Tabia 10 Muhimu za Mafanikio

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 фев 2018
  • Jifunze tabia 10 za mafanikio katika somo hili muhimu:
    .
    Tuandikie kile ulichojifunza kwenye comments, gonga “LIKE” pamoja na “ku-share” link ya somo hili kwa wengine. Asante
    .
    KUWA MZUNGUMZAJI MAHIRI KWA KOZI HII:👇🏼
    Boresha uwezo wako sasa wa kuzungumza na utengeneze njia za kuingiza kipato zaidi. Nunua kozi ya “Speaking Skills Course”
    Kwa bei ya punguzo ya 20,000 TZS tu!
    👇🏼👇🏼
    Tuma neno “KOZI” au “COURSE” kwenye whatsapp: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    NUNUA VITABU:
    Nunua kitabu kitakacho kusaidia kukua na kujiongezea thamani.
    Kupata orodha ya vitabu tuma neno: “KITABU” au “VITABU”
    kwa WhatsApp namba: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    KOZI YA RUclips CHANNEL MASTERY (BURE):
    Ichukue hapa: / @youtubepesa255
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Media Personnel & An Entrepreneur
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / ezden_voiceover
    .
    KWA MATANGAZO NA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri la video na sauti
    Tuwasiliane:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    Mafanikio, Malengo, Kujitambua, Nidhamu, Kujiamini, Ubunifu, Uwezo, Uongozi, Mipango, Kuhamasisha, Kujiboresha, Ukuaji binafsi, Ushawishi, Uhusiano, Afya ya akili, Afya ya kimwili, Ustadi wa maisha, Falsafa ya maisha, Mafanikio ya kifedha, Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji, Elimu mtandaoni, Mafunzo, Kocha wa maisha, Mzungumzaji wa motisha, kitabu, vitabu, Kiswahili, Tanzania, Ezden Jumanne, Success Path Network, pesa, chaneli ya elimu, mwalimu wa mafanikio, njia za mafanikio, utajiri,
    .
    #Tabia #Za #Mafanikio

Комментарии • 906

  • @macmillankumwenda5171
    @macmillankumwenda5171 3 года назад +13

    I'm a man of confession first time when I came across your videos I tend to ignore them but today I made a decision to watch them I'm very inspired with your contents. Thank you for sharing such educative information may God bless you and keep on touching many souls

  • @martinantidius1719
    @martinantidius1719 4 года назад +131

    Waliomuelewa bro ..gonga likes za kutosha

  • @petromsanga9127
    @petromsanga9127 4 года назад +8

    Asante kwa somo lako ijapo Mimi ni mzee wa miaka 70 kesho naanza kufuatilia NIMELIELEWA nimelipenda.

  • @amemeabdulrazak1397
    @amemeabdulrazak1397 4 года назад +6

    Mazungumzo y leo yamenipa moyo wa kuanzisha biashara mpya Shukran jazaa yako kwa Allah

  • @ibrahimushirima3026
    @ibrahimushirima3026 4 года назад +3

    Nikweli kabisa bother

  • @bestwesternpluszanzibar1192
    @bestwesternpluszanzibar1192 4 года назад +5

    keep going

  • @zamanjohn4612
    @zamanjohn4612 4 года назад +3

    Kuna vitu umenigusa sana asante sana kaka mungu akupe umri mrefu furaha na afya utuelimishe zaidi

  • @ramadhan122
    @ramadhan122 4 года назад +3

    Mwenyezi Mungu akubariki Ahsantee sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 года назад

      Ameen Yahya Abdallah, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!

  • @jacksonmchau8324
    @jacksonmchau8324 5 лет назад +9

    braza upo vzur, aah nimechelewa kukufahamu but ukopoa sana braza nimependa mambo yako
    nitaifuatilia hii sanaah sanaah

  • @laylatsamiry4915
    @laylatsamiry4915 4 года назад +5

    I love u broo mungu akuzidishiw

  • @halvingsehere9939
    @halvingsehere9939 4 года назад +6

    y I'm so late to gat u broooo.... uuuuuh iv change change a lot ov tings in to ma lyfe through this channel...... bug up broder ....I appriciat each and everything from ur factl SMS..... 100%

  • @salemale6830
    @salemale6830 4 года назад +2

    Dahh brother azden god bless nakuelewa sanaa

  • @omarshamte8459
    @omarshamte8459 8 месяцев назад +2

    Hongera sana kwa taaluma nzuri sana.
    Napenda kuchangia zaidi katika hili la kusaidia wengine
    Katika Quran takatifu Allah anasema kwamba "chochte mtakacho kitoa katika njia ya kheri basi Allah atakupa mbadala wake" katika kanuni ya uisilamu kupitia kwa hadithi za bwana mtume kiwango kidogo kabisa anacho kipata mtu anayetoa kwa misaada ya kheri ni Moja kwa kumi na inaweza kufikia hata Moja kwa mia saba kulingana na nia na ikhlasi ya mtowaji. Katika Que an takatifu Allah mtukufu anasema kwamba: "mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Allah ni mfano wa tembe Moja ya nafaka iliyootesha mashuke saba, Kila shuke moja likatoa tembe mia Moja za nafaka na Allah humuogrza amtakae -. Kutokana nia na ikhlasi yake - na Allah ni mwenye wasaa mkubwa zaidi na ni mjuzi sana.
    Kiufupi Mimi tangu kusoma maandiko haya na mengine ya mfano wake nimeifuata sana kanuni ya kutoa na kusaidia, na mafanikio makubwa sana nimekuwa nikiyapata Kila uchao.

  • @charlesmahongo392
    @charlesmahongo392 5 лет назад +7

    Asante Edzen kwa kutukumbusha mambo muhimu sana katika kuyafikia mafanikio.
    Mungu azidi kukubariki sana ili uzidi kutuelimisha zaidi na zaidi.

  • @khalifawapili1799
    @khalifawapili1799 5 лет назад +4

    daaah Broo umanifungua ubango mzee big up kaka

  • @abdulazizismail7047
    @abdulazizismail7047 4 года назад +2

    Very nice work Allah help you for All thing good

  • @madamfatmamsindi2059
    @madamfatmamsindi2059 5 лет назад +10

    Ezden, you are Excellent, I think I like you naomba uwe menthor wangu

  • @mussasongoma9521
    @mussasongoma9521 5 лет назад +6

    Dah nimekuelewa sana baba...yaan nahisi kuwa katika dunia nyingine...Asante Ezden

  • @deusjohn1107
    @deusjohn1107 3 года назад +1

    Sawa bro nimekuelewa sana zaidi ya sana asante kwa somo nzuri nimejifunza mengi sana kwanye hii tabia 10 za watu waliofanikiwa

  • @phadhilihussein8937
    @phadhilihussein8937 4 года назад +1

    Good sana brother nakuku bari sana kitambo sanaa nakufatilia

  • @teclaludovic1920
    @teclaludovic1920 5 лет назад +5

    Kaka azden somo nzuri sana nitafanyi kazi barikiwa ukipata kitu kingine kizuri tujuze tuelimike zaidi.

  • @jeremiahjames6736
    @jeremiahjames6736 4 года назад +6

    I wanna say big up brother EZDEN JUMANNE you tell us a truth moment and teach me many thing am sure your the one for this category. And I just care for those moments you taught us. God bless yo

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 4 года назад +2

    Ni fikra nzuri sana kwa kweli na kama mtu unazitekeleza lazima maisha yako yabadilike tu.
    Thanks bro. Stay blessed.

  • @yusuphkengele9781
    @yusuphkengele9781 4 года назад +2

    Big up sana broo

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 года назад +3

    Upo vizur Sana nami nimejifunza mengi Sana ambayo sikuyajua naamini Kwa kupitia hiki kipindi cha somo lako nitafanya vyema Zaid insha'Allah Kwa uwezo wa Allah balikiwa Sana kaka Allah akupe umri Zaid uzid kutujuza mengi Amin ya'allab

  • @sospetermagobo2445
    @sospetermagobo2445 4 года назад +4

    Nimekupata vizuri kuhusu tabia kumi za mafanikio ila sijaona maombi katika tabia hizo kumi ni lazima ushukuru Mungu kwa hatua unayosonga mbele Big up songa mbele..!!!

    • @fatumaabdallah-ui7pj
      @fatumaabdallah-ui7pj 8 месяцев назад

      Maombi ni lazima kwa mwanadam hata asiposema.tumeumbwa kwaajili ya kuabudu

  • @derickjames4154
    @derickjames4154 5 лет назад +2

    Vizuri broo inapendeza

  • @bownventure8122
    @bownventure8122 5 лет назад +4

    Wazo zuri kwa kuwa kuwatia watu moyo ila ufupishe utangulizi na mlio wa kinanda uwe chini ili tupate kisikia yale ya msingi zaidi japo si mbay ukiutoa.big up sana bro.Ezden

  • @KelvinHMoras
    @KelvinHMoras 5 лет назад +19

    aisee bro kila ulichosema n ukwl kbx thnk bro 👏👏👏

  • @chalamilalicky7335
    @chalamilalicky7335 5 месяцев назад +2

    This is very great, Ezden. God bless you more n more.

  • @jamiiyetutvonline8068
    @jamiiyetutvonline8068 9 месяцев назад +1

    Vizuri sana hi vidéos yako nizuri sana kila anae yisikiliza nakuzingatia maneno haya nakufuatisha hizi posté zako vizuri lazima ufanikiwe tuu

  • @modesthenrykitange2397
    @modesthenrykitange2397 5 лет назад +43

    Habari kaka Ezden, asante sana kwa mafunzo yako mazuri. Naomba upate muda uongelee Topic Hii; NAMNA YA KUJIAMINI (HOW TO BE CONFIDENT)
    ASANTE.

    • @mashakalonka9407
      @mashakalonka9407 4 года назад

      Hoja ya kujiamini ameizungumza ktk dk. ya 20_22.

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 5 лет назад +23

    shukrani sana my dear kwa elimu unayoitoa

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 4 года назад +2

    Bro. i salute you unaongoea kwa kutoka moyoni i may God bless you.

  • @nasrakiango7261
    @nasrakiango7261 4 года назад +2

    Nimeipenda inafundisha maisha, Allah akuweke utujuze zaidi.Inshaallah

  • @Mike-yg7pb
    @Mike-yg7pb 5 лет назад +13

    I appreciate you my brother, its very clearer and comprehensible

  • @shaabanmbalamula5066
    @shaabanmbalamula5066 4 года назад +7

    a very good message and content. Nashauri uboreshe jinsi ya kupresent maana usela mwingi (thugs).I am sure your smart. I HAVE SUBSCRIBED

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 4 года назад +1

    Safi broo

  • @annahcallixte1321
    @annahcallixte1321 5 лет назад +2

    That's nice bro yaani kwa upande wangu nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akubariki big up

  • @neemangaga6948
    @neemangaga6948 4 года назад +3

    Be blessed bro...nakuelewa

  • @mariamkasekwa6601
    @mariamkasekwa6601 4 года назад +3

    Allah akulipe kwa hili

  • @ahmedashirukaya886
    @ahmedashirukaya886 4 года назад +1

    Shukurani kubwa zaidi Kaka Allah azidi kuinuwa kipaji cenu nakuwafungulia mlango ya kheri na barqa

  • @chrissmalloy9
    @chrissmalloy9 5 лет назад +1

    Pamoja vro

  • @ceomeja670
    @ceomeja670 5 лет назад +7

    Unaongea ni kweli 💯for real thanks 🙏

  • @marykahabi2599
    @marykahabi2599 4 года назад +7

    Hi ezden thax so much for these inspirational speech.have got a lot to learn be bleesed

  • @egbertleonce5577
    @egbertleonce5577 4 года назад +1

    Brother uko vizuri Sana zidi fanya hivo usipo lipwa hapa utalipwa mbinguni

  • @saeedabdillah7179
    @saeedabdillah7179 4 года назад +2

    Big up bro nakukubal San ur world changer

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 5 лет назад +7

    Daaaahhh!!, Bro, Bro Umenipa Mwanga mkubwa sanaaaaa,.. I should love you Bro

  • @sharonnaliaga719
    @sharonnaliaga719 2 года назад +3

    Kazi nzuri sana kaka Naipenda elimu yako. Elimu yko inaguza watu wengi sana haswa sisi wanarika👏👍

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!

  • @kariukikush2483
    @kariukikush2483 2 месяца назад +1

    Nine learn sana. Ndio mara yangu ya kwanza hapa.Asante.

  • @mussakaembi5706
    @mussakaembi5706 4 года назад +1

    asante kaka mungu akubaliki unatusaidia ata tuliokuwa hatujui kama nini tunakosea katka maisha yetu naamin naenda kufanikiwa

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 года назад +8

    I don't know why I'm late to get you daghhhhhhhhhh you just inspired me100% thank's a lot 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 3 года назад +10

    Thank you, I was in a point where I had to listen to this. God Bless you.

  • @nyamvulajollo5201
    @nyamvulajollo5201 5 лет назад +2

    Kaka Allah akuzidishie hekima ulionayo nabusara unaongea kiusitarabu naunaeleweka MashaAllah tabarakallah

  • @kaijagenovatus5235
    @kaijagenovatus5235 2 года назад +1

    Vipindi vyako ni vizuri vinaelimisha.
    2.Jitahidi kutumia maneno ya kiswahili zaidi
    3.poiti yako ya 10 ni sawia na mawazo ya mwandishi wa kitabu Cha How to get whatever you want. Lakini ni sambamba na mantiki ya sadaka.
    Yote kwa yote ni ubunifu mzuri na kazi ni nzuri, ongeza utulivu.

  • @orastomgaya1415
    @orastomgaya1415 5 лет назад +10

    UBARIKIWE SANA NDUGU YANGU
    NIMEFURASANA NA MAFUNDISHO YAKO HASA KUSAIDIA WENGINE.

  • @jafarighuli696
    @jafarighuli696 4 года назад +1

    Good presentation👍👍👍

  • @eliamugini6160
    @eliamugini6160 4 года назад +2

    Nimepata kitu.hongera sana

  • @ayoubgwanko3306
    @ayoubgwanko3306 5 лет назад +19

    Aiseee much respect bro, coz vijana tulio wengi hatukua na idei hio, blesed~

  • @salehaman2228
    @salehaman2228 5 лет назад +5

    Blogs kama hizi mimi nazipenda sana zinanipa muamko kiasi kazi nzuri

  • @mrgiftjonathan8703
    @mrgiftjonathan8703 4 года назад +2

    Namshukuru Mungu katika Kristo Yesu aliye nikutanisha na wewe kipitia masomo yako haya hapa. Nileo tu ndo nimekuona na nimeona kiu zaidi kukufuatilia na umeongea mambo mengi ambayo yamegusa ukweli mwingi niliokwisha kuusikia na kuambiwa binafsi.
    Zidi kubarikiwa na kuzidi kuwa baraka kwa wengine

  • @athumaniyusuph3097
    @athumaniyusuph3097 4 года назад +2

    Thanks bro nimejufunza kitu god bleess you

  • @hajisaid2252
    @hajisaid2252 5 лет назад +7

    Kaka nashukulu sana kwa elimu yako najuta aya kwa nn sijakujuwa mapema

  • @abdulrahmanbelle3742
    @abdulrahmanbelle3742 5 лет назад +5

    Shukran bro ALLAH bless you

  • @emmanueldkulwa1824
    @emmanueldkulwa1824 4 года назад +2

    Hakika bro Edzen we siyo MTU wa blaa blaa, ni content tu kila unapojitokeza!!!
    Nakuelewa sana, na unanitoa upofu mwingi sana katika maisha!

  • @user-eg2ku6qq4x
    @user-eg2ku6qq4x 3 месяца назад +1

    Asantee kwa ushauri Mungu akujalie afya njema na moyo wakujitolea zaidi kusaidia wengine kupitia maarifa Yako

  • @mosesdaniel600
    @mosesdaniel600 5 лет назад +16

    safi sana brother ubarikiwe kwa fact zako by Dash combo

  • @wilfredidangat768
    @wilfredidangat768 4 года назад +10

    big up broo. you deserve it and keep it up as well.

  • @boaznyudula4301
    @boaznyudula4301 4 года назад +1

    Noted!

  • @johmeryvitalisi6834
    @johmeryvitalisi6834 3 года назад +1

    Good. Tangu mwaka. Jana mwaka huu ndo ni mecoment lakini nimefanikiwa sana kwa harakati zako.broo!

  • @doreenpantalina8420
    @doreenpantalina8420 5 лет назад +13

    Thanks for teaching us yhu make ma life different when am listening yhur view be blessed💪💪

    • @zakiaiddykundya6609
      @zakiaiddykundya6609 5 лет назад

      minaomba upunguze sound recording yako maanasautiyako inakuachin yaredio inakuwajuu, inakuwa hatukusikii

    • @sifanicholas5454
      @sifanicholas5454 5 лет назад

      Napenda kusoma vitabu tofauti ila vingi vinakuwa vya kingereza

  • @samwelmbowe9855
    @samwelmbowe9855 4 года назад +4

    Good job broo

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 4 года назад +1

    Shukran bro,

  • @kingally7816
    @kingally7816 4 года назад +1

    Nakukubali Sana Kaka good idea.
    By King Ally from mahembe kigoma.

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 5 лет назад +8

    MashaAllah uko vizuri na MMungu azidi kukuinua Amiin

  • @robertmatonya1851
    @robertmatonya1851 5 лет назад +27

    nashukuru sana kwa elimu yako japo mimi kazi yangu ni ulinzi sasa sijui swala la kupumzika mapema na kuamka mapema inanipa shida kidogo

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 лет назад

      Karibu utazame video yangu Mpya, click hapa ruclips.net/video/1FZql56s-io/видео.html pia Usiache kuniambia mawazo yako kwenye comments. Like and share. Pia ungependa topic gani niongelee. Asante

    • @shabanigess6703
      @shabanigess6703 4 года назад

      Kweli

    • @aminaali7939
      @aminaali7939 3 года назад +1

      Waooooo nice bro

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 5 лет назад +1

    Nimefaidika kwa uwepo wako...shukran zaid

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 3 года назад +2

    Background music ina interrupt mindset kukusikiliza vizuri, but you really doing or speaking good points

  • @cosmasandati1896
    @cosmasandati1896 5 лет назад +14

    your massege is so helpful that makes me improve my motion change to my success.

  • @othmanally2132
    @othmanally2132 4 года назад +3

    Nimekuelewa kwenye kuhairisha mambo thanks 😊
    From mbagala

  • @irakozejclaude6264
    @irakozejclaude6264 3 года назад +2

    kiukweli Kitabo siwezi kukisoma Mimi ni muvivu tena najijuwa.ila kila ninaposikiliza maneno unoyosema huwa na jiona kumaliza kitabo kikubwa tena kizuri yanisichoki kujifunza na kujuwa bro Mungu akupe umri mrefu

  • @HusnaAthumani-yf8mc
    @HusnaAthumani-yf8mc Месяц назад +1

    zidii kutuongezeaa maarifaa brooo❤

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 4 года назад +3

    Background music its realy annoying.. toa sauti ya instrumental background tafadhali

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 5 лет назад +10

    Thanks brother Mungu akubariki zaidi

  • @simonlukumai4149
    @simonlukumai4149 5 лет назад +2

    Hongera sana, semina ni nzuri sana with good arrangement of points, i note a strong point of helping others, means if you want to receiving new ideas use the first one to helping others

  • @olaismokolo695
    @olaismokolo695 7 месяцев назад +1

    So Good so Blessed brother,safi sana

  • @tobiasbeda2022
    @tobiasbeda2022 5 лет назад +13

    Nakubaliana na nawe. Asante kwa maneno na ushauri mzuri sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 лет назад

      Karibu utazame video yangu mpya. Usiache kuniambia mawazo yako kwenye comments. Like and share. Pia ungependa topic gani niongelee. Asante
      ruclips.net/video/1FZql56s-io/видео.html

  • @royalmirage2005
    @royalmirage2005 5 лет назад +13

    Ezden-upo sawa thank you for knowledge

  • @Yoursister1000
    @Yoursister1000 3 года назад +1

    Background song iko kubwa sanaa bro nice lecture too

  • @amemeabdulrazak1397
    @amemeabdulrazak1397 4 года назад +1

    Asalam Alykum naomba utufundishe vp tuwe n nguvu za kuweka fedha. Mola akulipe kheri Amiin

  • @keshenimoshi9113
    @keshenimoshi9113 5 лет назад +13

    Thank you so much brother, nimejifunza Mengi sana. Stay blessed bro.

  • @paschalsamsagala9739
    @paschalsamsagala9739 5 лет назад +4

    Asante sana bro!nakufuatilia sana na nayaona mabadiliko,ubarikiwe sana!

  • @magedadi8882
    @magedadi8882 5 лет назад +1

    asante sana umenipa ubunifu sana napenda sna kucheki vedeo zako

  • @georgekihiyo2080
    @georgekihiyo2080 5 лет назад +1

    Hongera sana bro

  • @isaackashaga3278
    @isaackashaga3278 4 года назад +12

    Edzen brutha i got nothing to add or decrease bruh but just wanna thank you for ur advice and help to me and my lifestyle from now on I'll going trying to change and face a new lifestyle and without forgetting to share this to my friends and family...!!!
    Thank you so Bro
    And much appreciate of what u doin bro...!!!

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 года назад +1

      You're welcome brother Isaac. The difference happens when we apply the knowledge we've acquired, so best of luck my brother.

  • @nakirykaniki248
    @nakirykaniki248 5 лет назад +7

    asante ingest juhudi

  • @ovidiokibuga1086
    @ovidiokibuga1086 4 года назад +1

    Good brother, umesema ukweli katika mafanikio binafsi

  • @JchrisMgandila
    @JchrisMgandila 2 месяца назад +1

    Yeah nimekuelewa sana chief..🙏🙏🙏🙏

  • @edwardmalima7860
    @edwardmalima7860 5 лет назад +20

    sure kusoma vitabu ni safi sana pia kutokata tamaa ni nzuri. kitabu kama the impossible is possible na imitation is limitation cha john mason viko poa.

  • @user-sp8ip6zp4y
    @user-sp8ip6zp4y 8 месяцев назад +1

    More technical and inspiring