NJIA MPYA KABISA YA KUPIKA KEKI KWENYE JIKO LA GESI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly  3 года назад +239

    Jamani Alhamdullillah, MashaAllah aliyelike video wa kwanza,hata hajaangalia video nzima bado,Mungu akubariki sana sana,nakuombea heri,mwaka huu uwe wafanikio na baraka tele.

  • @hashimamani2615
    @hashimamani2615 3 года назад +9

    Kwanza kabisaaa jua ww sio mpishi Bora wa keki tuu Bali hata hivi unavofundishaaa una ubora wake... Mungu akuzdishiee na uzidi kuelemisha jamiii... Keki yako naipa asilimia zooote imetokelezeaa saaaana 👌

    • @lucymuna8593
      @lucymuna8593 Месяц назад

      Hongera! Mi nilishapika kwenye mkaa kwenye sufuria niliweka mchanga nikaweka jikoni,nilivyoandaa keki yangu nikaweka kwenye sufuria kama hiyo ya kwako,nikafunika na foil,nikaweka kwenye mchànga,baada ya hapo nikafunika na mfuniko kama huo wa kwako.

  • @damasdesdery9233
    @damasdesdery9233 3 года назад +16

    Waaooo! Umefanya vizuri sana na keki ni nzuri sana.
    Mimi natengeneza exactly kama ulivyofanya, labda flavour ni kila mmoja na flavour anayotaka.
    Pia badala ya chumvi natumia mchanga na juu ya mfuniko natanguliza mchanga pia, juu ya mchanga naweka mkaa

  • @MumbereComerc-us9ec
    @MumbereComerc-us9ec 8 месяцев назад +3

    Shikamo kweli nimefurahishwa na keki nzuri kwani nimefahamu mengi zaidi Mungu akubariki akuongezeye tena zaidi

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  8 месяцев назад

      Amen,nafurahi sana kuskia ivo.
      Mungu skubariki pia,

  • @mwanakombomwandekwa1259
    @mwanakombomwandekwa1259 3 года назад +4

    Masha Allah! Shukrani dada umenipunguzia mzigo wa kutumia jiko la makaa. Jiko la gesi lipo ila kutumia kupikia keki zii. Alhamdulillahi. Endeleeni kutuelimisha in Sha Allah.

  • @paulinemwende7129
    @paulinemwende7129 3 года назад +26

    Wow! Surely, you don't have to break the bank to have an oven, you are so creative. Thanks for sharing. I give you 99% . I could have given you 100% but that will make you relax, continue with good work. Thanks again.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +3

      😂😂😂😂you really dont have to break the bank unless you really need to...lol
      Thanks for supporting dear...

    • @juliarobert1090
      @juliarobert1090 3 года назад +1

      Habari Dada nimependa mapishi yako ya cake me mfanya biashara pia wa cake

  • @irenemdami8915
    @irenemdami8915 3 года назад +17

    Marks 98%....yaani nisiwe muongo mie najua kupika keki kwenye oven nilikuwa sijui kupika kwa style hiyo👍🏽👏🏽👏🏽😀

  • @mahamudhassan2498
    @mahamudhassan2498 Год назад +2

    Mashaallah mashaallah me I used to use rock salt and cooking with method of jiko❤❤

  • @staceyjairah3538
    @staceyjairah3538 3 года назад +7

    Hii method mamangu alinifunza .. sasa naskia kupika keki 😅💃❤️

  • @JacksonMngandile
    @JacksonMngandile 4 месяца назад

    Thank you aunt nimejifunza na nimeelewa,sikutegemea kama ingetoka katika ubora huo... hongera sana👍

  • @sammylyttle9414
    @sammylyttle9414 3 года назад +3

    Mashallah keki imetokea tamu ....ndio nimeiwatch 💯💯😋

    • @Upendolema-jc5dh
      @Upendolema-jc5dh 7 месяцев назад

      Asate nimejaribu nikafanikiwa ubariikiwe lla kupamba ndiyo sijajuwa

  • @longinusjob9094
    @longinusjob9094 3 года назад

    Kwa kweli me kwangu first time nimejifunza njia mpya, me chef nipo singida ahsante Sana .

  • @Mateshjose
    @Mateshjose 3 года назад +19

    98/100 experienced teacher never gives 💯

  • @aphishelupogo3736
    @aphishelupogo3736 3 года назад +1

    Naitumia iyo njia muda mrefu sana tokea 2015 na inatoa keki nzuri mno

  • @hasinarashid4118
    @hasinarashid4118 3 года назад +26

    Kwaajilii yako leoo nimejuaa kupkaaa kekii ilaa kupambaa ndio bdoo ilaa kwa mafunzo yakoo naimani ntawezaa

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +3

      Aaaaaw wooow HONGERA SANA.
      nafurahi sana kuskia ivo...utaweza,InshaAllah tena sana, endelea kufanya mazoezi..kupamba ni mazoezi..mkono uzoee

    • @zainabmohammed1439
      @zainabmohammed1439 3 года назад

      Nauliza hapo keki iko kwa gesi na juu naweka makaa ya moto je si hatarii tukuzane jamani tusije tukaleta hatari

    • @abdallahassan6378
      @abdallahassan6378 2 месяца назад

      Nirahis mno🎉🎉🎉🎉

  • @kassimali9168
    @kassimali9168 2 года назад

    Nimeipenda nimeshawahi kuiyona na nishajaribu kufanya nilitoka so good and naice colour nimekupa asili 100

  • @sophiachuma5401
    @sophiachuma5401 3 года назад +3

    Mashallah umemfanya mwanangu mpaka ameweza kupika cake

  • @monicahnjoki5433
    @monicahnjoki5433 2 года назад

    Wow nilijaribu lakini nilikosea mahali na sasa nimerekebisha mkosa langu asanti dada...

  • @zznbnuru8510
    @zznbnuru8510 3 года назад +11

    MASHAALLAH MASHAALLAH..Keki Plus my aunt used to use this method but not with Rock Salt..She would use a jiko and the cake on top but with little charcoal on top,i have also done that in th past before buying an oven,Thankyou soo much for sharing this Method👍🏾😘

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 3 года назад +2

    Napenda mapishi yako dada Down to earth Si lazima ya maoven Rahisi na tamu Mungu akubariki Shukran 🙏

  • @fantasyworld9489
    @fantasyworld9489 3 года назад +5

    Mmmmh dada,maelekezo yako tu dear,yaaani mtu anakupenda ye mwenyewe
    msweet sweet tu😍😍😍😍
    Unaelezea vizuri,yani unaenda tu unateleza na maelezo yako.
    Asante sana,nakupendaga tu.

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад

      Aaaaaw jamani,asante sana dear,Alhamdullillah
      Ila huwa unapotea sana,sapoti yako ni muhimu sana kwangu...asante sana

    • @aminasoft871
      @aminasoft871 3 года назад

      Aise mambo mazuri na ramadhani hii manshalla

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 3 года назад +1

    Ma Shaa Allah keki nzuri sana. Shukran kutuonesha njia mpya ya kupika keki

  • @njokinjogu
    @njokinjogu 2 года назад +3

    Wow,, it's yummy I must try this at home ...thanks alot

  • @phionahfifi3743
    @phionahfifi3743 2 года назад +2

    Am here learning how to cook a cake , but the cake is yummy 😋 100% teacher me how to cook mama

  • @judithmusilivi111
    @judithmusilivi111 3 года назад +3

    Weeeee I have to cook this everything is available so simple sister wishing you lots of blessings for the new Idea

  • @JovinaWekisha
    @JovinaWekisha Месяц назад +1

    Mimi ndo mara ya kwanza kuona keki inapikiwa kwenye gesi,Asante kwa elimu hii.

  • @rahmamushi7325
    @rahmamushi7325 3 года назад +3

    Aiseeeeee 100% dada. Naimba kama naweza kupata darasa la cookies.

  • @charleskyalo8778
    @charleskyalo8778 2 года назад

    Procedure zuri sana nmeipenda✨✨✨
    Ila nina swali ukisha eka chumvi ya mawe, unabandika motoni

  • @shukuranihalisi7339
    @shukuranihalisi7339 3 года назад +4

    Hello my good friend Asante Sana Sasa unda was confused flawa naipata wapi was kupima alafu naomba pishi la kaukau asante

  • @Emilius-l1e
    @Emilius-l1e Год назад

    Da Asante Kwa hili nilikuw nafikilia San kutengeneza Kwa njia kama Sasa nimejua mung akubarik sana

  • @jaycchriss9076
    @jaycchriss9076 3 года назад +8

    Wooooooow it seems to be delicious.......ur cake is more than attractive

  • @dhakiamohamed6530
    @dhakiamohamed6530 3 года назад

    Mimi naipa 100% cause imependeza saaaaana♥️♥️♥️♥️💖💖💞🇹🇿🥰🤤🥪🥪🥪🥪🥪 experienced teacher gives 💯%

  • @roselynemmboga7683
    @roselynemmboga7683 3 года назад +5

    Wow, so wonderful

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 2 года назад +1

    Ma sha Allah umenifundisha na nimetengeneza imetoka mmmwaaah sukran dd

  • @gracezamudakalonda2678
    @gracezamudakalonda2678 2 года назад +4

    Merci beaucoup pour tes recettes chérie, tu es géniale 💋💋💋♥️♥️

    • @BenaYuni
      @BenaYuni Год назад

      Sijawahi kuona dada

  • @bellakaloli5733
    @bellakaloli5733 Год назад

    Kwa kweli metoka vizuri, sijawahi kupikia jiko la gesi lakini leo dah, sio kwa mgao huu wa umeme, umeme umekatikia wakati nachapa batter😂😂, thanks for the tip, be blessed

  • @lovebird4288
    @lovebird4288 3 года назад +4

    Jamani mi sisemi 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯kama zote
    Asante sana

  • @hopegodbless670
    @hopegodbless670 3 года назад +2

    Ubarikiwe sana my dada mie nimejua kupika keki kwa ajili yako bado kupamba tu my dear allah akuongezee ujuzi zaidi na zaidi amiiiiin

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Amin dear.
      Wooooow MashaAllah dear,hongera sana...endelea kupambana utajua tu

  • @katemiritisafari6500
    @katemiritisafari6500 3 года назад +3

    Hii njia yapendeza kweli.nimeipenda.

  • @ChristinaMassawe-i3u
    @ChristinaMassawe-i3u 6 месяцев назад

    Asante sana dear ,nilikuwa sijui kuoka bila oven hii ni njia simple Asante sana be blessed.

  • @blessingsbelle7619
    @blessingsbelle7619 3 года назад +7

    VERY PRACTICAL. THE USE OF COALS ON THE LID IS HOW PILAU (RICE PILAF) IS MADE. I APPRECIATE THE ENGLISH SUBTITLES, SINCE NOT EVERYONE UNDERSTANDS YOUR DIALECT. I FEEL THE VANILLA MAY BE A BIT EXCESSIVE. IT CAN BE VERY OVERPOWERING. 👍

    • @wemasanga8615
      @wemasanga8615 2 года назад

      Keki nzuri dada hongera Sana endelea kutufundisha usichoke

  • @reynanassary9116
    @reynanassary9116 3 года назад

    Waooh nimeipenda sana nashukuru kwa mda wako kiukweli umenifundisha sana👍🏻👍🏻❤

  • @dahabosiraji1851
    @dahabosiraji1851 3 года назад +9

    I like the idea that design makes a result ☺️😉

  • @lorineatieno8481
    @lorineatieno8481 2 года назад +1

    Wauu, Asante sana sikujua kupika keki kwa gasi but nimeona thks

  • @fatmahmoss5242
    @fatmahmoss5242 3 года назад +7

    💯💯 love from Burundi 🇧🇮

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +2

      Aaaw thank you loads😘😘😘😘am receiving all that love here..
      My regards to burundi,much more love for you...

  • @violethkyara9684
    @violethkyara9684 3 года назад

    Waooo nimependa mpk nimejikut nafunguwa mdomo kwajili yakupokea kipand cha keki

  • @sharlkemmie362
    @sharlkemmie362 3 года назад +4

    I use this all the time... Big up

  • @violetrwechungura3657
    @violetrwechungura3657 3 года назад +2

    Asante nimepata njia rahisi na nyepesi ya kupika keki. Hongera sana dada nimetamani kuionja😋

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Hahaha jamani iliisha saa iyo iyo..pole,wakati mwingine

  • @boazobama6945
    @boazobama6945 3 года назад +5

    Now, I'm hungry 😋😋😋

  • @vailethkitomary60
    @vailethkitomary60 3 года назад

    Waoooooh dadaaa nmfurahii kufahamuu njia nyingne ya kupika cake asanteee kwa mafundisho mazuriiiii

  • @roserozzy8518
    @roserozzy8518 3 года назад +12

    I did this and even today I do it but I used sand instead of salt. Salt is not friendly with pots it wears the coating hence the pot become black and harmful to health.

  • @elizabethwanjiku4911
    @elizabethwanjiku4911 3 года назад +1

    nzuri sana nimeipenda 80% keki la jiko hongera 👍

  • @veronicakubumba2749
    @veronicakubumba2749 3 года назад +3

    Thanks clear language

  • @mwajumaloma6362
    @mwajumaloma6362 10 месяцев назад

    Asante dada kwa somo hilo sikunajua unaeza kupika keki kwa jiko la gesi

  • @jacintashikangashikanga5397
    @jacintashikangashikanga5397 3 года назад +3

    Perfect great job congrats i 'll try that at home

  • @foinacakes
    @foinacakes 3 года назад +1

    Hii njia ya kuwekelea makaaa juu mm huitumia kila wakati na nina ipenda kweli hasaaa kwa kutumia jiko shukran kwa kutuelimsha🙏

  • @AJM24227
    @AJM24227 3 года назад +4

    I will try dear.
    Thank you very much.

  • @zeinabaliali11
    @zeinabaliali11 3 года назад

    Ahsante sana nilikuwa sijaona leo nimeona kupika keki kwa ges ahsante sana

  • @beatricemisati2566
    @beatricemisati2566 3 года назад +7

    My mother did this many years, but used sand on a charcoal stove.

  • @loitengia4217
    @loitengia4217 3 года назад +2

    Kwakweli hongera unatufundisha njia rahisi kabisa za mapishi ambayo kila mtu anaweza kumudu

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +1

      Asante sana dear,kwa sapoti yako ..ni kweli,mapishi yakirahisishwa kila mtu ataweza na atapenda kupika.

  • @Hellenodegi
    @Hellenodegi 3 года назад +5

    I used similar method since 1988. Sand instead of salt though

    • @BrianAlex-m3w
      @BrianAlex-m3w 11 месяцев назад

      ❤❤ keki ni nzuri sana👍👍

    • @BrianAlex-m3w
      @BrianAlex-m3w 11 месяцев назад

      👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @judithmlaki1147
    @judithmlaki1147 3 года назад

    Ni njia nzuri sana,pia badala ya gas waweza kutumia jiko la mkaa,niliwahi kupika kwa jiko la mkaa zamani

  • @tsonijoy6306
    @tsonijoy6306 3 года назад +3

    Waooo yummy yummy

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Год назад

    WOOW %💯,,me nataka kujifunza na jinsi ya kupamba tuu,pia bd sijaiona video ya jinsi sukari ya unga inavyoandaliwa🙏🏻

  • @fatmaadam85
    @fatmaadam85 3 года назад +4

    Mashallah looks yummy thanks

  • @eldambwelwa-9560
    @eldambwelwa-9560 Год назад

    Safi Sana mpenzi endelea kutufundisha tujikwamue wanawake mungu atakulipa

  • @mainajamesofficial
    @mainajamesofficial 2 года назад +3

    This is amazing 👍

  • @emmyajami3411
    @emmyajami3411 3 года назад

    Mashallah ....nmependa mfumo huo mpya mungu akuzidishie😘😘😍😍

  • @cookwithmsoo
    @cookwithmsoo 3 года назад +10

    Another informative video- thanks sis.
    Alafu keki imeiva poa kabisa..
    Really missed your uploads-gonna binge the ones i missed during the week..

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +3

      Thank you dear,i missed you on these streets,and figured you must be pretty occupied..hope you find time to get us a little something to view😘

    • @cookwithmsoo
      @cookwithmsoo 3 года назад +2

      @@kekiplus1andonly i can't promise anything yet, but am sure going to try..❤️..

    • @getrudapastory3572
      @getrudapastory3572 2 года назад

      Na ukiwa huna chumvi huwez tumia mchanga

  • @happynessmolla1781
    @happynessmolla1781 3 года назад

    Hongera sana kwa maelekezo mazuri %100 Mimi nilijua jiko la gesi huwezi kuweka mkaa juu.

  • @ashabasophia2387
    @ashabasophia2387 3 года назад +5

    You're making a great work dear👍👍

  • @VanessaKaskuri
    @VanessaKaskuri 6 месяцев назад

    Axante saana. Nimejifunza. Mi nlikua naweka mchanga chin Kwa sufuria kumbe hta chumv ya mawe

  • @jepngetichnancy7915
    @jepngetichnancy7915 3 года назад +7

    Good work 👍

  • @marycastory8522
    @marycastory8522 3 года назад

    Asante sana nimepika jana na leo nashukurusana kwa mafunzo yako

  • @sherrymum
    @sherrymum 3 года назад +4

    I love it

  • @bilhakibibi7682
    @bilhakibibi7682 Год назад

    MashaAllah nimeipenda ntajaribu kupika ❤ 💯💯💯

  • @sophiandethiu2721
    @sophiandethiu2721 3 года назад +11

    One can use hot sand in place of charcoal....just heat dry sand in a pit on the stove.

  • @SALOMEAPIYO-um3fv
    @SALOMEAPIYO-um3fv Год назад

    Waa Dada asante nimejifunza kupika keki leo ❤️👍 kazi nzuri sana.

  • @lovenesskalist3009
    @lovenesskalist3009 3 года назад +3

    Nice

  • @salmajuma2028
    @salmajuma2028 2 года назад

    Mashaallah kipenzi nakupa asilimia 100 percent inavutia sana

  • @zinathsharky8957
    @zinathsharky8957 3 года назад +4

    💯💯💯😋mependa sana dada angu

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 года назад +2

      Aaaw jamani😍😘😘😘😘asante sana,ukipenda ivo ndo furaha yangu dear..
      Nashukuru sana dear wangu

  • @SarahMamba-b1u
    @SarahMamba-b1u Год назад

    Asante dada umenitoasehemufuran na umenipeleka sehemnyingine❤❤❤❤😅

  • @fridakarani178
    @fridakarani178 3 года назад +8

    Unafanya aje ndio keki isi inuke sana na kupasuka

  • @shirujoy6974
    @shirujoy6974 2 года назад

    Yes I always use dis way ad it's best for those who doesn't have oven

  • @neemakusenha2540
    @neemakusenha2540 3 года назад +6

    kweli hii njia nimewahi ila badala ya chumvi ya mawe nilitumia mchanga

  • @adorphinamvungi669
    @adorphinamvungi669 3 года назад

    Keki nzuri 100%. Umenisaidia nitapika nami nikuoneshe

    • @brunonditiimtheone2195
      @brunonditiimtheone2195 2 года назад

      Wow hata mim nilikuwa cjui kama hata kwenye Jiko lá gesi inawezekana

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 3 года назад +3

    Lovely

    • @gladyedson9242
      @gladyedson9242 3 года назад

      Thanks alot mm nilijaribu kupika mkate kwenye gesi niliweza asante sana... Na hii nitajaribu pia.. 🤗🤗

  • @FavourGatwiri
    @FavourGatwiri 3 месяца назад

    Wow!heri nimèjua njia mpya ya kupika keki

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 3 года назад +3

    Mashaallah ❤

    • @muhembehelene6115
      @muhembehelene6115 2 года назад +1

      Nimeipenda,ila mi nimejaribu ikavimba katikati n'a kupasuka kwani tatizo nini

    • @hadiakipa2933
      @hadiakipa2933 2 года назад

      Jamani tuna furahi sana mapishi ya keki mkipika mtuekee vipimo tuandike

  • @maimunaswaleh2556
    @maimunaswaleh2556 3 года назад +1

    Mashallah Mungu akupe afya keki nzuri saanaa mimi pia sijaona uchomaji huo. Shukran

  • @سالم-ك7ر
    @سالم-ك7ر 2 года назад +3

    100 by 100, excellent

  • @esterlucus226
    @esterlucus226 3 года назад +1

    Nimefurahi sana kujua kwamba hata ges naweza kupika keki Mungu akubariki sana

  • @halimagedi7156
    @halimagedi7156 3 года назад +3

    Nina penda keki yako ni Tamu Sana

  • @GloryClever-j2k
    @GloryClever-j2k 3 месяца назад

    Waooooh asntee Dada nimeipenda hiyo asntee naipa maksi 100

  • @babuudullahmunisi4753
    @babuudullahmunisi4753 3 года назад +3

    Ivi kama huna mkaa uwezi kufunika na foil

  • @jumaahmadi7909
    @jumaahmadi7909 2 года назад

    Nashukuru sana kwa njia hii nzuri sana na maelezo ulotoa yanaeleweka ahsantu sana kwa ilimu hii

  • @rajabuhassan3615
    @rajabuhassan3615 3 года назад +3

    Hakika ikopoa ssana

  • @rodahkiragu3983
    @rodahkiragu3983 2 года назад +1

    Wow nimependa nimepika ikatoka sawa Sana thanks Soo mach

  • @abiamwisaka3048
    @abiamwisaka3048 3 года назад +3

    100%

  • @WinmeryKaaya-mx3ib
    @WinmeryKaaya-mx3ib 5 месяцев назад

    Asante kwa darasa zuri dear naomba kuuliza kuhusu mkaa na gas haina madhara