JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Pamoja na nguvu ya Mungu iliyokua juu ya Mariamu mpaka kuumba kitu ndani, Mariamu alijifunza kufunga mdomo.Kitu cha muhimu na cha kuzingatia, jifunze kufunga mdomo. Sio kila anayekupongeza kwa mazuri yako, anakufurahia kutoka moyoni.Mariamu hakumueleza kila mtu kuhusu kitu alichokibeba, kulikua na mtu sahihi aliyeandaliwa ku-share naye jambo lake. Elizabeth aliandaliwa kwa ajili ya Mariamu.
Ukiona unatumia nguvu kubwa kumshawishi mtu aamini kuhusu maono yako, ujue hajaandaliwa kwa ajili yako. #PastorSunbella#Jifunze#KukaaKimya
Mungu nisaidie kuanzia leo ninyamaze kwa jina lá yesu
Mungu nipe neema ya kunyamaza ni tatizo langu kubwa nawashwa San mungu wa madhabau hii nifundishe kunyamaza
Mungu atusaidie jaman
Kuanzia Leo nitajifunza kukaa kimya ktka maisha yangu god bless you
Ni vizuri sana na mm nakuombea kheri kutoka kwa mwenyezi mungu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Amen 🙏 mtumishi wamungu,kuanzia leo nitakaa kimyaa 😷
Hakika nimejifunza pia
Napenda unavyofundisha neno Mungu
From experience nimejifunza kunyamaza kwa yote, nimepitia usaliti mwingi maishani but nashukuru Mungu cz it made me Wiser, my life and secrets are safe with God! Asante kwa kunikumbusha haya
Eee mungu🤲 nisaidie kutambua jinsi ya kutunza Siri, nawoto nilio waambia yasiyo stahili, Mungu naomba uni epushie Hatar zote mbaya wanazo niwazia ktk maisha yangu Emen🙏
Wamesahau kwa jina la Yesuu!
@@viddamgeneka8881 🙏 Amen Asante nashkulu 💯🙏
Mungu nifundishe kukaa kimnya katika jina la Yesu
Amen
Amen nimejifunza kitu kikubwa Maana Mimi kila kitu ninachokuwa nacho mipango yangu naiweka hadharani watu wanafanikiwa kupitia maono yangu
Mungu wangu nisaidie nisiongeeeeee kila kitu.
Mingu ulienikutanisha na madhabahu hii nifundishekunyamaza nimekua muwazi kwamudamrefu na sifanikiwi gooo bless me
Huu Ujumbe ni Unaweza kuwasaidia Watumishi wa Mungu. Mungu anisaidie Kunyamaza kipindi cha Kushabuliwa kwa Kusemwa vibaya. Mungu nifundishe kunyamaza.
Mungu nisaidie nijifunze kutunza siri
Amina Mtumishi umenisaidia sana naomba uniombee ili nifikie malego yangu
Asking God for wisdom, to know when to talk what to say and to who. This preaching has touched on me
AqA
Me too for sure
Nimekoma kufungua mdomo na nafuta kujua kwao walio jua nafuta kusikia kwao waliosikia nafuta kuona kwao kwa walio ona kwa jina LA yesu
Nifundishe kunyamaza na unipe wepesi palipo na ugumu amen 🙏🙌💖❤👏😊🙏🙌💖
Nimekuelewa mtumishi wa Bwana, Mungu akubariki sana
Amen barikiwa Sana pastor Sanbella 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. nmejifunza kufunga mdomo wangu..ujumbe n mzur sana
Amen nimejitunza kitu hapa
Bwana YESU nisaidie kukaa Kimya ktk maisha yangu.
Amen amen mtumishi wa Mungu , asante kwa mafundisho mazuri
Mm ni Muslim lkn nimejifunza kitu pastor ubarikiwe sn kwa maneno mazuri na mungu anisaidie kutunza siri inshaallah
Hekima ni kitu kilichompotea Muislam,popote akikutapo anatakiwa akichukue!!
Amen nitajifunza kukaaa kimya
🤝🤝hii kitu ni muhimu sana kwenye maisha. Nakuelewa sn sana❤️❤️
Mungu akulinde Babaangu 🙏 una fanya kazi nzuri sana katika Kristin🙌🏾🙌🏾🤲🏽 mema nakuombeya Baba 🙌🏾🙌🏾🤲🏽🤲🏽
I agree with you Pastor, silence is the language of the wise too. N poa kunyamaza tu 😊
Nikweli ni vyema kuwa kimya
Nimepokea 🙏🙏🙏nimejifunza pia nimuhanga pia 😭😭😭😭hasa kwa watu ninao waamini
Kaka mchungaji nakuonmbea mungu akupe nguvu ya kupunguza mwili.kwa afya tunakuhitaji sana mchungaji.
Hahaa! Dunia nzima wote waweza kuwa wembamba? Mungu aliamua watu wawe tofautitofauti.
Yamkini ni unene wa kuzaliwa maana kazi ya Mungu sio rahisi, ina hekaheka sana. Wee unadhani anavyotembea hapo hadi akimaliza kuongea si atakuwa amesafiri Moshi to Arusha!!!
Huyu mtumishi wa Mungu ana neema ya ajabu ata akiwa jinsi alivyo.
Amen. Ni kweli mtumishiii Mungu naomba unisaidie kutunza Siri.
Ee Mungu nipe ukimy hata kwa mengine kuanzia Leo amina
Ameen 🙏 Baba ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Mungu nipe huwezo nijifunze kuwa kimya
Amen baba. Wewe ni baraka sana kwa kanisa.
Ee Mungu nipe nguvu ya kukaaaa kimy Kwa Kila jambooo🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu nifunze kukaa kimya
Amen be blessed mutumishi wa Mungu
Ahsanteee Yesu Nimejifunza Leo Trh 1/12/2021 Nifundishe Kunyamaza Maana Kwakweli Sikujua Kunyamaza Kunafaida Ila Kwanzia Leo Mungu Nisaidie Nijue Kunyamaza.
Amen baba am Amos musukwa from Zambia
Mariamu alikuwa na akili nzuri ndiyo maana Mungu aka mchagua kuwa mama yake Yesu.Abarikiwe mama mtakatifu
Awesome daddy 🙏🙏😪Ubarikiwe daddy 😪🌹
Praise God through Our LORD and Savior Jesus Christ.Personally have gone through such,nikawa na maono ya mtu niliyekuwa karibu naye.Nilimwahadithia akasema mawazo tu hayo...Tena mara ya pili nikamwendea akasema ndoto za kitoto hizo,Mwishoye nikamwarifu ikatendeka waziwazi.Nimejifunza siku sote sio wote walio na macho ya kiroho,Mungu nipe hekima na maarifa niwe kimya kama Mariam,wakati natarajia kuzaa maono yaliyo ndani yangu. Pastor and brethren kwa ujumla Barikiwa...Following from Kenya.We love you so much.Shalom
We Mungu wangu nisaidie kufunza kwako
Nifundishe kunyamaza
Halleluya!! Nilikuwa namsikilizisha mtu mafundisho haya hakupata kitu nilichokipata sababu ya mixer ya language naona haupati uhondo wenyew sababu hajui English, nashauri ikiwezekana Mtumishi wa Mungu muhibiri English na swahili translation totally
Sijui nampataje huyu Kamanda nakuelewa sana mtu wa Mungu
sina la kusema Mchungaji, be blessed, I meet God again today
Nataka unisaidie kupambanua Mambo ninayoyaona🙏🙏
Nami somo hili ni langu naomba mungu awafunge mdomo wale marafiki zangu wabaya yesu nisaidie🙏
asante baba yangu mungu akupe nguvu zaidi
Asante kwa ujumbe mzuri
Wow Ooh Yesu Wangu nifundishe kunyamaza AMINA
Asante sana mtumishi wa mungu
Amina, kuanzia Leo nitakaa kimnya nimejifunza
Barikiwa mnooo nimepona kwa Jina la Yesu Krito
Nitakaa kimya kuanzia leo. Asante mtumishi.
Mungu nifunze kukaa Kimya nihifadhi Mambo yangu moyon nijaze ujasili na unipe subilaa
Ameen!! Nimejifunza sana sana, Mungu akubariki.
Understandable
Asante MUNGU nimejifunza naomba nisimamie uniongoze unikumbushe kila wakati
Ameen hallelujah ❤naona kitabu kina hubiriwa🙏
Maana yako nn 🤷
Pastor you are right.....work hard in silence ...,.let success make noise.
Be blessed Man of God
Mungu wa mbingun akubaliki sana paster azidishe kalama hiyo zaidi na zaidi ili uzid kuwasaidia mamilion ya watu wenye uhitaji wa kumjua mungu ubalikiwe sana,,
pastor sio paster 🙏
Kuanzia Leo nitafumba mdomo wangu hata kama nna Mambo yangu yananikereketa nitamuomba mola wangu anisaidie
Nifundishe kunyamaza YESU 🙏🏾🙏🏾
MUNGU akubariki
Asante mtumishi wa mungu
Amen MUNGU nisaidie kutunza siri za mambo yangu
Asante Pastor kwa neno lenye pumzi ya uwepo.
Kukaa kimya ni tiba na suluhisho jema
He mungu nifundishe kunyamaza
Nitajifunza kwanzia Leo kukaa kimya mchungaji wangu elimu kubwa sana
Shukrani kwa somo baba.Mdomo sio mzuri!.
amen ninajifunza kukaa kimya ktk mambo yangu
AMINA BABA,
MUNGU AKUBARIKI SANA
Nimejifunza sana, be blessed pastor.
Amen mtumishi nimepokea
Absolutely true ndg mchungaji,, hakika umenifundisha zaidi pale nisipopajua
Come on pastor I feel blessed HALLELUYA
Asante mtumishi kwa ujumbe mzur
MUNGU akabariki Sana mtumishi wa BWANA
Najifunza kunyamaza Amen mchungaji
Good and wise teachings, Mungu akweke pastor
Eee mungu nifundishe kunyamza
Nifunze kuweka Ndoto zangu
Ameen Pastor nimejifunza kitu .
Bonge La Ujumbe,, Barikiwa Mtumishi
Mungu ni fundishe kunyamanza,
Baba nimepokea ujumbe kwa mikono miwili 🙏🙏ubarikiwe sana
If Samson had kept quiet Deliah wouldn't have known where the source of his strength was.being silent has never been misquoted.thanks pastor for emphazing the advantage of staying silent.much love from Kenya pasi
Namtukuza mungu kwa ajili yako pastor nabarikiwa sanaaa na mafundisho yako mungu akutunze
Mungu nisaidie kujifunza kunyamaza katika maisha yangu yote
Ameen umenifunza mengi mungu akupariki pastor✋
"An untested friend is just a neighbor",Pastor I am exceedingly blessed by your sermon! May God Bless You!
Ni fundishe kunyamaza Mungu wangu🙏
Mungu nisaidie kuwa kimya
Am blessed with the sermon 🙏,Thank you LORD
AMEN 🙏 Am really bBlessed with the Sermon🙏
Amen 🙏 God bless 🙌 pastor
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Anger makes me not be able to keep silent uncontrolled hunger plz lord you heal me from my that desease so I can maintain silence
Silence is a golden rule to abide by! But yes often in our excitements we forget ourselves. Lord give us strength to remember
I love him😍...baba Kama ananiambiaa Mimi🙏🙏🙏umejua kuniponyaaa
Amen🙏🙏from today I'll learn to keep silence 🤐🤐🤐Not all that you share out your issues and happy with it🤔🙏🙏Let God's presence be upon me🙏
Mungu anisaidie niwe na nyamaza
Cool.... think it's dope.....💥💥💥
Amen pastor ubarikiwe sana kweli tunakosea sana ila nimejifunza be blessed pastor
U changed my life from today
Thanks alot Pastor ,I have learnt to be quite in my life after the experience i had 4 yrs ago..To date am always at peace and pray to God alot .Am from Kenya and saved ..
Mungu nipe ukimya😊