Mambo ya kufanya unapopitia kipindi kigumu _ Kelvin Kibenje

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 16

  • @florencesospeter6947
    @florencesospeter6947 Год назад +1

    Asante sana Sana kwa ujumbe mkuu mm napitia wakati mgumu Sana kwa Sasa 😢nmemalza chuo mwaka huu nlkuwa na project yang ya uwakala +ps games chuo Ila wakat wa mwez wa saba nlienda dar kusalmia nkamuacha rafk yang aniangalizie akala mtaji akakimbia😢😢😢😢 istoshe mchumb Wang 😂a chuo nae anamimba na saiv tupo wote tumepata room yakuishi chanik100,000 ofisi ya ps 90,000 na bado hatuna jina biashara ngumu tunaingiza almost 4k kwa siku Yan hata cjui nianzie WAP ,nlkuwa nawaza side hustler nyingne ambayo itanipunguzia majukumu ,na Ni experience na walimu mzuri wa mathematics but nmemaliza chuo bachelor ya account na information technology ,nsaidie wazo la biashara ntobea mkuuu😢😢😢😢

  • @upendolairumbe889
    @upendolairumbe889 Год назад +1

    Umenitia moyo ahsante sana mkuu

  • @berthasande8554
    @berthasande8554 Год назад +1

    Asaantee kwa ujumbe mzurii umeniongezea ujasiri ♥️♥️

  • @mickThadon
    @mickThadon Год назад +1

    Asante Sana kwa SoMo zuri 👏👏

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 Месяц назад

    Kaka naomba msaada wa namba yako

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 Год назад

    Mshauri kujiua sio moja ya utatuzi wa matatizo?

  • @emmanueljoseph6171
    @emmanueljoseph6171 Год назад +2

    Nicheki kwenye message kuna ujumbe wako

  • @ShabanLubale
    @ShabanLubale 11 месяцев назад +1

    Nimewahi kukutana na mtu huyu anae sema nikopeshe harafu jioni nitakurejeshea.jioni imefika zikaanza sound

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  11 месяцев назад

      Hii ni biashara nzuri kwako sababu kadhaa,
      kwanza inagusa watu wengi zaidi kuliko biashara za nguo aina nyingine kama vile Jeans,Tshirt,magauni au suit zenye watu wake na hobbies zao lakini sio kwa nguo za ndani ambazo hao wote hapo ndani wamevaa kati ya boxer,braa, chupi,vest n.k .
      .
      Zaidi ya 90% ya watu wote duniani wanavaa nguo za ndani kuanzia mtoto mchanga na maisha yake yote.
      .
      Pia nguo za ndani HAZINA MSIMU,muda wote zinanunulika, hivyo utauza muda wote.
      .
      Hii ni biashara ambayo inahitaji kiasi kidogo cha mtaji na kianzio hicho kinakupa faida zaidi na zaidi.
      .
      Hii ni biashara Ambayo ukiwa na mtaji wa kuanzia laki mbili tu unaweza kupata mzigo mkubwa.
      .
      Nguo za china ndio bidhaa nzuri zaidi kwa mfanyabiashara kupatia pesa kuliko zinazotoka sehemu nyingine yoyote duniani hasa kwa Tanzania.
      .
      Ila kama una wateja wako unaweza uza za popote ila kama unaanza nashauri anzia za China.
      .
      Sababu kubwa ni kwamba zinauzwa bei rahisi . Kwa mfano biashara ya chupi ili ukue kimtaji kwa haraka zaidi basi uza za china na sio za sehemu ingine . China ndio utapata chupi zile zinauzwa 1000,1500,2000/- kwa pic 1 . Na hizi bei ndio ambazo watu wengi zaidi ya 80% au 90% wanaweza kuzimudu.
      .
      Kwa hio kwa % hizo umeishaona namna soko ambavyo ni pana. Kama utaamua kuchanganya na bidhaa nje ya china basi weka kidogo na nguvu kubwa iwe china ,fanya hivo ili kuchukua wateja wengi zaidi .
      .
      Fanya hii biashara upige pesa.
      .
      Kama una Uwezo agiza Moja kwa moja China alafu uzia wafanyabiashara na Wajasiriamali kwa jumla. (kama hujui kuagiza china hakikisha hukosi darasa la mwezi wa tano nitafundisha na kukupa Agent& suppliers wa china)
      .
      Kama mtaji bado mdogo nenda kariakoo mtaa wa mchikichi na gogo, Mchikichi na sikukuu huko kuna machimbo bei rahisi.
      .
      Hii biashara si lazima uwe na frem, unaweza kuzungusha majumbani, kuuza online, kuwa na kibanda kidogo, Duka au kuuza gulioni.
      .
      Umewahi kuifanya hii biashara?
      .
      Umejifunza? Umeipenda. Share!

    • @mwajumafadhili9268
      @mwajumafadhili9268 Месяц назад

      ​@@kelvinkibenjekaka nisaidie namba yako

  • @naumikabila5880
    @naumikabila5880 11 месяцев назад

    Yan kitu kinacho consume energy yangu ni makosa ya nyuma yan nashindwa kuyasahau huwa yananiumiza sana

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  11 месяцев назад

      Unapaswa kujifunza kuachilia na kusonga mbele