- Видео 66
- Просмотров 455 167
Kelvin Kibenje
Танзания
Добавлен 10 окт 2020
Karibu Kwenye channel ya Kelvin Kibenje.
Mfanyabiashara na mkufunzi wa Elimu ya Biashara na fedha.
Subscribe ili kupata mafunzo ya Biashara, fedha na Maisha kila siku yatakayokufanya kuwa bora na kukua kiuchumi.
Mfanyabiashara na mkufunzi wa Elimu ya Biashara na fedha.
Subscribe ili kupata mafunzo ya Biashara, fedha na Maisha kila siku yatakayokufanya kuwa bora na kukua kiuchumi.
Biashara zenye mafanikio makubwa kwa Mabinti na wanawake kuanzia mwaka 2024
Biashara zenye mafanikio makubwa kwa Mabinti na wanawake kuanzia mwaka 2024
Просмотров: 3 731
Видео
Unataka kupata mkopo? Yajue haya mapema kabla ya kuchukua mkopo
Просмотров 59721 день назад
Unataka kupata mkopo? Yajue haya mapema kabla ya kuchukua mkopo
Mambo ambayo hupaswi kuyapuuza kama kijana unayetaka Mafanikio.
Просмотров 1,7 тыс.Месяц назад
Mambo ambayo hupaswi kuyapuuza kama kijana unayetaka Mafanikio.
Namna ya kufanya Biashara Bila mtaji au kwa mtaji Mdogo
Просмотров 2,6 тыс.5 месяцев назад
Namna ya kufanya Biashara Bila mtaji au kwa mtaji Mdogo
Kelvin Kibenje alivyoalikwa na Benki ya CRDB kumwanga Madini kwa wafanyabiashara. Utapenda
Просмотров 4866 месяцев назад
Kelvin Kibenje alivyoalikwa na Benki ya CRDB kumwanga Madini kwa wafanyabiashara. Utapenda
Mambo ya kuzingatia kabla ya kwenda China. Nauli ya kwenda China, Hoteli, Chakula, gharama za maisha
Просмотров 4,4 тыс.7 месяцев назад
Mambo ya kuzingatia kabla ya kwenda China. Nauli ya kwenda China, Hoteli, Chakula, gharama za maisha
SAFARI YA CHINA. Machimbo ya China, viwanda china, utamaduni wa China pamoja utalii wa Kibiashara
Просмотров 1,2 тыс.8 месяцев назад
SAFARI YA CHINA. Machimbo ya China, viwanda china, utamaduni wa China pamoja utalii wa Kibiashara
Biashara zinazolipa Zaidi Mtandaoni. Biashara za mtandaoni / online Business
Просмотров 2,7 тыс.8 месяцев назад
Biashara zinazolipa Zaidi Mtandaoni. Biashara za mtandaoni / online Business
KUWA MAKINI : Ukipuuzia haya unaweza kuingia matatani au kwenye Majuto Makubwa
Просмотров 1,3 тыс.8 месяцев назад
KUWA MAKINI : Ukipuuzia haya unaweza kuingia matatani au kwenye Majuto Makubwa
KANUNI / NJIA ZA KUPATA MAFANIKIO YA BIASHARA NA FEDHA
Просмотров 3,9 тыс.9 месяцев назад
KANUNI / NJIA ZA KUPATA MAFANIKIO YA BIASHARA NA FEDHA
Namna ya kugawa mtaji wa Biashara Kitaalam
Просмотров 3,6 тыс.9 месяцев назад
Namna ya kugawa mtaji wa Biashara Kitaalam
BIASHARA ZENYE FAIDA KUBWA ZINAZOLENGA Mahitaji YA WATOTO
Просмотров 3,3 тыс.10 месяцев назад
BIASHARA ZENYE FAIDA KUBWA ZINAZOLENGA Mahitaji YA WATOTO
NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA
Просмотров 6 тыс.10 месяцев назад
NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA
NAMNA YA KUBADILI MAISHA YAKO NDANI YA MWAKA MMOJA KUPITIA MALENGO
Просмотров 1,4 тыс.10 месяцев назад
NAMNA YA KUBADILI MAISHA YAKO NDANI YA MWAKA MMOJA KUPITIA MALENGO
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
Просмотров 86 тыс.11 месяцев назад
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
BIASHARA 15 ZA MTAJI MDOGO ZENYE MZUNGUKO MKUBWA NA FAIDA KUBWA
Просмотров 72 тыс.11 месяцев назад
BIASHARA 15 ZA MTAJI MDOGO ZENYE MZUNGUKO MKUBWA NA FAIDA KUBWA
AINA ZA WATU AMBAO HUPASWI KUWAKOPESHA PESA ZAKO.
Просмотров 1,5 тыс.11 месяцев назад
AINA ZA WATU AMBAO HUPASWI KUWAKOPESHA PESA ZAKO.
Namna ya Kupanga na kutimiza malengo yako ya Kifedha na Maisha #TBC #kelvinkibenje #AminaHaighai
Просмотров 1 тыс.11 месяцев назад
Namna ya Kupanga na kutimiza malengo yako ya Kifedha na Maisha #TBC #kelvinkibenje #AminaHaighai
Namna ya Kubadili Instagram ya kawaida kuwa ya Biashara. #kelvinkibenje
Просмотров 3,1 тыс.11 месяцев назад
Namna ya Kubadili Instagram ya kawaida kuwa ya Biashara. #kelvinkibenje
SHERIA ZA FEDHA ZITAKAZOKUPA MAFANIKIO
Просмотров 2,1 тыс.Год назад
SHERIA ZA FEDHA ZITAKAZOKUPA MAFANIKIO
Mazingira na watu wa kuepuka ili Ufanikiwe
Просмотров 905Год назад
Mazingira na watu wa kuepuka ili Ufanikiwe
JINSI YA KUFANYA MATANGAZO YA SPONSORED ADS KWA USAHIHI FACEBOOK NA INSTAGRAM
Просмотров 7 тыс.Год назад
JINSI YA KUFANYA MATANGAZO YA SPONSORED ADS KWA USAHIHI FACEBOOK NA INSTAGRAM
FANYA HAYA KUPATA UHURU WA KIFEDHA _ Kelvin Kibenje #kelvinkibenje #fedha
Просмотров 487Год назад
FANYA HAYA KUPATA UHURU WA KIFEDHA _ Kelvin Kibenje #kelvinkibenje #fedha
Kelvin Kibenje : Mbinu za kujenga Utajiri
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
Kelvin Kibenje : Mbinu za kujenga Utajiri
NJIA ZA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI / MAWAZO YA BIASHARA - Kelvin Kibenje
Просмотров 3,5 тыс.Год назад
NJIA ZA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI / MAWAZO YA BIASHARA - Kelvin Kibenje
HATUA KWA HATUA NAMNA YA KUBADILI FACEBOOK ACCOUNT YA KAWAIDA KUWA PAGE
Просмотров 16 тыс.Год назад
HATUA KWA HATUA NAMNA YA KUBADILI FACEBOOK ACCOUNT YA KAWAIDA KUWA PAGE
Tabia zinazoleta Mafanikio _ Kelvin Kibenje #mafanikio #kelvinkibenje
Просмотров 1,2 тыс.Год назад
Tabia zinazoleta Mafanikio _ Kelvin Kibenje #mafanikio #kelvinkibenje
Pata imani ya kufanya makubwa. Ukaribisho _ Kelvin Kibenje.
Просмотров 2 тыс.Год назад
Pata imani ya kufanya makubwa. Ukaribisho _ Kelvin Kibenje.
Mambo ya kufanya unapopitia kipindi kigumu _ Kelvin Kibenje #usikatetamaa
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
Mambo ya kufanya unapopitia kipindi kigumu _ Kelvin Kibenje #usikatetamaa
Maeneo Ambayo fedha zimejificha _ Kelvin Kibenje
Просмотров 3,7 тыс.Год назад
Maeneo Ambayo fedha zimejificha _ Kelvin Kibenje
Saw broo
Sijawahi hata moja
Ubarikiwe kaka mi nataka chimbo la chupi na heleni cheni
Hvi NMB kuna account ambayo naweza kuweka akiba kipindi ambacho nina hela tuu Kama sina nikija kuweka wasinikate maana nilikaa muda mrefu bila kuweka pesa baada kama miez sita nkaanza kuweka wakanilamba zote sina hamu nao hadi leo natamani kuchoma kadi😢😢
Vicoba ni nzur sana ❤❤❤
Nimeelewa sana
Acha uogo mbuz mkubwa
Ahsante bro!
Mimi naitw Leah nipo simiyu nina mtaji wa laki nne lakn nipo kijijini nawaza kufanya biashara
Juice na matunda🎉
Kaka Kelvin mambo vip Naomba unipe namba yako ya simu
nmeelewa biashara ya juice naomba maelekezo zaidi
Naomba kujuwa napataje viza nagharama ya viza nikiasi gani naomba naomba muongozo
Nisaidie namna ya kuangiza biashala nje
Safi kaka🎉🎉
Mm nataka nianze biashara ya genge niwe na shi ngap
Asante sana kaka yangu sisi wote ni watoto wa Samia thanks God bless you
This is powerful
Asante sana
Niunge kwenye group
Asante sana kaka
Asante pia
3:50
🙏🙏🙏🙏
Mpesa wekeza
Hii mpya Na ni nzuri
Barikiwa sana sir
Kufungua kampuni ya usafi msaada tafadhari
Nahitaji namba zako za WhatsApp
Kk namba
Thank for advance
Asante kwa ushauri wa biashara lakini nyingine ni ngumu kuzifanya kwa Tanzania yetu maana yanahitaji connection kwa mfano tender ya chakula au usafi ,utakuta zina wenyewe kampuni moja au mtu moja anarundikiwa kazi nyingi kwa sababu tu wana connection. Kupata hizo biashara bila mtu wa kati siyo rahisi kihivyo.
Account yangu haina mbona
Ahsante mchanganuo mzuri wa hizi biashara
Kuuza matunda na juice
Blessed sir
Nahitaji chimbo la viatu vya watoto mchnganyiko boys and girls, pamoja na chimbo la toys
Day care
Habar
Biashara ya matoi ya watoto na urembo au mapochi
Mm napenda kupika kwaoda nisaidie
Niagize kariakoo ila nahitaji kujua machimbo
Mungu akubariki sana, usichoke kutupa madini📌📌📌
Salama namba namba
Kupika kwa deliver
Yaani mie ni ndoto yangu kuwa mama ntilie wa kishua, yaani hiyo ya deliver napenda sana na kuuza mikoba
Mimi naomba uni mark nitakuja nifanye testmony kubwa kwako🔥🔥 December lazma nilipie darasa
Content creation nimeanza
Mimi ni mlemavu nanimjasiliamali ndogo nilikuwa nahitaji msaada wakuendeleza biashala yangu
Habali kaka
Kaka Mimi nimeipenda sana kazi ya kuuza pochi na mikoba ya akina dada naomba unisaidie jinsi ya kuana na chimbo lake pia