Asante sana maman Mungu akubariki sana mimi naishi uganda 🇺🇬 nilikuwa na uliza kuusu mafuta mtu anaweza tumikisha mafuta yoyote sababu mafuta ya robo lita unasema sielewe vizuri dada nisaidie ni mafuta ya chife wala
Wow..Simple recipe that one can use for a profitable business.. Also, thanks for the mention sis❤️. You're the best-Mungu akuzidishie baraka zake.. keep up the good work
Yes,very few engridients, and easy. Thank you for supporting dear. Mungu akuzidishie baraka zake pia, Lets keep up the good work👏 Thank you for watching dear
🎉❤ Asante sana dada Mana nilikua nafkilia biashara ya kufanya kwa mtaji mdogo
Woow! Nimejaribu pia ni rahisi kıasi
Mungu akubariki sana dada, .ni tamu pia mmnoo❤❤
MashaaAllah nimwendo wa biashara tu mpenzi asante sana lazima tupambane💪💪💪 biskuti hua zina faida nyingi sana
Haha mwendo wa biashara tu mpaka kieleweke.
Thanks for watching dear
@@kekiplus1andonly hakiko mbali kueleweka😂😂😂😂
Jaman mbona mm nimejaribu lakin nikija kufunua mkaa niopalia nakuta zimepasukapasuka shida nini
Nione na Aina zingine
Mmoja Kama pesa ngapi
Woooow asante sana nitaleta mrejesho mapema
Uko vizuri sana dada,Mungu akubariki kwa ufundidhaji mzuri,kweli ni moyo wa kipekee,
Shukraan best nimejifunza sana
Woooow so nice
Asante dada kw mafunzo barikiwa sanaa tajaribuu 🎉
Nimeipenda hiyo ipo vizuri sana
Ma shaa Allah very smart
🎉❤kweli mungu akubariki maana sio rahisi fundi yeyote kutwaa maarifa yake ni wachache
Woow dada asantee ,,,, simple recipe,,,,,, good work
Mungu akubariki sana
Hongera sana dada Kwa kutufurishaa vizur
Nitajalibu dada asant😊😊
Asante sana maman Mungu akubariki sana mimi naishi uganda 🇺🇬 nilikuwa na uliza kuusu mafuta mtu anaweza tumikisha mafuta yoyote sababu mafuta ya robo lita unasema sielewe vizuri dada nisaidie ni mafuta ya chife wala
Normal cooking oil dear ..250mls..
Duuu asanteee dada mungu akulindeee
Ahsante dada kwakutufu disha
Asante kwa kunipa ujuzi wa biashara
Inapendeza dada❤❤
Hongera dada nimependa
Asanteeee cc❤
Jamañ sante sana, nimejaribu tayar jaman but sio nzur kiviiiiile ila nimejitahidi saaana
Asante sana dada kaz nzur
Waoooh 😋😋 thank you
MashaAllah nzuri,hilo ndo wazo langu ila ckujua jinsi ya kutengeza,Asante sana dada...n maziwa waeza ongeza ukitia mafuta
Wow nimeipenda sana
Asante nimejifuza niendea kufatilia
Nzur sana nmependa
Thanks mamy somo zuri
Ahsante sana nijarabu nmeweza japo iliungua kdg
❤ thanks
Wao very nice nasoma kitu
Asante kwa kwa mafunzo mazuri mafuta moto ama baridi
Wakati wa kupika maandazi yenye uwazi ndani
Wao asante kwa mafunzo mazuri
Karibu sana
Wow that's great but hujasema. Na dakika. Gapi
Uko vizuri mama
Shukran naifanyia mazoez leo hii
InshaAllah, Fanya ufanikishe dear ,utupe mrejesho..
Mimi sijaelewa dada kitu kimoja hapo mafuta robo lita ya kawaida tu Haya au na hi nikitumia sukari ya kawaida ila nimeisaga inakuwaje
Shukran dada
Mashaallah shukran my Allah akulipe kila lenye kheir na wewe
Tu meskia ila tutajuaje kutengeneza sukari ya unga?tafazali dada yangu nataka nijuwe
Hongera,,,, alafu naoba huh elezee jinsi ya kutengeneza sukari ya unga
Ubarikiwe sana
Amen..barikiwa pia dear
Mungu akulinde
Nzur xn hy nimeipend
Shukrani Leo nimejaribu kufanya na zimependwa
Kwan haziwekwiamira
Asante sana twambie namna yakusaga sukari ikawa unga
Asante dada nimeipenda San unafundisha vizuri nimeipenda
Asante sana dear,karibu
Asanteeee my
Nimeipenda jaman
Asante mpendwa ♥️
Barikiwa❤
Asante nmependa
Nimeipenda sans hongera mami
Hongera kwa mapish mazur
Barikiwa sana mpz😘😘
hongera,sana,kwa,ufundi,
Nice Dada
Very nice
Shukuran kwa hili naomba mapishi ya kaukau wanangu wanazipenda mnoo Asante sana
Peculiar peculiar pko echoserver lakini Bado
Ipo vizuri
nice👌
Merci beaucoup maman
Jambo dada, nashukuru saana kwa video zako, nimepima ku tengeneza biskuti ila zina ivya ziki katikakatika, na hitaji musaada. Asante
We dada mungu akubariki sana ni rahisi na nzuri ,nimekosa ajira ila sasa nimepata tumain
Dada asante sana,uko vizuri,naingiaje kwenye link yako ili nijifunze zaidi?uwezo upo ujuzi sina please help me dear
❤❤❤❤❤❤ I like. That
Hongera sana nami nitapika
Asante kwa somo,je nikitumia unga kg moja mafuta natumia kiasi gani
Ongeza kiasi hicho hicho cha mafuta
Nzuli sana dada
Asante Dea
Nice mamy
It is a nice one
Asante babyyyyy niko hapa sahii
Unapotikana wapi tuje tujifuze
Waooo!! Nimependa sana
Karibu
Mapishi mazuri kwangu
I like❤❤
Ahsante👏👏dada
Dear Hutumii amira❤
I like the biscuits very testing ❤
.
🎉🎉🎉Dad naomb unifundishe jins y kupik cuks man sijuw kutengnez il nina resp y cuks
Ooh nzur sana 😋vp zinaweza kaa mda gan bila kuharibika dear
I like
Nimeipenda
Asante😚😚😚
Asanteee dadaa weee ubarikiwe mnoo
Amen.
Ubarikiwe pia dear
Asante sana kwa ufundi.
Karibu sana dear..
So nice
Looks very nice
Hongera dads
asante sana wengi atunaajila
kama sina sukali yaunga naweza tumia yoyote? au
May god bless you
Shukran mumy .jee sukari kikombe ujazo gani
Nimeipenda sana ila zinaweza kaa muda gani bila kuharibika
Wow..Simple recipe that one can use for a profitable business.. Also, thanks for the mention sis❤️. You're the best-Mungu akuzidishie baraka zake.. keep up the good work
Yes,very few engridients, and easy.
Thank you for supporting dear.
Mungu akuzidishie baraka zake pia,
Lets keep up the good work👏
Thank you for watching dear
@@kekiplus1andonly kk
I preciate your work keep forwarding
@@kekiplus1andonly thanks so much sukari kikombe kimoja ni nusu dada ama ipoje sijaelewa vizuri
Safi
Asant sana
Jamn asant San mpendwa
Ur the best dear. Love u
Wooo
Nimependa sana
Karibu
Love you soo much
Love you more
Asanteni,nimeongeza upishi wa home made biscuits
Karibu mpenzi;Asante kwa sapot
Shukrani
Nakushukuru sana kutoa mawazo ili kuwainua biashara Ndogo Ndogo inainua walio wengi naomba no yako
Woooooooh thanks sis
Karibu dear
Sweet naomba unionyeshe namna yakuchanganya viungo naishi Tanzania.