Jamani Asante sana mpenzi yaani nimepika sasaiv aiseeee nitamu balaa yaani nimesifiwa apa ukweni mpaka bichwa limekuwa kubwa 😂😂😂🤣🤣🤣👏👏👏thank you so much
So happy to see your video again.naomba kuuliza vikombe viwili vya maziwa ni( nusu lita au ni lita?).love you my chef.umenifanya napika half cake nzuri za nazi thanx so much.
Waoh I have given a trial! Na zimetoka smart sana.hata kama hazipasuki sana kama zako hizi..but practice makes perfect. Next tym they will more nice.🙏🙏. Nashukuru kwa mafunzo dada
Jamani mungu akuongezee ulipo pafundisha tulio faidika wote tuseme Amina........ Kwa somo la keki asante sana
Mashallah 👏
Shukran sana dear,tubarikiwe sote🙏🙏🙏
I have used your method today and the result is impeccable , thank you
Aaaaw am happy for you..congrats
Namba kuulza unawekwa amira
Asante kwa somo dada yaani unaelekeza vizur MashaAllah
❤🎉 nimependa sana mungu akuzidishie nimeelewa vzur sana❤
Mashallah tabarak Allah ❤..nzur n tamu sna
MashaaAllah yaani kwa mpasuo huo nazila nne hizi bila kuzubaa😂😂 Asante mpenzi nimechelewa kuiona nipo mbioni
Dear,there is life out of youtube and it comes first...lol
Be comfy dear😍
Ni lazima uweke siagi
@@bibiejumabibie8835 prestige/blueband/
Tumia margarine yyt au chagua recipe ya uwezo wako,zipo nyingi hapa kwangu✌
@@kekiplus1andonly woow you're soo understanding thank you❤️
@@kekiplus1andonly dada Kwan half kek hazitiw hamila
unaelekeza vizuri kiroho safi barikiwa sana
Amen,shukran sana. Ubarikiwe pia❤
Jamani Asante sana mpenzi yaani nimepika sasaiv aiseeee nitamu balaa yaani nimesifiwa apa ukweni mpaka bichwa limekuwa kubwa 😂😂😂🤣🤣🤣👏👏👏thank you so much
Vanila kwa jina lingine no Mimi?
Ukweni tena lazima liwe kubwa
@@zainabuali9915 hahahah
Siag kwa jina lingine no nini
@@EdinaCleruskalumna butter
Jamani mungu akubariki nimefaidika
Hello love nimepika mashallah mashallah zimetok mzur ilikuwa nikifany hazipasuki haziw mzur IL jan mashallah mashallah nataman nikutumie picha uone😇😇😇
Aaaaw iamani mashaAllah hongera sana
Nitumie insta nione niskie furaha@kekiplus.youtubechannel
Asante sana kwa mapishi mazuri
Thanks so much for this videos. Umenisaidia sana may God bless you abundantly
Kisiangi kilichoyeyushwa??kisiangi ni nini dear
Asante kwasomo hili.
Maa Shaa ALLAH! Shukran dear
Asante sana kwa somo nzuri sana
Daaaah asante san
Ahsante sana nawez ila natka kujua vanilla kaz yake nn
Kukata harufu ya yai
Asante sana kutufunza kupika cakes
Thanks my dear your so punctuality.
I try
Asante sana dada yaan nmepika nmefrahi sana na tamu saaanaa
Wow masha Allah asante
Haziwekwi hamira
Nimependa sana
Dadaunajuwa kupik munguakubariki
Nimejarb asee u gud
Asante dada kwa somo hili
Asante sana dada,ss nmejifunza
Jamn dad nimeflah kujifunz ,mbk nawaz nilikua wap sk zote mbk mamb mazur yana nipitaaa
Uko vizuri,lakini naona wengine wanacoment chinjereza jamani hatuelewi wengine tumieni kiswahili tufaidi wote😅😅
Asate dada mungu akujarie sana
Nimerudi hapa kukupa hongera jamani nimepiga imetoka nitamu natamani ningekuwa nanamba yako nikutumie uone dada hongera leo nimejua kupika🙏🙏🙏✍️✍️✍️
So happy to see your video again.naomba kuuliza vikombe viwili vya maziwa ni( nusu lita au ni lita?).love you my chef.umenifanya napika half cake nzuri za nazi thanx so much.
Kama nusu lita.
Asante sana,nafurahi sana kuskia hivo.
Asante sana kwa sapoti
Nikikosa siaggi niweke nini jamani
@@mwajumaomar3648 maana ya siagi plz
@@anglebrigdit.5712 Ni blue band
@@kekiplus1andonly please help translate the ingredients in English
Siiii wow mate nusura yadondoke
Kiswahili ki gumu kweli! Siagi iliyo yeyushwa ndio nini iyo
Melted margarine/butter
Butter
I have the same question
Melted Butter
Same here😂 kiswahili kigumu kweli
Nimetoa kitu kitam mnoooo..... Familia yangu ime-enjoy saña..... Asante Kwa SoMo zuri dearest
Wooooow mashaAllah mpenzi,hongera sana
Hongera😂
mpishi hodari jamaniii!!!!👌👌👌👌😊😊😊😊🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante kwa kupika keki safi sana
Mashaa allah nzuri
❤😅 unaju vizuri sana dads
I like ur halfcake there r very attractive.congradulation may Allah bless ur work
Daah zinapendiza sana
Nazipenda sana lakini sizijulii Sasa nitajaribu Shukran sana
Jamani pole,mbona ni rahisi..unakwama wapi dear?nielezee zinatokaje?
Unaweza kuweka chapa magazine na magazine soda??
Waoh I have given a trial! Na zimetoka smart sana.hata kama hazipasuki sana kama zako hizi..but practice makes perfect. Next tym they will more nice.🙏🙏. Nashukuru kwa mafunzo dada
Siagi n nn
@@geoffreywesonga5371blueband
Naenda sana hyo Kaz nzur
Yaan sijawah kuweza kupika half cake ad nilipoangalia hii Leo hii j2 ndo nimewezaaa kupikaa Asante Sanaa mdadaa ndo tupo kula hapa😂❤😂
Ni nzuri Sana ndani hazijafyonza mafuta 👏👏
Asante my
Huweki amila my
Mimi hapa sijui akiiii!
Asante Sana kwa somo zuri. Half cake hizi hukaa muda Gani Hadi kuharibika?
Hata wiki
Ayo maziwa yawe ni maziwa fresh au ya kawaida2
Do you have an English translation of this video as my swahili is not that great. Excellent demonstration.
No I don't,maybe I will upload in the future
@@kekiplus1andonly thank you for your prompt response. I have no idea why my cakes turned out so oily
Wawoooo this is so amazing
Wewe huna baya❤
Nimekuelewa Sana dad
Nimependa sana nitajalibu
Nzuri sana ,hongera
Hongera
Nzuri
Waweza kutumia baking soda pekee bila kutumia baking powder kwa half cake
mashaallah nitajarb my
Love your receip
Thank you love,
Mashaa allah🎉🎉🎉
Asante dada kwa mafunzo yako uko vizuri dada hupungua unakaa dakika ngapi ndio uanze kukata?
Huo uga unakaa dakika ngapi ndipo uanze kukata
Asante sana aaaaa sijaanza hhhhhh kumika
Asante sana Dada nilikua nauliza kamaniza biasara unaenza tumia maji badala ya maziwa
Ndiyo,tumia maji,tumia na mafuta ya kawaida tu,hata mayai to a,pia angalia recipe zingine za garama nafuu zipo hapa
Hayo mafuta ya kawaida ni badala ya blue band uliyo yeyusha???@@kekiplus1andonly
Maziwa nusu lita au vikombe viwili vya saiz gani kipenz
Mungu akubariki
Do these get fried on low heat all the way or do you have to increase the heat after a while? Please respond. Thank you
Low heat all the way dear,only low heat,otherwise it won't turn out perfect
Mm nawekaga Amira bicarbonate af soda chumvi na sukari tu zinapasuka vizuri sema zako sijaona ukiweka amira
Nqmi najiuliza hatuwek hamira!?
I love it, lakini nisaidie na ingredients kwa kizungu mamaa,,, I appreciate you 🙏
Asantee jmnii ni tamu
Nahitaji kujifunza kupika 🎉
Ahsant sana,jee siweki hamila?na jee kama za biashara ni lzm maziwa au mayai?
Thank you vert much.
Nimeipenda
Ingredients in English plz
Ahsant mpenz jeee naweza weka hio Pekin sonda na Pekin powder
huweki hamira
Kama cna vanila naweza kuweka maganda ya limao??
Thank you very much
Hauweki mafuta kwenye kukanda?
Je kutumia maziwa ya unga inafaa ?? Ukaya changanya na maji then ukatumia ktk mchanganyo huo??
Yes pia iyo nisawaa
Mungu akupe mapacha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umefanya nicheke kwa sauti🤣🤣🤣sawa,Amen
Je?, samahani unga kilo moja ubaweza kupata half cake ngapi kwa hiyo size
Zipo sawa, nimependa mapishi yako
Nimependa Sana maana nilikuwa. Nababuwa kila sick swal je kuupika afkeki lazima kuutumiya maya waaooooo
Big up
Nikipika bunch ya kwanza natoa mafuta motoni yapoe kabisa ama
Ndiyo to a yapoe..siyo kuwa baridi kabisa ila kutoa umoto mkali wote
Kwakweli ni za kishua🥰🥰🥰
Waooh good 4:07
❤❤❤ Thanks dear
Weka respy ya cake plz
Ubarikiweee
Duh kweli za kishua 👌
Yeah hatujui
Nic madam
Autumii amila
Samahani siagi iliyoyushwa ni blueband au ni nn??
Sitambui siagi plzz.can u explain to me plz.
Butter
badala ya blueband waweza tumia mafuta?