Ahsantee nimeamini kujifunza rugha tofauti ni mojawapo ya maendeleo japo mimi sijui lkn naona kwa wenzangu inabidi nijifunze kupitia masomo yako shukran sana allah akulipe kheri
Broo,, ume grow up sana mungu akukumbuke kwenye nafasi yako unafundisha na kutupa madini mengi sana kazi iliyobaki ni kujitambua wewe ni nani hapa duniani, hazina yako ilipo ndipo moyo wako utakapokuwapo shukran sana
Assalaam alaykum. Shkrn sana kwa somo zuri. Kweli kabisa kosoma vitabu, mazoezi na kujua lugha nyengine ni vitu muhimu sana kwa maendeleo ya mwanadamu. Wengi wanadhani mazoezi ni kwa ajili ya kupunguza mwili, lkn kiafya hata mtu mwembamba anahitaji kufanya mazoezi. Doctor wa macho alinipa ushauri wa kutembea kwa ajili ya tiba ya macho. Allah akubariki uzidi kutuelimisha.
Waalaikum salaam, huo ni ukweli kabisa, mazoezi ni kwa kila mtu, kwa ajili ya afya njema. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Kila kitu kinawezekana. Anza polepole anza kidogo kidogo...na utafika. Pia Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
@@simonmwita7235 Hii sio tabia nzuri asee ya kuita watu majina mabaya au sifa mbaya au kutukana wengine na hawajakuchokoza. Jifunze kuishi vizuri na watu na kuwafanya wajisikie vizuri hususan wale ambao hawajakukosea lolote. Na ukiona watu wanamakosa waelekeze kwa maneno mazuri, HAKUNA MKAMILIFU KATI YETU.
Ahsantee nimeamini kujifunza rugha tofauti ni mojawapo ya maendeleo japo mimi sijui lkn naona kwa wenzangu inabidi nijifunze kupitia masomo yako shukran sana allah akulipe kheri
Amiin...asante kwa dua njema Rehema. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
@@successpathnetwork shukran
Broo,, ume grow up sana mungu akukumbuke kwenye nafasi yako unafundisha na kutupa madini mengi sana kazi iliyobaki ni kujitambua wewe ni nani hapa duniani, hazina yako ilipo ndipo moyo wako utakapokuwapo shukran sana
Mjanja ni mjinga na mjinga na mjanja..hii maisha ukijifanya fala utaishi vizuri sana utajua mengi utasakia mengi utaona zaidi
I like that... na ukweli. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Thanks so much for the knowledge which you give to us Mr Ez
japanese concept Ikigai: reason for being/purpose of life am glad nilishawahi ipitia hii and so inspirational kuona umeizungumzia 🤝
Naam kitabu kizuri sana
Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
@@successpathnetwork tayari nasubiri nyingine 😁
You're a motivational speaker thank you for sharing...🙏
Thank you very much Rahma. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Jazaakallaahu khayraa, napata faida sana kupitia post zako Brother Ezden.
Assalaam alaykum. Shkrn sana kwa somo zuri. Kweli kabisa kosoma vitabu, mazoezi na kujua lugha nyengine ni vitu muhimu sana kwa maendeleo ya mwanadamu. Wengi wanadhani mazoezi ni kwa ajili ya kupunguza mwili, lkn kiafya hata mtu mwembamba anahitaji kufanya mazoezi. Doctor wa macho alinipa ushauri wa kutembea kwa ajili ya tiba ya macho. Allah akubariki uzidi kutuelimisha.
Waalaikum salaam, huo ni ukweli kabisa, mazoezi ni kwa kila mtu, kwa ajili ya afya njema. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
nice lesson ezden
Napenda unachokifanya brother najuwa mambo Mengi kupitia wewe thanks
nashukuru sana Omari kwa mrejesho wako
Ikiwa kama mtu anatumia stimu pia anaweza 💪💪 kufanya ivo.
Asante sn kaka azden jumanne kwakunifunza kitu kipya.
karibu sana Thania
Vizuri sana kaks
Sawa. IKIGAI nakipataje? Safi safiii!
Shukran brother kwa somo Allah azidi kuweka🙏🙏
Allahumma amiin ukhty. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Brza kwenye vitabu hta mi mwenyewe nimejionea good sna
Kaka Allah akuzidishie Kila la kheri kwa haya unayotufunza.
Amiin
Good Brother Ezden. I appreciate
Pamoja sana. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
shafii tena
Jamaa yuko vizuri mno
Daaa unajua broe mungu akubaliki sana na kaz yako
Very helpful brother thanks for the information 👍
Karibu sana kaka... Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Umenikumbusha msemo wa Mo dewji "waafrika wengi hawana utamaduni wa kusoma..."
Sahihi kabisa...
Asante sana
Karibu sana... Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Ezden the rocker long time bro mpaka unasgda yo I have to choose your way
I do mazoezi 5 days a week. Thank you, God.
I will follow the rest ili niwe extremely smart😊🤣
That's amazing... endeleza hiyio ratiba asee. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Brother me huwa nakukubari make some times nafatilia post zako zote japo huwa nasahau kucoment !! Good 👍
Hahahahaa shukrani leo umekumbuka. Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Vizuri bro
shukrani sana... Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Ahsante sana kiongozi
Tunaaomba. Majina ya vitabu ambavvo tunawwezaa kuvipata nchi yeyote
Kama ni mpenzi wa softcopies inaweza kuwa rahisi zaidi kupata vitabu vingi zaidi
Yule ezden nilie kuwa na mjuwa wa mwaka 2020 ndio huyu sasa.sio yule wa 2022 nafikiri uliliona hilo tatizo
Waiting
THE WAIT IS OVER MOSSES... Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
Vizul sanaa 📚
Yap... Check sehemu ya pili imetoka tayari, usiache kuandika maoni yako baada ya kuitazama. Be blessed
👏👏👏nice
Appreciate
Naomba ushauri Mimi mtaji wangu ni mdogo lakini sioni faida kaka
Kweli
very brooo
Bro samhn kidg pia naomba uwe unatuzungumzia hata sisi ambao ni wanafunzi bado tunakuwa so tunakutuna na vit vingi
MCHAWI HELLA TUH AKILI ZA NINI SASA!!😂😂
broo me nataka group lako la whatsapp nizid kujifnza napt kukutana na watu wa muhimu katika maish nina lack of friends
Broh napataje vitabu vya softcopy
Tuma neno softcopy kwenye WhatsApp 0759191076
Hivi vitabu vinapatikana wapi hapa +254
Njoo What'sApp
@@successpathnetwork Number ya what's app
Mm yote nafanya tatizo mazoezi
Ndo maana auko smart