AKILI ITAKAYOKUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO MAKUBWA | PART 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 36

  • @vincentmhoro1952
    @vincentmhoro1952 Год назад +4

    Jumanne,
    Hapa umenikumbusha mambo mawili:
    1. Watu huishi Kwa mazoea hawayaishi maisha
    2. Everybody is better than he thinks
    3. Hatma ya maisha yako ipo mikononi mwako

  • @Mudayoibrahim
    @Mudayoibrahim Год назад +1

    Brothr umeongelewa vitu muhimu sana na mim leo nimekuwa ni kitu ambacho naomba tukijalizie ili mtu awe smart zaidi. " Impart knowledge to others" ni kitu Muhimu sana kinatupa usmart na kutujengea heshima pia.

  • @mohamedmhando2511
    @mohamedmhando2511 Год назад +3

    Mungu akuongezee maarifa zaidi umebadili sana mfumo wa maisha yangu bro

  • @kalungu_psychomotive1
    @kalungu_psychomotive1 Год назад +2

    Asante sana Mwalimu naendelea Kujifunza

  • @nuriathnurdin1115
    @nuriathnurdin1115 Год назад +1

    Umenitoa mbali kaka Ezden Allah akuongezee maarifa,clip zako zinanifanya niwe mwenye kupiga zaidi na zaidi

  • @zainabuzainabu4160
    @zainabuzainabu4160 Год назад +3

    Asalaam Aleykhum thanks brother Allah blees you

  • @abshirohassen5
    @abshirohassen5 Год назад +5

    To eat fruit
    To walk alone for a few minutes
    To Meditate
    All this inaweza ongeza more akili

  • @kelyjames5452
    @kelyjames5452 Год назад +1

    Kaka nimejifunza kitu kizuri Sanaa ,kupunza mda kwenye screen time ,hiii inafanya vijanaa weng tunakuwa na ulevi wa mitandao ,matokeo yake tunaangalia Vitu visivyo na Maana ,Ahsante sana kaka Ezden kwa Somo zuri !!!

  • @innocentndoro1384
    @innocentndoro1384 Год назад +1

    Each one, teach one every day ❤️❤️🥂

  • @kasimgwebe6460
    @kasimgwebe6460 Год назад +8

    ngoja nijaribu hii..... unaweza kuongeza hii ingawa inasahaulika sana
    kwa uchache lakini naamini nitaeleweka.
    Rudi kwa muumba wako (kwa kufanya ibada) ukiwa na imani ndani ya nafsi yako itaweza kukuondolea kupoteza muda wa kufanya mambo mabaya na badala yake itakuwezesha kufocus na vitu vya msingi na kuacha yasiyofaa.
    Imani (kiroho) ya MUNGU ya kweli (spirituality strong) inaconnection kubwa na kuongeza uwezo wa akili ya mtu..kwa mfano hii unaweza kuprove kwa watu wenye imani thabiti mfano shekhe au wachungaji waangalie wanavyochambua mambo mbalimbali hiyo yote ni kwasababu MUNGU anaishi ndani yao na yeye pekee ndie aliyewawezesha kuwa na uwezo huo. i hope nimeeleweka kwa uchache.
    🤝🙏

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Год назад +1

      Nakubaliana na wewe kitendo tu cha kutambua uwepo wa Mwenyezi Mungu na kufanyia kazi aliyoagiza inaonesha una akili yenye kukusaidia.

  • @EPALATA
    @EPALATA Год назад

    Vijana wa sasa tunapoteza mda mwingi kwenye simu, Tv, kuzungumzia maisha ya watu wengine na vingine vinavyo fanana na hivyo.
    Kwa uelewa wangu,kuna muda ambao mtu anatakiwa kuji specify kwenye jambo ou mambo kaza wa kaza amboyo ni msaada wa maisha yake kwa ujumla.
    Pale mzunguko unapokua mbuvu basi na mtu anakuwa hivyo.
    What you do now determines your future.
    Mambo yaletayo mafanikio yaomba muda kuyafanya.
    NB: KWA KILA ANAYETAKA KUA NA AKILI ZAIDI, BASI AJIFUNZE KUTENGENEZA BOUNDS AMONG THINGS HE HAS DONE AND THINGS HE IS DOING FOR A BETTER FUTURE.
    FROM BUKAVU CONGO DRC.

  • @conradmwingira684
    @conradmwingira684 Год назад

    Thank you for translating from English to Swahili

  • @bennemikono1497
    @bennemikono1497 Год назад

    Mungu akusimamie bro unatupa Madini

  • @allydonardy7745
    @allydonardy7745 Год назад

    Asante sana 🙏🏽 bro

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 Год назад +1

    Sante ssana kaka ubarikiwe Sana ukweli mm napenda kufuatilia ur chanel Sana juu mafunzomazuri

  • @DavidMusili-w6g
    @DavidMusili-w6g Год назад

    Sawa

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm Год назад

    Safii kaka

  • @masanjajames379
    @masanjajames379 Год назад +1

    Brother napenda sn kazizako zinanijegasn

  • @washhjojo4840
    @washhjojo4840 Год назад

    You look good

  • @reginaldstephen7712
    @reginaldstephen7712 Год назад

    Kuwa awere kwenye kila jambo na kila kitu tunachosikiliza,kuangalia na kusoma faida zake nn kwenye our daily life.

  • @OfficialDjgumbo
    @OfficialDjgumbo Год назад +2

    Hii Hali ya kuwa na bando na kufanya mambo sio muhimu mpaka bando linapo Isha ndo unakumbuka vitu muhimu Ni tatizo la watu wengi Sana.

    • @rahimyahaya5776
      @rahimyahaya5776 Год назад

      Kumupunguza muda wa kwenye. mitandao na kutambua fursa za mpya

  • @irenemichael
    @irenemichael 11 месяцев назад +1

    😢nilikua wap cjakujua siku nyingi

  • @anathshabani2952
    @anathshabani2952 Год назад

    Kujifunza kitu kipya inawezekana, lakini bila kuweka kwenye vitendo haina haina maana, tusaidie kuonesha jinsi yakuamisha nadharia kuwa matendo; thanks.

  • @JosephMazuguni-rk4nb
    @JosephMazuguni-rk4nb Год назад +1

    Kaka apo ktu kingne me naonakuzingatia muda .(time managment)

  • @petrombughi1658
    @petrombughi1658 Год назад +1

    Kwa nini hizo akaunti ulizosema haujaziweka?

  • @martinmhelela1393
    @martinmhelela1393 Год назад

    Asante kaka mkubwa,
    But Leo hujazamia Kama unavyo dadavua madude,
    Naomba next time weka mifano mingi wadau tunatofautiana kuelewa,na pia darasa letu halina mitihani ya kujua nani kaelewa saomo,
    Naomba kuwasilisha

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Год назад

      Nimekuelewa sana brother Martin. Na ninashukuru sana.... Kuna watu wengi huwa hawapendi wameshakosoa sana kwa kusema napiga sana porojo...🤔! Lakini mimi najua kuwa uelewa wetu unapishana sana... Usijali nitalifanyia kazi

  • @arafaselemani5033
    @arafaselemani5033 Год назад

    Nimejifunza kujipendelea mwenyewe kwa kufanya vitu sahihi, kuelewa nn Chenye Faida na mm

  • @Happnessjaphet
    @Happnessjaphet Год назад

    Nimekifuza kuhusu ruga

  • @Happnessjaphet
    @Happnessjaphet Год назад

    Nini maana ya madifo?