jibu la tatizo lako huyu dr anaongea kama mwanadam ila kunakazi ya kufanya
Dk criss umenigusa na ni kweli nilishafanya hayo kwa mke wangu na mwisho wa siku aliondoka ila bado nafanya jitihada za kumrudisha tafadhali naomba pia unisaidia nitakupata vip nimezaa nae watoto wawili.
Uache tabia mbaya
Dr Chris wanawake pia huwa sababu ya kuambiwa..mfano yeye ndio anayoyafanya hayo kwako..mfano anaona ameolewa na wewe basi we taipu yake...sio handsome..kuliko x wake..basi hata mali uliyonayo kawaida sana ye kaona vidume Wenye pesa mjini..anakwambie x wake anampa pesa kufika wewe..sasa kwa haya utaacha kumwambia madhaifu yake...most women are selfish wasichopenda kufanyiwa ndio wanafanya kwa patnaz wao...dr Mauki..
4sure
DUH
Sio wote, wewe mzungumzie huyo wa kwako. Not all women are doing same thing
Good
Jaribu kuangalia upande wa pili-silaha hizi hizi hutumika pale mwanaume anaposhuka kimaisha(km kupoteza kazi au biashara)huonekana mjinga kuliko mtu yoyote dunian..mwanaume anapewa stress na ndipo stroke na visukar vinapoaanzia mara kwa heri
Uko sahihi
Wanapendelewa wanawake kila siku. Wanaume tunaachwa tujifie. Na sisi katika kutetea uhai wetu tunafanya lolote tunaloweza.
kweli
Dunia ya Sasa ukimlea mwanamke kama yai Ndio inaonekana utammiliki....!.....Ndugu zangu kuna Watu wamebembeleza ‘ wamelea’ wamehudumia’ tena mke nje na ndani ‘ ..!...Lkn wamedondokea PUA ‘
Yaani ndugu kama Uko Poa katika ndoa yako shukuru MUNGU....mwanamke mridhishe kila nyanja ‘ Lkn siku anaweza akamuonea huruma mteja muokota MAKOPO akampa...!...au umemnunulia gari Lkn akamtamani mtu na BAISKELI yake akampa..!....hahahaa..!
Tatizo MAPENZI hayana FORMULA ni maneno maneno mengi tu ya MITANDAONI..!
ila Ahsante dokitori mauki umewasilisha Kwa Asilimia kadhaa kuwasaidia wapenzi kuchunga ndimi zao...!....ITAWASAIDIA
Jesus is my reference In life...
Jesus didn't came here to rip people off...
Unfortunately most of thee Earthlings rip people off systematically suggesting things that you ain't do a thing about it...
#HellNo
JUST GO.... DIVORCE IS OK, HATA MBELE YA MUNGU... People should know, "tolerance of torture is self harm"
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Da unatugusa sn
Blessed Dr
Na kama anayafanya yote hayo si mara moja wala mbili je ana upendo wa dhati kwako
Amina
Dk umenigusa sana tena sana nimeriasana
Poleee sana Zainabu. Nimejiskia kuumia kuisoma meseji yako!
Pole sanaaaa.
Be brief
Sasa Docta kama una tabia izo dawa yake nini? Naomba nisaidie mana huenda ni tabia halisi mtu alioumbwa nayo.
Lakini doctor hii sio tu kwa wanaume hata wanawake pia wanapaswa kuzingatia haya,
Dr nc huna gruop la wastpp
Nc
Wewe Kama unaelewana na mkeo mtulize,wengine tushabembeleza tukalea ,tukaliwaza ,lakini Leo ni mafala , ,,,,mitandao bwana
Hahaaaaaaa...daaaaa....pole bro
Hahahahahaha umetisha
Kuna mtu matumaini angesoma hapa jamaniii
NimekuelewA
👌👏🏻👏🏻👏🏻
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
What is the difference btn 1st point 4th ?
Zimejirudia rudia , au zina mfanano, tofuati ni context and expressions .
Hamna
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hii yote nilipitia asante dactari
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dk umeigusa ndoa yangu jamani haishi kwashida
mi mwenyew ni mvulana, lkn nikiambiwa haya maneno mabovu nakasirika sana😣😣
Sasa ukuwa na mke asie elewa mwanamke hajasoma alafu anajiona nzuri pia anaketa zarau unashindwaje kumwambia maneno hayo unastaili kumfanyia hvo mwanamke mwenye akili wasio na akili wenye tharau Ni kuwanyoosha tu
Ni kweli aisee😃
wee kaka unajua kwel saikolojia ya mtu yaan nilikua nachukia mwenza wangu alipokua akinambia hv weweee watoto we2 tutakaozaa watakua na akil kwel??wakifata akil zko wamekwishaaaa yaan kaul kama hii na nyingine nyingi zilikua zikinikwaza had ikapelekea kuachana jmn kuna wanaume wana midomo nyieeeee uwiiii
Saf
Sadly, WANAWAKE NDIO WENGI WANAOANGALIA HII, while hii video inatakiwa iwe somo kwa wanaume/wavulana wengi kuliko wanawake.
Mbona tupo