Jana nimeangalia video yako ya ubuyu Jana iyo iyo nikafata mahitaji na kuanza kuandaa..unanitia moyo sana na biashara ya juice naitamani ila mtaa wetu mgumu nafikiria niendege kuuza kariakoo eh Mungu nisaidie
Ww uko wap tuungane yn tuchangie tutafute sehemu tuanze biashara Ila mm sijui kutengeneza juice natafuta anae jua kutengeneza juice vzr na matunda ya mchanganyiko awe mzoefu ambaye Yuko tyr anicheki Ila awe dar
Asante sana kwa kutupa somo zuri sana kwa kweli rasilmali tunazo nyumbani zinakaa bure KM Jiko lenye oven, friji, chupa za maji nk tujitahidi kina mama kutumia maarifa haya watoto watafurahia lakini tutachangia matumizi na kina Baba watatuheshimu!!Mungu akubariki!
Yani wewe dada nakupendaga sana Sana jinsi unavotufundisha kupika hapa ushauri wako WA biashara Allah akuzidishie moyo huo huo dadangu kutuchanua sisi wanawake wenzako 🥰🥰❤️❤️nimepata kitu hapa aki Acha nifatilie hizo video za kupika keki na biscuit 🍪 nijifunze nianze biashara na mm 😊thanks alot dear❤️🙏🥰
Karibu sana dear,na shukran sana kunifuatilia..bila wewe mimi si kitu. Nimefurahi sana kama umepata kitu dear..kipambambanie..Allah akufanikishie na atuzidishie sote.
Am from Kenya and nigekaa kujua jinsi ya kutegeneza juice na kupack and I will appreciate alot. Allah bless you always for your good heart of helping others with ideas.
Jaman natamani kweli kufanya biashara hiyo lakini nimpate mtu mmuaminifu na nimuachie beshara hiyo na tukakubaliana malipo Mimi niendelee na kazi zingine
@@norbertenock3154 anza hapo hapo ulipo dada,vitu huwa vinakuja badae...jiko la mkaa unalo au gesi,pika keki kwenye sufuria uza 500 kata vizuri usipate hasara,kidogo kidogo unatunza pesa unanunua vifaa kimoja kimoja,unapatikana wapi?
Asante kwa somo ! Sasa kama Sisi tunaohishi vijijini hivyo vihanzilishi tutavipata wapi ? N'a ungefundisha jinsi ya kuitengeneza keki pamoja n'a Biskuti, tafazali
Kwenye hiyo faida ya tsh 10000 Itabidi utoe umeme, sukari, hivyo vifungashio, nauli ya kufuata matunda sokoni. Juice ya matunda inafaida kulingana na wateja. Kama una wateja wengi unauza. Pia kama unatumia glas za kawaida pia unauza
Mm naomba unisaidie kitu kimoja mm nimevutiwa kwakweli na maoni yako je kwa ss ambao tunamitaji midogo pengine nina laki mbili tu naweza kufanya biashara ipi
Ahsante dada nimependa hii video na nataman sana kufanya biashara mojawapo kati ya hizi lkn huwa najiuliza mm bado mwanafunz wa chuo huwa napata changamoto ntawezaje kucontrol biashara yangu na namna vp nitauza....ushaur wako plz naomba maana nataman sana kuanza biashara nikiwa bado nipo chuo
Naombaa naa no yakoo mwanaa dadaaa ety tuyajengee vizuriii kuhusianaa naa jinsiii yaa hesabuu kamilii katikaa mtajii ilii kuwezaaa kakamilishaa zoezii lakoo laa mtajii ety madamee
Dah.. nimetoka kwenye ibada. Naingia u tube naona hii clip aisee umenigusa sanaaa. Ubarikiwe Sanaa
Jana nimeangalia video yako ya ubuyu Jana iyo iyo nikafata mahitaji na kuanza kuandaa..unanitia moyo sana na biashara ya juice naitamani ila mtaa wetu mgumu nafikiria niendege kuuza kariakoo eh Mungu nisaidie
Pambana mungu atakutia nguvu
Ww uko wap tuungane yn tuchangie tutafute sehemu tuanze biashara Ila mm sijui kutengeneza juice natafuta anae jua kutengeneza juice vzr na matunda ya mchanganyiko awe mzoefu ambaye Yuko tyr anicheki Ila awe dar
Me ni mtaalamu Sana WA juice fresh.
Na nafundisha watu pia
@@yasinthaprosper4226je una group namie nahitaji kipenz
MWONGOZO WA BIASHARA YA JUICE BONYEZA LINK HII
ruclips.net/video/96VzLabR4dM/видео.html
Nisaidie number yako my ninashida na ww pls.
Asante sana kwa kutupa somo zuri sana kwa kweli rasilmali tunazo nyumbani zinakaa bure KM Jiko lenye oven, friji, chupa za maji nk tujitahidi kina mama kutumia maarifa haya watoto watafurahia lakini tutachangia matumizi na kina Baba watatuheshimu!!Mungu akubariki!
Ni kweli kabisa,Allah atutie nguvu na uthubutu wakinamama tufanye mambo makubwa.
Asante sana kwa mchango wako.
maasha Allah sadaka kubwa ya idea i like t
Asante mpnz watu wanachukulia easy vitu vidogo lakn bnafaida kubwa thanks kwa ushaurii
Hongera Sana na hasante. Mi nimevutiwa na biashara ya keki naomba viamba upishi rahisi nitakavyopata hiyo faida. Asante
Yani wewe dada nakupendaga sana Sana jinsi unavotufundisha kupika hapa ushauri wako WA biashara Allah akuzidishie moyo huo huo dadangu kutuchanua sisi wanawake wenzako 🥰🥰❤️❤️nimepata kitu hapa aki Acha nifatilie hizo video za kupika keki na biscuit 🍪 nijifunze nianze biashara na mm 😊thanks alot dear❤️🙏🥰
Karibu sana dear,na shukran sana kunifuatilia..bila wewe mimi si kitu.
Nimefurahi sana kama umepata kitu dear..kipambambanie..Allah akufanikishie na atuzidishie sote.
@@kekiplus1andonly Aamiiiiiiiin 🙏
Kweli Dada ahsante
Mungu akubariki sana dada nahitaji muongozo wa biashara ya juice na icrem
Napenda biashara ya viatu na mikoba changamoto niwapi naweza kupata sehem ambayo wanauza jumla napenda Sana hyo biashara
Nikwelii Nashukuru sanaaaa kwa ushauli wako coz nilikuwa mtu wakuwaza nifanyeje ili niingize kipato at kidogo Nashukuru sanaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏
MashaaAllah shukran sana mpenzi ila keki huku kwetu iko asilimia kubwa sana
Competition pia iko juu zaidi
Ooooh poleni sana,but still your population si ni kubwa pia?just focus on taste & customer care..wateja ni wengi sana...
Yes,apo kwa competition..which is why focus on taste n presentation+customer care
Nilisema nitanunuwa, Brenda kwasababu napenda sana juis
Congrants kwa video nzur sana, mm nlikuw naomb muongoz mzur wa biashar ya cace
Hongera dad umeeleweka vizur
Asante,amina
Asante sana dada kwa ushauri wako
Asante dad kwa darasa zuri naomb kjua bei ya blenda
Jaman nifanyeje boss naitaji maharifa zaid
Nipenda sana love it
Nimependa ideas zako,mungu akuzidishie...new subscriber kutoka kenya
Welcome to invest Tanzania subscribe me financial literacy is there for you
Asante umenipa idea
Karibu.sana
axnt Sana kwa mafndxho
Ahsante sana
Ubarikiwe
Amina,ubarikiwe pia
Nimekupe bure, Mungu akubariki Dada.
Thanks for this video sis. So informative kama kawaida- really love your content❤️
Thanks dear,am really trying here😍😍😍if you know what i mean(am sure you do)lol
@@kekiplus1andonly i do. Ain't easy but it's worth it 😉.. keep doing your thing- you're an inspiration ❤️
Nipo dar
You are doing a wonderful job 👏 🙌 ❤ thank you dear..keep teaching us
Amen,thank you for supporting
@@kekiplus1andonly tunaomba no yako jamani tujekujifunze
Mungu akubariki
Kweli kabisa dada
Vizur sana
Pamoja sn sister
That's great 👏👏👏 be blessed
Mashallha shukurani sana dd kwa kutujuza
Am from Kenya and nigekaa kujua jinsi ya kutegeneza juice na kupack and I will appreciate alot. Allah bless you always for your good heart of helping others with ideas.
Shukran dear
Karibu sana dear
Shukran mnooooooo,,,,,,,
Karibu mnooooo😍😍😍
Asante sana dadangu
Dad hongera nimeipend video hii naomba ushaur mm najiandaa kwenda chuo cha kati hivi kwa mda huu unanishauli nifanye biashara gani
Una sh.ngapi??na unapatikana wapi??na una ujuzi wa mapishi Aina yoyote?
Mim sister ndan nina kias cha sh 47000 tuu na ninapatkana kigoma kibondo
Asante
Thank you my friend
Asante dada
Karibu dear
MashaaAllah my dear 😘😘
Asant sana kwa Darasa zuri Madame.🙏🙏🙏
Great comment,unaweza ongeza knowledge ukapata pesa baada ya kuuza juice zako subscribe me uwekeze
Mungu akubariki mpenzi🤗
Thanks
Allah akuwekee 💟💟
Mahitaji ya kutengeneza juice in mini na mtaji in sh ngapi!asanteH
Angalia channel yangu video ipo
Nliwai kuuza juice matunda ya efu MBL nltumia sukar nusu nlkua napat faid 4 mpk efu tano kla cku
Asante sana dear
Karibu sana dear
Thanks mami.love u
Asante sana
Umebamba
Jaman natamani kweli kufanya biashara hiyo lakini nimpate mtu mmuaminifu na nimuachie beshara hiyo na tukakubaliana malipo Mimi niendelee na kazi zingine
Biashara ipi mpenzi na upo wapi??
Ahsant sana
Mashaallah
Asante ssna🌹
Asante dada naomba recepies za biscuts nimependa Sana.
Ninazo videos nyingi sana za biskuti hapa ziangalie..ila km hazikufai
Endelea kufuatilia channel yangu kwa video zaidi
@@kekiplus1andonly dada mm Nina idear ya kuwa mpishi wa keki tatzo vifaa na pesa sina
@@norbertenock3154 anza hapo hapo ulipo dada,vitu huwa vinakuja badae...jiko la mkaa unalo au gesi,pika keki kwenye sufuria uza 500 kata vizuri usipate hasara,kidogo kidogo unatunza pesa unanunua vifaa kimoja kimoja,unapatikana wapi?
@@kekiplus1andonly nipo chanika
Asante kwa somo ! Sasa kama Sisi tunaohishi vijijini hivyo vihanzilishi tutavipata wapi ? N'a ungefundisha jinsi ya kuitengeneza keki pamoja n'a Biskuti, tafazali
Maa sha ALLAH
Asanteee
Hizo garasi bei gan
Tufundishe gisi ya kutengeneza baskets na keki pamoja na crime
Recep ya ice cream pliz
InshaAllah
Asante dia! Hivyo vichupa huwa vinapatika kwenye maduka yapi?
Nikawa nauza, na kachor zote wananunuwa mtoto wa mama mkubwa hodar Wa kuzipika sambusa nzur sana
Be blessed love
Asant
Asante. Ni wapi nitapata mafunzo
Elfu kumi ni nyingi sana
Umeme na sukari waambie pia faida elfu uipati
habar Dada samahan me naitaji kujua kutengeneza caker na biskut Ila Sina vifaa je inawezekana
Ndoyo,inawezekana..kwajili ya biashara keki itakuwa ngumu kidogo..ila km ni kula nyumbani inawezekana..
Biskiti vifaa sio lazima
Dada nataka kuanzia juice Nishapur Nina Brenda sina friji
Samahani dada naweza kupata no zako
Shukran dadaa, naomba unielekeze unapatikana vp ili nije kujifunza baadhi ya vitu kwako
Je mtaji wa.juice inaanza na.shilingi ngapi
Mimi chuo nilikuwa, bauzaga sambusa, za viazi walikuwa wanazipenda sana nisipoenda wana nipigia wote wakawa wananunuwa kwangu
Hongera sana,biashara ya chakula ni nzuri,sambusa za viazi wanafunzi wanapenda sana
HV barafu huwa zinaaribika zikikaa kwenye fridge?
Kwenye hiyo faida ya tsh 10000 Itabidi utoe umeme, sukari, hivyo vifungashio, nauli ya kufuata matunda sokoni. Juice ya matunda inafaida kulingana na wateja. Kama una wateja wengi unauza. Pia kama unatumia glas za kawaida pia unauza
Lucy nitafute nikupe utajiri WA mawazo ya juice bure yàani hutoamini
Naomba namba ya simu
Pls namimi nisaidie kwahilo kipenzi
@@yasinthaprosper4226jmn na mm nahtj huo utajr wa mawaz kuhusu juice 🤲
@@yasinthaprosper4226na mm
Nilichopenda ni Biscuit.
Du keki moja elfu tano bei hila watu wananunuwa. Watu wanapenda juis na keki
5000 ni kawaida sana kwa keki,na inalipa sana keki.za 5000
Asante kwa somo
Kama parachichi na embu nzur au ya embe na pashen nzur
Biashara ya vijola na visendo unatakiwa kuanza na mtaji wa shingp
100000000
Asante dear me nafanya biashara ya online likn sina views weng nifanyeje ili nipate views wengi
Umepata viewers..
Faida 1000 sukari umeme yaani ujipange
Sawa kka
Baby sirleem mm napenda juice na nahitaji kujuwa kutengeza juice tofauti
Jamani dada me naitaji kutengeneza bisukutu sasa ujui inavyotengenezwa ety
Naomba msaada wako
Nauza recipe yake.
20,000
Nitafute Instagram kekiplus.youtubechannel nikuoe namba ya malipo
Sawa ngoja nifanye ivo
Notification gang
Aaaaw thank you for supporting 😍😍😍😍much appreciated
Me nashida na vifungashio vya biscuits
Asant Sana naomba ushauri kwa Lita tano juice naweza weka matunda mangapi na nanasi ngapi na sukari kiasi ngapi, na je nilazima juice iwe nzito
Nenda kwenye channel yangu sasa kujionea video na muongozo mzima wa biashara ya juice
Vifungashio vya juice vinapatikana kwa set tsh ngapi@@kekiplus1andonly
Umenipa nguvu leo nimeanza kujifunza kupika cup cake za biashara Mungu nisaidie
Alhamdullillah dear,endelea kupambana..keki ni rahisi kupika
@@kekiplus1andonly Ahsante
Naomba namba mpenz
Nimependa ila sijui kupika izo biskuti
Mm naomba unisaidie kitu kimoja mm nimevutiwa kwakweli na maoni yako je kwa ss ambao tunamitaji midogo pengine nina laki mbili tu naweza kufanya biashara ipi
Ahsante samahan naweza jua unapata wapi kalcha ya kuganjishia yogurt
Maduka makubwa sana ya vyakula ,upon mkoa gani?
@@kekiplus1andonly kwa dar ntapata kwenye maduka gani?
Ahsante dada nimependa hii video na nataman sana kufanya biashara mojawapo kati ya hizi lkn huwa najiuliza mm bado mwanafunz wa chuo huwa napata changamoto ntawezaje kucontrol biashara yangu na namna vp nitauza....ushaur wako plz naomba maana nataman sana kuanza biashara nikiwa bado nipo chuo
Kama uliniona ninachowaza na Mimi
Dada asante naomba no yko 🙏
Wanaume bana namba ya nini??? Wewe focus kwenye mafunzo!!!
ww uwez sema unapata kilais amna kaz y kpta kilais
Baki kwenye gereza lako itumikie kifungo cha ukosefu wa Imani.
Imani yako ndo Tiba yako.
Ukiamini utashindwa lazima ushindwe...cheers
Keki pia zinapendwa nalijuwa hilo tena izo ndogo watu walikuwa wanatengeneza Zaman tulikuwa tunanunuwa
Ni kweli kabisa
Anayejua zinapouzwa chupa Safi mpya kwa ajili ya kufungashia juice msaada
Kariakooo sokonii ukiulizia utaambiawa dear
Asa hyo biashara nguo ,mikoba inakuaje
NZUR kwel biscuit hizo