BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 274

  • @Chimatujr-uj4vu
    @Chimatujr-uj4vu 25 дней назад +1

    Nahitaji vitabu vyako naomba update

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  25 дней назад +1

      @@Chimatujr-uj4vu 1. USTAWI WA BIASHARA. ( softcopy)
      Utajifunza namna ya kuanzisha na kukuza biashara yenye mafanikio makubwa, Taratibu za Biashara Tanzania.
      .
      Kwenye kitabu hiki utapata MAWAZO YA BIASHARA zaidi 200 kwako muajiriwa, mwanafunzi wa chuo, usiye na mtaji na uliye na mtaji.
      Badala ya 20,000 sasa ofa ni Tsh 10000 tu
      .
      2. ELIMU YA BIASHARA NA FEDHA. (softcopy)
      Hiki kitabu utapata nondo muhimu juu ya Elimu ya fedha. Utajifunza mambo ya akiba, mikopo, madeni, uwekezaji, UTT. Pia kwenye biashara utajifunza juu ya kuongeza mauzo,Sponsored ads nk.
      Badala ya 20,000 sasa ofa ni Tsh 10000 tu
      .
      3. SAYANSI YA MALENGO
      Hiki unakihitaji mno ili ujue Mbinu za kupanga na kutimiza MALENGO yako. Kina mbinu za kukusaidia kupanga na kujilazimisha kutimiza malengo
      Badala ya 20,000 na kwakua huu ni mwanzo wa mwaka kina umuhimu kwako utakipata kwa ofa ya 8000 tu
      .
      4. FURSA ZA BIASHARA NA MACHIMBO
      Hiki kina Mawazo ya Biashara zaidi ya 200 na machimbo ya Biashara na number zake.
      Badala ya 20,000 sasa ofa ni Tsh 15, 000 tu
      .
      Ofa ya Vyote kwa ujumla tuma 30,000 tu nikutumie vyote vinne.
      .
      Chagua kitabu unachohitaji au chukua ofa ya vyote kisha lipia kwenda lipa number 5122948 voda au Tigo pesa 0710387388 (Kelvin Kyaluoko) kisha tuma message whatsapp kwa namba hiyohiyo nikutumie vitabu hivi.

    • @avelindaniel2692
      @avelindaniel2692 22 дня назад

      Good ​@@kelvinkibenje

  • @kelvinkibenje
    @kelvinkibenje  Год назад +39

    Asante sana kwa kutazama n ku_like video hii. Asante pia kwa kusubscribe ili kuendelea kujifunza juu ya Elimu ya Fedha na bishara kupitia video ninazopost hapa

  • @SamiAlphonce
    @SamiAlphonce 4 месяца назад +1

    Ahsante kwa elimu,naomba kuunganishwa na group lako ,ili kupata maarifa zaidi.

  • @martinshirima2303
    @martinshirima2303 17 дней назад +1

    I like the background flower ❤

  • @michaelmakaranga5877
    @michaelmakaranga5877 Год назад

    Katika video bora za hamasa na maarifa mazuri ambazo nimeziangalia 2024 hii ni bora kwangu, umezungumza sehemu sensitive sana zote zipo kwenye malengo yangu. Nimetafuta mentor muda mrefu sana, lengo langu ni kuwa millionaire before 30.. Naomba mawasiliano yako uwe my life coach .. All the best kka una maarifa makubwa sana💥💥💥

  • @mariaisaya7413
    @mariaisaya7413 11 месяцев назад

    Asante sana,mi naomba unisaidie kwenye biashara ya urembo,nianzaje,machimbo yake na mtaji nisaidie nijue pakuanzia

  • @gaitandaudy8561
    @gaitandaudy8561 7 месяцев назад +3

    Nashukuru sana 🙏Brother kwa elimu yako unayotupa kiukweli unatusaidia sana vijana ambao bado tunajitafuta.
    Tunaomba mawasiliano kama ikitokea tunahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara au hata E-mail yako ili tuweze kupata updates zako..

  • @LennySilas-jo3oj
    @LennySilas-jo3oj 10 месяцев назад +2

    Asante sana kumbe sasa kuna wengine hatuna connection za kuagiza china😢

  • @jacksoo_tz
    @jacksoo_tz 3 месяца назад

    Bro ahsante sana...nakipataje hich kitabu

  • @festoamos_tz
    @festoamos_tz Год назад

    Yes! Kwa idea hizi ni lazima kutoboa.. asante kwa elimu hii adimu sana💪

  • @Faraja-f5j
    @Faraja-f5j Год назад +1

    Shukrani sana mwalimu ..so many apreciation

  • @HilaryMassawe-y7s
    @HilaryMassawe-y7s 4 месяца назад

    Bro nimekupata vzr sana

  • @adamlukasofficialmusic
    @adamlukasofficialmusic 10 месяцев назад

    asante kaka kwa ujumbe mzuri naomba nierekeze niwe naagiza mzingo china naanzaje

  • @EssauMbata
    @EssauMbata 2 месяца назад

    Fantastic, I need you book

  • @AndersonLeheni
    @AndersonLeheni 5 месяцев назад +1

    Nakupata Sana bro vp namna ya kuingiza kupitia Alibaba

  • @garanijohn2842
    @garanijohn2842 2 месяца назад

    Safi sana , uwanja mzuri wa kubadilishana mawazo. Niunge

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 9 месяцев назад +1

    Barikiwa sana

  • @FredrickSeshahu
    @FredrickSeshahu 3 месяца назад

    For today umenilisha madini makubwa sana .Thanks 🙏 more my blood

  • @HawaKawawa
    @HawaKawawa Месяц назад

    Ahsante mchanganuo mzuri wa hizi biashara

  • @SesiliaThadeo-mo9fj
    @SesiliaThadeo-mo9fj 4 месяца назад +4

    Na wew ni miongoni mwa matajir hao???

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 Год назад

    Mr kelvin asnte sana naiman ntafanikiwa kwauwezo waAllah kupitia elmu hii

  • @RosemaryDaniel-l3n
    @RosemaryDaniel-l3n 4 месяца назад

    Nashukuru nimejifunza kitu muhimu sana kweny maisha nilichokuwa sikifahamu ila nahitaji hicho kitabu nakipataje

  • @nasmamagambo
    @nasmamagambo 6 месяцев назад

    naitaji kuanza biashara kaka naitaji nguvu yako ❤

  • @LUPIMO_TV
    @LUPIMO_TV Год назад

    Pamoja, barikiwa sana 🤝

  • @GodfreyGerase
    @GodfreyGerase 5 месяцев назад

    Asante sana mr kelvini mimi nina ombi lakini nikijarbu kukutafta youtub sikupati sipati mawasiliano nawewe nilikua naomba msaada kwajo

  • @ObeidJilala
    @ObeidJilala Год назад

    Hongera nimependa uwasilishaji wako ubarikiwe

  • @neemamoses291
    @neemamoses291 10 месяцев назад

    Unamadini mazuri sana,tafazari naomba namba ako brother

  • @GasperCharlz
    @GasperCharlz 23 дня назад

    Uko vzuri sana, nahitaj mawasiliano ako

  • @carolinekombo1976
    @carolinekombo1976 2 месяца назад

    Niunganishe kaka katka biashara

  • @EdinaAbel-k8h
    @EdinaAbel-k8h 5 месяцев назад +1

    😊nahtaji kujiunga na madarasa yako ya kujifunza kuagza bidhaa china ,,naomba utaratibu upoje

  • @TumwamineLivingstone
    @TumwamineLivingstone 10 месяцев назад +1

    Please naomba kuwa wanafunzi wako wa darasa la WhatsApp (naomba link )

  • @nicksonmadinga9465
    @nicksonmadinga9465 5 месяцев назад

    Uko vizuri kaka unaeleweka , uko well informed naomba namba yako tuwasiliane

  • @CosmasNgoya-p3l
    @CosmasNgoya-p3l 5 месяцев назад +1

    Safi sana kwa ushauri wako ambao ni dira nzuri sana kwangu .naomba nipate phone No yako kwa mawasiliano zaidi

  • @robertmgori8165
    @robertmgori8165 Год назад

    thanks brother for your lesson

  • @FADHILIMOHAMEDI-k7m
    @FADHILIMOHAMEDI-k7m Месяц назад +2

    Mimi ni mlemavu nanimjasiliamali ndogo nilikuwa nahitaji msaada wakuendeleza biashala yangu

  • @ElizabethGabriel-j6e
    @ElizabethGabriel-j6e Год назад +2

    Natamani biashara ya kununua mazao na kuuza ila natamani kupata elimu zaidi

  • @RehemaGhamachana-oy1ez
    @RehemaGhamachana-oy1ez 4 месяца назад

    Shukrani, nitaanza vipi biashara ya viwanda.

  • @WillbardKimario
    @WillbardKimario 5 месяцев назад +1

    Thanks for good lesso

  • @JamesKimela
    @JamesKimela Год назад +1

    Asante.binafsi kitambo naangaika kujua,na kuingia ktk biashara ya usafirishaji ila nakwana kutokana na kujuana na tabia za ukabila,.naomba nisaidie kwa hilo ukiweza..naweza kukutafuta inbox,ukinikubalia

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  Год назад +1

      Changamoto zipo kila mahali na wafanyabiashara wakubwa ni kujua tu namna ya kukabiliana na hizo changamoto

  • @User255tv
    @User255tv 5 месяцев назад

    Nimeishia 1:36 kukusikiliza. Asante sana.

  • @judithpaul-kz4ov
    @judithpaul-kz4ov 9 месяцев назад

    Asanteee Ila naomba kusaidiwa kuusu mtaji naanza je?

  • @Rehema-p8f
    @Rehema-p8f 16 дней назад

    Be blessed 🙏

  • @GozibertAntony
    @GozibertAntony 3 месяца назад

    Kaka nashukuru kwa huduma naomba uniunge kwenye group

  • @ElizabethGabriel-j6e
    @ElizabethGabriel-j6e Год назад +2

    Natamani biashara ya mazao kununua na kuuza ila elimu zaidi Sina kuhusu hii biashara

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  5 месяцев назад

      @@ElizabethGabriel-j6e kwenye page yangu nilieleza vizuri

  • @Udindigwa
    @Udindigwa Год назад

    Amina Ujumbe Mzuri

  • @Saúdeainesaide
    @Saúdeainesaide 2 месяца назад

    Mimi napenda somo ya kibiaxara

  • @Malsad67
    @Malsad67 4 месяца назад +2

    tunaitaji watu kama ww bro ongera sana kwa darassa

  • @JosephTogolai-wl2bw
    @JosephTogolai-wl2bw 7 месяцев назад +1

    Nashukuruuu but mm mwenyew nahitaji ushauri kwa sababu ndo natarajia kuanza biashara zangu wakati huo huo Nina mtaji mdogo

  • @crispingerald3000
    @crispingerald3000 11 месяцев назад

    Naomba namba nahitaji kitabu bro

  • @AshaKahuya
    @AshaKahuya 7 месяцев назад

    Kaka kelvin hbar nawezaje kuagiza bidhaa kupitia alibaba or aliexpress kwa mimi ninae anza kufanyaa biashar naomba nisaidie please

  • @ModestaNyagawa
    @ModestaNyagawa 6 месяцев назад +2

    Towa namba tuwasiliane jamani

  • @KijaJohn-h9v
    @KijaJohn-h9v Месяц назад

    Safi kaka🎉🎉

  • @kadondoinvestment4480
    @kadondoinvestment4480 5 месяцев назад

    Hi bro, nimekupenda bure, naomba uniunge kweny teregram, nataman kwenda china

  • @hawadijasini7213
    @hawadijasini7213 Год назад

    Ahsante mkuu

  • @AsiaMfinanga-h5h
    @AsiaMfinanga-h5h 5 месяцев назад +1

    Kama kuna group naomb uniunge

  • @omaribingwe5739
    @omaribingwe5739 2 месяца назад

    Niunganishe kk kwenye group nipate elimu

  • @RanjitShirima
    @RanjitShirima 5 месяцев назад

    Mungu akubariki kaka

  • @Nurumaulid-x4s
    @Nurumaulid-x4s 4 месяца назад

    Naitaj namb kak niwez kujiunga namim kweny group

  • @MohamedNgamba
    @MohamedNgamba 2 месяца назад +1

    Nahitaji popcorn machine bro naipataje

  • @stern_boi
    @stern_boi 4 месяца назад

    Kaka natamani kumiliki app naanzaje ili wazo lixiibiwe

  • @mohamedkhalid-bg8tk
    @mohamedkhalid-bg8tk 2 месяца назад

    Kaka naomba niunge kweny telegram channel yako

  • @FarajiHaruna
    @FarajiHaruna 28 дней назад

    Biashara ya kwenda China kununua bidhaa viwandani nifanyeje brother naomba namba yako ya simu

  • @rykd7868
    @rykd7868 6 месяцев назад +2

    Nahitaji msaada wako mwezi watisa natafuta frem nianze biashara sijui niuze Nini Niko mwanza

  • @BenedictMwaibasa
    @BenedictMwaibasa Месяц назад

    Asante kwa mawazo mazuri

  • @JosephOchieng-hj7fg
    @JosephOchieng-hj7fg 3 месяца назад

    Kaka naomba uniunge kwenye group

  • @FlankNyikonde
    @FlankNyikonde Месяц назад

    Nimeelewa sana

  • @MwanaMmmm
    @MwanaMmmm Месяц назад

    Mie nataka huy.mchongo wa china naomba namba zako

  • @AbdulIterere
    @AbdulIterere 6 месяцев назад +1

    Mm nataka kufanya biashara ya kilimo

  • @NicholasJoseph-sn8ij
    @NicholasJoseph-sn8ij 5 месяцев назад

    Sauti iko chini Sana mpaka inabidi tukuondoshe.

  • @DavidMazila-pr4lz
    @DavidMazila-pr4lz 2 месяца назад

    Nisaidie kujiunga kwenye group lako

  • @FADHILIMOHAMEDI-k7m
    @FADHILIMOHAMEDI-k7m Месяц назад +1

    Habali kaka

  • @EstherCharless-uf5bh
    @EstherCharless-uf5bh Год назад

    Asante San nimepata kitu

  • @REHANIDRESAY
    @REHANIDRESAY 11 дней назад +1

    Nitumie namba yako

  • @OmyDear-vc8rc
    @OmyDear-vc8rc 10 месяцев назад +1

    Hiv broo km ntak kifungua kaz ya uwakal

  • @AshaKahuya
    @AshaKahuya 7 месяцев назад +1

    Nanitawezaje kujua supplier mzuri ni yupi ilikuepuka namtapeli

  • @user-gc9wb2pv9mallya
    @user-gc9wb2pv9mallya Год назад

    link ya group my brother

  • @Nkwimbajisena-v7d
    @Nkwimbajisena-v7d 22 дня назад

    Asante sana kaka

  • @Ngoshawamkaya
    @Ngoshawamkaya 5 месяцев назад

    Barikiwaaa

  • @PhilipoPeter-ip3ug
    @PhilipoPeter-ip3ug 26 дней назад +1

    Forex TU ndio biashara rahisi jifunzeni trading

    • @VictorNyaki
      @VictorNyaki 18 дней назад

      Kwann wewe wataka tu kufanya biashara rahisirahisi sasa

    • @cablemedia7691
      @cablemedia7691 17 дней назад

      Kabisa

  • @RehemaJackson-v2c
    @RehemaJackson-v2c Год назад

    Kaka nahitaji na me kujoin kwenye group la wasap ili nijifunze zaidi

  • @VictoryParis-oy6op
    @VictoryParis-oy6op 10 месяцев назад

    Kaka naomba unisaidiye niweze kuagiza mzigo china

  • @JustineJames-t4u
    @JustineJames-t4u 4 дня назад

    Naomba mawasiliano nahitaji unipe elimu ya kuagiza bidhaaa nje ktk kampuni ya alibaba.

  • @TumainiMalirojustin
    @TumainiMalirojustin 2 месяца назад

    Napenda niende china ila sijuwi wapi nianziye,naitaji maelekezo mutangazaji

  • @FaridaNyenza-f8b
    @FaridaNyenza-f8b 14 дней назад +1

    Ukitaka kufa maskini jichanganye kwenye kilimo

  • @MariusWangao
    @MariusWangao 5 месяцев назад

    Hiyo ya kununua viwanja na kuuza na iyo ya kuagiza mzigo china nimezipenda sema mtaji ndio tatizo mkuu lakin ningehitaji namba yAko kwA mawasiliano zaid

  • @JumaaDossa-rq5jb
    @JumaaDossa-rq5jb 6 месяцев назад +1

    Mm nahitaji kitabu

  • @erickelias-i1k
    @erickelias-i1k 4 месяца назад +1

    Nahtaji kujifunza biashara za usafirishaji

  • @SuleimanBakar-w5l
    @SuleimanBakar-w5l Месяц назад

    Nahitaji ufafanuzi juu ya biashara ya kuagiza bidhaa njee ya nchi

  • @Nkwimbajisena-v7d
    @Nkwimbajisena-v7d 22 дня назад

    Me nahitaji kitabu

  • @JamesYuda-y3b
    @JamesYuda-y3b 5 месяцев назад

    Kivipi kutengeneza app na kufanya app furani kukulipa kwa ushauli vichekesho na uelimishaji

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 Год назад +1

    Wewe kaka nimeanza kukufatilia huu nimwezi wa 2 sasa yani nimejifunza mengi mnoo nakufunga kiakili mungu anibariki nijiunge ili niwe mwanafunzi wako umebarikiwa na mungu azidi kukubariki na akupe uhai mkubwa

  • @PaulIyaka-o9x
    @PaulIyaka-o9x 4 месяца назад

    Vizuri sana kamoja namba nambaa yako ya mawasiriano

  • @GabrielLaizer
    @GabrielLaizer 6 месяцев назад +1

    SUPER

  • @SalmaMmbaga-sp6hk
    @SalmaMmbaga-sp6hk 7 месяцев назад

    Naomba namba Yako pleas brother

  • @revokatusMichael
    @revokatusMichael 4 месяца назад

    Naomba namb kiongozi

  • @RachelSungura
    @RachelSungura 2 месяца назад

    Niunge kwa group kaka

  • @DamianaEmmanuel
    @DamianaEmmanuel 9 месяцев назад

    Kitabu cha kilimo mim nahtaji

  • @fadozedontz3359
    @fadozedontz3359 2 месяца назад

    Niunge kwa group

  • @Elikiyosaki_
    @Elikiyosaki_ 5 месяцев назад

    Well said

  • @ImanueliMsafiri
    @ImanueliMsafiri 7 месяцев назад

    Kaka me naitwa I'ma Niko mkoa wa Kilimanjaro naomba namba yako nataman kufanya biashara ya vyombo vya umeme ila kutoka nnje ya nchi