Asante sana nashukru Mungu ktk vitu ambavyo nina ziro ni kushindana na mtu naishi vile Mungu alivyonijaalia na simuonei wivu mtu akinizidi maana naamini kila mtu ana ridhiki yake na ni kwa wakati wake na pia si kila mtu anakuwa anavipata kwa njia ya kawaida kwa kulijua hilo hata iweje cwezi kushindana na mtu kamwae Alhamdulillah
Mie napenda sana kujifunza vitu 🎉
Asante kwa Onyo 🎉🎉✍️🇨🇩
Mafundisho yko yanazidi..kunifnya hodari...kw...kila hatua asante sana coach Joel 🙏👍
YES JOEL"" WAZUNGU WANAMSEMO USEMAO"" DO YOUR PASSION ".......NA SIO MATIKI ,,AU NYANYA ZINALIPA AU BAMIA ....DO YOUR PASSION AND YOU WILL CONCUR
Imeelewa somo mwalimu
Nimejifunza
Asante sana nashukru Mungu ktk vitu ambavyo nina ziro ni kushindana na mtu naishi vile Mungu alivyonijaalia na simuonei wivu mtu akinizidi maana naamini kila mtu ana ridhiki yake na ni kwa wakati wake na pia si kila mtu anakuwa anavipata kwa njia ya kawaida kwa kulijua hilo hata iweje cwezi kushindana na mtu kamwae Alhamdulillah
Amina🎉🎉🎉
Somo zuri limebadilisha mtazamo wangu
Asante everyday napata kitu kutoka kwako mollah akuwekee sana na barakaka tele
Luv u joel❤🎉
Asante kwa Ujumbe mzuri, Barikiwa!
Truth man of God.
Asante sana kwa chakula ya akili.
Aminaa
Kwa kweli hapo kunakitu Cha kuchukua 🎉
Unazungumzia maisha.yangu
Asante sana kaka
Asante coach Joel nimejifunza kitu mungu azidi kukubariki 🙏🙏
Asante sanaaaa😊😊😊
Shukran joel ❤❤ nimejifunza kaka joel ❤❤
Completion ñdio kitu kinachonipa furaha kila xiku kadri Mungu anavyonibariki
Asant sana kaka ubarikiwe
Hallelujah 😢Ahsante sana
Nashukuru kwa mafunzo mazuri yamenisogeza hatua kubwa ubarikiwe
Brother umeongea sana
Kaka wewe Tanzania ni icon
Ni nzuri sana
Àsante sana kaka Joel
🙏🙏🙏🙏 Barikiwa sana
Hakika kaka nimelipenda some la leoo
Thanks bro Mola akuzidishie maarifa
Sahihi kabisa. Appreciate brother Joe
Thanks Sir.
Wewe ni kiboko
Kwel kabsa kaka ❤❤❤
Strive to be the best and not the first!!! Thanks life coach
Ansanteh kwa ushauli wako
Somo lawatu wazima ✊✊
🙏🙏
Asante
Asante sana mentor.
Strive to be the best not the first
👍
Huwezi kupanda juu kwa kumchukia mwingine
See U At the Top🍁
Harmonize na Diamond😂😂
Ssfi bro
❤❤❤
Waooooooo
Kaka Joel Nanauka ulichosema ni ukweli asilimia mia
natokea kenya naomba ufanye video kama hizi kwa wingi sababu ni za muhimu sana mafunzo yako ni bora na mauthui yake kweliu
Video ni nyingi ni wewe tu na wakati wako wa kufatilia
🙏🙏