MUNGU akubariki saana, umekuwa mwalimu wangu tangu nikujue, na tatizo langu kubwa nidhamu inapungua, unakuta napanga jambo au lengo lkn nidhamu ya kufanya jambo ilo kwa mwendelezo inapungua. Ila leo nimeamua kuanza upya katika mambo ambayo nimekosea kufanikiwa. MUNGU akubariki saana
kwa kweli ndugu Joel mimi nimefarajika sana na malengo uliofundisha na kwa kweli mimi ninaona kwa upende wangu nilikuwa nikifanya makoso sana kwani nilikuwa sina malengo ya kuweze kuchagua marafiki wenye tija na mmm na vile vile nilikuwa sina nidhamu katika matumizi yangu lakini kwa kweli sasa nimejifunza. ahsante sana . Mungu akupe upeo zaidi ya zaidi
Nimefurahi saaana hili somo na ntakuwa naludia Mara nyingi video ili kila ntakachofanya nifanye kwa vitendo elimu tunayopata hata vyuoni haifundishwi na unatufundisha bila malipo mungu amekuleta kwa namna ya tofauti elimu ya kujitambua ni ya msingi saaana kuliko hata elimu ya darasani asante saaana nanauka
Nidhamu ya muda ni muhimu sana kuanza nayo. Time is everthing, zingine zitafuata baada tu ya kupangilia muda wangu vizuri. Knowledge is power God bless u
Asanteni Joel wewe sasa ndo mwalimu wangu muhimu sana katija maisha!!! Mimi nipo chuo kikuu lakini naona kabisa elimu ninayopata hapa ni nzuri sana na haipatikani mashuleni!! Nimeipenda na ninafanyia kazi Mungu azidi kukubariki Mimi nimependa nidhamu ya malengo .lkn kiukweli zote ni muhimu sana naweza kusema ni vizuri kuwa nazo zote kwasababu zina husiana sana
Asante Kaka joel kwa elimu yako inayonitia nguvu naimani unanitengeneza kua bora zaid ya hapa nilipo ,muda marafik Na midham ya fedha naendelea kuvifanyia kaz
Nimeshukuru kwakweli kaka Ungonjwa wangu ni kwenye nindam ya vipaombele Na matumizi ya muda nachukia sana kuzikosa hiz kakaangu Ubarikiwe saana kwa kuniongezea thamani
Salute Mzee,huliyosema nimeyasikia na nikweli kabisa ,Shida yangu Mimi nimekuwa mtu wa huruma sana na hicho naona nikama kinanifanya nistaki ktk maendereo nifanyeje? Lakini yote hulioyazungumza kiukweli nimshukuru Mungu niliyafaamu kabla kutokana na mapito niliyo pitia.
Mh asante san kaka kwa hili somo jmn yani mimi hapo vitu vyote ulivovitaja vinanihusu kuzingatia 1-6 sana ....you can help me to ascape from those things ..... GOD bless you my Brother . sijui nikuite Doc Joeli maan sio kwa sindano hizi
Ukweli ni kwamba kama ingekuwa nimeambiwa nimebakiza siku moja ya kuishi ningeutumia muda kwa nguvu zangu zote na kujutia mambo ambayo sikuyafanya ktk muda niliokuwa nao kuliko niliyoyafanya.. Somo hili ni adhim limegusa maeneo mengi ktk maisha.. Mungu akuzidishie
Ahsante sana,Shida yangu sina rafiki yoyote,wale ambao natamani wawe ni marafki ni watu ambao wapo busy sana kukutana nao ni vigumu.Lakini naendelea vzr na mafundisho yako.
points zote ni logical kabisa na wakati mwingine zinategemeana. ntajifunza zaidi kadri ninavyoendelea kupata dondo hasa bullet ya 4 (Self development). Its so inspiring you know! hongera Ndg. Nanauka. Quotation "education will make a leaving but self development will make your fortune, Jim Lone" impact fully in daily life.
Sir joel "nitangulize shukurani kwako kwa elimu ulionipa saiv naweza jisimamia mwenyewe na kuna marengo niliwek na nimefanikisha ila kuna vitu sjaviweza sijui nashindwa nn "1:bajeti 2:nidhamu ya fedha na3:muda ila hili naliweza maana niweza kujali muda " shauri hapa joel
Thank you broo Joel, umenifundisha kufanya self-evaluatio. Na nilichojifunza kikubwa ni kuwa "My net friend is my net worth " nadhani eneo la kushughulikia sana kwangu kwa wakati huu ni eneo la marafiki.
nidhamu ya muda na kueka malengo ni nidhamu kubwa sana kwani huwezi tumia muda vzuri ikiwa hujajua unataka kufika wapi... thank you bro Joel I learn something... u are my inspiration.
Nafikiri au kwauhakika kama ningekuwa natoa uprofessor au doctrine yaheshima ningekupa but siwezi ila nakupa uprofessor katika kutusaidia sisi vijana katika kutupa relevant education katika maeneo muhimu ya maisha nasema ASANTE SANA kunasiku nikifanikiwa takukumbusha kuwa huu ni mchango wako
Kaka nashukuru kila unachofundisha Kama vile unaona ninachotafuta wakati huo,namshukuru Mungu kwa ajili yako, naamini siku moj nitaonana na ww, Ana kwa Ana,
Mungu akubariki sana
Tangu nimeanza kukufuatilia naona kufunguka kwenye ubongo wangu.
Ninachangamoto kweye budget, marafiki, vipaumbele
MUNGU akubariki saana, umekuwa mwalimu wangu tangu nikujue, na tatizo langu kubwa nidhamu inapungua, unakuta napanga jambo au lengo lkn nidhamu ya kufanya jambo ilo kwa mwendelezo inapungua. Ila leo nimeamua kuanza upya katika mambo ambayo nimekosea kufanikiwa. MUNGU akubariki saana
kwa kweli ndugu Joel mimi nimefarajika sana na malengo uliofundisha na kwa kweli mimi ninaona kwa upende wangu nilikuwa nikifanya makoso sana kwani nilikuwa sina malengo ya kuweze kuchagua marafiki wenye tija na mmm na vile vile nilikuwa sina nidhamu katika matumizi yangu lakini kwa kweli sasa nimejifunza. ahsante sana . Mungu akupe upeo zaidi ya zaidi
Asante sana kwa mafundisho mema natamani kufahamu rule of 50,30,20 msaada
Natamani kuwa bora zaidi katika nidhamu ya Fedha na kipaumbele
asante sana kwa somo zuri. nidhamu ya mda imenigusa sana inabidi nichukuwe hatua
marafiki ndio watu wameweza kunirudisha nyumaa be blessed bro video is awesome
Ahsante sana Joel wish siku moja tutaonana maisha yangu sasa yanabadilika kila siku, your my mentor.
Nimefurahi saaana hili somo na ntakuwa naludia Mara nyingi video ili kila ntakachofanya nifanye kwa vitendo elimu tunayopata hata vyuoni haifundishwi na unatufundisha bila malipo mungu amekuleta kwa namna ya tofauti elimu ya kujitambua ni ya msingi saaana kuliko hata elimu ya darasani asante saaana nanauka
That's true
lomeo mbata Ahsante kwa kuwa mfuatiliaji mzuri na kufanyia kazi.Nakutakia mafanikio Makubwa zaidi 2019
@@joelnanauka amina
Kutimiza malengo kwa wakati
Nashukuru sana nimejifunza kitu ntaanza kuweka malenngo
Asante sana kaka kwa mafundisho mazuri sana. Mungu azidi kukubariki na kukuepusha na mabaya yote.
Asante kwaushauriwako nimejifunza kitu sasa
Mr Joel, huwa unanibariki Sana kwa makala zako. Mungu azidi kukuinua na kukupa ufahamu zaidi
Thanks brother Joel,umenifundisha vizur
Somo zuri sana Kaka katika swala zima la muda kwakweli nahitaji msaada mkubwa sana
Hakika kaka Joel Mungu akuzidishie baraka... Maana masomo yako mazuri...
Asantee sana nimejifunza somo zuri marafiki wanarudisha nyumaa na wanarokho za wivuu
Ahsante kwa ujumbe mzur Nina shida kwenye nidham ya fedha na marafiki
Nidhamu ya muda ni muhimu sana kuanza nayo. Time is everthing, zingine zitafuata baada tu ya kupangilia muda wangu vizuri. Knowledge is power God bless u
zuhura Abdilah safi sana tafuta pia video niliyoelezea vitu vinavyoiba Muda wako
Asanteni Joel wewe sasa ndo mwalimu wangu muhimu sana katija maisha!!! Mimi nipo chuo kikuu lakini naona kabisa elimu ninayopata hapa ni nzuri sana na haipatikani mashuleni!! Nimeipenda na ninafanyia kazi Mungu azidi kukubariki
Mimi nimependa nidhamu ya malengo .lkn kiukweli zote ni muhimu sana naweza kusema ni vizuri kuwa nazo zote kwasababu zina husiana sana
Ahsante saaana kwa mafundisho yako. Nitayafanyia KAZI.
dah mada nzuri sana me nimependa nidhamj ya fedha na kuweka malengo
Asante kwa masomo mazuri,Mungu akubariki sana .
Nakufatilia sana na kujifunza sahii nashukuru sana mungu akuobariki kwa kazi nzuri
Asante Kaka joel kwa elimu yako inayonitia nguvu naimani unanitengeneza kua bora zaid ya hapa nilipo ,muda marafik Na midham ya fedha naendelea kuvifanyia kaz
AMEN NASHUKURU ❤❤🎉
Nimeshukuru kwakweli kaka
Ungonjwa wangu ni kwenye nindam ya vipaombele
Na matumizi ya muda nachukia sana kuzikosa hiz kakaangu
Ubarikiwe saana kwa kuniongezea thamani
Hkk kaka Joel point zote nitazizingatia kbsa.
Be blessed more yamkin najifunza mengi pitia kwako .
Asante Sana ndugu
Nakushur kk kwa elim yako naimani itatusaidia ktka maisha yet kama tutazingatia
Umebadilisha maisha yangu
Nakushukulu sana umebadlsha maisha yangu kutokana na semina zako
Salute Mzee,huliyosema nimeyasikia na nikweli kabisa ,Shida yangu Mimi nimekuwa mtu wa huruma sana na hicho naona nikama kinanifanya nistaki ktk maendereo nifanyeje?
Lakini yote hulioyazungumza kiukweli nimshukuru Mungu niliyafaamu kabla kutokana na mapito niliyo pitia.
Mmmh... Bro uko vzr saan hapa nimejifunza nidham ya marafik wasio na maan kweny maisha yang
thanks sana Mr.Joel eneo la marafiki ndilo nitaanza nalo
Mh asante san kaka kwa hili somo jmn yani mimi hapo vitu vyote ulivovitaja vinanihusu kuzingatia 1-6 sana ....you can help me to ascape from those things ..... GOD bless you my Brother . sijui nikuite Doc Joeli maan sio kwa sindano hizi
Ama kweli Mungu akubariki sana kaka...kwa elimu muhimu namna hii..
Nice teachings, ahsante bro masomo yako yananifundisha sana
Ibzan Ruheta nashukuru sana,pamoja
Kweli kaka unatu inspired sana mungu azidi kukupa nguvu tunufaike na matunda yako
Joel umetuvusha watu wengi sana. Keep this up for the benefit of swahili listener all over the world. Barikiwa.
Pando Emmanuel Ameen kaka,endeela kuniombea kaka🙏🏻
Kweli tujiwekeze kusoma vitabu tuongeze maarifa... Ahsante Nanauka..
Nakukubali sana brother Joel unansaidia sana ubarikiwe
Thank you joel, nilikua na changamoto juu ya displine ya muda na vipaumbele now i know what to do
Asante sana ndugu yangu kila leo napata kuwa mpya kwa mafundisho sahihi. Mungu akubariki kaka... Endelea kutumegea mafundisho mteule.
Nidhamu ya muda hapa ndo naona ni mhimu sana kwangu kuaza nayo Asante kaka
Hakika nahitaji mabadiliko makubwa ktk utendaji wangu. Asante sana.
Beatrice Mapembe 👏👏👏
Kuwa na maisha marefu mwalimu
Asante mwanangu sikuwa najua chochote kuusu mpangilio WA Maisha Mungu akubaliki ssna
Asante Sana kaka,, umenisaidia Sana kujitambua natakiwa niweje,, natangaza kubadilika kuanzia sasa naanaza na nidhamu ya muda√ then marafiki√
Safi sana kwa Elimu nzuri kaka hii ni jambo nimeanza kulifanyia kazi mwaka huu naamini miaka 5 ijayo nitakuwa mbali kimaisha kwa kujiwekea malengo
Ukweli ni kwamba kama ingekuwa nimeambiwa nimebakiza siku moja ya kuishi ningeutumia muda kwa nguvu zangu zote na kujutia mambo ambayo sikuyafanya ktk muda niliokuwa nao kuliko niliyoyafanya.. Somo hili ni adhim limegusa maeneo mengi ktk maisha.. Mungu akuzidishie
Omary Shafii ni vizuri umejua mapema Omary,ni Muda sasa wa kuanza kutumia kila sekunde yako vizuri
Marasfiki nimeipenda itanifunza
Iam very proud of u afrucan conitinent we need people genious like u 20/05/2022
Shukran sana imenisaidia
Mungu hakupe maisha mrefu ndugu
Nidhamu ya fedha tatizo sana kwangu,pamoja muda
Nimehudumiwa sana nahitaji kujenga nidhamu zote sita kwa usahihi kabisa!
Umetisha kaka yangu umenifanya niwe mtu wakubana pesa ndugu sasa hivi niko poa sana asee mungu akubariki sana
Hilary Godfrey 💪💪💪
Mimi binafsi ya na Sita muhimu sana
Kaka Joel Mungu akubaliki xnaaa kwanii tnajifunzaa mengi xnaaa kutka kwako ,hakika Mungu azidii kukulindaaa Kaka Joel!!!
Nimefurahia sana sana mafundisho yako,naomba nisaidie juu ya nidhamu ya fedha na marafiki
Nidhamu ya kwanza na pia ya mwisho Asante sana.Mimi ni mpeenzi mkubwa sana ya kazi zako.please let see each other at the top
Ahsante sana,Shida yangu sina rafiki yoyote,wale ambao natamani wawe ni marafki ni watu ambao wapo busy sana kukutana nao ni vigumu.Lakini naendelea vzr na mafundisho yako.
Nidhamu ya kujifunza,na nidhamu ya pesa ni changamoto kwangu ,be blessed bro nimepona nw
points zote ni logical kabisa na wakati mwingine zinategemeana. ntajifunza zaidi kadri ninavyoendelea kupata dondo hasa bullet ya 4 (Self development). Its so inspiring you know! hongera Ndg. Nanauka. Quotation "education will make a leaving but self development will make your fortune, Jim Lone" impact fully in daily life.
Nashukuru kwa mafundisho yako naitaji kitabu chako nipo kigoma
Naitaji malengo yakutunza pesa pamoja na marafik maana mm sinabaati marafiki asante
Ubarikiwe sana kwakuniongezea ujuzi,nitafanyia kazi
Josée Faida Butu Ameen nashukuru sana
Sir joel "nitangulize shukurani kwako kwa elimu ulionipa saiv naweza jisimamia mwenyewe na kuna marengo niliwek na nimefanikisha ila kuna vitu sjaviweza sijui nashindwa nn "1:bajeti 2:nidhamu ya fedha na3:muda ila hili naliweza maana niweza kujali muda " shauri hapa joel
Unabarikiwa upeo kaka, nimefatilia sana speech zako.
Asante Mwalimu wangu
Mambo ya msingi sana haya kaka. Asante kwa kuitumikia vyema jamii yetu. #Powerful
Ezden Jumanne Ahsante sana Ezden,pamoja sana
asante Nataka nianze namuda
kaka nakuona tena uku basi WOTE NI FAMILIA MOJA
Kaka Ezden nyie watu ndo mnatubadilisha sana kutoka Maisha mabaya kwenda mazuri🙏
Thank you broo Joel, umenifundisha kufanya self-evaluatio. Na nilichojifunza kikubwa ni kuwa "My net friend is my net worth " nadhani eneo la kushughulikia sana kwangu kwa wakati huu ni eneo la marafiki.
natakiwa kuwa makini na muda
Asante Ndosi safi sana,anza kulifanyia kazi mapema kabisa ni kuchelewa
Kaka nashukulu Sana umenibadilisha sAna
Aseeeee nilikuwa wapi Mimi ila sijachelewa Sana,nmekuelewa bro Joel naamka Sasa.
Aiseee hili moja kati ya masomo bora kabisa kwenye mwanzo wa mwaka huu” i wish kila mtu angeskiza
EntertainmentVevo safi sana naamini Kila atakayesikiliza litamfaa
nidhamu ya muda na kueka malengo ni nidhamu kubwa sana kwani huwezi tumia muda vzuri ikiwa hujajua unataka kufika wapi... thank you bro Joel I learn something... u are my inspiration.
Mungu akujaze nguvu uendelee kutujenga ndugu yangu
Mungu akubariki sana unafungua mengi
Hili somo ni zr Sana nimekuelewa Kaka Joel shukran
rahemah Rahemah nashukuru,pamoja sana
Umenibadilishaaa sanaaa
Nimekuelewa sana kaka kwangu mim nidhamu ya muda imekuwa ikinisumbua sana, naahidi ntalifanyia kazi kuanzia sasa.
Uko vizur chifu wewe unajua sanaa
Be blessed kaka Joel Ilike ue work much
Pamoja na mafundisho mazuri kaka.Umependeza sana.
Clara Prosper nashukuru sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Asante kwa kutupa elimu nzuri
Asee haya madini sana kaka Joel. Asante kwa kunifunza. Video imeisha haraka haraka. Vile nilitamani niendelee kuskiza😀😀
Marafiki na matumizi ya pesa your the best nanauka I hope kwa kukusikiliza nitapiga hatua inshallah, ubarikiwe 🤝
Ntakapofika pale know dat u ar ma coacher, god bles u snc nakufatlia nafeel changes a lot
Ahsante sana mm nahitaji kitabu chako.
spriano simponda wasiliana na 0756094875 utakipata
@@joelnanaukaelimu unayonipa siwezi kukulipa ila mungu atakulipa zaidi..
toka nianza kukufatilia na miez minne sasa lakn na mabsdiliko makubwa sana tena sana,shukran nanauka,kuwa na nidham ya fedha ni msing sana
Juma Seif safi sana Juma Nafurahia kusikia hivyo kwa kweli
Nafikiri au kwauhakika kama ningekuwa natoa uprofessor au doctrine yaheshima ningekupa but siwezi ila nakupa uprofessor katika kutusaidia sisi vijana katika kutupa relevant education katika maeneo muhimu ya maisha nasema ASANTE SANA kunasiku nikifanikiwa takukumbusha kuwa huu ni mchango wako
Marafiki ndy shida kubwa katika kuharibu malengo yko,wanataka ufate taratibu zao ukikataa unaambiwa una maringo pia unajidai.
Hapo kweny fedha,vipaombele na marafiki nahitaji mabadiliko makubwa sana
Kaka nashukuru kila unachofundisha Kama vile unaona ninachotafuta wakati huo,namshukuru Mungu kwa ajili yako, naamini siku moj nitaonana na ww, Ana kwa Ana,
nashukuru bro joe ubarikiwe sana
50,30,20 hii mbinu imenisaidia sana mwana jana 😍
Pastor Joel, Praise Jesus Christ.. I love the lessons you teach us. Nimeanza kuweka malengo na kuwekeza(nidhamu ya fedha) ahsante kwa elimu,
Joel sio pastor. Is he?
Nidhamu Ambayo kwangu ni changamoto ni matumiz ya pesa na marafiki wasioendana na maono yangu
kweli kaka, nimekuelewa, marafiki waliniponza sana mwaka Jana, ila tangu nianze kukusikiliza nimewaacha nasonga mbele, barikiwa sana
MYGODISGREATER Abraham safi sana 👏👏👏
Mungu akupe maisha mlefu zaidi
Kujiepushana na malafiki Ambo hawana mtazamo wa maisha ya mbele
Safi sanaaa 👏👏👏
Nataka niaze kutumia muda wangu vizuri
Nimejifunza kitu #be_blessed