JINSI YA KUPIKA MIKATE LAINI KWA NJIA RAHISI
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Jinsi ya kupika mikate nyumbani (bread rolls)
Mahitaji
-Unga 800g
-Sukari vijiko vikubwa 4
-Chumvi robotatu ya kijiko kikubwa
-Mayai 2.5
-Maziwa ya unga vijiko vikubwa 3
-Maji vuguvugu 250 ml
-Siagi kijiko kikubwa 1 kilichojaa hadi kilima
-Hamira ya chenga kijiko kikubwa 1.5 (kimoja na nusu) au fresh yeast kidonge kimoja kama iliyoweka kwenye video.
-Nusu yai la kupaka juu ya mikate
Kama unga wako unahitaji maji mengi basi unaweza kuongeza maji vuguvugu kidogo.
Oka kwenye moto wa 165c kwa dakika 20
Moto uwe juu na chini
Nakushukuru kwa video yako hii. Nimefuata recipe yako na nimechoma mikate imetoka vizuri mno. Tena mimi nimetumia airfryer sina oven.
Whaaao, asante sana kwa mrejesho. Sikujua kama unaweza choma mikate kwenye airfryer. Ntajaribu pia🙏
Unga kiasi gani
@@LucyJohn-g8h vipimo na mahitaji yote vimo kwenye sehemu ya maelezo. Soma hapo utaona. Shukrani 🙏
❤
Mashaallah Allah akubarik habibtiy mikate mazuri ya sifa
Allahuma amiin habibty. Asante sana♥️
Nzuriii mashaaallaah ✨😍😍 dadaaa❤
@@HadijaHadifaa Asante sana
Masha Allah nimizuri sana asante
@@zabibumussa-nb7is karibu sana❤️
Una recipe nzuri na rahisi
Asante mpendwa
Mashaallah Yummy😋🎉🎉
@@meowzna asante mpenzi🙏
Masha'Allah 😋😋😋😋 nice
Asante sana🙏
Mashallah ♥️
Maa shaa Allah pambee ❤❤
Asante mpendwa🙏
Mashallah mikate mizur jmn
Shukrani
Asante dearest
Nashukulu sana kwakuuliza kupiga mkate amin
Shukrani sana 🙏
Tamu sana na laini. 😄🍞
Asante sana♥️
Mizuri sana,shida yangu mm napika lakini mikate Ile ya pembeni haiivi vizur
@@AnosiataChaula Inaelekea moto upo kati tu pembeni hakuna. Kama ni oven basi itakuwa haina moto huko kusikoiva. Kama mkaa ukipalilia hakikisha makaa ya moto wamesambaa kwa usawa kwenye mfuniko wote unaofunukia. Na chini pia hivyohivyo
Excellent
Thank you 🙏
Wallahykm sallam mashallah sister
@@AmirGhafoor-bk2le 🙏🙏🙏
Mungu akubariki Sana
@@claudiamathiw865 Amiin 🤲. Asante sana
MashAllah ❤
Asante sana🙏
Ahsante sana mamy
@@Kid_Africa shukrani sana 🙏
Mashaallah
@@SalamaRajabu-c6h 🙏🙏♥️
Hongera nampenda kujifunza kwako mimi
@@KendrickJohn-f6d Asante sana ndugu yangu🙏
Nitajaribu
Kila la kheri👍
MAASHALLAH
@@hawahamisihamisi6038 ♥️♥️🙏
Waoooo nac
@@uwinezamaggycrara4381 Thank you🙏
Ok my
❤❤❤❤
♥️♥️
New sub
@@sadiahafalu5264 Shukrani na karibu sana ♥️
MaashaAllah. Mikate mizuri. Kiswahili chako km mzanzibari
@@jarsjam8894 Asante sana. Miye kwetu Tanganyika. Nimezaliwa na kukulia pwani ya bara.
Masha Allah recipe zko zote
@@sadiahafalu5264 asante sana🙏
Hi@@Mapishi_TV
Nitajaribu jamana
Kila la kheri
Mikate mitamu mama hongera kwa kutupa mafuzo ya kupika mkate
@@razalintamusimwa1191 Asante sana na karibu sana🙏
Sorry hebu tuwone iyo hamira y kidoge pllz
Uko mji gani wewe? Naweza kukufahamisha maana kuiona hadi nirekodi video
@Mapishi_TV tz
Hii miye nanunua maduka ya mtaani huku Ujerumani. Ntairekodi niiweke
Naomba nione iohamira yakodoge@@Mapishi_TV
Assalam alaykum sina maziwa ya unga naweza kutumia maziwa ya maji?
@@Ilaria2002 waalaykum salaam. Ndio unaweza yanafaa
Hi
@@Paulin-u3r hi
Mimi huwa sifati vipimo sjui kwakua sifanyi ya biashara
Hayo ndo mapishi yetu. Tunakisia tu na chakula kinatoka vizuri. Siku hizi ndo watu wanataka sana vipimo vya kila kitu. Mapishi ya vipimo sana sana ni mambo ya nchi za magharibi.
Samahn naomba kujua Kam nabek kwenye oven moto inakuwa juu na chin au ??
@@WittyGody-e1z Moto ni juu na chini kwa pamoja
Asente kwavideo yako
@@BlandinaPius Shukrani sana
Je ni lazima kuweka hiyo karatasi chini wakati wa kuoka mkate?
Halafu sijui inaitwaje hiyo karatasi..
Inaitwa baking paper. Si lazima. Unaweza kupaka mafuta chombo chako kisha ukaweza mikate yako. Inatosha
Unga kiasi gani
Vipimo vyote vimetajwa kwenye video na pia vimeandikwa sehemu ya maelezo. Tazama vizuri utaviona. 🙏
Kama Sina oven?
Unaweza kuoka na mkaa. Chini unaweka mkaa kidogo juu unapalia.
Kama huna maziwa ya unga waeza pika na maziwa ya pakiti
Kabisa. Unaweza tumia ya pakiti.
Unga gram 800 ni sawa na vikombe vingapi
Vikombe mpendwa huwa vinanisumbua sivijui vizuri maana wengine wanasema kikombe 1 ni 250g wengine 200 wengine 180. Ndo maana natumia kg. Gram 800 ni unga nusu na robo na nyongeza kiduchu.
@@Mapishi_TV okey ntajaribu mpishi mwenzangu 😍
Inaweza kua vikombe vitatu.
Mwanzo nilijua maji ya moto yanaua hamira kumbe sio kweli. Nitajaribu hii recipe. 👍
@@judithfimbo3743 Fanya maji vuguvugu. Yanasaidia kufanya hamira iumuke haraka. Yasiwe moto sana
❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤
@@beatriceoduor445 🙏🙏