TENGENEZA TAMBI ZA BIASHARA BILA KIFAA MAALUM
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- video hii inaonyesha jinsi ya kutengeeza tambi za biashara bila kifaa maalum.
Kujua jinsi ya kufanikisha zoezi hili tafadhali fuatilia video hii mwanzo mpaka mwisho.
kwa video zingine za viburudisho ama snacks,bonyeza link hizi
Ahsante sana dada barikiwa! Nilikuwa nahangaika nitafute kifaa cha dukani kumbe inawezekana kutengeneza.Barikiwa zaidi ya sana.
We mama ni shida, unajua ku 'improvise' nimekupenda bure. Hongera! Wewe ni Mwl Fea
Nzuriii sanaaaaa hongera kwa kutufundisha ujuzi rahisi sana ubalikiwe
Karibu sana dear🙏🙏🙏asante kwa sapoti yako😍🙏🙏
@@kekiplus1andonly asante
Nimependa upo vizuri
Hongera Sana kwa Uamuzi wako mzuri wa kutupatia Elimu nzuri ya Ujasiriamali. MUNGU Akibariki sana kwa kazi zako.
Amen dear,Mungu akubariki pia katika kazi zako🙏
woooow you're so creative, I like it
Good 🎉
Nilikuwa sijafahamu kama rangi pia inaweza tumika sasa nimejua ahsante
I like it
Kutokea Kenya, much love.
Nimepata kuyajua mengi kweli.Mungu akuzidishie ukiendelea kutujuza
Asante kwa ujuz Dada mungu akubariki mno
Asantee napikaga ila nilikua natumia kisagio cha nyanya nashukur kwa mbinu mpya Asante mungu akujarie dda
Asante Sanaa ubarikiwe hivi dada bado hujapata mbadala wa kutengeneza ice cream na kuziuza bila ile mashine inayouzwa milion tatu
waoooo nimezpnda xan nita jalb nam❤❤❤❤❤
Mashaallah Mashaallah
Asante dada Kwa kutufundisha barikiwa
mashaalwah
Ahsante😋
Hongera sana Dada tunashukuru kwa elimu ya mjasiliamali
Otherwise, hongera Kwa mafundisho haya
Saf sana
Nimejifunza asante
mashallah nmezipnda sana nlkua najiuliza tambi za aina gn hizi jmn hadi mwsho najua kma ni chauro so sweet thnx
Asante kwa darasa zuroi
Nice
Asante kwahelim yako mwlim
Wajukuu wangu wapenda sana Tutzipika In shaa Allah Shukran
Daaah xhukrani dada angu
Shukran sana sana ukhty kwa kaziyako ya ubunifu
Asante Mungu Akubariki
Asante sana dada kwa kutupa maarifa, Allah akulipe kheir
Alhamdullilah🙏🙏 Shukran dear,Allah akutunze pia
Thanks more
Masha Allah my dear Allah akupe ujuzi zaid uzid kutuelimisha
Amiin,Alhamdullilah dear..InshaAllah kikubwa uzima mami
Nice nimeipenda sana
Asante sana
Hongera Kwa ujuz hip dada
Upo vizuri sana dada angu😍
Asante sana ubarikiwe
Asante kwa elimu mpenzi😘
Wow! I like the improvise. Asante sana kwa hiyo elimu.
Ahsante sana
Asante saana
Safi sanaaa
Nicee
Asante sana dadangu kwa kutupisha ujuzi huu. Ningetaka kujua jina la unga unaotumia kwa kizungu
Wite frower
Ni rahic mno asante
Mashaallah tabarakaallah
Napenda sana mafundisho yao naomba nifumdishe kutengeneza penalt bata
Mpenzi welcome back na poleni sana😭😭let me watch.. Ameeen Ameeen
MashaaAllah yaani love nimependa sana haya maarifa(hasa kwa mkebe) 🙏🙏 tena biashara hizi zinaenda balaa shukran kipenzi barikiwa. Na mungu azidi kuwafariji
🙏🙏🙏asante sana my love😍😍tushapoa,Alhamdullilah ..tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila kitu🙏🙏🙏🙏
@@kekiplus1andonly ❤️❤️karibu sana love
Nimependa madam tjaribu napenda Sana kujifunza niwe mjasiliamal
Asante sana
Shukran poleni kwa kuondokea
Amen dear,tushapoa..asante sana kwa faraja🙏🙏
Yaaaan we dada unajua sana! Yaaaan nakukubali mno sio siri😘😘😘😘😘Mungu akufanikishe ufike mbali zaidi na Channel yako ikue maradufu🙏🙏🙏Nakupendaga aiseee😘😘😘😘😘
Amen Amen Amen dear..shukran sana kwa maombu mazuri sana..Mungu akuinue pia,ili tusherekee pamoja
@@kekiplus1andonly Ameeen🙏🙏🙏🙏
Mashaallah
Shukrani sana
Maa shaa Allah ahsante dada napenda kuzipika sana
Karibu sana dear,asante kwa sapoti yako🙏🙏🙏🙏
Asante sana Dada samahani ningependa kujuwa hunga wandegu
unasaga dengu tu znapatikana sokoni
Asate mpenzi mungu ukulinde
Hongera kwa kufunza wanawake wenzako watapata kufaidika na Ubuntu wako.
ASANTE sana na baking powder siwezi tumia?
Samahan mpenz,,na izo dengu unavoenda kusaga,,inatakiwa zioshwe kwanza au nasaga ivoivo??
Nimeipenda dada
amiin
Masha Allah sis huku kwetu Zanzibar tunaita chauro
Sisi kwetu tunaita chichiri😊
Je naweza kutumia kutumia zile mifuko ya kuifadhia chakula kwa fridge kisha niweke mashimo?
Dada hongera ila kwa jinsi navyoona unavyoweka mkono wako chini ya hilo kopo wakat unatia huo uji huo mvuke wake jaman usiombeee mmh
Za mashine maalumu unatengenezaje?
Asante kipenzi
Assalam Aleikum je unaeza kutumia piping bag?
Ameen🤲🏽🤲🏽
👍👍👍👍👍
❤❤❤
Asante
Naomba kujua dear hauhitaji kusubilia, ukiahamaliza kuchanganya2 unaanza kukaanga?
Haian haja,
Ongeara
Pole kwa shuuli
Nimeipenda lkn vp unaweza tumia sukari badala ya chumvi?
🙌
mashaallah
Asante sana love
Naweza tumia kopo la plastic?
Ahsante sana dada yangu somo zuli
Thank you so much for the beautiful idea ya container,can i use cornfolur if i dont have rice flour
You could try,but maybe use all purpose flour instead
Aamiin!
Ameen Yarab
Binzari ya njano ni ipi?
Habar dada kwan azitiwi amila maana naona zinaumuka
i have just saved ksh2000
❤️
Ongera dada
Asante sana,🙏🙏asante kwa sapoti yako😍😍😍😍
Baking powder inasaidia Nn kwenye tambi na unga wa ngano??
Maji unayotumia n baridi au Moto!?Na je wakat unachanganya kabla hujaweka maji huweki mafuta!?
Jmn msaada kwa ansyejua kudawnload video yoyote RUclips nataka kudawnload basdhi ya mapishi lkn nashundwa
Shukran sana dear
Karibu sana
Kopo la kahawa linafaa?
Zimebaki za wageni nije?
You're so creative sis, keep up👏
Hahaha mgeni karibu,uje na kinywaji changu pia😂😂😂😂(a drink)lol
Wise woman ♥️
Asante dada biashara yangu hiyo minimetoboa sufuria dogo
Wooow hongera sana dear...utafutaji unafanya akili ikomae kwa ubunifu..umefanya biashara hii kwa muda gani sasa?unapatikana wapi?
Kumbukizi ya video hiii ubarikiwe dada.,.
Jaman c nikajalibu bilakuweka unga wa mchele
Samahani cjaelewa namna ya kutengeneza kibao
Tufundishe tujifunze
Asante sana mdada
Apo kwenye kutumia huo mfuniko wa plastic sjaelewa