LIFE WISDOM: VITU VINAVYOSABABISHA MATATIZO YA KIFEDHA - Joel Nanauka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 152

  • @ShedDjeey-cn9ti
    @ShedDjeey-cn9ti 6 месяцев назад +29

    Kama timu joel nanauka Like apaaaaa achana na vikundi visivyo na msingi 💰💰💰

  • @Fikra-online
    @Fikra-online Месяц назад +8

    TEAM Joel Nanauka tujuane hapa❤

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 9 месяцев назад +23

    Kiukweli leo nimepata kitu kipya,mimi hua nimtu wa huruma sana yani mimi kutoa pesa hua sioni tabu,kunamuda nanunua nguo au kitu bila kuwa na ratiba nanikinunua nikifika nyumbani nashangaa hakivutii ,nimekua nikidharau pesa ndogo ndogo kumbe napoteza vitu vya muhimu Asante @Joel Nanauka ❤❤

  • @rhodasimba1804
    @rhodasimba1804 9 месяцев назад +1

    Hakika haya yote unayoyashauri kwetu endapo kama tutakuwa tunayafanyia kazi hakuna atakaeishi kwa kujutia hapa duniani.. Joel nanauka you are not only just a Life Coach you are beyond the limit... God bless you

  • @stanslausmsilanga2521
    @stanslausmsilanga2521 2 дня назад

    Ubarikiwe sana, kupitia mafunzo yako naendelea kubadilika. Ahsante San sana

  • @AgnessSosthenes
    @AgnessSosthenes 15 дней назад

    Mafundisho yako nayanipa moyo wakupiga hatua yangu kubwa ya mafanikio barikiwa sana nimeanza kuwa mtu watofauti

  • @Nsia-n7e
    @Nsia-n7e 20 дней назад

    Nimefunguka sana kupitia mafundisho ya elimu ya kiuchumi kama. Mwanamke kwenye familia

  • @IssaAbdallah-bp8qf
    @IssaAbdallah-bp8qf 18 дней назад

    Mwisho wa mwaka jana mafundisho yako yamenipa kitu sana kaka nimepanda chap kiuchum thanks

  • @UsingiziBoy-ki4ee
    @UsingiziBoy-ki4ee 3 месяца назад +3

    Asante San nimejifunza kitu kikubwa San katika hili somo mungu akubariki San mwalimu Joel nanauka

  • @IsaWeightloss
    @IsaWeightloss 9 месяцев назад

    Wewe ni kocha wangu, Mwalim wangu, na kaka yangu Kawa Baba yetu mmoja yaani Yesu Kristo, Mungu na azidi kukupeleka katika viwango vya kimataifa🙏💪💪

  • @NzarubaraEmmanuel-k1k
    @NzarubaraEmmanuel-k1k Месяц назад

    Umefungua Kichwa changu kabisa! Asante sana kwa somo hili.

  • @batsondeux1173
    @batsondeux1173 Месяц назад +1

    Asante sana kaka nimehamasika sana na hii, Mungu akubariki sana kiongozi uendelee kusaidia watu

  • @lestutamdota715
    @lestutamdota715 9 месяцев назад +4

    Kuna watu wameletwa duniani kwajili ya kubadilisha watu . Nakushukuru sana masomo yamenibadilisha sanaa🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад +2

      Ameen Ahsante sana🙏

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 9 месяцев назад

    Wewe ni kocha wa kimataifa Mungu azidi kukutumia zaidi. Binafs ninajifunza mengi kila iitwapo leo. Elimu yako ni muhima sana kwangu najutia kuchewa kusoma mafunzo yako akini naamini Mungu atafanya jambo kwa wakati sahihi.

  • @NdimyakeKennedy
    @NdimyakeKennedy 29 дней назад

    Umeniongezea sana..mimi nimegawa mafungu 3 lakwanza naweka mbegu cha pil mtaj cha tatu matumiz

  • @khalidihilali9967
    @khalidihilali9967 9 месяцев назад +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye hili somo kunavitu vingi natakiwa nijirekebishe mambo mengi

  • @bonifacemoses6774
    @bonifacemoses6774 9 месяцев назад +3

    Joel ndo mentor ambaye tangu 2017 mpaka leo hajawahi nidisapoint

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 9 месяцев назад

      Kwakweli mimi pia toka nianze kumfatilia 2017 sijawahi juta

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 Месяц назад

    Thank you for powerful message 🙏

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 дня назад

    May God bless you Amen

  • @Bighotstory
    @Bighotstory 9 месяцев назад +1

    Barikiwa sawa mwalimu , hapa unenifungua sana mungu anisaidie niishinde hali hii❤️🙏🙏🙏

  • @elibarikioltaporu
    @elibarikioltaporu 9 месяцев назад +1

    My mentor stay blessed and see you at the top of Global public speakers ❤

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 9 месяцев назад +1

    Nikweli mwalimu kile kidongha ndicho huzaa kikubwa.asantesana mwalimu munghu akuzidishiye

  • @magrethpaul2207
    @magrethpaul2207 2 месяца назад +2

    Mimi kwenye nguo nashindwa kujidhibiti pia msaada kwenye Familia wazazi wanasumbua

  • @israelfumbo2093
    @israelfumbo2093 9 месяцев назад +4

    Asante kwa masomo mazuri nakusikiliza Toka makongolos chunya

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Wasalimie sana Makongolos Chunya

  • @Zefaniamwambagi
    @Zefaniamwambagi 10 дней назад

    Asante kwa kujitoa na kutuelimisha

  • @everose276
    @everose276 9 месяцев назад +2

    Joel,nakushukuru sana, najiona kama nina deni kwako. Elimu hii kuipata just kuweka bundle naona unastahili zaidi.❤

    • @ImanMwakyeja-cw3ty
      @ImanMwakyeja-cw3ty 9 месяцев назад

      Umesema ukweli mtupu.
      Anastahili kufanyiwa muamala mara chachechache

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Ameen, ahsante sana Rose 🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      @@ImanMwakyeja-cw3tyNashukuru🙏

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 2 месяца назад

    Endelea kutufungua coach Joel .... asante sana..kw...hili somo...🙏🙏

  • @FELISTERPETER-jf9jv
    @FELISTERPETER-jf9jv 3 месяца назад +1

    kuna mwaka nilikua nimeanguka sana kiuchumi ila toka nilivoanza kukufatilia kweli nakushukuru sana

  • @NEEMAPAUL-o7m
    @NEEMAPAUL-o7m 3 месяца назад +1

    Asante kaka kwa kuniamsha naona hili somo limenigusa mimi kabisa

  • @happyswai6688
    @happyswai6688 9 месяцев назад +1

    Ahsante sana

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 2 месяца назад

    Asante saaaaana

  • @joycelaurian2476
    @joycelaurian2476 2 месяца назад

    Duh! Mungu nisaidie nibadilike
    Asante sana kwa mafunzo mazuri

  • @AlvinJones-bb9dn
    @AlvinJones-bb9dn Месяц назад

    Mungu akubariki Sana Kaka Joel Nanauka

  • @gatemminza3165
    @gatemminza3165 Месяц назад

    Thank you my big brother.

  • @Dorcas-p4h
    @Dorcas-p4h 2 месяца назад

    Asantee kaka, najivunia sana kukusikiliza huwa najifunz vitu ving

  • @abelsimbule4033
    @abelsimbule4033 3 месяца назад

    Somo zuri ❤ limenifungua kichwa

  • @amosleonard7250
    @amosleonard7250 3 месяца назад +1

    Nikweli kabisaaa wewe ni mwalimu unanifundisha vitu vingi

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 3 месяца назад

    Hilisomo jipya kilasiku ,yani kakaangu nitaletaushuhuda kablamwaka kuisha Mungu akipenda @Joel

  • @GerrardKizwolo
    @GerrardKizwolo 3 месяца назад +1

    Mungu azidi kukutunza

  • @AgnessSosthenes
    @AgnessSosthenes Месяц назад

    Natamani ningepata makara nyingi zaid iri nipate maarifa sana

  • @NelsonMgode
    @NelsonMgode 3 месяца назад

    Asante mwalimu mafundisho yote nitafanyia kazi kuna mambo mengi niponyumasana

  • @AgnessSosthenes
    @AgnessSosthenes Месяц назад

    Nimejifunza kutumia kidogo nakutunza zaidi irikufika marengo

  • @ViviKitchen23
    @ViviKitchen23 9 месяцев назад +1

    Vivi ubuyu mtamu hapa
    Ahsante my mentor
    Naendelea kuimarika zaidi❤❤❤

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Tuendelee kujifunza 🙏

  • @MeshakiIsaya-g5x
    @MeshakiIsaya-g5x Месяц назад

    "Dont dispes humble begging"

  • @henrymoghu5087
    @henrymoghu5087 9 месяцев назад

    Asante Mungu kupe maish marefu...Mentor wangu

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 9 месяцев назад +1

    🙏🙏🙏 àsante sana coach unazidi kubadili maisha yetu

  • @MarianaLwiva
    @MarianaLwiva 9 месяцев назад +2

    Kufanikiwa kwangu lazima kila ninachojifunza nakifanyia kazi barikiwa sana kakangu sijawahi acha kukusikiliza na kufuatilia unachofundisha....

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Ameen, nashukuru kwa kuendelea kunifuatilia🙏🙏

  • @blackdanilo6943
    @blackdanilo6943 2 месяца назад

    Daaah asante kwa somo kiongozi maana nina biashara yangu ya duka huwa najiambia kuwa nitatoka kwl na mtaa nilioifingua tofauti na ule ambao nilikuwa nafanya kaz kama hii ila ilikuwa ya boss

  • @joely22
    @joely22 9 месяцев назад

    Asante sana maan nimejifunza kitu maan nilikuwa moja wapo Asante san 🙏✍️👏

  • @goldenwizzy123
    @goldenwizzy123 9 месяцев назад +1

    Kwann asa hv utumii mfumo wa picha unatumia sauti tu

  • @EvaristYona
    @EvaristYona 9 месяцев назад

    Kweli mkuu ujumbe umefika....mungu akujalie kwa maarifa hayo.🎉

  • @CeciliaMassawe
    @CeciliaMassawe Месяц назад

    Barikiwa mnooo

  • @alhajikangalawe6178
    @alhajikangalawe6178 2 месяца назад

    Thanks a lot

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 9 месяцев назад

    Wanaotaka kuonesha watu kuwa wamefanikiwa ni wengi kuliko wanaoishi maisha yao halisi😂😂😂,kweli nimeamini apendae mafundisho upenda maarifa.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Tuendelee kujifunza 🙏

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 7 месяцев назад

    Nimejifunza asante 🙏🙏

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 9 месяцев назад +1

    Kaka Mungu akubariki sana kiukweli unafungua akili zangu kilasiku, naomba Mungu anisaidie niishinde hii hali

  • @MCmakore
    @MCmakore 9 месяцев назад

    Hakika Joel unatufaa katika maarifa Mungu akubariki Sana see you at the top''

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Ameen, See You At The Top🙏

  • @AgustinoKinyaga
    @AgustinoKinyaga 9 месяцев назад

    Ahsante sana kaka @joel

  • @EsterMahenge-u2s
    @EsterMahenge-u2s 3 месяца назад

    Asante sana

  • @RebeccaHassan-d5k
    @RebeccaHassan-d5k 3 месяца назад

    Asante kwa ushauri

  • @GodsonDaniel-oo3sz
    @GodsonDaniel-oo3sz 6 месяцев назад

    Nimejifunza kitu mwalimu

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 9 месяцев назад

    Asante sana mwalimu nimeskia na nimejifunza

  • @divinemalachi
    @divinemalachi 7 месяцев назад

    Ubarikiwe sana broo

  • @AbdulMakame-w5v
    @AbdulMakame-w5v Месяц назад

    Kweli kaka

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 9 месяцев назад

    Thanks alot and be blessed

  • @CleraJuliusMunishi
    @CleraJuliusMunishi 9 месяцев назад

    Kaka Joel Nanauka❤❤❤

  • @FarajaMoshi-r2p
    @FarajaMoshi-r2p 2 месяца назад

    Asant kaka

  • @nehemiamminza4663
    @nehemiamminza4663 9 месяцев назад

    Asante sana kaka kwa somo lako zuri barikiwa sana

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 3 месяца назад

    Kaka unenifumbua macho nilitaka ninunue simu nyingine, sikwamba simu mbovu nilitaka nibadili aisee kaka, mimi nakuombea baraka kiukweli huu ujumbe hautoki kichwani,mwangu

  • @magrethpaul2207
    @magrethpaul2207 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤

  • @FarajaMoshi-r2p
    @FarajaMoshi-r2p 2 месяца назад

    Yan nimepat fuzo asant San kaka

  • @shijamak
    @shijamak 8 месяцев назад

    Well said brother 💪🙏

  • @paschalmbiya93
    @paschalmbiya93 9 месяцев назад

    At the top we well see!. Umenipa mdomo bro .
    Big brain nanauka

  • @AlfaMbisa
    @AlfaMbisa 5 месяцев назад

    Joel naomba uniambie Bei ya kitabu cha Money formula maana nakihitaji kweli

  • @MaryClement-r9k
    @MaryClement-r9k 9 месяцев назад +1

    Be blessed my greatest mentor

  • @ZindunaAthumani
    @ZindunaAthumani 2 месяца назад

    Daah! mimi jamani pombe inanimalizia pesa sijui nimerogwa

    • @aishadotto3640
      @aishadotto3640 Месяц назад

      Hujarogwa mpendwa sema hujaamua kuacha ukiamua kwa niya kila kitu kinawezekana

  • @dianachipojola2991
    @dianachipojola2991 9 месяцев назад

    Asante nimejifunza

  • @ChristinWanjiku-ec6px
    @ChristinWanjiku-ec6px 9 месяцев назад

    My best menter❤🙏

  • @paulmayombe4336
    @paulmayombe4336 9 месяцев назад

    Asante

  • @masudibaja
    @masudibaja 9 месяцев назад

    Ili darasa kubwa sana mwalimu,, ubarikiwe sana kaka Joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Ameen, nisaidie kushare na wengine🙏

    • @masudibaja
      @masudibaja 9 месяцев назад

      Sawa mwalimu

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 9 месяцев назад

    Asante sana kaka.

  • @nehemiaathumanathuman
    @nehemiaathumanathuman 9 месяцев назад

    ubaikiwe saaana👏👏

  • @EliasGwaya
    @EliasGwaya 2 месяца назад

    Hizo dalili zote ninazo Mungu nisaidie

  • @MalongoRichard-md5dv
    @MalongoRichard-md5dv 9 месяцев назад

    Ubarikiwe Sana

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 9 месяцев назад

    Asante sana kaka

  • @josephinejumba9923
    @josephinejumba9923 9 месяцев назад

    waw ❤

  • @moseskenedy7042
    @moseskenedy7042 9 месяцев назад

    Nikweli hata mimi nahitaji kufanya vitu vikubwa ila matumizi ni makubwa asannte sana mentor wangu brother joel I promiss this year nitafanya vitu vikubwa

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 9 месяцев назад

      Kweli ndugu yangu, hii hali iko kwangu kunamuda nanunua kitu hata hakikua kwenye ratiba

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Naamini utafanyia kazi🙏

  • @gilbertbaya1546
    @gilbertbaya1546 9 месяцев назад

    Thank you -from Kenya 🤞 crossed

  • @eliasmugume254
    @eliasmugume254 9 месяцев назад

    Asante Sana kwaushauri Mkubwa Mungu Akubariki Sana

  • @mangasinikusaya8157
    @mangasinikusaya8157 9 месяцев назад +1

    Morning speech ❤❤Ahsante sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Tuendelee kujifunza🙏

  • @johnjames-pw1dp
    @johnjames-pw1dp 9 месяцев назад

    Thanks sana Bro Barikiwa sana aise

  • @StephanoManyanda
    @StephanoManyanda 3 месяца назад

    brother Joel mm nateswa na mahusiano yani spendi kuchitiwa

  • @Saidmarez
    @Saidmarez 9 месяцев назад

    Thank you

  • @alhajikangalawe6178
    @alhajikangalawe6178 2 месяца назад +1

    Kwakweli leo ndo mmenifanya niujue ukweli kuhusu mh mbowe....BILA HIVYO NINGEKUWA KWENYE MKUMBO TU WA KUELEWA VISIVYO....CHUKUENI MAUA YENU AYO MEDIA

  • @Msuyah123
    @Msuyah123 9 месяцев назад

    Shukran kwa good presentation
    NAWEZAJE KUPATA VITABU VYAKO?

  • @SukaDmGuy
    @SukaDmGuy 9 месяцев назад

    Duh bro umenena

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 9 месяцев назад +1

    🏆🏆🏆🏆

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 9 месяцев назад +1

    Huyu ni Mimi kapisa ninaacha sasa😢😢😢

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 месяцев назад

      Nasubiria ushuhuda utakapoacha🙏

  • @VictorOne-hc9fi
    @VictorOne-hc9fi 9 месяцев назад

    Mm nataka no nipate vitab vyako

  • @revdrseni
    @revdrseni 9 месяцев назад +1

    So wonderful subject