MIMI PIA NIMEJIFUNZA HADI KUSAVE KUPITIA YEYE...NILIKUWA NATUMIA PESA ,ULE MSEMO WAKE WA KUTOKUWA NA PESA UTAJIONA NI AIBU NA UNAKUWA UNA AMANI,ULINIUMIZA,SASA MIEZI MIWILI NAWEZA FANYA SAVING KUBWA SANA
Sawa kaka joelnanauka na habari ya mlima alivo rudi mala ya pili akashinda nani umemtaja inanigusa sana maludio kuisoma asante kwakunikumbusha hii habari 💎
Success begins with you Inawezekana akakushauri lakini kama hujaamuua ndugu yangu itakuwa ngumu kucope Kumbuka hata video ambayo aliwahi kupost Mr Joel kwamba "if you decide about your future no one will care about you" Samahani lakini kwa kudakia swali!!!
Kwa kweli papa ubarikiw sana, Uko mtu Uko nazidi kunifadha kujielewa nakuwaka mtu mwenye hasira katika maisha yangu ila kupitia shauri zako ziko nanifadha kushimama tena✊
Asante sana Kwa SoMo zuri, hapa umeniongelea mm kabisa nashukuru Mungu nilijitenga kabisa nikabadirisha na namba wengine nikapiga block Ili nianze upya, na kiukweli sijutii
Asante sana Joel I m going to be a winer to my life aijalishi nimefanya makubwa mangapi na wangapi wametumia uwezo wangu nguvu zangu, ila sasa kupitia wewe umefanya moyo wangu kuwa imala zaid Ishi maisha meng mwalimu
Mm ni kijana mdogo sana nipo diploma nilikuwa naomba utusaidie njia nzur ya sisi kusoma tukiwa chuoni kwa sababu watu wengi wana hangaika na hilo ili wote tuweze kufika mbali kama ww naamini hili litasaidia watu wengi
Somo hili limenigusa sana, ubarikiwe sana nitaendelea kujifunza kutoka kwako ❤
Asnte San japo Mimi nimchoma mahind namkulima mdogo sana inanipaujasiri San Mungu akupe maisha marefu,
Bro wewe nitaa yangu nitaendelea kufata nyayo zako mpaka mwisho wangu maana najiona miaka 10 ijayo Mimi nitakuwa JOEL NANAUKA wa Pili,🙏🙏✍️✍️💪💪💪
HAPANA UWEZI KUWA JOEL NANAUKA WA PILI,YEYE NI YEYE NA WEWE NI WEWE,ME NITAKUWA MSEMAJI MZURI SABABU NIMEJIFUNZA MENGI KUPITIA YEYE
Wewe ni zaidi ya mwalimu ubarikiwe sana, ninachokifanya ni kuhakikisha sipitwi
Joel nanauka ameniokoa sana mungu akusaidie sana
MIMI PIA NIMEJIFUNZA HADI KUSAVE KUPITIA YEYE...NILIKUWA NATUMIA PESA ,ULE MSEMO WAKE WA KUTOKUWA NA PESA UTAJIONA NI AIBU NA UNAKUWA UNA AMANI,ULINIUMIZA,SASA MIEZI MIWILI NAWEZA FANYA SAVING KUBWA SANA
Naendelea kujifunza mengi kutoka kwako ubarikiwe sana
Nilishakufuatilia sana ila nitakufuatilia vzr 2024 after 6 year nitaona mafanikio MUNGU AKUPE MAISHA MAREF @JOEL NANAUKA
Hii ni video bora kwangu kwa mwaka huu 2024🙏💥💥
Ahsante sana Kaka joel kwa darasa YEHOVA MUNGU azidi kukupa afya njema wew na familiar yako
Sawa kaka joelnanauka na habari ya mlima alivo rudi mala ya pili akashinda nani umemtaja inanigusa sana maludio kuisoma asante kwakunikumbusha hii habari 💎
Kung'ang'ania kuendelea kuwepo wakati nguvu zinakuishia, ni kuendelea kujimaliza. Nakuelewa sana Joeli
Amen mwalimu binafsi nimekuelewa sana
Mungu akubariki navuna vingi kutoka kwako.
Duuuh leo nlitakiwa niipate hii asante mtumishi wa Mungu
Nice message my brother
Be blessed kaka Joel 🙏🏽.
Shukrani sana kila siku najifunzifunza mapya.. asante kaka "njia bola ya kujilinda Ni kushambulia🙏🏽🙏🏽
Hakika nimejifunza Jambo jipya kwangu ambalo limenipa hatua nyingine,MUNGU akuinue zaidi.
Success begins with you Inawezekana akakushauri lakini kama hujaamuua ndugu yangu itakuwa ngumu kucope
Kumbuka hata video ambayo aliwahi kupost Mr Joel kwamba "if you decide about your future no one will care about you"
Samahani lakini kwa kudakia swali!!!
Asante kaka umenigusa na hali niliyonayo saiv inabid nikae kimya2
Nice presentation ✨
Kaka Joel sinà mengi ya kusema zaidi ya kusema Mungu akutunze🙏
Kwa kweli papa ubarikiw sana, Uko mtu Uko nazidi kunifadha kujielewa nakuwaka mtu mwenye hasira katika maisha yangu ila kupitia shauri zako ziko nanifadha kushimama tena✊
Joel mungu akulinde na kukutunza siku zote.umekuwa msaada mkubwa sana kwangu ubalikiwe sana mdogo wangu.
asante mtumishi maneno ya busara na ya kutia moyo
Unajua Sana brother Mungu akijalie
Brother. Madini yako ni chakula changu kwenye Maisha ya utafutaji siku zote. Mungu akupe afya njema.
Hii nimependa Zaidi❤
Nabarikiwa Sana na masomo yako ❤
Asante kaka kwa kunitia moyo me ni mkulim umenifundisha vitu vikubwa San mwalim Joel nanauka big up San by juliaus
Asante sana joel nitaumbia ivyo mlima ulioko mbele yangu)
Best❤
Hongera kwa kazi njema.
Asante sana Kwa SoMo zuri, hapa umeniongelea mm kabisa nashukuru Mungu nilijitenga kabisa nikabadirisha na namba wengine nikapiga block Ili nianze upya, na kiukweli sijutii
Kaka unatuelimisha sana 🎉barikiwa
Ahsante kwa elimu bora
Pamoja mkuu 🤴🤴
Nashukuru sana kwa somo nzuri ningelipata mapema haya yanayonikuta yasingenikuta
Asante
Thank you my brother,
Asante sana Joel I m going to be a winer to my life aijalishi nimefanya makubwa mangapi na wangapi wametumia uwezo wangu nguvu zangu, ila sasa kupitia wewe umefanya moyo wangu kuwa imala zaid
Ishi maisha meng mwalimu
My lifetime icon... U always have my prayers Dr. Joel... Mungu akupe maisha marefu
Be blessed Joel waniinua sana
Asante kwa somo ❤❤❤
Asante sana kwa somo mwalimu, wewe ni taa inayotutoa kwenye giza ❤❤🙏🙏🙏
Joeli tume soma lakini una tupa darasa labure zaid mungu akubariki sana
100% ulicho kisema ni sahihi
ishii daima kaka
Asante mtumishi kachawamaisha
Mungu akujalie maisha marefu brother Joel,nakukubali sanaaaa👍👍👍💪
Mungu akubariki Kaka yangu, wewe ni malaika anaye vaa mwili kwa hiki kizazi changu
Asante kaka kwa ushauri wako umenigusa sana napitia changamoto lkn umenijenga
Asante sana broo kwa Maarifa
Uko sawa kaka mafundisho yako yanajenga ukimnya Mali nijibu
Yes hii ni mbinu sahihi kwani ukipotea macjoni kwa watu wanakusahau
yanii hii inaniumiza sana mm umenigusa mimi najiona
Asante kaka umenifundisha kitu
Nashukuru sana Joel nimejifunza kitu naendelea kukusikiliza kila siku. U inspire me a lot🎉🎉
Nakushukur sana kaka nimepitia Wakt mgumu sana nilivyoachishwa kazi. Watu waliongea sana lkn sijajibu chochte mbk sasa .
Ninapenda sana kukufatilia kak vp na vipataje vitabu vyako
Nimefuatilia vingi ila hii imenipa somo kubwa sana
Njia Bora ya Kujirinda ni Kushambulia- Asante Baba Nanauka👍💪👊
Bloo unazungumza ukweli mtupu 🙏
hii ndo master piece.kak anatufungua san kiakili kam unatekeleza hiv anavyovfundsha.
Your speaking with my soul,thank you brother JOEL NANAUKA. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina 🇰🇪🙏👍
Bro we ni fundi
Joeli nanauka wewe ni mwalimu wangu
Asante na kwa ushauri mzuri kaka
Kaka Joel nakushukuru kwa elimu yako.
Nimekuelewa vizuri sana
Upo sahihi 100%
Barikiwa sana mtumishi Kwa yote
Asante Kwa ujumbe mzuri nimejifuza kitamu umeongea vitu ambavyo vimeshanitokea na kbs mungu akubarik sana kwa mafundisho yako
Safi Kwa kutuhimalisha watanzania wenye ndoto kubwa endelea kutujengea misuli ya mafanikio
Hakika upo sahihi kbs
Great appreciation to you bro umenisaidia kuifungua akili yangu❤❤❤
Thank you Kaka Joel one day I Wish to meet with you coz I like to do as you do
I like this brother.. Your doing a very good job..🎉🎉🎉 watanzania tulipo mbali tunakufuatilia sana
Kweli mwalimu mimi nikombali na kwenye nilikuwa na nimejipangha na kwenye nilikosea nimejirekebisha pia
Asante kaka Joel nimejifunza kitu, barikiwa sana
Habari naitaji kitabu cha elimu ya pesakama skkosei kinaitwa ivo na mifumo inayotawala dunia navipataje
Barikiwa sana
Hakika nimekuelewaa
Ahsante sana Joel Mungu akubariki
Asante somo zuri Sana nimejifunza
MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki
Asante kaka hekima ya juu sana
Ubarikiwe mkuu
Madini🎉
Nimejifunza kitu kipya
Iyo kweli sana kabisa
More blessings to you bro 🙏
Umenigusa sana..
U always feed my mid
Shukrani
Mungu akubariki sana
Wao waoo, I just stumbled across this 💯🔐
Ubarikiwe sana
Naanza kukuelewa usemayo ni kwer
Mm ni kijana mdogo sana nipo diploma nilikuwa naomba utusaidie njia nzur ya sisi kusoma tukiwa chuoni kwa sababu watu wengi wana hangaika na hilo ili wote tuweze kufika mbali kama ww naamini hili litasaidia watu wengi
Wewe pia ni kama Mimi, ila jawabu lako la Njia nzuri za kukusaidia kusoma ni Wewe kuamua na kuanza kusoma Leo😊
@@thomasgrafx yea ni kweli kabisa
Njia nzuri ya kufaulu chuoni huzuria vipindi vyote vya lecture, hakikisha unaelewa ukiwa ndani y lecture room, ukishidw kuelew fanya discussion.
level yoyt ya elim inahitaj nidham ndg,hasa unapokuw chuon jitahd kuish katk micng ya course yako bas utapta majibu namn ya kupg msul kijan.
Focus kwenye masomo hakuna shortcut , jitambue jiamini
Nikweli kabisa hata mimi nilisha wai kupitia kipindi kigoumu ila nilipotea kidogo nilipo rudi watu wote walishangaa kwa nguvu mupya nilio rudi nayo
Thanks broh
Kabisa