Njia nyengine ni kumlaani shetani/kumkemea kwani hua akiona mmpeshana na yy hua anakujaza ili uwe na asila zaidi ili yatokee makubwa,asant sana bro mungu akubaliki njia ulizozitaja mbili hua natumia ili kupunguza asira kwanza hiyo ya kuzungumza mwenyewe pili hua namwambia rafiki yang lkn ni kama dada hua anishauli yote ila najikuta kidg nimepunguza na hua nayaacha yapite sometimes unaweza kumsimulia akaniambia dah pole sana lkn hua nalidhika kwa kutoa hasira
Asante Sana hiyo ya kuondoka imenisaidiahizoo nyingine nilikuwa sijui Asante kwakuniongezea maana nikikerwa nahisi kma kunakitu kimenikaba hivo najaribu kujizuia lkn najikuta kma ninaplesha kwamba ni lazima niongee Sasa kunamungine kukiondoka a nahisi ndo umemzarau kbsa km hya mazingira tunayofanyia kz do self tok na yakuhesabu nahisi zitanifaa Asante Sana huwa nakufatilia Sana na nimejifunza vitu vingi Sana kupitia wewe mungu akubaliki sana
Shukran sana kwa somo. Mimi hupenda kutumia hio self talk. Huwa najiuliza 1)is it necessary to react? 2)is it worth my time and energy? 3)what effect this might cause in a long run?. Huwa kwa kiasi flani inanipunguza ile hasira
Ni somo zuri ambalo limefika kwa wakati na muda sahii kwani hasira huleta hasara katika maisha kwan hupelekea watu kufanya maamuz yasiyo takiwa kwa mfano (ukimuuliza muuaj baada ya kuua atakujibu ni hasira tu, talaka nying ni hasira tu zinapelekea hayoyote , na meng meng yasiyoelezeka , jambo LA kuzingatia ni kutofanya maamuz wakati ukiwa na hasira ) Good day brother joel
Asante nikichukia natoa maneno mabaya sana bila kujali watu walioko karibu yangu badae najisikia vibaya kwa nilivyoongea lkn ndio tayari nimeongea siwezi kufuta.Nitajitahidi kuhesabu nione au kuondoka eneo la tukio
Kaka naamin umeshushwa na mwenyezi Mungu kutukomboa kifkira. Nimemaliza kusoma kitabu chako cha (Timiza malengo yako) chenye mbinu 60. Naomba unielekeze kitabu kizur kitakacho nisaidia katika suala zima la ujasiriamali. Asante.
Mimi nilikuwa na hasira sana ila nilipokujua tu wewe kaka joel sasa sina hasira tena, najiamini mafunzo yako yamenikaa kichwani, kila gumu au kila hasira huwa najiambia haya am the ceo of my own life, I believe myself mara kibao na hivyo simuwazii tena aliteyenikwaza sababu mimi ni bosi wa maisha yang
Wee jamaa sjui ulizaliwa siku gani maana hakuna jambo unaliongeaga alafu nijikute simo haijawai kunitokea kiufupi Mungu akubariki sana pia Nina shida na kitabu kinacoongela maswala ya uongozi
Nakumbuka 2020 nilipitiwa magumu Sana nikaibiwa kazin nikafiwa na kaka angu na mchumba angu akaoa ni kipindi kilicho kuwa kigumu Sana kwangu na hayo yote yalitokea ndan ya mwez mmoja na kwa hicho kipindi hicho nilikuwa ckufaham kwa bahat nzur nikaona mtu kapsti kakipande wsp nikaamua kukutafuta RUclips hakika ule wakati niliweza kutoka kwenye maumivu na huwa nawaza bila kufatilia wewe ingekuaje
HONGERA KWA KAZI NZURI MR.JOEL Ila NAOMBA UTISAIDIE KTK HILI NI VIP UTAWEZA KUMTOA UMPENDAE KWENY MUDI CHAFU NA MBAYA NA KUMLETA KTK MUDI NZURI...???KWA MAANA NYINGINE NI VIP UDILI NA MTU AMBAYE HAYUPO SAWA...?
Hii utapata kwenye kitabu dale carlegie how to Win friend influence by people kwenye hicho kitabu kuna kila kitu unachotaka na zaidi kama unatoana ni ngumu kukipata unaweza kunitafuta kwa namba 0768480963 nitakupatia bure kabisa upate maarifa
Kama unamkubali Joel gonga like yako hapa
Hasira zimenisumbua sana ila nashukuru kaka Joel umenisaidia nitazifanyia kazi ubarikiwe sana kaka
Asante sana .nimenufaika sana na darasa hili😍 mungu akubariki kwa kunisaidia kuliondoa tatizo your my trust friend until nilipojiunga na darasa lako
Ahsante Sana kwa mrejesho huu
Joel toka nimeanza kukufatilia kwenye mafunzo yako umenibadilisha mtazamo wangu wa ndani. God bless you the man of God.
Ameen Lina,thank You so Much
Njia nyengine ni kumlaani shetani/kumkemea kwani hua akiona mmpeshana na yy hua anakujaza ili uwe na asila zaidi ili yatokee makubwa,asant sana bro mungu akubaliki njia ulizozitaja mbili hua natumia ili kupunguza asira kwanza hiyo ya kuzungumza mwenyewe pili hua namwambia rafiki yang lkn ni kama dada hua anishauli yote ila najikuta kidg nimepunguza na hua nayaacha yapite sometimes unaweza kumsimulia akaniambia dah pole sana lkn hua nalidhika kwa kutoa hasira
Asante kwa hili somo kaka Joel maana mimi nina hii changamoto. Naahidi kufanyia kazi hivyo vyote🙏
Asantee Kaka Joel Nanauka. Matumaini yangu nitakutana na wewe siku moja...☺
Asante Sana hiyo ya kuondoka imenisaidiahizoo nyingine nilikuwa sijui Asante kwakuniongezea maana nikikerwa nahisi kma kunakitu kimenikaba hivo najaribu kujizuia lkn najikuta kma ninaplesha kwamba ni lazima niongee Sasa kunamungine kukiondoka a nahisi ndo umemzarau kbsa km hya mazingira tunayofanyia kz do self tok na yakuhesabu nahisi zitanifaa Asante Sana huwa nakufatilia Sana na nimejifunza vitu vingi Sana kupitia wewe mungu akubaliki sana
Asante sana kakangu..hili somo naomba Mungu likanibadilishe
Asante sana kaka Joel mimi nimekuelewa sana
God bless you for everything you do my brother
Asante nimefaidika na wewe,barikiwa,
Nakumbuka mwaka 2018 nilichukua maamuzi yasiyosahh mwshowe nkajutia mwnyw,asant mentor wang and see you at the top
Pole,Ila hongera Sana kwa kujifunzs
Nimebadilika na kuwa mtu sahihi kupitia wewe Jo, mungu akuongezee miaka mingi uwasaidie kizaz iki na kijacho amen🙏🏻
Aisee nitafqnyia kazi nakuwa na hasira hadi nagombana na mtu mwingine akinisemesha duh asante nitalifanyia kazi
Nimejifunza mengi sana katika hii video
Ahsante Sana kwa kuendelea kujifunza
Love you so much my online mentor
Thank bro Unasaidia maisha ya vijana
Asante nitajifunza kuhesabu
Ubarikiwe Sana more than 1000000000000.......times .
Thanks so much brother! Yani ulivyonitoamba katika maisha naomba uhai na uzima nilazima nitakutafuta nikupe shukurani live!
Ahsante Sana,nitafurahi siku tukionana🙏
Mimi pia nitakutafuta baada ya miaka mitatu hii video nimeiona leo na umenisaidia sana ubarikiwe sana
blessed more bro.. nmejifunza mengi sanaa .. ntabadlika sana kupitia mafundisho yako kaka
Nakuamini sana mungu azid kukuinua had viwango vya juu zaidi
Mungu akubarki sana nmekuelewa my professor
Pamoja sana
Asante Kwa somo
Shukran kaka kwakutufunza
Your the best bro
Asante Sana joel asira nikitu mbaya sana
Asante sana kaka hii ni nzuri sana bila shaka itawasaidia wengi.
Dah Mungu akubariki tu maana nimekuwa na changamoto hiyo hadi Sasa
Asannte sana Mtumishi hii imekaa vzuri
Hii njia ya mwisho ni the best sana kwangu nitaitumia hii
I appreciate your speech! zinanijega sana kiakili kama kijana i wish to share ideas with you mungu atupe uzimatu. Hakika una nondo nzuri kiongozi
Ubarikiwe sana bro
Ahsante bro zote zinaniusu
Shukran sana kwa somo.
Mimi hupenda kutumia hio self talk.
Huwa najiuliza
1)is it necessary to react?
2)is it worth my time and energy?
3)what effect this might cause in a long run?.
Huwa kwa kiasi flani inanipunguza ile hasira
Andika Swahili na sisi tujifunze
Kaka najifunza vinga sana kutoka kwako asante unafanya vizur sana
Shukran brother kwa kututoa ujingaa
Asante sana mwalim joel
God bless you brother
Kwa hakika umekuwa msaada mukubwa kwa maisha yangu hakika mafunzo yako hunifungua akili zaidi nakuombea maisha marefu ili uendelee kunikuza zaidi
Ameen
Asante Sana kwa kutujuza
Napenda sana mawazo yako maana yananisaidia sana kwenye maisha yangu ubalikiwe sana
Sema ubarikiwe siyo ubalikiwe
Ulivyo nitoambali katika maisha!
Pamoja sana
Njia ni 1 nimejaribu kuitumia na imeleta mafanikio kwangu ,kaka we ni mwalimu bora sana
Wow,hongera sanaa
Nimekubali Sana Kaka Joel
Bless you always
Ipo. Sawa. Sana
.asante
ASANTE BROTHER
Ahsante umenisaidia
Thx bro in yr teaching
Thanks brother
Asante mwl wangu
Ni somo zuri ambalo limefika kwa wakati na muda sahii kwani hasira huleta hasara katika maisha kwan hupelekea watu kufanya maamuz yasiyo takiwa kwa mfano (ukimuuliza muuaj baada ya kuua atakujibu ni hasira tu, talaka nying ni hasira tu zinapelekea hayoyote , na meng meng yasiyoelezeka , jambo LA kuzingatia ni kutofanya maamuz wakati ukiwa na hasira ) Good day brother joel
asante sana my mentor
Joel🎉🎉
Shukrani sana
Asante nikichukia natoa maneno mabaya sana bila kujali watu walioko karibu yangu badae najisikia vibaya kwa nilivyoongea lkn ndio tayari nimeongea siwezi kufuta.Nitajitahidi kuhesabu nione au kuondoka eneo la tukio
Thank you, my brothe
Njia rahisi no kuondoka
@@josephmwinuka6664 unaweza kuondoka na isisaidii, bora ujibwatukie mwenyewe.
Kaka naamin umeshushwa na mwenyezi Mungu kutukomboa kifkira. Nimemaliza kusoma kitabu chako cha (Timiza malengo yako) chenye mbinu 60. Naomba unielekeze kitabu kizur kitakacho nisaidia katika suala zima la ujasiriamali. Asante.
Wow,hongera Sana.tuwasiliane 0756-094875
Thanks 🙏
Dah, nimeipenda💪💪💪
Njia ya mwisho kabisa is the best way of reducing Hasira
Kaka nakushukuru umenibadilisha sana
Saf mzee
Mimi nilikuwa na hasira sana ila nilipokujua tu wewe kaka joel sasa sina hasira tena, najiamini mafunzo yako yamenikaa kichwani, kila gumu au kila hasira huwa najiambia haya am the ceo of my own life, I believe myself mara kibao na hivyo simuwazii tena aliteyenikwaza sababu mimi ni bosi wa maisha yang
Wow,you are the CEO of your life
Santee
Asante kaka
💯💯
Kwli mm ninahasira hbu nisaidie
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Cool 😎
Thk
Vizuri
self talk will be better for me, sitotukana wala kujibu vibaya
Asante
Wee jamaa sjui ulizaliwa siku gani maana hakuna jambo unaliongeaga alafu nijikute simo haijawai kunitokea kiufupi Mungu akubariki sana pia Nina shida na kitabu kinacoongela maswala ya uongozi
For m kumuvu sehemu husika tu
Ya kuhesabu nitajakibu mimi ninahasira san yani had naumwaga nikishikwa na hasira hivo asante nitajalibu hiiyo njia ya mwisho
Safi Sana,nitafurahi kupata mrejesho
Hakika umenihamisha sehem
Amen
Imekuwa miaka 2 tangu u upload lkn leo nimekuja kujifunza hii nahitaji kusaidika
💪💪🙏
🙏🙏😍
Nakumbuka 2020 nilipitiwa magumu Sana nikaibiwa kazin nikafiwa na kaka angu na mchumba angu akaoa ni kipindi kilicho kuwa kigumu Sana kwangu na hayo yote yalitokea ndan ya mwez mmoja na kwa hicho kipindi hicho nilikuwa ckufaham kwa bahat nzur nikaona mtu kapsti kakipande wsp nikaamua kukutafuta RUclips hakika ule wakati niliweza kutoka kwenye maumivu na huwa nawaza bila kufatilia wewe ingekuaje
Mm willy mwaitege lazma xku moja niwe kam ww ntakushka mkono ntaxema axant joel nanauka
Kaka wacha niishie kwenye kukuita tu ila Mungu akuweke kwa ajili yetu
Ashate
Me ntajalibu hi njia ya mwisho Kama inaniingia ivi maana napayukaga
HONGERA KWA KAZI NZURI MR.JOEL
Ila NAOMBA UTISAIDIE KTK HILI NI VIP UTAWEZA KUMTOA UMPENDAE KWENY MUDI CHAFU NA MBAYA NA KUMLETA KTK MUDI NZURI...???KWA MAANA NYINGINE NI VIP UDILI NA MTU AMBAYE HAYUPO SAWA...?
Hii utapata kwenye kitabu dale carlegie how to Win friend influence by people kwenye hicho kitabu kuna kila kitu unachotaka na zaidi kama unatoana ni ngumu kukipata unaweza kunitafuta kwa namba 0768480963 nitakupatia bure kabisa upate maarifa
Mimi ninekuewa mno ila change changamoto yako bado nashindwa kuikotroo asira
Njia ya nne ndo inayotumika zaidi
Mimi ninasema nikiwa nina hasira nakutoka hiyo sehemu ya shari.Vinasaidia sana
shukran sana
Ooh safi sanaa
Nimejifunza kitu hapo kwenye point ya take time away ninao mfano wa mtu wangu wa karibu alishaitumia hiyo
Safii
Reverse oder/Self talk.
Sasa km ninahasira kwa watoto nafanyaje
Namba tatu inenigusa kaka
Omidipo tupog
Je njia ya kuepuka mambo mabay
Dah huyu mtu ana akili sans