1. Jilipe mwenyewe kwanza 2. Matumizi yako yasiongezeke kipato chako kinapoongozeka ili ubakiwe na kiasi cha fedha kwa ajili ya uwekezaji 3. Wekeza pesa zako kwenye aina ya uwekezaji unaoufahamu vizuri
najuwa utakuwa unapokea asante nyingiii xana pengine hadi zamikono kabisaa ila naomba upokee na asante yangu hatakama haina ki2 7bu wewe ni2m watofauti xana na unanifundixha vi2 viiingiii ambavyo nilikuwa navifanya bila kuvifikiliya kuwa nivinaumuhimuganu kwangu na kwenye maixha yangu brooo xnte 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Joel Mungu kakuleta tz kwa kusudi maalumu so kwa kutufungua ubongo Naamini mwaka Huu nimefanya vizur kupita kwa maoni yako Mungu akupe miaka zaid utufikishe mabli
Thanks bro,kwenye hizi kanuni za kifedha nilikua nikipata nilikua nala zote sababu nasema kipato chenyewe nikidogo aki alafu nabaki nikiwa sina kitu kila wakati.
@@joelnanauka kaka joel Mimi nakosa imani ya moyo roho yangu yatamani kujinyonga kabisaa pengine naweza pata no zako ukanishauri nakata tamaa ya kuishi
Kosa kubwa nililo kifanya nimechukua frem ya biashara baada ya kuona chumba nacho fanya kaz ni kidogo lakin nimewekeza hela nyingi kwenye hiyo frem kias kwamba nawaza cjui ntaanzaje kufanya Kaz na hicho chumba na huku nimeingia maden ya kutosha daaa
1. Jilipe mwenyewe kwanza
2. Matumizi yako yasiongezeke kipato chako kinapoongozeka ili ubakiwe na kiasi cha fedha kwa ajili ya uwekezaji
3. Wekeza pesa zako kwenye aina ya uwekezaji unaoufahamu vizuri
najuwa utakuwa unapokea asante nyingiii xana pengine hadi zamikono kabisaa ila naomba upokee na asante yangu hatakama haina ki2 7bu wewe ni2m watofauti xana na unanifundixha vi2 viiingiii ambavyo nilikuwa navifanya bila kuvifikiliya kuwa nivinaumuhimuganu kwangu na kwenye maixha yangu brooo xnte 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Noted brother Joel, Mungu azidi kukupa uhai kwa maono ya jao makubwa zaidi katika kufundisha na kutoa ushauri.
Nimetulia hap napata darasa zuri la maisha 🔥🔥🔥
Huyu br, Mungu kamleta kwa kusudi maalumu Tanzania , proud of you br
Ameen Patience,🙏
@@joelnanauka somo zuri broo
Uko sahihi sana
@@joelnanauka naitaji jifunza kuituza pesa
Joel Mungu kakuleta tz kwa kusudi maalumu so kwa kutufungua ubongo Naamini mwaka Huu nimefanya vizur kupita kwa maoni yako Mungu akupe miaka zaid utufikishe mabli
Kaka Joel Asante Sana kwa masomo yako naomba uchambue biashara za kuchangia
Naam my Burothar Umenifundisha mengi sana Nakushukuru sana Na Mungu Akubaliki Uzidi Kusitawi katika Kipaji chako
Pamoja sana
SIJAMALIZA KUSIKILIZA ILA NIMEJIFUNZA KWA 100% naendelea kukusikiliza na kukufatilia ....BE BLESSED
Ameen nashukuru sana
Umenisaidia sana kwenye matumizi ya pesa Asante sana
Umenena kweli kaka tuko pamoja naamini nitabadilisha matumizi yangu ya kifedha #SeeYouAtTheTop
Ohoo ndio maan.🙏🙏🙏 Asante Kwa somo
At least nimejinza kitu leo. God bless you
Nashukulu Sana kaka angu kweli hujawahi kuongea ki2 kinyume ubarikiwe
Nice teacher nakufatilia Sana Mr Joel Nanauka m/mungu akubaliki kila siku
Ubarikiw sana kaka Joel nimejifunza San somo hili kwaumakin
Ubarikiwe Sana my teacher mengi na njifunza kwenye vipindi vyako .
Asante kwa somo zuri.
Aisee kaka kwel iyo kanuni ya mwisho imeniasili nimewekeza sehem nisiyoifahamu Dah nimefunguka Asante
Sawa sawa
Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kutuelimisha
Hii KANUNI ya 3 imenipotezea fedha thanks brother
Thank you bro Mungu akutunze
Hakika nabarikiwa mno kaka Joel Mungu akutunze
My best motivational speaker big up br
Asante kwa somo nzuri sana broo
Kwakwel nimebarikiwa Sana na hili somo be blessed my brother
Ahsante sana kaka kwa kujitoa kuelimisha watu mungu Akubariki sana 🤞
Nashukuru sana kwa kufuatilia
Thank you my brother I collect you from Zambian
Asante Sana Kaka kwa mafundisho mazuri ..naanza Leo kuziishi izo kanuni za pesa
Hongera sana Ney,kila la kheri.Usisahau kushare
@@joelnanauka sawa nitashare
Kaka upo vizuri Sana naendelea kujifunza
Safi sanaaaaaa nimependa
Ahsante kaka nimejifunza leo kupitia wewe🙏
Mungu akulinde sana
Mungu awe nawe
asante mwalimu somo zuri sana
I'm proud of you my dear brother
nice work bro, I appreciate your work
Nanauka Is the best speaker
MUNGU akubariki sana naendelea kujifunza🙏
Shukrani sana kaka Joel N Kuna kitu kikubwa nimejifunza juu ya kanuni hizi tatu.
Naamini umeanza kuzifanyia kazi
Haijalishi unaingiza pesa nyingi kiasi gani kumbe kinachomata ni unasave kiasi gan ok ahsant sna #SeeYouAtTheTopToo
Ni kweli kabisa
Hiyo kanuni ya kwanza nilikuwa cjaitambua nashukuru sana umenifumbu
Safi sanaaa
Thank u my brother.... We love u ❤❤
Shukran sana mwalimu
Umeni fumbua kaka nimengi sana nirikua sifaamu
Thanks bro,kwenye hizi kanuni za kifedha nilikua nikipata nilikua nala zote sababu nasema kipato chenyewe nikidogo aki alafu nabaki nikiwa sina kitu kila wakati.
Anza kuzitumia leo
@@joelnanauka kaka joel Mimi nakosa imani ya moyo roho yangu yatamani kujinyonga kabisaa pengine naweza pata no zako ukanishauri nakata tamaa ya kuishi
Ahsanteeeeeh kaka
Wafungue watanzania
👏👏 my favorite motivation speaker Nanauka
Pamoja sana Irene
Asante kaka joel kwa madin mapya kichwan mwangu Mungu akutunze
Mafunzo yak naelewag xan god be with you
Asante sana tena sana
Nakukubali sana bro 🔥
Nmejifunza kitu aiseeee 😍 me nimiungoni nisieweza kutunza pesa ubarikiwe Broo
Ameen
Nakukubali sana kaka
Sahihi kabisa joel makusudi yako ni kwa ajili yangu
Pamoja Sana Patson
Ni kweli
Nakupata moja kwa moja kutoka mwanz tz
See me at the top! Niko na ww class to class
Shukran sana
Najivunia mafunzo yako mkuu
Kweli kabisa broo thanks
Asante bro
Bro leo nimejifunza kitu kikubwa sana nakuaidi nabadilika sasa
Ujumbe mzuri sna
kazi zako nzuri sana kaka,ubarikiwe sana
Hi ni kweli kabisa nimekubali
👍👍
Ahsante kaka nanauka kwa somo nzuri
Nashukuru tuko pamoja sana
Asante sana lecture
Somo ni nzuri sana
Zote ninoma kwangu.
Natakiwa nijitazame VIZURI
Asante kaka....
Great brother
Vitabu vyako vinauzwaje.
Kabisa kaka
Inspiration icon! Keep teaching us sir!
Pamoja sanaa
Dah yani dah i elim ni yakuilipia i kaka naomba namba zako nikutumie japo elf 10 i elm sio ya bure kabisa
Mkuu huu pesa zina kuja na maelezo yake na matumizi yake
Michezo ya bahati nasibu ni wizi.
Good
Kweli ubarikiwe
Sauti ipo chini sana
hasant kwasomo mzuli
Ahsante sana kwa mafunzo.
Nimejiajili huu mwaka wa 3 lakin sijawai jilipa
Asante sana
Kwel kaka
Nimebarikiwa sana na video na ebook zako, hakika Mungu amekuchagua ulete mabadiliko kwa watu wake,
Duh mm nilikia nakiuka knuni ya kwanza
Kosa kubwa nililo kifanya nimechukua frem ya biashara baada ya kuona chumba nacho fanya kaz ni kidogo lakin nimewekeza hela nyingi kwenye hiyo frem kias kwamba nawaza cjui ntaanzaje kufanya Kaz na hicho chumba na huku nimeingia maden ya kutosha daaa
Ni kweli kabisa
Ahsante
spending my income even after saving when facing small challenge this end up with no money at all. From today i need to change
Asante kwa ushauri
All the besg
Thank you bro
Ahsante sana
Mmh hii inanihusu kaka Jo naomba unitumie uniorodheshee majina ya hao matajiri vizur ni hatari san
Thanks
Je Kama hakitoshi
Shukran kaka
I really appreciate your works
Ahsante kaka Joel
Nimekuelewa kaka
Kweli kaka
Motivators' Joel Nanauka , George s.Clason , Napoleon Hill & Robert Kiyosaki
🙏🙏