Mungu akujaalie EZdEN,mimi ni salmoo nimsanii uliwahi nisaport ukiwa kiss fm,kwa sasa nami nimebreak kwa sababu za kiimani kama ulivyo wewe,ninastudio ila nitaanza kurekodi muziki wa jamii wenye faida na si kupotosha na matusi,
Hakuna mziki wenye faida akhy mziki ni kharam kwa namna yyte ala za muziki ni kharam fuatilia kwa makin kwa masheikh wakubwa wenye elimu ya kutosha sio watu wa madufu, tafuta ambacho kina faida dunian na akhera, tumuombe Allah atuongoze njia iliyonyooka
Hata Mwenyezi Mungu Huleta mvua kwa 7bu ya makundi mawili (i) Wanyama - kwa ajili ya malisho na maji (ii) Watu wenye umri kuanzia miaka 40 Mwenyezi Mungu Ndiye Mjuzi zaidi
@@deboramartin8111 Acha uongo dada kucomment usichokijua na Mchops nae kazaa nae mtoto gani loh 🤣🤣🤣 Ndoa ya ķwanza ni Baba yake Samira Kuna Dida wa Mchops Kuna Dida wa G Kuna Dida wa Ezdon Mkisi Mwisho Dida wa Kumbi la Moto Haya mama mliozaliwa juzi muulize msikurupuke kujibu msivyovijua
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Huyu jamaa ana roho nzuri sana . Achana na mbele ya kamera, hajifanyishi ni MTU safi hata ktk maisha ya kawaida.
Yeah kweli kbs
Kaka big up sn mungu akupe mwisho mwema na pia akupe Afya njema yakuendelea kutupa vipindi vizuri kwenye jami
MashaAllah Allah akulipe kwa nia yako kuhama kwa ajili ya Deen❤
Mashaallah Allah akutangulie Inshaallah
MashaAllah Allah make easy for you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Brother uko vizuri halafu huna majivuno
Oooh kumbe unawake wa 2 oooh maashaallah
Mashaallah, huyu kaka anaeleweka anachoongea tunajifunza kwakweli
Maa sha Allah, he is so fine
Ezden nampenda saana!! Kwa maigizo ya gafra katika kuongea , year !! Kipaji kipo hapa!! Kweli
Mashallah Jamaa mzuri kweli
Mungu akujaalie EZdEN,mimi ni salmoo nimsanii uliwahi nisaport ukiwa kiss fm,kwa sasa nami nimebreak kwa sababu za kiimani kama ulivyo wewe,ninastudio ila nitaanza kurekodi muziki wa jamii wenye faida na si kupotosha na matusi,
Hakuna mziki wenye faida akhy mziki ni kharam kwa namna yyte ala za muziki ni kharam fuatilia kwa makin kwa masheikh wakubwa wenye elimu ya kutosha sio watu wa madufu, tafuta ambacho kina faida dunian na akhera, tumuombe Allah atuongoze njia iliyonyooka
Mtangazaji mmh....!
Au basi.
Edzen upo vizur balaaa
Hiii pia imenijenga Sana Sanaa
Mtangazaji swiiii habbari yote ameimaliza ezden haha wewe unatishaa tunakushukuru sana juma nne unaelimisha sana
Thanks my brother
Nikweli ukisha fikisha miaka 40 akili ndio Zina komaaa zaidi hata kimaendeleo
Kwa kwel😀😀😀😀😀😀
Hata Mwenyezi Mungu Huleta mvua kwa 7bu ya makundi mawili (i) Wanyama - kwa ajili ya malisho na maji (ii) Watu wenye umri kuanzia miaka 40
Mwenyezi Mungu Ndiye Mjuzi zaidi
Yan mm nilipo fika 25 akili ilikua kubwa
Wee mtangazaji muongo Sana.
Kwakweli unaongea eeh 😊
Mtu handsome
Kawaida tu mbona
@@khadidjasuleiman8006, naongea kwa ladha yangu
@@nahyialetomia9284 🤣🤣eti Ladha sikuwezi 😁😁🥺
@@khadidjasuleiman8006, Jummah Kareem
@@nahyialetomia9284 asant na kwako pia 🥰
Duh 🥺 kumbe Ezden aliwahi kuwa mume wa didah Duh Mungu atunusuru
Huyu ndie aliezaa na dida mtoto mmoja samira
@@deboramartin8111 mbona mitandaoni wanasema huyu niwa 3 duh Mungu atukinge
@@khadidjasuleiman8006 dida ameolewa mala nne huyu ni wa kwanza baba samira kwa jina kamilo mchopsi
@@deboramartin8111 mungu anilinde na kuachika achika🥺🥺
@@deboramartin8111 Acha uongo dada kucomment usichokijua na Mchops nae kazaa nae mtoto gani loh 🤣🤣🤣
Ndoa ya ķwanza ni Baba yake Samira Kuna Dida wa Mchops
Kuna Dida wa G
Kuna Dida wa Ezdon Mkisi
Mwisho Dida wa Kumbi la Moto
Haya mama mliozaliwa juzi muulize msikurupuke kujibu msivyovijua
Zali mvi siyo ukubwa
Huyu mtangazaji naye hajui kuuliza maswali
Kwa kweli. Yani alivyoanza tu ovyo kabisa.