Sasa tuzungumze matatizo ya half keki. 1.half keki kuwa na mafuta ndani,inaweza kusababishwa na kutopekecha unga vizuri wakati wa kukanda,au kuzidisha mafuta wakati wa kukanda. 2.half keki kutopasuka au kujaa,inaweza kusababishwa na moto kuwa mkali sana,na mafuta kuwa ya moto..half keki hupikwa taratibu kwa moto mdogo sana..vilevile mafuta yakiwa kidogo wakati wa kuchoma half keki haziwezi kupata nafasi ya kuumuka. 3.half keki kuwa mbichi inasababishwa na mafuta kuwa ya moto sana na moto mkali,ivyo zitabadilika tu rangi nje ila ndani.zitakuwa mbichi
Nilijaribu za biashara wanunuzi wamezipongeza ila kwangu mm naona hasara mafuta yanaenda mengi zinakunywa MaFuta.... Cjui kama utanisaidiaje ili nipate faida nzuri
Jamani umaskini wa bando unafanya nakosa mambo mengi ...duh.. Asante keki plus kwa video nzuri...video ni nyingi ,zile biskuti za caramel na chocolate ndo kiboko..😋😋😋😋😋😋😋
Oooh pole sana f@fantasy world...Mungu akufanyie wepesi,akufungulie milango mipya ya rizq.. Nashkuru sana kutumia bando yako kuangalia video zangu...Mungu akuzidishie daima
Pole sana dear,labda uloweka moto mdogo sana...yaani mdogo.wa kupitiliza.. Half keki zina complication sana,kila siku ni siku nyingine ya kujifunza...anza kutengeneza ata za robo za kujifunzia ...ili upunguze garama..
Sasa tuzungumze matatizo ya half keki.
1.half keki kuwa na mafuta ndani,inaweza kusababishwa na kutopekecha unga vizuri wakati wa kukanda,au kuzidisha mafuta wakati wa kukanda.
2.half keki kutopasuka au kujaa,inaweza kusababishwa na moto kuwa mkali sana,na mafuta kuwa ya moto..half keki hupikwa taratibu kwa moto mdogo sana..vilevile mafuta yakiwa kidogo wakati wa kuchoma half keki haziwezi kupata nafasi ya kuumuka.
3.half keki kuwa mbichi inasababishwa na mafuta kuwa ya moto sana na moto mkali,ivyo zitabadilika tu rangi nje ila ndani.zitakuwa mbichi
Tante sana ina maana halfcake haikandwi kama maandaz?ntajuaje kama unga wangu nimepekecha vizur
Vipi kuusu kuuacha unga uumuke? Napika moja kwa moja nkiisha Kanda au Kuna muda wa kuuacha unga uumuke
Nilijaribu za biashara wanunuzi wamezipongeza ila kwangu mm naona hasara mafuta yanaenda mengi zinakunywa MaFuta.... Cjui kama utanisaidiaje ili nipate faida nzuri
Kwa dada aifai kupikwa na mafuta ya moto wa kundia unakuwa ya barid bila kupasha kwenye moto naombeni mieleweshe
Daaah kweli jmn
Asante Sana nimefanya kama unavyofundisha nimefanikiwa mungu akubariki sana
Wow thanks❤ mammy kutufunza kupika me kwanza nashilukuru sana asante mungu akubariki
Asante Sana Dada ume Ni saidiya kwa kweli endeleya ivo
Delicious yummy 😋 thank you so much for sharing my sister 💐
Duu Bora wengine vizungu vimezidi had tnakua hatuelewi hongera dada
Safi sana dadaa nime enjoy somo
Asante Sana dadayangu kwakutujuza
I tried them and they came out perfect yummmmmy
Asante mumy Somo limefika
Maa sha ALLAH
Nashukuru San dadaa
Asante madam nimekuelewa
Tena hapa mydea nauliza,unga wenye natumia wafaa kua ulepia unabaking au wakawaida,,asante
Tumia wa kawaida,unga plain
Samaanii nitumieee unga azania au
Nimejifunza
Ninetengeneza tamu sana😊❤
Asante kwa recipe, nimetengeneza half keki tamu sana❤
Samahani dada naomba unielekeze half cake unaeka hamira ama ni vipi
@@PendoMere zangu nilitumia chapa maandashi, sukari, chumvi, margarine na maji, kumbuka usiiukande unga wako sana
@@abigailwanza9190 asante dada alfu ukimaliza kuukanda huweki ukaumbuka kama sekundi kidogo ama una katanga tayar
Kaz nzur dada
Mashaa allah zinaonekana ni nzuri sana
Sana😚😚😚😚
Nimetengeneza kiukweli nitamu sana
Daaaaa asante mpenzi nimeyapika ni matamu haswa naendelea kufatilia vitu vyako upo good sweetheart
Mashaa Allah nazipenda sana shukran mpendwa
Karibu sana..enjoy kupika na kula pia
Hiyo njia ni nzuri Sana nimetamani Sana kijua kupika kangumu , pia umetumia njia rahisi na lugha rahisi inayoeleweka Asanti.
Na mimi nimeipenda. Pia
3:24 ❤@@nasramakau6966
Asante najfunza
My dear hujawahi kuniangusha tangu nikufaham. Barikiwa sana
I love it
I tried it and they came out perfectly
Nimeipenda iyo njia kwaiyo kwenye alf kek awaweki amila
Aziwekw amira
Autumii amira
Nimependa umeelekeza vzr nami nataka kujifunza samahani naomba vipimo nikianza na unga nusu
Asante maana ilikua inanisumbu
Nimepika zimetoka nzuri mi nimejiongeza nimeweka vanila
Woooow kama naziona utamu wake..hongera sana dear👏👏👏👏👏
@@kekiplus1andonly Ahsante dear nawe nakushukuru kwa kutufunza mapish unaelezea vzr had tunaelewa
Ahsante sana mpendwa
Karibu sana mpendwa
Waw🙏🙏👏👏👏💯
Jamani umaskini wa bando unafanya nakosa mambo mengi ...duh..
Asante keki plus kwa video nzuri...video ni nyingi ,zile biskuti za caramel na chocolate ndo kiboko..😋😋😋😋😋😋😋
Oooh pole sana f@fantasy world...Mungu akufanyie wepesi,akufungulie milango mipya ya rizq..
Nashkuru sana kutumia bando yako kuangalia video zangu...Mungu akuzidishie daima
Asante sana hii channel imenisaidia sana🙏endelea vivyo vivyo
Unapka naww😂😂😂
Assante ubarikiwe dear
Asante...ubarikiwe na wewe
Asante kwakutufundisha na sisi hapa Uganda. Lakini, half cake zangu zinakuwa na mafuta mingi sana kabla ya ku iva. Kwanini?
Nimeelawansana
Kuelezea nae namba 1
Asantee sana
Nzuri sana
Sawa
Hongera nimezipenda keki zako samahani naomba unielekeze natakakupika kilo mbili je nitaweka hamila kias gan na chapa maandazi vijiko vingap?
Asante
❤❤
Very nice
Napenda mapishi yako barikiwa dada
Asante sana @sarah wanjiru tubarikiwe sote dear
Vip dada kuhus amila haihitajiki au ni upond wa mtu
@@christinarashid3204 nina shida kidogo hapa half keki yangu nikipika huwa ikauki inavyostahili yaaani kama kangumu nisaidie shida iko wapi
@@christinarashid3204 nina shida kidogo hapa half keki yangu nikipika huwa ikauki inavyostahili yaaani kama kangumu nisaidie shida iko wapi
@@christinarashid3204 nina shida kidogo hapa half keki yangu nikipika huwa ikauki inavyostahili yaaani kama kangumu nisaidie shida iko wapi
Naomba unielekeze Jinsi ya kupika hafkek yan kwamba nianze na nn had nn
Nimependa sana
So nice
Asante,vip lakn kati ya chapa mandashi na mafuta ni kipi naweza tumia blueband kam mbadala yake jibu samahani
Mafuta
Bánh ngon mỗi ngày 👍👍👍
Thank you
Asante mpenz
Karibu tena dear
Like 2 6 yummy recipe sis 👌👌👌
Thank you so much.@Daya amma kitchen
Habar
Watumia unga gani wa keki ama wa ngano 1:51
Ni nzuri sana ila nisaidie tafadhali upande wa mafuta juu natengeneza za biashara
Tumia vijiko 2 chapa maandashi, na usibadili moto..tumia moto mmoja mwanzo mwisho na usizigeuza ama kuzigusa mpaka muda wa kugeuza
Boss zangu zimetoka namafuta na zinapukuchuka juuu
Nimekosea wapi
Samahani hafkeki hauwekwi hamira???
Nimejua kpika keki
Aaaaawwwww mashaAllah
Looks so yummy, joined
😋thank you for watching love
Vip kuhus amira na magad soda ?
Kukuliizaa tu majii yanayotumiwa n baridi au moto?
Et naomba kuuliza n nn kinasababisha halfkeki kuwa ngumu ?
Dada me naomba namba yako ili unielekeze vizuli
How many pieces of square do we got from 1kg and what brings them to crack?
Jamani mbona Mimi nikipika yanatokea mandz/2 nakosea wp
Vp kuhus amira
Zinaonekana nitamu sana
Thanks dear
Good thanks
Mashaaallah
Ni tamu kweli ila hazipaki vizuri
Good video but i tried zangu zikakunywa mafuta
Huweki hamira
Nimependa saana hii njia rahisi ya kuziunda
Badala ya maji naweza kuweza nazi au maziwa kwa recipe hii
dada unatumia maji ya baridi au moto au yavunguvugu
Nimeshukuru
Mafuta niyamoto sana na hamira je
😊
Aunt mbona mimi nikitengeneza half keki zinakuwa ngumu sana kwann
Mm nafeli kwny kipimo cha mafuta na baking soda nakanda kg1 na nusu apo vipimo vikoje nisaidie
Kwan huwekag hamila??
Unaweza kutumia siagi badala ya mafuta au samli. Asante ❤❤
Ndiyo...ila iyeyushe kwanza..
Ila itabidi upunguze kipimo...sababu siagi ni rich sana
@@kekiplus1andonly 😘🌷
Ahsante 🙏
Yummi yummi
Maji ya moto au ya baridi uliotumia 😢
Mimi nikipika hayapasuki vizr
Pole dear,endelea kujaribu,mwanzo mgumu...
Labda unafanya unga laini sana,au moto mdogo sana
@@kekiplus1andonly sawa dear ila kabla ya kuweka half kake kwenyew mafuta mim nachemsha mafuta kwanza au ni vibaya ila moto naweka mwingi
@@kekiplus1andonly hata maanda sipakagi vizr jamani nielekeze my
Hamna kuumua ubga?
Dada mi nimejaribu kupika zimetika vzr ila hazija pasuka saaa nijirekebishe wap
Kumbe aziwekwi amila
Hiyo maji n warm ama baridi
That is the quiz I want to knw
ngano kilomoja unaweka vijiko vingapi
Amira hauweki?
Ni ukweli kabsa
Haibebi mafuta
VIP halfkake kuwa na mafuta Ndani baada ya kukaanga?
Kwa kilo 5 natumia kias gan cha chapa mandashi
Kilo 6 unaweka chapa mandaz kias gani na ile bank pouda kias gani
Samahani unatumia unga Gani ngano au
Joined
Yummy 🤤
Thanks Mary's vlog uganda
Mm Jana nimepika Kama hivyo lakini sijui nilifeli wapi maana naweka jikoni nageuza naona Zina mungunyuka basi nikazimwaga
Pole sana dear,labda uloweka moto mdogo sana...yaani mdogo.wa kupitiliza..
Half keki zina complication sana,kila siku ni siku nyingine ya kujifunza...anza kutengeneza ata za robo za kujifunzia ...ili upunguze garama..