Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Huyu jamaaa mungu amlinde amebadi jina langu toka kuuza korosho barabarani mpaka sasa China kamanyumbani huyu nimkweliii......
Blessings
Yani Kama mm ananisaidia kijiona togauti kila siku. Nilikuwa nafanya kazi zangu mradi nimefanya. Nimevadilika Kabisa
Barikiwa sanaa
Mtangazaji ametisha sana best questions and best answers
Mwandishi anauliza maswali ya Point sana
Mungu azidi kukutunza mwalimu wangu make bado nakuhitaji ili kufikia mafanikio ninayoyahitaji
Huwa si comment ilaw huyu presenter yuko smart in asking questions I salute him
Namfatilia sana huyu big,, nimeacha pombe kwa mda mrefu sasa na hiya pesa ya pombe nimefungua Zd pesa kububu kwa ajiri ya kukuza mtaji wangu hapo baadae kidogo
Mtangazani nakupa credit. Kubwaa. Unahoji maswali ya msingi. Sanaaa. Uko vizuri sanaaaa
Good
Hela tunapata ila kuweka bajeti nd hamna somo Zur San umeeleweka mwalim
Nikajua ni mimi peke yangu nimeona uwezo wa mwandishi.Big up Bro..Asante Joel Pia unatusaidia sana Vijana tunaokufuatilia.
Nyote mpo makini , interviewer na interviewee. Good
Kaka mungu akubariki San maan me nilikuwa sijui sahv Kuna kitu umenifundisha nimeelew San as daaa Asante bro
Kaká mungu azidi kukupa umri mlefu usaidie vizazi na vizazi umenifundisha nidhamu yapesa mpakaleo nimepata pesa yakiwanja haikuwa lahisi kwangu nashikuru mungusana .
hongera joel kwa maarifa yako❤😂😂😂
Mungu akuzidishie maarifa mengi
Hapo sawa mwalimu
Najifunza mengi kwakusoma nakukusikiliza nannaelekea kwenye vitendo MUNGU AKUBARIKI KAKA
Use na maisha marefu Kwa elimu
Big brother unani inspire saana keep up sanaaa
God bless you my teacher 🙏
Mwandishi wa Habari, Journalism umeisoma vizuri !! Na hii secta inakufahaa
Kwel kaka umeongea vitu vizuri sana
💯💯
Hongera mwalimu
Huyu jmaa ana Mungu
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kaka joel vitabu vyako kwa shinyanga vinapatikana wapi
Naitwa prasdius na shida ya kitabu
Sorry kaka nahitaji vitabu vyako
NI SAHIHI KABISA

hongera joel kwa maarifa yako
❤😂😂😂