Hao ni watekaji wa Chadema guys , unajua ukiacha Chadema inapambana na CCM lakini pia Chadema pia ina vita Baridi na ACT Wazalendo. Hasa huyu Nondo, kwa kuwa huwa anawakosoaga sana viongozi wa Chadema.
Pole sana nondo Ila watanzania tunatakiwa kubadilika sasa hawa mapolisi nimaadii zetu tujuwe mtu anapo Toka kwake awe tayari tayari abebe japo bis bisi ama nchi inukishwe yote iwake moto la sihivyo watutuzoea sana hawa
Hao hao ccm ndo walimuuwa Magufuli,na kwa haya ya sasa inaonesha Samia ndo alisuka mpango ili apate madaraka kirahisi kisha afanye yake..,#Tz tujiongeze..😢😢😢
Pole sana mdogo wangu ila usikaze misuli kama upaja wako mdogo hujawahi kujiuliza mbona mwenyekiti wa chama hatekwi uzuri nakusikia kwa umakini unatafuta tiketi ya kuishi ulaya komaaa niga
Asanteni Dw saidieni hii taarifa iende kimataifa kwenye vyombo vya nje
Allah akubarik abdul pole sana
Hao ni watekaji wa Chadema guys , unajua ukiacha Chadema inapambana na CCM lakini pia Chadema pia ina vita Baridi na ACT Wazalendo. Hasa huyu Nondo, kwa kuwa huwa anawakosoaga sana viongozi wa Chadema.
Hao ni ccm tu wakishirikiana na police
Pole sana nondo Ila watanzania tunatakiwa kubadilika sasa hawa mapolisi nimaadii zetu tujuwe mtu anapo Toka kwake awe tayari tayari abebe japo bis bisi ama nchi inukishwe yote iwake moto la sihivyo watutuzoea sana hawa
Pole sana Nondo ACT Wazalendo mnamsifu sana bimkubwa ila io ndio hali halisi
Inasikitisha sana nchi inaelekea kubya
Mungu yuko pamoja na wasomewe albadili wafe wote watekaji
Wewe Nondo, kuwa na hofu ya Mungu!
Dawa ya wao wahusika wasimewe dua wafe wote na vizazi vyao.
Nashangaa haki isomwe albadili tu
Hao hao ccm ndo walimuuwa Magufuli,na kwa haya ya sasa inaonesha Samia ndo alisuka mpango ili apate madaraka kirahisi kisha afanye yake..,#Tz tujiongeze..😢😢😢
Hao ni watu serikali inasema watu wasiojulikana ni Maskati wa Ccm.
teh teh kumbe anataka kupata nafasi ya kuishi ulaya
Watakuwa walipewa amri na waliowatuma baada ya aibu ya kelele mitandaoni na huko duniani
Policcm hao
Pole sana mdogo wangu ila usikaze misuli kama upaja wako mdogo hujawahi kujiuliza mbona mwenyekiti wa chama hatekwi uzuri nakusikia kwa umakini unatafuta tiketi ya kuishi ulaya komaaa niga
upo na mungu.
Uingozi wa hilo gari lilokubeba wanajua kila kitu walijuaje kama uko humo
mungu atawalani. kila mwenye ubaya utamrudiya mw
Ila mungu yupo tu
Ila Watanzania kweli mwenzenu anatekwa mnamuangalia tuu? Dah
Hii nchi sijui watu wamelogwa?
Sasa nondo ulifungwa kitambaa ulijuaje km unapigwa kwenye kibaraza
Ndiyo tanzania ya amani hiyo na raisi yupo
Mwandishi uliza maswali ya tukio la Sasa mbona mkoa hivi au ndio mwisho wa elimu ya uandishi wa habari
Stupity politics,impact yake ni mbaya sana kuliko ku deal Mtu kama Nondo.
😢
Ashakariri DW
Tanzania kiboko mtu akisema ukweli anatekwa na kuuwawa mmmmmmmm hii kiboko
hii nchi ukisia ccm sawa kwan tunatekana shida nn
Mh!
Mmmm hii Sasa mbona inafanya tuwajue wanaoyafanya haya
Muda utafika Tu wakubwa nyonyoa
Duuu
Watawala wajifunze hvi .usije kumtesa mtu wakat nawe marehemu mtarajiwa.
Hapo jambo la watawala limetoka wapi
nondo kwanza pole ila mdogowanga akunakazi nyingine watakuhuwa ao
Hivi ninyi waandishi mbona hamjui kuulizwa maswali maswali yenu nikama hamjasoma
Pole sana ila punguza