Kaka Joel ubarikiwe, Nitakutafuta cku moja tukijaliwa uzima, Keep it up, unatuwakilisha vyema watanzania, Nami Ni miongoni mwa vijana wanaojivunia katka kutatua changamoto, miaka mitatu tokea Sasa nitakuwa billionea katka Nchi yangu ya Tz, inawezekana kabisa.
Thanks Joel unaniimarisha kila iitwapo leo hivi nilivyo Leo unamchango mkubwa Sana katika maisha yangu. Mungu aendelee kukutunza ili kusudi la wewe kuwepo duniani litimie
Hapo nitabeba vitu viwili kujenga kuaminika na pia kuwa ni mtu wa kusolve matatizo na kutoa masuluhishi, Ahsante sana mwalim umenibadilisha na hivi sasa kale ka tabia cha kughairisha mambo na kutumia muda vizuri nimeanza kuona mafanikio yake
Asante brother Joel umeniingizia kitu kipya kichwani wewe ni moja kati ya watu muhimu katika maisha yetu na kwa watanzania wanaotambua mchango wako ubarikiwe kaka.
Trust us Love N maneno 2 Tofaut Ambayo Yametoa Maana Kubwa As Me Naweza Sema Hio Ya Kwanza(Build trust) Imekuja Nisaidia Kweny Utoaji Huduma Maan Nmepata Jina Kutokan Na build Trust Japo Utaalamu wangu sio Heavy Kias Hiko Asee thank Mr Joel Nanauka Kwa Makubwa unafanya Ndani Ya Jamiii..
Nakukubali sana unanijenga sana mwalim Joel nimejifunza vitu vipya katika maisha yangu mana kuna mambo tuapenda tufanyiwe lakini sisi hatufanyii wengine tunapenda tuaminiwe lakini hatuaminiki, kiukweli
first of all i want to thank GOD for putting people like you in the this world,you change alot of peoples life due to what the world is going through right now many people are depressed and have anxiety and many problems but through this lessons and new topic which you bring here at every moment you real change people"s life..am from uk thanks for the lessons,keep pushing MR.JOEL NANAUKA
Daaah sijui kwann nimechelewa kuona kaka thanks very much umenisaidia kwa namna moja nimejua kua uwaminifu ndo kila kitu nakuto kujiwekea kushindwa asante kaka
Allah akulipe KHERI Shujaa wetu na akulinde na kila Ovu,binafsi consistment and solution provide (najihsi Amani na furaha kumuondolea mtu Tatizo/shida)
Asante, sana naomba uongelee customer service ,pia kuna shida sana ,na wengi hawajui inavyo wanavyo haribu mfano unaenda hotelini unaulizwa maswali na mlinzi,ni sawa ila inaharibu standard ya huduma,ndio maana kuna reception desk,au unaingia dukani jamaa wanasema huyu sio mnunuzi ilinikuta Bongo last year its so painful to me. Au unaingia kanisani siku ambazo sio za ibada kuulizia mchungaji unajibiwa hayupo na unasikia sauti yake.
Umeinua moyo ulioinama,,,I Know from now on I can do 👍💪yàan ukiwa unaongea hua Kuna vission inakuj kichwan kwang na ndioo inaniinspire San ku move on na naimsn ntafika kule nakotamani kifikaa nashukuruu Sana Kaka Joel n mdog mm lakin my future is more important than age
I'm from Kenya 🇰🇪 and my life is changing through your teachings ❤️
Maisha yangu umeyabadilisha sana mungu anakutumia sana kaka
Ninamtukuza Mungu Kwa ajili yako mwalimu, you changed my life
Asante sana mkuu,wewe ni mtumishi wa Mungu kabsa.Unatoa elimu nzuri sana kwa free with no charge
Kaka Joel ubarikiwe, Nitakutafuta cku moja tukijaliwa uzima, Keep it up, unatuwakilisha vyema watanzania, Nami Ni miongoni mwa vijana wanaojivunia katka kutatua changamoto, miaka mitatu tokea Sasa nitakuwa billionea katka Nchi yangu ya Tz, inawezekana kabisa.
Thanks Joel unaniimarisha kila iitwapo leo hivi nilivyo Leo unamchango mkubwa Sana katika maisha yangu. Mungu aendelee kukutunza ili kusudi la wewe kuwepo duniani litimie
Kaka mimi ni mwanachuo but nasomea koz amaboyo haikua ndoto yangu dah!! Nateseka sana,kimawazo.nifanyeje ili hiii hali iiishe?
My Bro Joel my Mentor, unani inspire kila iitwapo leo
Mungu akubariki sana sana
Hapo nitabeba vitu viwili kujenga kuaminika na pia kuwa ni mtu wa kusolve matatizo na kutoa masuluhishi, Ahsante sana mwalim umenibadilisha na hivi sasa kale ka tabia cha kughairisha mambo na kutumia muda vizuri nimeanza kuona mafanikio yake
Great African influencer and soon worldly influencer
Uaminifu unalipa,nimeona mafanikio na baraka kupitia uaminifu .ahsante mwalimu, ubarikiwe sana
I'm learning more from your teachings be blessed 🙏🇹🇿
This channel ni shule tosha! Asante sana Kaka Joel.
YEHOVA SHALOM Waamuzi 6:20-24.Nashukuru Sana kwa mafundisho.EL-SHADDAI Zaburi 77:1-20.
Asante brother Joel umeniingizia kitu kipya kichwani wewe ni moja kati ya watu muhimu katika maisha yetu na kwa watanzania wanaotambua mchango wako ubarikiwe kaka.
Trust us Love N maneno 2 Tofaut Ambayo Yametoa Maana Kubwa As Me Naweza Sema Hio Ya Kwanza(Build trust) Imekuja Nisaidia Kweny Utoaji Huduma Maan Nmepata Jina Kutokan Na build Trust Japo Utaalamu wangu sio Heavy Kias Hiko Asee thank Mr Joel Nanauka Kwa Makubwa unafanya Ndani Ya Jamiii..
You are a blessing to this generation🙏🇨🇩🇨🇩 Mungu akupe maisha marefu Sanaa
Nakukubali sana unanijenga sana mwalim Joel nimejifunza vitu vipya katika maisha yangu mana kuna mambo tuapenda tufanyiwe lakini sisi hatufanyii wengine tunapenda tuaminiwe lakini hatuaminiki, kiukweli
In every stage in my life style I apply your different ways you teach us
Thank you for the speeches you provide they really helped me to become the right person
first of all i want to thank GOD for putting people like you in the this world,you change alot of peoples life due to what the world is going through right now many people are depressed and have anxiety and many problems but through this lessons and new topic which you bring here at every moment you real change people"s life..am from uk
thanks for the lessons,keep pushing MR.JOEL NANAUKA
Asante bro hakuna kitu nnachokipenda kutoka moyoni mwangu km kua nimuaminifu yaani broo umeongea point nzuri sn
Daaah sijui kwann nimechelewa kuona kaka thanks very much umenisaidia kwa namna moja nimejua kua uwaminifu ndo kila kitu nakuto kujiwekea kushindwa asante kaka
Sure, brother thanks sana kwâ kujifunza vitu vingi leo
duh mmh kichwa hicho Mungu anajua mwenyewe uko vizuri bro
Ahsante san Consultant wangu. Trust ni kitu kikubwa sana ahsante sana kwa kutukumbusha.
Nashkuru kwa kua bhdo unaendelea kunijenga kwa namna moja ahsante sana
I'm blessed...!!
Actually najitahidi sana kubuild myself kwenye areas zote hizo nne na nimekuwa Bora na ninazidi kujiimarisha
Mungu aku Lipe kila la kheri. Imani yangu tuta kutana siku moja nikiwa kwenye level kubwa ya mafanikio kwa knowledge nnayo ipata kwa mafunzo yako🙏🙏🙏🙏
Yoh are the blessings of the world. Mungu akubariki sana kaka Joel
Asante sana Mungu akubariki.mimi nitaanza na specialist
You bult my spirits of reading More Books my hope Siku moja uwe Mentor! Napenda siku ni katika position yako
yaan sina cha kusema zaid ya mungu akubariki mwalimu
Thanks Joel for being a great imfluencer to many. Karibu kenya.
Daaaa unaereweka sana kaka nanza biud trast
Nafikiri kuanza na zote ili kujenga uwezo wa mvuto kwa jamii muhimu
Shukran Mwalimu
This man is a genious❤Ni kweli kabisa
Hii ulioielezea mwisho mi nimependa Sana ahsante Sana mungu akubariki kaka
Ubarikiwe sana kaka hakika nimejifunza katika eneo hili hakika certainity nitaofanyia kaz
Asanteee sana kaka, me nitaanza na kubuild trust
Mungu ni mkubwa kaka hakika wewe ni genius nitaanza kuzitumia zote kuanzia leo hii 10/01/2024🎉
Asante teacher kwa kunibadilisha
Ahsante sana wew Mtu wa kutusaidia kila wakati
Nakuthamini sana Ubarikiwe
Asante kheri na Baraka zitiririke kwako.
Mimi nitaendeleza kutengeneza Uaminifu.
Nimejifunza kaka Mungu akubariki sana. Natamani nitumie njia zote Ili niwe Bora zaidi.
Ujumbe mzuri, natamani tukutane kwa maongzi
Asante 🙏🙏 sana na Mungu akubariki zaidi kwa hichi unacho kifanya
Ubarikiwe...kazi yako ni njema
Asante sana,tatizo langu ni kufanya vitu kwa muendelezo nitajitahi aisee
Hiya une niya maana sana mwalimu Mungu akubariki sana 🎉🎉✍️🇨🇩
Nakubali sana bro yaan dah najiuliza kwanin skugundua mapema hili darasa lako kiukweli najifunza mengi sana
Solution provider and consistency in value delivery. Be blessed man of God
Kuamika , safiiii
Naanza na speciality Joel asante sana nimejifunza mambo ya muhim sana
Haya unayofundisha ni madini kwa kweli. Ahsante kwa masomo mazuri ya kutujenga. Barikiwa
I like your idea
Hongera sana kaka Joel.kwa mafundisho mazuri
Allah akulipe KHERI Shujaa wetu na akulinde na kila Ovu,binafsi consistment and solution provide (najihsi Amani na furaha kumuondolea mtu Tatizo/shida)
Nina mshukuru mungu sana kwa ajili yakoo broo
Specialty na solution provider
Asante, sana naomba uongelee customer service ,pia kuna shida sana ,na wengi hawajui inavyo wanavyo haribu mfano unaenda hotelini unaulizwa maswali na mlinzi,ni sawa ila inaharibu standard ya huduma,ndio maana kuna reception desk,au unaingia dukani jamaa wanasema huyu sio mnunuzi ilinikuta Bongo last year its so painful to me.
Au unaingia kanisani siku ambazo sio za ibada kuulizia mchungaji unajibiwa hayupo na unasikia sauti yake.
Thanks kaka Joel, TRUST is my weapon huwa ndiyo nasimama siku zote ktk maisha.
unajua sana kaka nilikua mbilula now kuptia elmu yko huez amn nina biashara nzur kabsaa
Asante mwl.Mm nataka kuanza na speciality na trust
Napenda sana mafundisho wako, Mungu akutete na akusaidie ktk yote.
Mungu akusaidie uzidi kutupa elimu brother
Nakukubali sana kaka Joel Nanauka mungu akupe maisha marefu zaidi
Asante Mwalimu Wangu Joel
Asante nimekuelewa
Kaka ahsante sana nimepata hiyo message kwa uzuri sana
Asante na MUNGU akubariki
Ubarikiwe sana mtumishi umenijega pakubwa
Mungu akubariki sana mwl na kukupa maarifa zaidi
Thanks 🙏
Shukran sana kupitia elimu yako na imetusaidia pakubwa
Asante natamani kufanyia kazi swala la "Specialty"
Hii imenionge zea upeo kwenye biashala yangu mungu akubalik
Umeinua moyo ulioinama,,,I Know from now on I can do 👍💪yàan ukiwa unaongea hua Kuna vission inakuj kichwan kwang na ndioo inaniinspire San ku move on na naimsn ntafika kule nakotamani kifikaa nashukuruu Sana Kaka Joel n mdog mm lakin my future is more important than age
Ahsante mkuu. Mimi nitaanza na trust mkuu
ya kwanza ndo yakwanza nayo nimhimu, asante
Nitaanza na Specialty maana ni tatizo kubwa sana kwangu. Thank you bro Joel
tiny boy upo na ww huku🤗
Asante Mwalimu wangu
Mungu akubariki sanaa
Mungu azidi kuku weka Sana kaka Joely
Tunakupenda!
Asante sana kwa mafundisho yako yana nijenga sana Nancy kutoka Qatar
Mashaallah 🧕
Asante kwa elimu
Waooooow asantè sana kaka nimekupata na nimekuelewa
جزاك الله خيرا اخي
Asante sana kwa somo zuri Kocha natamani kuanza na Consitancy value delivery, Solution provider
Dah na mm iyo nime ipenda
Moja ya somo muhimu sana kaka.... Ahsante sana
Shukrani ubarikiwe sana
Solution provider🙏
When I face people with the solution will listen me.. Asante Sana JOEL NANAUKA.......
Thnk u 4presentatation, i wanna start w/soln prov n Build trust
Barikiwa na muumba wa mbingu na nchi
1. trust 2. solution provision
Build trust
Kaka barikiwa hii ya nne inanifaa sana naomba unisaidie
Nakukubali Sana broo unanihamasisha sana
Asee brother mungu akubaliki sana
Zote nimuhimu ubarikiwe sana💕
Ningependa kuwa mtu wa kuaminika biuld trust
Mm nitaanza na speciality 🙏
Mungu akubaliki sana brother
Joel mungu akubariki. .... unakitu change kitofauti sana
Am appreciate you
Upo vizur asante kwa somo
I prefer to be a solution provider to others