Nguvu Ya Tabia Katika Mafanikio Yetu Ya Kila Siku.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2020
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Комментарии • 120

  • @wiliumlukas4227
    @wiliumlukas4227 Год назад +7

    Kupitia wewe kuna mamb yamekua kwel kwenye maisha yangu
    Big up my bro🤗.

  • @abelmwakalinga2305
    @abelmwakalinga2305 3 года назад +4

    Hawajakosea kukuweka katika list ya vijana Wenye ushawishi zaidi, "naanza kufanya kanuni hii kama ulivyonifundisha" Asante kwa somo

  • @salehabdallah2737
    @salehabdallah2737 Год назад +1

    Mungu ni mwema jaman huyu joel ni mtu muhim sana dunian .tumshukuru mungu kutuleteya mtu km huyu

  • @tukaesanatu2754
    @tukaesanatu2754 Год назад +1

    Mungu aendelee kukutunza baba

  • @asifiwesamson2977
    @asifiwesamson2977 8 месяцев назад +1

    Joel kila siku haiwez pita bila kusikiliza mafundisho yako kiukweli nimebarikiwa sana nataka nifikie malengo yangu

  • @user-gv4pc9if2u
    @user-gv4pc9if2u Месяц назад

    Wana michezo tuna furaha sana. Ila tumtangulize MUNGU BABA mwenye Chemical zake. By Heri Halisi

  • @johnkwokwo9901
    @johnkwokwo9901 2 года назад +1

    Niko tayari kabisa wanijenga sana ubarikiwe

  • @mazikushija2459
    @mazikushija2459 3 года назад +3

    Nilikua nasikiliza sanaa kwenye radios habari za joel nanauka but nmejoin RUclips for sure nmejfunza meng na pia bado naendelea kujifunza I like the way you deliver thE contents!

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 12 дней назад

    Ahsante sana kaka Joel Mungu akubariki 🙏🙏🙏

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 11 месяцев назад

    Mungu aendelee kukuongoza, kukulinda na kukubariki sana.

  • @fanisaproducts9551
    @fanisaproducts9551 3 года назад +3

    Habari za saa hizi Kaka Joel .....hongera sana kuwa miongoni mwa vijana wenye ushawishi mkubwa Africa tuendelee tutafika mpaka dunia nzima

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 года назад +2

      Nashukuru sana,naamini huu Ni mwanzo

    • @johnkwokwo9901
      @johnkwokwo9901 2 года назад

      @@joelnanauka kabisa mungu akulinde naamini kupitiya ushauri wako tutafikiya malengo Yetu, naishi Congo Drc .

    • @user-ro4dc5ob1t
      @user-ro4dc5ob1t 10 месяцев назад

      Hongera kaka joer kwa kua kijana mwenye ushawishi, kwa upande wang naaamini utafika mbali Zaidi

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 3 года назад +1

    Kiujumla nimemenda mafundisho yote.na hiyo kemikali ya kuongeza furaha nimeipenda pia

  • @jacquelinebaruti7208
    @jacquelinebaruti7208 2 года назад +1

    Nimependa sana hiyo triangle ya 20/20/20. Asnt na hongera sana coach Joel🙌🏾

  • @stephensanga8886
    @stephensanga8886 2 года назад

    Tangu nianze kukusikiliza nimebadilika asanteee saaanaa

  • @rollahngimbwa6978
    @rollahngimbwa6978 9 месяцев назад

    Shukrani Sana brother Joel🙏🙏
    Najifunza mengi sana

  • @MbarakaRamadhan-ix7rq
    @MbarakaRamadhan-ix7rq Год назад

    Mungu akubaliki san

  • @adellahjonas7008
    @adellahjonas7008 3 года назад +1

    yani kaka toka nimaanza kufatilia vdeo zako nimekua ni mtu wa furaha xana mungu akujaalie maisha marefu

  • @assamwakasanga6029
    @assamwakasanga6029 3 года назад +2

    Asante sana kaka joel nanauka kwa kuendelea kutuelimisha kila siku itwayo leo mwenyezi mungu atubariki sana

  • @rukiakishar1155
    @rukiakishar1155 11 месяцев назад

    Niko tayari

  • @arnodulio2132
    @arnodulio2132 3 года назад

    Barikiwa mtu wa Mungu

  • @funniestvdo9804
    @funniestvdo9804 2 года назад

    Asant Kaka Mimi nipo tayal I will never stop

  • @noarkalelo6963
    @noarkalelo6963 3 года назад

    Tuko pa1 kaka nashukuru xana kwa kuzidi nifungua kichwa changu

  • @stephanomyeule8366
    @stephanomyeule8366 3 года назад

    Nimekubali bro asante kwa elimu yako UBARIKIWE

  • @veronicacharles9993
    @veronicacharles9993 3 года назад +1

    Kijana mwenye ushawishi 🙏🙏🙏🙏

  • @revbarakaonyango8821
    @revbarakaonyango8821 2 года назад

    Mungu akubariki Sana ,maana nimejifunza vitu vingi kutoka kwako, somo lako la kitimiza malengo, imenisaidia

  • @rahelchaula7990
    @rahelchaula7990 2 года назад

    yes nipo tayari

  • @dadaumulisa7088
    @dadaumulisa7088 10 месяцев назад

    Asante Sanaa ubarikiwe

  • @barikikimaro9165
    @barikikimaro9165 3 года назад

    MUNGU azidi kukubariki kwa elimu nzuri unayotupatia kwakweli kuna mambo mengi nimeyafahamu kupitia mafundisho yako na nimeweza kutimiza baadhi ya malengo yangu kaka joel ubarikiwe sana sana

  • @nizigamabosco2095
    @nizigamabosco2095 3 года назад

    Asant sana ubarikiwe

  • @zabronsuleiman664
    @zabronsuleiman664 3 года назад

    kaka mungu akubariki sana kaka ,asant kwa maarifa

  • @user-en7cr7wc1t
    @user-en7cr7wc1t 7 месяцев назад

    Asante kaka nimejiza kitu

  • @marcelinaghuliku6408
    @marcelinaghuliku6408 3 года назад

    Asantee kwa kutufungua akili brother Joel

  • @meleajohnkisaka7969
    @meleajohnkisaka7969 3 года назад

    Big up kaka Mungu akubariki sana

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 3 года назад

    Going to the top

  • @iizalaw6674
    @iizalaw6674 Год назад

    Nashukuru sana coacher nitafanya ivo natumaini nitafanikiwa.

  • @harunmwazembe9980
    @harunmwazembe9980 3 года назад

    Asanteh sana kwa somo zuri kaka Joel ,,, me hua nasoma tu kitabu asubuhi bila mazoezi, asanteh kunifungua
    Niko tayari kutembea na wewe katika kutumia 20/20/20 FORMULA

  • @swalhaomar162
    @swalhaomar162 3 года назад +1

    Thank you Mr. Joel

  • @hashimually5303
    @hashimually5303 Год назад

    Huko sahihi kabisa nakubaliana na wewe

  • @herychavdy1372
    @herychavdy1372 3 года назад

    Safi sana kaka naanzakesho

  • @boniventuresonda
    @boniventuresonda 3 года назад

    Hii nzuri sana Kaka,+ile ya mambo ambayo unatakiwa kufanya kabla ya saa mbili asbuhi.Thanks so much Brother tuko pamoja kuanzia leo

  • @lucykayoro2055
    @lucykayoro2055 3 года назад

    Asante Nanauka

  • @swahifosman5672
    @swahifosman5672 3 года назад +1

    Mm nko tiyari brother

  • @josephmaingu5399
    @josephmaingu5399 3 года назад

    Be Blessed Bro

  • @edwardvelidiana1864
    @edwardvelidiana1864 3 года назад

    Niko tayari kaka

  • @habibismael4937
    @habibismael4937 3 года назад

    Thanks Joel

  • @leoncealex7343
    @leoncealex7343 Год назад

    Asante nitazingatia angarau siku 21 kuanzia leo

  • @jaypeace5090
    @jaypeace5090 3 года назад

    Asante sana

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 года назад

    Gos bless u

  • @franciscahjepchumba308
    @franciscahjepchumba308 3 года назад

    Santi sana nitaanza leo

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 года назад

    Shukran sana

  • @dodokindamba5568
    @dodokindamba5568 3 года назад

    Yaani naamini upo kwa ajili yangu japo ninabanwa na mambo mengi ya kikazi sometimes nashindwa kuwasiliana na wewe Mkuu

  • @herielstephenmsanga
    @herielstephenmsanga 3 года назад +1

    Nakukubali sana Mentor
    See You at the Top👍

  • @tumainifisoo2378
    @tumainifisoo2378 3 года назад

    Thanks More brother very nice see you at the top

  • @eliudikijuzi4909
    @eliudikijuzi4909 2 года назад

    Nko tiyar Mr

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 Год назад

    Natamani kuwa bora kila siku

  • @AgapeOisso-hh2vc
    @AgapeOisso-hh2vc Год назад

    Mungu akubariki kaka naamini nimejifunza kitu ila nilikuwa nauliza je na kwetu sisi wanafunzi tufanyeje kwasababu hilo lisaa limoja tungetumia kujisomea kama morning prepo

  • @dudapaschal6547
    @dudapaschal6547 3 года назад

    Asante brother

  • @khalidnkupa3655
    @khalidnkupa3655 3 года назад +1

    Nipo tayari kuanza💪
    See u at the top

    • @kamalali9735
      @kamalali9735 3 года назад +1

      Bro mambo vipi nimeona tu hapa nawezaje kupata contract ya huyo Joel nanauka

  • @ponctualitesuleim9417
    @ponctualitesuleim9417 3 года назад

    Tuko wote asanteni

  • @davidmasele2292
    @davidmasele2292 3 года назад

    congrats bro keep it up

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 3 года назад +1

    Video imetulia alafu haicoshi hongela kwa hilo kaka mimi binafsi Nakupenda 🇧🇮

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 года назад

      Ahsante Sana.. tuendelee kujifunzs

  • @aishaahussein3915
    @aishaahussein3915 3 года назад

    Shukran sana kwa somo na niko tayari kuanza formula hii

  • @eliasmugume254
    @eliasmugume254 3 года назад

    Kiukweli Mimi Na Shukuru Sana

  • @isackjonathan8937
    @isackjonathan8937 3 года назад

    God bless u my mentor

  • @honestkiwia2264
    @honestkiwia2264 3 года назад

    Bro Joel ikitu ya mambo ahsi ( __ ) kweli umegusa pazuri

  • @dedisongeneralsupplies2109
    @dedisongeneralsupplies2109 3 года назад

    Niko tayari mkuu kufanya

  • @medsonstarlon1781
    @medsonstarlon1781 3 года назад

    Shukrani sana Joel Nanauka,,,, hakika sijutii kukufaham

  • @highzacknnko4002
    @highzacknnko4002 3 года назад

    Shukurani kaka Joel!!!!! Kwa maarifa

  • @djcoco_designer5739
    @djcoco_designer5739 3 года назад

    Safi Sana

  • @sistiassenga5167
    @sistiassenga5167 Год назад

    Asante

  • @alexnyamwoma4442
    @alexnyamwoma4442 3 года назад

    Joel brother nakusuru funzo unanipa

  • @neemaathanasio3875
    @neemaathanasio3875 2 года назад

    Hapa umenisaidia kwakweli nipo tayari kufanya

  • @saidopoa4062
    @saidopoa4062 3 года назад

    Nakubari

  • @eliudikijuzi4909
    @eliudikijuzi4909 2 года назад

    Thanks

  • @kibishimabula5874
    @kibishimabula5874 3 года назад

    Niko pamoja nawe naanza leoleo

  • @brownkhamis8248
    @brownkhamis8248 3 года назад

    Nakukubali Sana brother kwa kutupa elimu hasa ssi vijana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 года назад

      Karibu Sana tuendelee kujifunza

    • @judithgeneralservice7791
      @judithgeneralservice7791 3 года назад

      Samahan brother naitwa witness nafatilia sana masomo yako na itaji vitabu nya masomoyako asa mafunzo ya kufanikiwa kibiashala no 0765352872

  • @peterpaschaljuma2382
    @peterpaschaljuma2382 3 года назад

    🙏

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 3 года назад

    Kabisa lazima nifanye ivo asante sana kaka joel

  • @pablomshati6335
    @pablomshati6335 3 года назад

    Nipo teyar

  • @lydiaseventy5509
    @lydiaseventy5509 2 года назад

    Asante sana Natamani nijue unafanya semina lini? Ubarikiwe kutuelimisha

  • @jaxnruny4873
    @jaxnruny4873 3 года назад

    Bleeding

  • @rahimusaid7976
    @rahimusaid7976 Год назад

    Mkuu sauti yako ikochini

  • @lucykayoro2055
    @lucykayoro2055 3 года назад

    Nina swali

  • @jkyamba3200
    @jkyamba3200 3 года назад

    Nipo tayari ndo na naanza kuanzia kesho

  • @lucyhenry1062
    @lucyhenry1062 3 года назад

    Suala la mtandao linanikosesa vng sana mala nyng vdeo hazifunguki

  • @naomichatila8865
    @naomichatila8865 Год назад

    natamani kuzungumza nawe

  • @gabrielmhina8216
    @gabrielmhina8216 3 года назад

    Uko vizuri sana broo , ningependa nipate mobile namba yako lakini nashindwa kuisoma vizuri kwenye clip yako.

  • @goodluckmringo2450
    @goodluckmringo2450 3 года назад

    Nipo na changamoto naanza wiki then mambo yanaingiliana

  • @davidmbwilo3777
    @davidmbwilo3777 Год назад

    Kaka nipo tayar hata sasa mbona Habari njema hiz

  • @apolinarydaud7829
    @apolinarydaud7829 3 года назад

    Ur so blessed brother thanks sana kwa wazazi waliokuleta na kukusomesha kutusaidia sisi tulioupande mwingine
    Lakin kujua tofauti kati ya hekima na akili na pia naomba namba yako

  • @stephanoedimund7841
    @stephanoedimund7841 3 года назад +1

    For me hyo formula ikopowa Sana maana Kila 20@3 ina effect kubwa uki apply kawaida tuu in real sense inajenga#Capacity building .@Stijoh_Coconut Oil.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 года назад +1

      Ni kweli kabisaa

    • @stephanoedimund7841
      @stephanoedimund7841 3 года назад

      @@joelnanauka naomba Email yako Kaka unisaidie jambo mentality sipo sawa naomba msada was jambo fulani

    • @stephanoedimund7841
      @stephanoedimund7841 3 года назад

      @@joelnanauka stephanoedimund6542@gmail.com

  • @edwardsanya5477
    @edwardsanya5477 Год назад

    Kaka kwani Mda was kusoma vizuri ni Mda gani

  • @burundisgottalent2184
    @burundisgottalent2184 3 года назад +1

    Sasa iyi ni 1h, kama wale watumishi wanatumikia compony zina lazimisha kufika kazini mapema kama 3 am, wafanye aje? wa amuke 2am wafanye mazowezi na izo harakati za dakika 40 alafu waende kazini?

    • @mubussnestv5057
      @mubussnestv5057 3 года назад

      Kwan huk kazin unalala c utarud

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 года назад

      Angalia namna bora itakayokufaa kulingana na ratiba yako.

  • @sadathally3533
    @sadathally3533 3 года назад

    Nlichogundua kunamambo huwayanatokea tuanayaona autnayafanyakua makubwa kumbesio nkwasababu hatujaininga akili au kuiwekasawa panapo kucha

  • @thesquashmigosroofingdesig8960
    @thesquashmigosroofingdesig8960 3 года назад

    Wakati unaongea ukiongea kitu Cha kingereza kigumu kiwe kinatokea kwenye skrini ili kisomwe asantee

  • @jeremiahkibona397
    @jeremiahkibona397 3 года назад

    P1j San kaka nakukubali San je nahitaji kitabu Niko mbali +255752291385

  • @MbarakaRamadhan-ix7rq
    @MbarakaRamadhan-ix7rq Год назад

    Mungu akubaliki san

  • @kikomramba1872
    @kikomramba1872 3 года назад

    Asante