NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Kuna Hatari sana kama usipoweka Akiba kwa ajili ya kesho yako.
    .
    Video hii Utajifunza njia zitakazokusaidia kuweka Akiba na baadae Kuwekeza.

Комментарии • 70

  • @teddytemu2897
    @teddytemu2897 Месяц назад +2

    Vicoba ni nzur sana ❤❤❤

  • @rehemamlawa6937
    @rehemamlawa6937 17 дней назад +1

    Asante sana kwa somo la kuweka akiba,
    VIKOBA na fixed account nimependa🙏
    Ubarikiwe

  • @doreenipape2218
    @doreenipape2218 3 дня назад

    Njia ya tatu nimeipenda naomba unifundishe

  • @samsonsityo5956
    @samsonsityo5956 Месяц назад +1

    VICOBA NA UPATU ni nzuri sana

  • @melaniaphilemon3435
    @melaniaphilemon3435 Месяц назад

    Asante sana nimetamani njia ya tano nilikuwa naomba unipe elimu kidgo juu ya hiyo njia

  • @SALAMAJuma-s1s
    @SALAMAJuma-s1s Месяц назад

    Ok broo kwa ushauri nzur sana

  • @NeemaNgowi-t8n
    @NeemaNgowi-t8n 13 дней назад +1

    Nmejifunza kitu hapa ubarkiwe brother

  • @MathaLeoh
    @MathaLeoh 13 дней назад

    Amina kaka

  • @nathanaelMtegwa
    @nathanaelMtegwa 11 месяцев назад

    Nimejifunza na nitatendea kaz ,shukran san mwalimu wetu ❤❤

  • @HadijaMhando-n8e
    @HadijaMhando-n8e Месяц назад +1

    Vikoba safi sanaa

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 7 месяцев назад

    Barikiwa zaidi kaka kiukweli unanibariki

  • @aminaabdallah5170
    @aminaabdallah5170 Год назад

    asante kwa somo zuri, natumia upatu ila ningependelea utufundishe namna ya kuwekeza kwenye mifuko kama utt

  • @fabulouslillah9898
    @fabulouslillah9898 Год назад +1

    Vicoba 🙏

  • @MwajumaAbdulhamid
    @MwajumaAbdulhamid Месяц назад

    Njia ya 3 iko vizuri zaidi

  • @reginaadriano2970
    @reginaadriano2970 Месяц назад

    Emeelewa❤️

  • @Loyoutfit
    @Loyoutfit 10 месяцев назад

    Points 🎉🎉

  • @mahmoudmtanga8448
    @mahmoudmtanga8448 Месяц назад

    Nashukuru kwa elimu nzuri. ila pia kwanini usingekua unatengeneza audio books

  • @JimmyFabian-ci6wr
    @JimmyFabian-ci6wr 20 дней назад +1

    Naomba nisaidie kujua kuweka kwenye UTT

  • @upendolairumbe889
    @upendolairumbe889 Год назад

    Napenda vikoba

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 26 дней назад

    Ja asisti este video tao especially porque desperta atencao de grand evolucao

  • @MariamManoko
    @MariamManoko Год назад +1

    Nimeipenda njia ya kaunda group la watu mnao fahamiana then mkaweka mkakati wa kila mtu kuonyesha pay slip pale anapokua aneweka akiba

  • @ArianaEmmanuel-i9c
    @ArianaEmmanuel-i9c 2 месяца назад

    Asante sana kaka

  • @EuniceChonya-x7r
    @EuniceChonya-x7r 16 дней назад

    Assnte kaka

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara Год назад +1

    🙏🏾

  • @josephaugustino646
    @josephaugustino646 4 месяца назад

    Yaan mm huwa nashindwa kuweka akiba niliweka kwenye kibubu ikitokea shida tu naitoa asante nmeelewa kaka

  • @lilykingo609
    @lilykingo609 Год назад

    👏👏👏🙏

  • @kabonakabona8121
    @kabonakabona8121 Месяц назад +1

    Dr naomba niwe miongon mwa watu unaowasimamia kwenye kuweka helaaaa

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 2 месяца назад +1

    Mpesa wekeza

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 Год назад +2

    Nimeipenda ile njia ya kusimamiwa na mtu ninaemuheshimu kutoa kuweka sarving acount siwezi kutoa bila huyo mtu

  • @FrankoFikiri
    @FrankoFikiri Год назад +1

    Mm njia ya fixed acaunt

  • @MicholethAmandas-oi1qj
    @MicholethAmandas-oi1qj 3 месяца назад

    Mm naomba unifundishe Ile ya kikoba

  • @theodorajohn9474
    @theodorajohn9474 Месяц назад

    Hela ya mshahara ikatwe moja kwa moja nipe maelekeza kk

    • @franklinisaya4796
      @franklinisaya4796 Месяц назад

      Ukienda bank huduma kwa wateja Kuna form utapewa ya kujaza

  • @EzilyMunyi
    @EzilyMunyi 4 месяца назад

    Njia ya vikoba

  • @neemasamba9633
    @neemasamba9633 16 дней назад

    Upatu

  • @witnesezekiel5454
    @witnesezekiel5454 Месяц назад

    Ushaur wako ni mzr San ,nimeipend hiyo Hiyo fix accaunt ndio ipoje

  • @MakoyeMabihya-Tz
    @MakoyeMabihya-Tz 15 дней назад

    Broo samahan hivi nawezaje kutunza boom langu ili ku avoid kuisha mapema pasipo kufanya vitu vya msingi

    • @Bekaberico
      @Bekaberico 11 дней назад +1

      Wekeza tu nunua hisa

    • @MakoyeMabihya-Tz
      @MakoyeMabihya-Tz 11 дней назад

      @Bekaberico nipe somo zaidi kaka kuhus namna ya kununua hizo hisa

  • @jenifakessy-nd6tl
    @jenifakessy-nd6tl 11 месяцев назад

    Nameipenda hiyo ya kutafuta mentor wa kunisimamia!

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 Год назад

    Mie nmependa ya kikoba ntajitahidi nianze

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  Год назад

      Anza ni vizuri. Tafuta vilivyosajiriwa na ambavyo pesa inawekwa bank ya kikundi sio account ya mtu binafsi au mtu kukusanya

    • @omanjalan582
      @omanjalan582 Год назад

      @@kelvinkibenje Saw Mr kelvin nitaanza nashukur pia ushaur wako Mzur

  • @rynekiswaga4597
    @rynekiswaga4597 Год назад

    Nimependa fixed account, sijui naipataje

  • @teddytemu2897
    @teddytemu2897 Месяц назад +1

    Hvi NMB kuna account ambayo naweza kuweka akiba kipindi ambacho nina hela tuu Kama sina nikija kuweka wasinikate maana nilikaa muda mrefu bila kuweka pesa baada kama miez sita nkaanza kuweka wakanilamba zote sina hamu nao hadi leo natamani kuchoma kadi😢😢

    • @pendothomas7258
      @pendothomas7258 Месяц назад +1

      Nenda ukaulizie pre paid kadi Haina Makato ni ya NMB

    • @teddytemu2897
      @teddytemu2897 Месяц назад

      Sawa Ahsante ​@@pendothomas7258

  • @zainakhalid3843
    @zainakhalid3843 8 месяцев назад

    Iyo hakiba inakua na faida pale ukifkia tamati ya kutoa ela yko?

  • @jompoultryfarm7012
    @jompoultryfarm7012 6 месяцев назад

    Sasa kwa sisi wa mikoani tunapataje kikoba

  • @farajamwanisawa488
    @farajamwanisawa488 Год назад

    Fixed account IPO vipi mkuu

  • @paulinamasanja
    @paulinamasanja 11 месяцев назад +1

    Nataka hicho kikoba ulichopo ww

  • @LeunideMtimbuka
    @LeunideMtimbuka 8 месяцев назад

    🙏🙏