Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @ommymbugi249
    @ommymbugi249 3 года назад +25

    Mungu akubariki dada nimekupenda bure,sio mchoyo wa mafuzo ubarikiwe

    • @FridayEyan
      @FridayEyan Месяц назад

      Naomba no yake mpenzi kama unayo

  • @nabodojoka4670
    @nabodojoka4670 4 года назад +16

    Waow nzur mashallah me naomba vipimo yaan vp kama nikitaka kutengeneza Lita 2 au 5

  • @sarahwanjiru2639
    @sarahwanjiru2639 4 года назад +4

    kongole dada...kazi safi. Tafadhali naomba vipimo vya kutengenezea watu kama watano hivi....shukran

  • @thureyamajala7818
    @thureyamajala7818 4 года назад +17

    Hi shukran kwa mafunzo ya icecream ,ila nauliza hiyo machine ya icecream nitainunua wapi??

  • @firstname600
    @firstname600 4 года назад +10

    M/mungu aibariki kazi ya mkono wako, Amiin, hivi ndivyo barka inavyotafutwa, MashaAllah, nimekupenda huna uchoyo wa kutoa ulicho jaaliwa.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад

      Amiin

    • @dashuusaalim1943
      @dashuusaalim1943 4 года назад

      Mi namuombea kwa mungu atajirike kupitia kazz yke yaaan hana choyo hata kidogo uyu dada mungu akubaarik yaaa ukhtylkareeemah

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад +1

      @@dashuusaalim1943 Hizi baraka ni nyingi jamani sina cha kuwalipa napata furaha mnooo🥰🥰🥰

    • @dashuusaalim1943
      @dashuusaalim1943 4 года назад

      @@mziwandabakers8297 wallaahy nkiswal maghreeb nitakuombea dua jua co woote wanaoweza kufanya jambo ulilofny ww. Na inxhallaah mungu atakuvisha makoja elfu ya nnuur yaumulqiyaamah iyo ndo swadaqqa yko mummy so tuspokuombea dua tutakuwa ni watovu wa shukraan...

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад

      @@dashuusaalim1943 Amiin Yaa Rabb, Allah akulipe mara dufu..tutaswali wote in Iman 🤲

  • @fatimahhassan5904
    @fatimahhassan5904 4 года назад

    Masha Allah ...ALLAH AZIDI KUKUHIFADHI UTUFUNZE ZAIDI UKHTHY WETU.....NAITAJI HUYO MACHINE DADA NAIPATA WAPI...KUULIZA C UJINGA

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад

      Hakuna neno habbipty, Jazakal Allahu kheri mashine ni 2.5milioni

    • @fatimahhassan5904
      @fatimahhassan5904 4 года назад

      Ok ni kama $ ngapi hbbty ...I'm from kenya

  • @ashaharounhalfan4636
    @ashaharounhalfan4636 4 года назад +8

    Hakika tumejifunza vyema, asante kwa kutupa mwanga habibty

  • @eunicejune5849
    @eunicejune5849 3 года назад

    Woow ni nzuri sana labda nikuulize kitu, hiyo mashini ya ice cream yauzwa pesa ngapi

  • @reginamassawe6701
    @reginamassawe6701 4 года назад +7

    Hongera sana dada,,,
    Pia asanteee sana kutufundisha jaman asanteee sana

  • @khadijashemkande6254
    @khadijashemkande6254 2 года назад

    Asante dear 🙏🙏je kwa kuanzia kujifunza vipimo vya kujaribu ni vip

  • @mamybotha1761
    @mamybotha1761 4 года назад +3

    We dada wewe Mungu akubariki sana kwa kweli unatusaidia wanawake wengi

  • @khalfanomar7665
    @khalfanomar7665 4 года назад +1

    M/mungu akubarik wengine ni wahoo kufahamisha wenzio nawakionyesha hawaonyishi na kufahamisha vzr umeonyesha kwa ufasaha kz ni kwe2 cc kufanya kz Allah akulipe kwa elimu yk lioitoa Aaamiin

  • @nasramohammed9114
    @nasramohammed9114 4 года назад +3

    Njia rahisi nimeipenda sana asante kwa funzo lako...swali nilazima uwe na machine ndo iwe Bora Ice cream

  • @nyamizimaganga-le4nr
    @nyamizimaganga-le4nr Год назад +2

    Mwenyezi Mungu Akuzidishie insha allah🙏uwe tajiri sana!!una moyo mzuri ,ahsante🙏

  • @annaurio3083
    @annaurio3083 4 года назад +6

    Asante sana mamy nimefurahishwa sana na utendaji wako Mungu akubariki kwa kweli.nataka kuwa mwanfunzi wako nikupate je whatsap?

  • @jeftajacob9558
    @jeftajacob9558 Год назад

    Mungu akubariki sana dada, naomba kuuliza kama nahitaji mafunzo zaidi nitapata msaada.

  • @ikamalle
    @ikamalle 4 года назад +11

    Dada nibakishie, nakuja kuchukua.... 😋😋😋😋😋😋

  • @kemalswaleh9527
    @kemalswaleh9527 4 года назад

    Cecilia from kenya waoooh safi sana pia mimi nitajaribu kutengeneza

  • @monicaauno5292
    @monicaauno5292 4 года назад +11

    So amazing l keep watching your videos over and over with the little kiswahili l know but your teachings are understandable God bless you. Is the milk powder the same as skimmed milk . Can l use milk

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 года назад

    Shukran dadaangu,kiukweli nilidhani ni mambo magumu lkn👌👌👌🇰🇪

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 4 года назад +4

    Wow. Hongera sana. Sijui hata nimeingiaje hapa? Yaani ni kitu ambacho napenda kukifanya siku nyingi lakini sikujua naanzia wapi. Nitakutafuta soon. God bless you

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад +2

      Amiin

    • @kabambabigiraneza372
      @kabambabigiraneza372 4 года назад

      Asante sana kwa elimu God bless u

    • @marthakasiki7794
      @marthakasiki7794 4 года назад

      Kama sina iyo machine nafanyaje?? Nisaidie kwa hili..

    • @marthakasiki7794
      @marthakasiki7794 4 года назад

      @@mziwandabakers8297 naweza kutengeneza bila iyo machine??nataka kujifunza ila sina machine iyo yakutolea ice cream.. nisaidie apa👏👏

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад

      @@marthakasiki7794 hii mpaka machine

  • @zumimalava7379
    @zumimalava7379 4 года назад

    free business idea wow again wow thank you so much dear ubarikiwe sana

  • @theodorajoseph8925
    @theodorajoseph8925 4 года назад +20

    Machine IPI ni nzuri na gharama yake ikoje

  • @RozinaChuwa
    @RozinaChuwa Месяц назад

    Mungu akubariki llipenzi cha wajasiriamali wadogowadogo. Naomba na. Ya mawasiliano

  • @adenikedaniyan6541
    @adenikedaniyan6541 4 года назад +4

    Hi Ma'am, please did u usr GMS powder in this process of ice cream making. Trying to make it your way. Pls respond

  • @zubedasulfat6588
    @zubedasulfat6588 Год назад

    Habari, asante kwa elimu nzuri, naomba kupata hiyo picha ya tailoz ili niweze kuinunua

  • @fatmarashim6353
    @fatmarashim6353 4 года назад +3

    Mashaallah asante dada mungu akubariki 😘🙏

    • @magnetvitamarwa1798
      @magnetvitamarwa1798 Год назад

      Machine hiyo inapatikana wapi na ni sh ngapi na hicho kirainishi kinauzwa wapi nijibu tafadhali

  • @nataliemilinga3199
    @nataliemilinga3199 4 года назад

    Thanks Mungu akubariki je bila kuwa na hizo machine nafanye

  • @laughingclub9660
    @laughingclub9660 4 года назад +5

    Wow... I love this

  • @hareshmandania7576
    @hareshmandania7576 4 года назад +1

    Hii ni vizuri Sana nilikuwa naombha msaada wa kupata tylose nitapata wapi na machine ya kutengeneza ice-cream

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад

      Tembelea instagram:mziwanda_bakers alafu nitumie sms dm nikupate haraka

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 4 года назад +5

    Asanteee Sana mamy❤️🙏

  • @seyaorongo7466
    @seyaorongo7466 4 года назад +1

    Unafundisha vzr sana. Naomba kujua bei ya hiyo machine

  • @StezieRl
    @StezieRl 4 года назад +3

    Nakupenda buree mpnz wangu kwann sijakufahamu mapema jamnii

  • @MwajumaJohn-b9z
    @MwajumaJohn-b9z 2 месяца назад

    Ahsante dear nimejifunza pia ..ila samhn naweza pata wapi kilainishi au vifaa vyote hvyo niweze kufanya biashara hyo Niko dar

  • @malekjr9699
    @malekjr9699 4 года назад +8

    Naomba uniambie hio Tylose ni ipii sijakuelewa

  • @roselynchanika8189
    @roselynchanika8189 2 года назад

    Very yummy
    Teach me in English
    Am watching from MALAWI 🇲🇼

  • @fatmajumapili8918
    @fatmajumapili8918 4 года назад +3

    May Allah reward you abundantly.

  • @AntiaAsimwe-h9g
    @AntiaAsimwe-h9g 6 дней назад

    Asante Dada iyo mashine Unaweza ipata Kwa bei gani

  • @annetcatherine4671
    @annetcatherine4671 4 года назад +6

    Thanks dear for the lesson, how can I get the machine, and how much is it?
    Which part of Tanzania are you residing, put your contacts please.
    I would like to meet you face to face for serious business discussion.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 года назад

    Maashallah maashallah kazi safi sana natakakukuuliza hiyo tylose box lake please

  • @abeldokia1590
    @abeldokia1590 4 года назад +5

    Hiyo machine inauzwa sh ngp?
    Inaitwaje?

    • @yusufismail3116
      @yusufismail3116 4 года назад +1

      Abel Dokia milioni mbili na nusu - hadi milioni tatu.

    • @lizjane6837
      @lizjane6837 4 года назад

      Hiyo ni bei ya Tanzania?

    • @wamboedna
      @wamboedna 3 года назад

      Yaitwaje in English

  • @ShamSaidy-nm5qg
    @ShamSaidy-nm5qg Год назад

    Ahsanteeee kipenz changu kwa elimu nimependa

  • @emilenimpagaritse9062
    @emilenimpagaritse9062 4 года назад +6

    Nice.!naomba namba ya WhatsApp kwa mawasiliano zaidi

  • @kazijamussa5769
    @kazijamussa5769 Год назад

    Asante kwa mafunzo mazur.naomba kuuliza iyo mashine yakutengenezea nibei gn nawp inapatikana?

  • @neveragainneveragain1880
    @neveragainneveragain1880 4 года назад +6

    Hongera sana dadaaaaaaa💖💖

  • @resitutachavala6212
    @resitutachavala6212 Месяц назад

    Mungu azidi kukubariki katika kazi zako.

  • @kulthumsalim7070
    @kulthumsalim7070 4 года назад +3

    Simple ma shaa Allah... Leo nipo kwa channel yako tu... Nimeona Leo jamani

  • @IreneMseya
    @IreneMseya 6 месяцев назад

    Hello dada kazi ni nzirii..... nahitaji kujua njia nyingne zaidi ya mashine

  • @lucie25422
    @lucie25422 4 года назад +3

    Here to watch

    • @lilianemmanuel3890
      @lilianemmanuel3890 3 года назад

      Ongera Sana dada naitaji kujua make naipenda hii biashara please contact yako mumii nikucheki mimi Lillian Niko bukoba

    • @amirimagongo420
      @amirimagongo420 3 года назад

      Tailoss ND nn

  • @athumanmlamba4
    @athumanmlamba4 11 месяцев назад +1

    Mashaallah wow so good ❤

  • @mariammsiilwa5023
    @mariammsiilwa5023 4 года назад +4

    Naomb no yk pls Dada uwe mwalim Wang umenipa funzo LA biashara cnto lala njaa

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 2 года назад

    Mashallah ni nzri,bei ya mashine ni ngapi na yapatikana wapi ddawangu,plzzz naomba unijibu

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 2 года назад

      Kama hautajali ddangu naomba namba yako ya whatsapp

  • @jojocherry5310
    @jojocherry5310 4 года назад +4

    Kama sina hizo machine nafanyaje?

  • @Diamongproduct
    @Diamongproduct 25 дней назад

    Maya Pokea madam ubarikiwe, ninashida na hivyo vifungashio naomba msaada vinako patikana

  • @livingwithliz6827
    @livingwithliz6827 4 года назад +3

    Please where do I get this machine? Niko Nairobi

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад

      Nairobi I don't have their connections but search Instagram hopely you will find them

  • @pelagiaweiss2206
    @pelagiaweiss2206 Год назад

    Safi sana dada.Naomba kuja kujifunza nitakulipa

  • @missijju1228
    @missijju1228 4 года назад +3

    YUMMY 😋😋😋

  • @marejeshoyabwanaaganoladam5906
    @marejeshoyabwanaaganoladam5906 10 месяцев назад

    habari humu? hongera sana dada kwa kutokuwa mchoyo wa elimu
    mashine hizi zinapatikana wapi?

  • @lkaboro7882
    @lkaboro7882 4 года назад +8

    I love this

  • @joycembago5934
    @joycembago5934 4 года назад

    Mbali na kufundisha kutengeneza Ice cream hongera kwa usafi my dear nimependa

  • @mossyhamza7750
    @mossyhamza7750 4 года назад +14

    Maashaallah

    • @irenecareen6680
      @irenecareen6680 4 года назад +2

      Hicho kilainishi kina patikana wapi

    • @sabraomary6351
      @sabraomary6351 4 года назад +2

      Smahan naomb kuulz kwn n lazm skal kilo tano

    • @williamthomas9033
      @williamthomas9033 4 года назад +5

      Naomba kuuliza hii mashine bei gan na ninaipataje?

    • @sinahilazahoro5775
      @sinahilazahoro5775 4 года назад +3

      Kama sina hiyo mashine nafanya je

    • @mayasaomar5925
      @mayasaomar5925 4 года назад +1

      Mbona mm nimefanya umekuja ngumu nimekosea wapi bimwalimu

  • @salimahussein1267
    @salimahussein1267 8 месяцев назад

    Thanks kwa kutuelimisha samahani ila nauliza hicho kilainishi kwa kiingereza kinaitwaje na kinspatikana kwenye maduka yapi au ya kuuzwa budhaa gani?

  • @paulinadavid4279
    @paulinadavid4279 4 года назад +6

    Mashine Kama hyo inapatikana wap

    • @marialushinge9608
      @marialushinge9608 4 года назад +1

      Kweli jmn alafu ina bei gni kama hela niweke kibubu

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 года назад

      @@marialushinge9608 😀😀😀🍦

    • @hubertgerishon2401
      @hubertgerishon2401 4 года назад

      Unijulishe bei ya mashine kama unataka kutusaidia

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 года назад

      @@hubertgerishon2401 nipatie namba zako nikutext

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 года назад

      @@hubertgerishon2401kisha usiseme kama unataka kutusaidia.. Nashindwaje kwa mfano mambo madogo tu

  • @florencemaeda9709
    @florencemaeda9709 2 года назад

    Hongereni sana kitu kizuri nimekuwa nikitamani kukifanya lkn sijui machine napata wapi na bei zake kwa kakiwanda kadogo dogo kwa biashara hb nielekezeni

  • @wahdaali1680
    @wahdaali1680 4 года назад +4

    Hio mashine inauzwaje

    • @leechunmon7293
      @leechunmon7293 4 года назад +1

      Inategemea ila ni mil 2.5 kuna na zaidi ya hap unaezabahatisha mil 2 ivo

    • @wahdaali1680
      @wahdaali1680 4 года назад

      Sawa shukran

  • @herieththomas840
    @herieththomas840 2 года назад

    Manshaallah,mimi naomba kuuliza hiyo mashine inauzwa bei gani

  • @shamahmed7236
    @shamahmed7236 2 года назад

    so amazing ..... Nilikuwa naomba kujua wapi naeza kupata Machine Yakuweza Kugandishia Na Kuzifanya Ziwe Laini/Soft niko kenya mombasa

  • @saadahemedsaid3266
    @saadahemedsaid3266 4 года назад

    Napenda sana mapishi yako nimeshajaribu mengi na matokeo napata mazuri sana asante .

  • @itaso-he5se
    @itaso-he5se Год назад

    Mashallah mashallah mashallah maelezo mazuri na ya kueleweka

  • @muniraramadhani9093
    @muniraramadhani9093 4 года назад +1

    Asante nimejifunza kitu kizuri kwa biashara my

  • @rihannarihanna6589
    @rihannarihanna6589 4 года назад

    Asante sana dadangu... Na je machine ya kuweka ice pesa gapi

  • @hanifabilali2745
    @hanifabilali2745 4 года назад +1

    Nimependa sana maashaallah ila naomba no yako kwa maelekezo zaidi

  • @dorismakwayamoses
    @dorismakwayamoses 3 года назад

    Una sauti nzuri jamani... Halafu unaongea vizuri🥰🥰🥰

  • @lilianmghazo7151
    @lilianmghazo7151 Год назад

    Wow I ❤this nauliza kaa naeza tumia fresh milk

  • @aishajimia8558
    @aishajimia8558 4 года назад

    Shukran kwa kutupatia ujuzi kwa njia ya kueleweka ubarikiwe

  • @LisaNyingo
    @LisaNyingo Месяц назад

    Hongera sana my dear,umetuongezea maarifa.

  • @mercyambuka9214
    @mercyambuka9214 4 года назад +2

    Asante kwa kazi mzuri.Nilijaribu kutengeza ice cream kwa kupunguza vipimo ,haikua nzuri.Niko na icecream maker ndogo nyumbani .Naomba Kama waweza onyesha kutengeza litre mbili hivi.Ama unisaidie hapo kwa vipimo.Lakini Ile type ingine ya makaratsi niliweza tengeza na nikauza.Umenisaidia Sana kwanza hapa mtaani na hii Corona Virus naweza pata mapeni kiasi.Bado nangoja mabuyu recipe .Barikiwa Sana.We need more of mziwanda bakers in this world .ROHO SAFI

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 года назад +2

      Thank you dear, nitakufanyia recipe ya Icecream lita mbili just wait kidogo

    • @mercyambuka9214
      @mercyambuka9214 4 года назад +2

      @@mziwandabakers8297 very kind of you.God bless you.

    • @restyrose1574
      @restyrose1574 3 года назад

      My dia machine ya ice cream ndogo umenunua bei gani??

    • @celinewairimu2954
      @celinewairimu2954 2 года назад +1

      How much is the small ice cream maker machine?

    • @joycemollel8423
      @joycemollel8423 Год назад

      Napataje mashine kwa bei

  • @muhamedali3902
    @muhamedali3902 Год назад

    Shukran sana una moyo mzr sana lkn kma ilvo kawaid kzr bakkos kasoro na ww kasoro yakohapa ni kuwa na imani na huruma nusutu malizaia imani yako na huruma yako
    Bas ikamilishe kwa kunibu hlo swali
    Mashne hii inaptkana wp na bei gani
    Fanya hvo ili na ww usiwe miongona mwa vzr vyenye kasoro ila hataivo
    Hongera sna shukran,

  • @ahmedshahar728
    @ahmedshahar728 4 года назад +1

    Congrats sister....kwa hakika unajitahidi

  • @janethulimaly1611
    @janethulimaly1611 4 года назад

    Safi sana. Napenda kuuliza hyo tailos umeweka kiasi gani?

  • @rithamihambo4200
    @rithamihambo4200 3 года назад +1

    Naomba utuoneshee tylose inafananaje na inapatikana kwenye maduka gani?

  • @fadhilajecha7291
    @fadhilajecha7291 4 года назад +1

    Asante sana dada lkn iy tylose inapatikana supa market zote au vp na pia km nikiw cna mashine ntazieka wapi baada ya kuzieka kweny madumu

  • @rozemichael5129
    @rozemichael5129 2 года назад

    Asante kwa mafunzo mashine inapatikana wap

  • @rosemarypeter9232
    @rosemarypeter9232 3 года назад

    Ahsanteee my najifunza sana kupitia wewe

  • @angelraymond8
    @angelraymond8 2 года назад

    Hiyo mashine nimeipenda je naipataje,,,na ni bei gan

  • @monicafrank6618
    @monicafrank6618 4 года назад +2

    Ice cream nzuri sana recipe rahisi sanaaa,,Ubarikiwe

  • @aisiaelkisanga4329
    @aisiaelkisanga4329 4 года назад

    Barikiwa sana hio tailos gram 60 ni sawa n.a. vijiko vingapi vya chakula

  • @marynombo5318
    @marynombo5318 Год назад

    Unapatikana wapi nataka niwe mwanafunzi napia hongera sana

  • @mohamedburhan2293
    @mohamedburhan2293 4 года назад

    Napenda kusema ahsante sana. Naona kama nimefka sehem sahh

  • @rayanahmed8410
    @rayanahmed8410 Год назад

    Allah akulipe kila la kheri in shaa allah

  • @samiarai5530
    @samiarai5530 4 года назад +2

    Mashallah Mashallah TabarakAlkah Nice 👍👍😍😍

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 года назад +1

    Mashallah love hiyo kilainishi kinaitwaje dukani boxlake pleas

  • @haikamshana3712
    @haikamshana3712 2 года назад

    asante sana hiyo mashine ya ice cream inaitwaje au inapatikana wap

  • @enockkyangwa3382
    @enockkyangwa3382 Год назад

    Asante sana kwa mafunzo ila nawuliiza, don't we put any preservative

  • @AniresSamson-ch2gj
    @AniresSamson-ch2gj Год назад

    Hongera kwa ice cream ni nzuri sanaaaaa

  • @JuliethNkuba
    @JuliethNkuba Месяц назад

    Asante dada cijaelewa hicho kilainishii

  • @aminamangare8708
    @aminamangare8708 2 года назад

    Shukran sana...hiyo mashine nikihitaji naipata???na NI bei gani???

  • @nyokabisuemumsue2859
    @nyokabisuemumsue2859 10 месяцев назад

    I am very interested in starting an icecream business and I am grateful to you for sharing...however I have a question...Hiyo machine nitaipata wapi? I am watching from Nairobi

  • @OGMekaniz
    @OGMekaniz 2 дня назад

    Mashallah habbty ,mungu akubark

  • @hopebaker5928
    @hopebaker5928 4 года назад

    Mziwanda nakupenda sana dadaangu mungu akupe maisha marefu toka nimeiyona channel yako MB zangu huwa namalizia humo unafundisha bila choyo pia wanafunzi wako tunaelewa vzr sana asant sana my dear