BISKUTI ZA BIASHARA/BISCUITS
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Karibu Sana Kwenye Channel Ya Mziwanda Bakers
Darasa Hili Tumefundisha Kutengeneza Ama Kuoka Biskuti Kwa Njia Rahisi Na Kwa Matumizi Kiasi Ili Kupata Faida Na Urahisi Wa Mahitaji
Ingredients/Mahitaji
Flour/Unga 500g
Sugar/Sukari 180g
Margarine 180g
Baking Soda 1/4tsp
Baking Powder 3/4tsp
Flavour/ladha 1tbsp
Kwa Mahitaji Ya Madarasa Ya Biashara Na Kwa Ajili Ya Kufurahisha Ndugu Jamaa Na Marafiki
Baki Nasi Usikubali Kupitwa.
@mziwandabakers8297
❤Asante mwalim
Ahsante sana
Hongera sana na asante sana kwa kurudundisha Mungu akubariki mno naomba kuuliza kama unadarasa la keki na biskut asante
Madarasa haya yapo dear
Asante
Ubarikiwe sana❤
Ameen
Samahani na vileja ndo vinapikwa hvo pia?
1:26
Naomba namba yako madame
Asante
Karibu dear