Mbona mim nafuata kila kitu, natumia sukari nyeupe, unga ppf, backing powder zesta, mayai kiini cheupe, nikipika keki inapandaa vzur ila mwisho inabonyea sana katikati
@@neemajackson7621 basi huenda keki kishaiva unajisahau inapoa ndani ya oven baada ya muda wa oven kuwaka kuisha inapoa na joto la ndani ya oven otherwise kwakweli siwezi kuelezea situation kama hiyo .. ijue oven yako vizuri na endelea kufanya mazoezi utaweza kufanya kitu kizuri tu usijali
Mziwanda barikiwa sana mwanamke wewe wathamani katika maisha yangu umenitoa mbali sana katika upishi wa keki
Ameen Barikiwa Pia Kwa Upendo na shukran zako
Shost nakupenda sana.
Kwenye moto unawekajee
Nimependa
Hongera dear pia nilikuwa nauliza unadarsa la mapambo ya keki
I like your cake but I need you to teach me how to make doughnuts for baking in oven please and recipe,
Asante sana mamaangu ila naomba recipe ya cake improver ya nusu kilo
Manshaallah ,ahsante sana .madam naomba utuletee darasa la kutengeneza macarons
Barikiwa Sana, najifunza mengi kupitia wewe
Naomba uniunge kwa group la mapishi
Dada kwema
Mashaallah mmy allaha akuzidishiye ❤️
Ubarikiwe
Tunapaka mafuta ya kula au blue band
Usoft ndani unaachanag kwasababu gani.cake haichambuki mwingin ndani soft kabisa
Asant Sana kwa darasa
Hongera my
Mamie unajua kufunza Ubarikiwe,hivi eti ni lazima kutumia maziwa
Sio lazima dear
Madam uwo mzan shingap
Mko mkoa gani
Hiyo keki haina flavor
Darasa ni lin na hw much
Assalaam alaikum.je tunaweza kuziweka cake tins juu na chini tukiwa na oven ndogo?
Dada mziwanda naombaa upost video ya kupika biriyani na sambusaa.
Okay dear
Dada naitaj tin kama hizi napataje plz
Dada naomba recipe ya kupika keki isiyotumia maziwa
Samaani una darasa wsp
Kwann keki ina nywea
Kutingishwa is oven
Kuweka kimiminika kingi zaidi
@@mziwandabakers8297 okay
@@mziwandabakers8297 ivi keki inawekwaga amira
Niliona kama umefanya rojo nzito na haijawa soft... bc mi hufanya kuwa soft ndo hujua.tayar na unga huwa sifanyi mzito hivyo. Nimejifunza
Hilo ni kama povu na sio mzito dear,jaribu recipe hii unipe mrejesho hapa
Safi,naomba namba ya simu
Machine ni how much naiko na watts ngapi
Uko vizur natamani siku na mm nifike ulipo
Jaman kazi nzr nimejua vitu vichache kupitia we,lkn naomba nijue upo WAP?ili nije kabisa kuchukua ujuzi vizur,mm naishi Moro,msaada wako plz.
Hongera sana, nataka nisome kwako, nitumie taratibu gan?
Oven ni lt ngap d
Mashaallah Allah akupe afya njema
Amiin Allahumma Amiin
mnanitia wazimu jamani mnapatikana wapi ?
Mbona mim nafuata kila kitu, natumia sukari nyeupe, unga ppf, backing powder zesta, mayai kiini cheupe, nikipika keki inapandaa vzur ila mwisho inabonyea sana katikati
Either Unafungua oven kabla keki kaijapata joto la kutosha na kupanda vizuri au Unafungua oven mara kwa mara hewa baridi inaingia ndani
Hiyo margarine ndo siagi au
@@beatricetv5611 wala Yan nikiweka keki kweny oven sifungui mpaka inaiva ila ndo inabonyea katikati, ikipanda vzur then inabonyea katikati
@@neemajackson7621 basi huenda keki kishaiva unajisahau inapoa ndani ya oven baada ya muda wa oven kuwaka kuisha inapoa na joto la ndani ya oven otherwise kwakweli siwezi kuelezea situation kama hiyo .. ijue oven yako vizuri na endelea kufanya mazoezi utaweza kufanya kitu kizuri tu usijali
@@anastaziajohn6308 ndio kipenzi
Mimi mbna nikifunikia na mkaa juu inapanda sana paka inapasuka pasuka shida nn
Moto utakuwa mkali sana
@@mziwandabakers8297 ok asant
Asante kwa somo zuri,je ile mchanganyiko wa ile uko wa cake unatakiwa uwe mzito au mwepesi?
Uwe kama uji inafaa
Nawezaje kupika keki kwa gharama nafuu
Tumia keki improver
@@mziwandabakers8297 naomba basi recipe kacost ñdogo but cake nzuriiii na quality.
Naukiwa unataka kukata zakuuza unafanyaje
Pika kwenye chombo cha mstatili
Nikifanya keki ya kilo mbna mara nyingi huwa ndni kunasababishwa na nn na moto nimeeka 180 degree
Haivivi vzry