I love this man for free, open heart, down to earth, very composed, he loves God, humble the list continue, l prayed to God for his safe return, faithful God his back in one piece, a country needs people like him, may God protect him always.
napenda sana kuangalia interviews za watu walio fanikiwa kimaisha au matajiri au the most successful individuals kwa lugha ya wenzetu... kitu ambacho nime jifunza toka nianze hii hurka ya kufatilia interviews za style hio.. ni kwamba "the most successful people think, act, speak, behave, almost 99% different from low life individuals" kitu kingine success needs TIME am gonna put that in capital letters... jamaa alianza 1998 kutafuta utajiri / biashara tuseme lakin its upto this moment ndio tumsikia sasa kua ana pesa according to FORBES, so take lets say 2013-1998= 15 years, so guy roughly ali hangaika for 15 Years kuweza kufika kwenye pick aliyopo sasa which shows a degree of patience and determination he has. Congratulations! at some point am inspired.
Yaa Allah kama ulivyomvusha nabii yunnus kwenye tumbo la samaki, ya Allah kama ambavyo uliufanya moto kwa Nabii Ibrahim ukawa barid, Allah tunakuomba na huyu mja wako mo popote alipo umrudishe salama Yaa Rabb😢😢😢
Kwakeli Mo Dewji anasema ukweli ...I give you lots of respect!!even in UK your dad help lots of Tanzanians. Please keep doing what your doing. And mkasi producer you have one of the best program in tanzania.
very inspiring...ni mfano mzuri kwa vijana wengine...kwa kweli tunatakiwa tuamke tukafanye kazi hasaaaaa....biashara. I salute you Mr. Mo....endelea kupambana ukawe mwanga kwa wengine....
Kaka mo nnakuombeaa duwaa kwa mungu yaaraby akulinde na akutowe kwenye makucha ya mayahudi haoo yaaraby akufanyiee kila la wepesi yaaraby mmungu awatiee imaani na huruma haoo walio kutekaa YAARABY mmungu watiee imaani kwakilaa aliee shiriki kwa kudhulumiwa kakayetu mo kama walivyo amrisha atekwee basi mmungu watiee imaani na uwafanyiee moyo mwepesi wakutowa ambri arejeshwe kwa usalama na afya yake YAARABY jaaliyaa mo wamrejeshe akiwa yuhaii AMEENA YAARABY 🙏🙏🙏🙏🤝🤝
tangia moo atekwe sina raha katika nafs yang na namuomba ALLAH amlinde huko aliko na inshaallah atapatikana akiwa salama. 2gther from soni lushoto tanga tanzania
Hii ni interview nzuri Sana na pia nimejifunza mengi kupitia Mohamed Dewji. Natamani sana siku moja kufanya mambo kama haya aliohadisia... Ntajitaidi kutimiza aliyotushauri Mo. *Mungu nisaidie katika hili.Amen!
dewji kasema anataka kufungua "benki zitazotoa mikopo midogo kwa riba nafuu" alafu salama akasema "in shaa allah mungu atakusaidia", ajui maskini kwamba Allah kwenye quran katangaza vita na wala riba
Jamani nye mliomteka turusishieni mo wetu salama maana ni mtu muhimu sana kwa nchi hii leo ndo nimesikiliza intavyu yake maashaallah ni mwanaume wa maaana sana
Honesty is an expensive thing don't expect it from cheap people! I love this😘💕💕..........Jaman mrudisheni mo wetu ! Mungu simamia maisha ya mtu huyu Amen. Soon Mo atarudi akiwa salama naamini Mungu anaona hili kwani hawezi ruhusu mwenye haki wake ateseke kiasi hiki....
this is epic and inspiring.salama next time invite abubakar bahressa(son of said salim bahressa) for interview.I hear he is the master mind behind bahressa's success in business. we would like to hear something from him.
+Steven Mamba "The society prepares the crime..the criminal commits it" Ndo maana hata leo hii watu wameekewa sehemu za kuvukia barabara salama mfano "zebra cross" lakini hawazitumii badala yake wanajivukia ovyo sehem wanazotaka. *Maana ya mfano hapo juu ni kua Matatizo ya Tanzania yanatokana na mfumo ulioandaliwa au kutengenezwa na Taifa (Tanzania) ndio maana unakuta makosa hayo.
Mungu nakuomba mlinde huko alipo arudi salama na watekaji Mungu husika kikamilifu najua ww wajua kila kitu kuhusu mor ww ulie mlizi wa kila kiumbe Mungu wa mbingu na ardhi wafedheheshe hawa waliomteka huyu kijana
Daaagh yani brother wangu umeniamsha akili yangu sanna na hadi sasa sijui upo wapi Umeniwachia Majiraha makubwa sanna na Namuomba mungu Akulinde na kila sharii By Salim Mohammed Awamy from znz
Meo amenisibitishia anasema amekopa mabilioni ya pesa yenye riba nafuu m mungu anasema inamilango mingi na mlango mdogowao ni sawasawa na kumzini mamaako mzazi
Pongezi zangu kwa Team "MkasiTv".. Ongezeni interview na watu tofauti kama hii hapa. sio star wa muvi na miziki tu. nice job. Salama is an amazimg person
Tujuane ambao tunaangalia leo 2024
🏃
Best
I love this man for free, open heart, down to earth, very composed, he loves God, humble the list continue, l prayed to God for his safe return, faithful God his back in one piece, a country needs people like him, may God protect him always.
Nani anaangalia 2024?!!
pamoja 2024
Only future young Billionaires @modewij
Mimi
Mimi
Ok
The BEST interview ever, Mo is wonderful, Salama tuletee watu kama hawa wenye muelekeo.
napenda sana kuangalia interviews za watu walio fanikiwa kimaisha au matajiri au the most successful individuals kwa lugha ya wenzetu... kitu ambacho nime jifunza toka nianze hii hurka ya kufatilia interviews za style hio.. ni kwamba "the most successful people think, act, speak, behave, almost 99% different from low life individuals" kitu kingine success needs TIME am gonna put that in capital letters... jamaa alianza 1998 kutafuta utajiri / biashara tuseme lakin its upto this moment ndio tumsikia sasa kua ana pesa according to FORBES, so take lets say 2013-1998= 15 years, so guy roughly ali hangaika for 15 Years kuweza kufika kwenye pick aliyopo sasa which shows a degree of patience and determination he has. Congratulations! at some point am inspired.
Yaa Allah kama ulivyomvusha nabii yunnus kwenye tumbo la samaki, ya Allah kama ambavyo uliufanya moto kwa Nabii Ibrahim ukawa barid, Allah tunakuomba na huyu mja wako mo popote alipo umrudishe salama Yaa Rabb😢😢😢
Nani kaja hapa 2025
Kama bado unaangalia hi 2020march gonga like hapa
Kwakeli Mo Dewji anasema ukweli ...I give you lots of respect!!even in UK your dad help lots of Tanzanians. Please keep doing what your doing. And mkasi producer you have one of the best program in tanzania.
very inspiring...ni mfano mzuri kwa vijana wengine...kwa kweli tunatakiwa tuamke tukafanye kazi hasaaaaa....biashara.
I salute you Mr. Mo....endelea kupambana ukawe mwanga kwa wengine....
Mwenyezi mungu akulinde urudi salama kaka yetu na hao waliokuteka walaanike laana zote mbaya Amen..
Kati ya interview bora Tanzania, stay blessed for doing this.
Ndoto yangu ni kufungua kampuni kubwa ipo siku mungu atanifanyia wepesi ndoto yangu itakuwa Kweli ❣️❣️
Allahum amina Mungu atajalia inshallah🙏🏼
😂
Kua na ndoto shida
Je mpango wa company unao?
Mashaalwaa unamaona mungu akulinde boss umenipa mwangaza❤️❤️❤️
This was the best interview since nimeanza kuangalia mkasi.
+denis ildephonce with influential person
denis ildephonce
Mashaallah nakuomba uje kuwekeza na zanzibar ili tufarijike na sisi
exactly
kabisa
Sad that he is gone...poleni from Kenya living in Germany. Have learnt a lot from him Dankeschön
luise-lotte Fidan gone???
What! Mo alifariki
Nani bado anaangalia November 2019
Mimi nipo nawe
Na mm
Kaka mo nnakuombeaa duwaa kwa mungu yaaraby akulinde na akutowe kwenye makucha ya mayahudi haoo yaaraby akufanyiee kila la wepesi yaaraby mmungu awatiee imaani na huruma haoo walio kutekaa YAARABY mmungu watiee imaani kwakilaa aliee shiriki kwa kudhulumiwa kakayetu mo kama walivyo amrisha atekwee basi mmungu watiee imaani na uwafanyiee moyo mwepesi wakutowa ambri arejeshwe kwa usalama na afya yake YAARABY jaaliyaa mo wamrejeshe akiwa yuhaii
AMEENA YAARABY 🙏🙏🙏🙏🤝🤝
this is my favourite episode of mkasi,like that man,God bless u.got inspired by this man,need more interview like this.
Zombi
@@mzamiloothman6359 zombie not zombi 🤣 mad man 🤣
tangia moo atekwe sina raha katika nafs yang na namuomba ALLAH amlinde huko aliko na inshaallah atapatikana akiwa salama. 2gther from soni lushoto tanga tanzania
Emed Ibrahim sio ww tu brother laiti tungekuwa nauwz wakujua awa wachawi walipo asee kaka wangenda kututeka wote
Yaani tupo wengi roho inaniuma sana sina raha natamani hata nitambue alipo wapi ila naamini yupo salama Nina imani hyo mungu amsaidie
Emed Ibrahim m
Mungu akupe maisha marefu
Hii ni interview nzuri Sana na pia nimejifunza mengi kupitia Mohamed Dewji. Natamani sana siku moja kufanya mambo kama haya aliohadisia... Ntajitaidi kutimiza aliyotushauri Mo.
*Mungu nisaidie katika hili.Amen!
AMIIN
Usijali kaka wanaosema umerithi,..u my champion bro..u so humble and mostly i like from u u so humble
Salute kwako Dada Salama 🙋♂️🙋♂️🙋♂️
Love the interview
Hii ni mojawepo wa shoo za mkasi zilizonipendeza sana....vijana tujitume na tuweke Mungu mbele.
dewji kasema anataka kufungua "benki zitazotoa mikopo midogo kwa riba nafuu" alafu salama akasema "in shaa allah mungu atakusaidia", ajui maskini kwamba Allah kwenye quran katangaza vita na wala riba
Jamani nye mliomteka turusishieni mo wetu salama maana ni mtu muhimu sana kwa nchi hii leo ndo nimesikiliza intavyu yake maashaallah ni mwanaume wa maaana sana
Hamida Hamdani
Such an inspiration
Allah atamsaidia mja wake,vile vile serikali yetu imara inafanya kazi usiku na mchana,hivo kila kitu kitaenda sawa.Mungu Ibariki Tanzania
..Riba {Dhambi ya Riba ni Zaidi ya MTU aliyefanya mapenzi na Mama yake Mzazi}😊😊😊Tupige kazi,Pepo ni yetu sote
Kweli kaka
Jaman Masha Allah Mungu atamrudisha huyu kaka Wallah anahekima Sana Allah atamfanyia wepes arud salama
MO.. u r nice boy.! Mungu akulinde huko waliko kupeleka' maskiin kijana wewe wamekudhulumu.! subra kwa family na wazee wako.!
One of the greatest Gift from God is that kuwa huyu #MoDewji anayo hekima na always GOD WILL BE ON HIS SIDE ALL THE WAYS UP.. 🗽🌍🌟👌🙏😢
Honesty is an expensive thing don't expect it from cheap people! I love this😘💕💕..........Jaman mrudisheni mo wetu ! Mungu simamia maisha ya mtu huyu Amen. Soon Mo atarudi akiwa salama naamini Mungu anaona hili kwani hawezi ruhusu mwenye haki wake ateseke kiasi hiki....
It was a fantastic interview
this is epic and inspiring.salama next time invite abubakar bahressa(son of said salim bahressa) for interview.I hear he is the master mind behind bahressa's success in business. we would like to hear something from him.
+joseph mabrouk Bahressa yupi ? Anaemiliki bandari kavu iliopitisha containers 320 bila kulipa ushuru ?
+Steven Mamba sio kila kosa linalofanywa na mtoto ndio kusema katumwa na mzazi wake
+Steven Mamba but i think of you complain it wont change anything
+Steven Mamba "The society prepares the crime..the criminal commits it"
Ndo maana hata leo hii watu wameekewa sehemu za kuvukia barabara salama mfano "zebra cross" lakini hawazitumii badala yake wanajivukia ovyo sehem wanazotaka.
*Maana ya mfano hapo juu ni kua Matatizo ya Tanzania yanatokana na mfumo ulioandaliwa au kutengenezwa na Taifa (Tanzania) ndio maana unakuta makosa hayo.
poln
That's very great and inspiring !!
Dah mo hongera sana Mungu wako akutie nguvu sana kwa elimu hii nimejifunza kitu kikubwa. Nataman sana kufikia malengo hayo
Salama please interview more great people like MO instead of bongo flavor artists only
But so far it's the best show I've ever watched.big up
M
very inspiring interview
Hapo nimekukubali Mr mo ni kweli kumsema MTU kuwa ni mchafu ni dhambi mbaya sana hata Bwana Yesu alikataza kuwahumu wengine Mathayo 7:7
Wow thanks Mohammed Dewj. Dah you have inspired me a lot.
Nemeipenda Sana mungu naomba unfungulie pazia LA mafanikio napia usinipe majivuno pale nitakapo fanikiwa 🙏🙏🙏🙏
Mita ya nguo milion 100 duh ! Kwa siku/mwezi/mwaka br ? Wonderful hongera sana
mashaallah kaka upo vizur Allah akulinde hilo na lingine
Umenifundisha kitukikubwa MO M'Mungu akulinde akupe Afya njema miaka mianane
Kama bado unatazama hii 2023 gonga like
Allah akupe uzima uko uliko wakuachie ukiwa salama, najikuta nalia kwa mtihani huu uliokukumba, Allah mfanyie wepec mja wako aachiwe akiwa salama.
more dewj lov u and keep it up.... binadam tumezoea kukosoa ucjal ndyo chachu ya maendeleo yako na kwetu sote hakuna aliyekamilika..........
Naipenda interview hii 👍🏾✅
Eti namm sikumoja ntakaa niesabu ata million nne🙏🙏🙏🙏
Usiogope Ndugu
Mashallah tabarakallah mungu akubarikii akuepushe na hasad☝Baraka allah fikk❤
Mungu nakuomba mlinde huko alipo arudi salama na watekaji Mungu husika kikamilifu najua ww wajua kila kitu kuhusu mor ww ulie mlizi wa kila kiumbe Mungu wa mbingu na ardhi wafedheheshe hawa waliomteka huyu kijana
Eeh M/Mungu Naomba umlinde Huko aliko na utusaidie Apatikane Inshallah
Sijawahi kumsikia mo ata ugomvi na mtu yeyot, MUNGU MSAIDIE HUKO ALIKO AWE SALAMA, AMIN
ameen
HADI SASA???
MANARA WALIKOSAN
Daaagh yani brother wangu umeniamsha akili yangu sanna na hadi sasa sijui upo wapi Umeniwachia Majiraha makubwa sanna na Namuomba mungu Akulinde na kila sharii By Salim Mohammed Awamy from znz
Mchz anaongea lugha ya kupata pesa tu safi sana afu anasema pesa ipo kwenye kilimo na kwenye biashara let me deal with kilimo ooh my God
set
on
mo nikichwa chakuingwa
Yaaa Allah mfanyie wepesi Mo Dewji arudi salama yaliyompata huyu ndio yalimpata Dr Shika. Najisikia vibaya sana
Eeweeeeeh_🤔
2021
So good, Who’s watching in 2021?
Mo anaupendo sana
Mashaallah mashaallah
Very inspiring story from a fellow African.
🤗🤗jaman maneno yapo good san mmenifungua tumacho thanks mkasi na mo😗
Hongera,nimetazama kutoka Kenya,mwapendeza sana,mungu alinde Mo
Jamani mo,Mungu akulinde urudi salama.nanyie watekaji hamna huruma kabisa Mungu awalaani.
Salama na Team yako....Uwelewa wenu wa mambo ya biashara ni mdogo sana kuweza kum-interview MO ila hongereni kwa kujaribu na kupata opportunity hiyo.
pumbavu ww kamu interview ww
@@adamrafikimwambuluma3288 In true broo
yahhhh nasonga mbele tu safi sana MO ni dawa ni hiyo!!
Alhamdulilah Mo kaachiwa. Oman tumekuombea dua sana
interview bomba kuliko zoteeeee....dah!inatia moyo sana
Nimeelewa zaidi kuhusiana na hilo na nmpenda sana ndg. yangu Dewji MOO
Duh! Learned a lot!!!! Bonge moja la interview👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
safi sana kaka angu mungu akuongezee inshaalah
Excellent mr mo
Meo amenisibitishia anasema amekopa mabilioni ya pesa yenye riba nafuu m mungu anasema inamilango mingi na mlango mdogowao ni sawasawa na kumzini mamaako mzazi
Masha Allah
Mimi ndiyo leo nimepita kibahati tu na nimependa sana maelezo yake na hasa ukizingatia body language unakuja kuta anachokisema KINAMTOKA MOYONI
Allah y tawil umrak✋lkn towaa sadaka sanaa brother mungu akuhifadhy na akulinde na hasad👍👍👍❤❤❤
2020...nan yuko hapa
I'm proud of him mungu akupe afya bora MO 😄😄😄
Good inspiration MO well done we'll still love you too
U are an inspiration👋
Hii interview naiangalia mpaka Sasa 2021
Maa Shaa Allah ❤
inaumiza sana mungu akusaidie tunakuombea sn
Mungu akupe afya daim
mashaAllah mungu akulinde mahala ulipo na upatikane salama Allah kareem
Aisee watu wapo smart naangalia sana clips za hii interview sikuwaza kama aliongea 9 years ago mwamba ni inspirational🏌️♂️
best interview ever in mkasi
jamaa anaongea points tu
very inspiring....thanks for the show
I feel for him and his family. Pray for him to be found safe and sound InshaAllah
2019 aise mpaka tajiri anakopa milioni 800 bado hazitoshi unaongeza bilioni 600 Ndio nafuu
Daaaaah Mungu saidia jamaa apatikane,kila binadamu ana mapungufu yake cha msingi tusamehe yane ..............!
Upo vizuri deuji
thanks Salama kwa hakika nimepata faida kubwa leo
Daaa Mungu akulinde😭😭😭😭😭ulipo mpaka nimelia
Very bright chap, Tanzanians should put him in leadership
Wewe rudisha ujuaji huku kwetu
Mohammad you are the man of people
Pongezi zangu kwa Team "MkasiTv".. Ongezeni interview na watu tofauti kama hii hapa. sio star wa muvi na miziki tu. nice job. Salama is an amazimg person
😁😁😁Mo amesharudi mm nitaamia singindaa
Very educational interview