Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Ahsante sana Mziwanda wangu, nitaipika pia
Asante mumy kwa maelezo mazuri, ubarikiwe
Nimepika jamani nilikuwa nakosea kupiga. Leo ansate mamy.❤
Nakupenda sana dear umenifunza mengi kuhusu keki barikiwa sanaa ❤
Ameen ,karibu
Aaah wee Dada nakukubali,najarbu recpe zako kila cku znanpa matokeo mazur sanaaaaa Mungu akubark chef
Ameen 😘
Asante sana kwa kutufundisha mwenyezi mungu akubariki.naomba kujua huwa unatumia unga aina gani
Natumia ppf kwa keki
Unga kias gan huo mwalim wetuuu
ubarikiwe
Ameen ❤️
Wow ma sha Allah... ntaijaribu hii dear 😋😋👌👌
nimeipenda asante sana kwa somo
Dada hongera kwa kazi nzur mi mgeni kwenye darasa lako naomba vipimo vya keki robo namimi nijifundishe
Nitafanya darasa lake
Hongera sana dear najifunza mengi toka kwako
I miss you sana kipenzi naona kazi inaendelea gud gud😍
Naam kazi iendelee
Asante dada.Tunaomba cake ya mchaichai
Maranyi keki enarudi sababu nini
Nimeipenda sana hiyo keki ya Nazi
Asante Sana dear. Always uko juu🙏
Mummy Mungu akubariki kwa mafunzo yk
Amiin ❤
😁mziwanda wanifuraisha leo watamani kuivyamia shukran yabint na mafunzo
Hahahaha,shukran love zimefika
@@mziwandabakers8297 💞👍🇰🇪
Asante kwa mafunzo mazuri. naomba kuuliza ni sawa nikiwa nimetangulia kuchuja unga na baking powder na kuchanganya kabla kwenye chombo kingine au lazima nifanye kama ulivyofanya wewe kuchujia unga na baking powder moja kwa moja?
Vyema uchanganye kwanza
Uko pw dada yangu
Samahani kwa sis tunaotumia cups tunapimaje
Shukrani dear zidi kubarikiwa unasaidia mno
Amiin
Your the best👌
Hizo baking tin unapaka unga au mafuta kabla hujaweka au haupaki chochote?
My dear naomba kipimo Cha siagi?
Jee waeza tumia uto kwa mapishi ya cake
Huwa unasate vipi. Moto?
Pongezi mapishi mazuri na yakueleweka
Asante Mammy kwa mafunzo.
Mm oven yangu jmn ina moto mkali mno
Kama sina nize fresh naweza tumia nazi ya paketi?
Mziwanda please my dear,kama hutajali siku utufundishe kuingia kwenye description box
Sawa dear
Samahani naomba kujua umetumia moto kiasi gani kwenye kubak plz naomba unijibu dear
Shukran sanaSorry sis hivi cmc powder inaendana na gel powder??
Asante Sana Dear..
Hivo vipimo vya grams, kwa measuring cups inakuwa ni sawa na kiasi gani dear?
Mbona nikipika cake kwa jiko haibadiliki rangi juu??
Jiko la kawaida haibadiliki rangi juu
Mziwada naomba namba zako nataka kuja kununua vifaa
Jibu maswali yetu kwamza ndio tusubscribe tena
Asante naomba msaada wa baking powder hapo sijasikia kama uliweka
Kaweka 3tsp
Naweza kutumia Nazi ya bakresa?
Unaweza pia
Asante my deat
Nimependa mafunzo yako
Naomba unisaidie ninapooka keki katikati haiivi shida nini,,au ni moto,
Mashaallah
Bona cjaona baking powder
Baada ya unga inafuatia baking Powder 3tsp
Shukran sana
Hyo nazi naipata maduka gani mpendwa? Nipo Dar
Kkoo habibty
Measurement by cup
Halafu naomba kujua baking powder ipi nzuri kwa cake
Zesta natumia
Asante Sana mziwanda bakers sahii niko na uwezo WA ku tayarisha cake tamu for my family
naomba unisaidie namba yako
First one to watch
napata wapi iyo nazi kavu
Nice dear
Shukran sna
Nataka kutengeneza cake ya naz ndogo ya mayai manne na prestige robo cjui nitumie vipimo gan
😋😋😋
Ninavyo ifikiria uo utam kama nimeila vile
Hahahahaha
0768859358
Usipoweka bakinpowda kweny keki inakuaje maan nlijaribu kupika keki nikaiweka keki Ilivyoiva ilikuwa inanukia pekinpowda keki nzima ladha nlioweka suikskia shida huwa inakuwa nini au nilikosea wap
Mpendwa vipimo hujaweka vyote
Nini nimeacha dear, nambie nikarekebishe au niulize hapa
Siagi my?
350grams angalia tena utaona
Ingependeza ungefundisha jinsi ya kutengeneza hiyo Nazi kavu sio lazima kununua
Yangu inatoka imechambuka siwez kukata hivo .shida ni nn
Keki niliopika ulikuwa ngumu naomba nisaidie nimekosea wap
Umeipika muda mrefu pia zingatia moto wako
Naweza kuiweka nazi bila kuichuja yaani vile nishaikuna niitumie vile vile
Kama unapenda na machicha sawa
Ivi kama hutoipata hio nazi inawezekana ukakuna nazi ukaikausha baadae ukaisaga kwa blenda haiwezekani
Kama sijapata chicha la nazi iyo ya dukan naweza weka Nazi hii hii ya kawaida machicha yake
Ile ni kavu na hii ya kukuna sio kavu, hivo inaweza kukaa kimafungu ndani ya cake. Niliwahi pika ikawa hivo
Jaman naomb nijiunge namapishi ya cekiPia naomba kitabu dada
Ahsante sana Mziwanda wangu, nitaipika pia
Asante mumy kwa maelezo mazuri, ubarikiwe
Nimepika jamani nilikuwa nakosea kupiga. Leo ansate mamy.❤
Nakupenda sana dear umenifunza mengi kuhusu keki barikiwa sanaa ❤
Ameen ,karibu
Aaah wee Dada nakukubali,najarbu recpe zako kila cku znanpa matokeo mazur sanaaaaa Mungu akubark chef
Ameen 😘
Asante sana kwa kutufundisha mwenyezi mungu akubariki.naomba kujua huwa unatumia unga aina gani
Natumia ppf kwa keki
Unga kias gan huo mwalim wetuuu
ubarikiwe
Ameen ❤️
Wow ma sha Allah... ntaijaribu hii dear 😋😋👌👌
nimeipenda asante sana kwa somo
Dada hongera kwa kazi nzur mi mgeni kwenye darasa lako naomba vipimo vya keki robo namimi nijifundishe
Nitafanya darasa lake
Hongera sana dear najifunza mengi toka kwako
I miss you sana kipenzi naona kazi inaendelea gud gud😍
Naam kazi iendelee
Asante dada.
Tunaomba cake ya mchaichai
Maranyi keki enarudi sababu nini
Nimeipenda sana hiyo keki ya Nazi
Asante Sana dear. Always uko juu🙏
Mummy Mungu akubariki kwa mafunzo yk
Amiin ❤
😁mziwanda wanifuraisha leo watamani kuivyamia shukran yabint na mafunzo
Hahahaha,shukran love zimefika
@@mziwandabakers8297 💞👍🇰🇪
Asante kwa mafunzo mazuri. naomba kuuliza ni sawa nikiwa nimetangulia kuchuja unga na baking powder na kuchanganya kabla kwenye chombo kingine au lazima nifanye kama ulivyofanya wewe kuchujia unga na baking powder moja kwa moja?
Vyema uchanganye kwanza
Uko pw dada yangu
Samahani kwa sis tunaotumia cups tunapimaje
Shukrani dear zidi kubarikiwa unasaidia mno
Amiin
Your the best👌
Hizo baking tin unapaka unga au mafuta kabla hujaweka au haupaki chochote?
My dear naomba kipimo Cha siagi?
Jee waeza tumia uto kwa mapishi ya cake
Huwa unasate vipi. Moto?
Pongezi mapishi mazuri na yakueleweka
Asante Mammy kwa mafunzo.
Amiin
Mm oven yangu jmn ina moto mkali mno
Kama sina nize fresh naweza tumia nazi ya paketi?
Mziwanda please my dear,kama hutajali siku utufundishe kuingia kwenye description box
Sawa dear
Samahani naomba kujua umetumia moto kiasi gani kwenye kubak plz naomba unijibu dear
Shukran sana
Sorry sis hivi cmc powder inaendana na gel powder??
Asante Sana Dear..
Hivo vipimo vya grams, kwa measuring cups inakuwa ni sawa na kiasi gani dear?
Mbona nikipika cake kwa jiko haibadiliki rangi juu??
Jiko la kawaida haibadiliki rangi juu
Mziwada naomba namba zako nataka kuja kununua vifaa
Jibu maswali yetu kwamza ndio tusubscribe tena
Asante naomba msaada wa baking powder hapo sijasikia kama uliweka
Kaweka 3tsp
Naweza kutumia Nazi ya bakresa?
Unaweza pia
Asante my deat
Nimependa mafunzo yako
Naomba unisaidie ninapooka keki katikati haiivi shida nini,,au ni moto,
Mashaallah
Bona cjaona baking powder
Baada ya unga inafuatia baking Powder 3tsp
Shukran sana
Hyo nazi naipata maduka gani mpendwa? Nipo Dar
Kkoo habibty
Measurement by cup
Halafu naomba kujua baking powder ipi nzuri kwa cake
Zesta natumia
Asante Sana mziwanda bakers sahii niko na uwezo WA ku tayarisha cake tamu for my family
naomba unisaidie namba yako
First one to watch
napata wapi iyo nazi kavu
Nice dear
Shukran sna
Nataka kutengeneza cake ya naz ndogo ya mayai manne na prestige robo cjui nitumie vipimo gan
😋😋😋
Ninavyo ifikiria uo utam kama nimeila vile
Hahahahaha
napata wapi iyo nazi kavu
0768859358
Usipoweka bakinpowda kweny keki inakuaje maan nlijaribu kupika keki nikaiweka keki Ilivyoiva ilikuwa inanukia pekinpowda keki nzima ladha nlioweka suikskia shida huwa inakuwa nini au nilikosea wap
Mpendwa vipimo hujaweka vyote
Nini nimeacha dear, nambie nikarekebishe au niulize hapa
Siagi my?
350grams angalia tena utaona
Ingependeza ungefundisha jinsi ya kutengeneza hiyo Nazi kavu sio lazima kununua
Yangu inatoka imechambuka siwez kukata hivo .shida ni nn
Keki niliopika ulikuwa ngumu naomba nisaidie nimekosea wap
Umeipika muda mrefu pia zingatia moto wako
Naweza kuiweka nazi bila kuichuja yaani vile nishaikuna niitumie vile vile
Kama unapenda na machicha sawa
Ivi kama hutoipata hio nazi inawezekana ukakuna nazi ukaikausha baadae ukaisaga kwa blenda haiwezekani
Kama sijapata chicha la nazi iyo ya dukan naweza weka Nazi hii hii ya kawaida machicha yake
Ile ni kavu na hii ya kukuna sio kavu, hivo inaweza kukaa kimafungu ndani ya cake. Niliwahi pika ikawa hivo
Jaman naomb nijiunge namapishi ya ceki
Pia naomba kitabu dada