Wahooooo nimeona kweli unajuwakupika namipiya nimpigaji wa kk na patikana DRC Congo nimeipenda style iyi kabisa wala aiombi garama nyingi kama zingine asante sana kwa mafunzo
@@kekiplus1andonly jamani mie naomba namba yako nikienda kununuwa vitu hivo unitumie Whatsapp usihofu kwa hilo jina nimeandika tu mie ni mwamke mwwnzio
My dear nashukuru kwaujuzi make wewe simchoyo kabisa. Kwaajili yako saiv nimekua mjuzi wa mambo mengi,,, barikiwa sanaaaa mpendwa Chanel hii idumu milele.
@Maruu Nyange😍😍😍😍😍🤗🤗🤗🤗oooh asante sana dear,nafurahi sana kuskia ivo,endelea kuimarika dear. Mungu atubariki sote, ANEN AMEN AMEN sana kwa maombi yako chanbel hii idumu milele. Asante sana saupport yakk dear.
Hi hi comedy salma Oman sasa nippo Om an Cena ji ko Lanka now where is kutub Mi guess à l'info kouadio gues alakh Nike ka quality usne Dekho tumhen aata oven ovulation to make it again Chromecast muqabla make a joke kutub Minar ji ko legacy à l'info ni cabe naye gane si necesita la cocoyoca I can't Accenture
Sufuria iyo ndo inaigiza kama oven yako,kwaiyo lazima iweke motoni kama dakika 20 kabla kuweka keki ili ipate joto,na ipokee mchanganyiko wa keki ikiwa imechemka ili iweze kuivisha keki yako,lasivyo itachelea. Moto wa kiasi tu kulingana na ukubwa wa sufuria yako na mchanfanyiko wako wa keki
Wakati wote nimekuwa nikiona upishi au uandaaji wa keki ni kazi ngumu mno hasa ukizingatia sina baadhi ya vifaa vya keki, LAKINI kupitia wewe nimeona ni kitu simple sana na rahis katika mazingira yoyote, ubarikiwe sana
Waooo keki nzuri Asante kwa kufundisha mungu abariki kazi ya mikono yako
mashallah👌👌 nimependa sana darasa lako. Allah akufanyie wepesi kwakla ufanyalo..I love you ma sister❤❤
Wow how to cook cake chocolate
wow! i can't stop watching this amazing and beautiful video! simple and easy but beautiful and delicious! keep it up maa'm!
Vanilla no Nini?
Yan we dada una kitu utafika mbalii,, Yan Mungu akutunzee mnoo na akubariki sana,,,❤🎉
Wahooooo nimeona kweli unajuwakupika namipiya nimpigaji wa kk na patikana DRC Congo nimeipenda style iyi kabisa wala aiombi garama nyingi kama zingine asante sana kwa mafunzo
No ya. Whsap
Jambo hivi vifaa zinapatikana wapi maana keki nzur san
Asante sana kipenz nimejifunz na nimeelewa na kujaribu pia hatimay nimeweza mungu akubarikiiii
Barikiwa sana. Maelezo yako yanaeleweka vizuri kabisa. Unafaa kuwa mwalimu. 😝😍
Waoooooo yaan leo ndo nimeelewa jaman nitajaribu na mimi jaman,asante Sana madam
Thanks for sharing with us nitajaribu mapishi yako kupika keki kama hii siku ya bash yangu 💕💕
Asante dada kwa darasa lako nzuri tunapata mambo mazuri Sana bi.nafsi na enjoy some naamini baada ya hapa nitapika cake nzuri
Waaah taamu saaaan barikiwa Dada kutufunza n sisi
Thanks for sharing your work congratulations to you unatufanya nasi tunajifunza na ww
Asante,Mungu akubariki
Santé Sana mungu akubariki Sana endeleyeni hivi dada
Mashallah....be blessed napenda io decoration
Hongera sana kwakusaidia wengine,maana wengi hawana moyo wakufundisha bure had pesa..❤❤💋
Alhamdullillah dear,
@@kekiplus1andonly jamani mie naomba namba yako nikienda kununuwa vitu hivo unitumie Whatsapp usihofu kwa hilo jina nimeandika tu mie ni mwamke mwwnzio
Jamani mimi nimejaribu lakini haikauki nifanyaje
Nimefurah nami kwa kutujuza nasi thanks you kwa upendo wako❤❤
Unaelekeza vizuri sana,....... Unaonekana si mchoyo
Asante sana kwa sapoti yako dear🙏🙏🙏🙏🙏🙏comment yako inazidi kuniimarisha.🙏🙏🙏
Anaelezea hadi raha ma shaa Allah, nimejifunza mungu akubariki Dada
Una patikana wap mpendwa@@kekiplus1andonly
🎉i really appreciate i know how to bake but i eas wondering how i can decorate it without equipment, dhanxx alot u have helped me
Asante kwa recipe dear very educative
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@kekiplus1andonly so educative
Wow!cake inapendeza..... hongera dada👏
My dear nashukuru kwaujuzi make wewe simchoyo kabisa. Kwaajili yako saiv nimekua mjuzi wa mambo mengi,,, barikiwa sanaaaa mpendwa Chanel hii idumu milele.
@Maruu Nyange😍😍😍😍😍🤗🤗🤗🤗oooh asante sana dear,nafurahi sana kuskia ivo,endelea kuimarika dear.
Mungu atubariki sote,
ANEN AMEN AMEN sana kwa maombi yako chanbel hii idumu milele.
Asante sana saupport yakk dear.
HIV iyo rangi na iyo icing sugar zinauzwa wapi
Iyo ising sugar na izo rangi zinauzwa kwa vipimo na ni gharama kubwa
@@ifgeniakimaro4171 SOKONI UTAZIPATA
@@ifgeniakimaro4171 Icing sugar ipo kwa box ina 2500 au 3000 na rangi zinauzwa kwenye kikopo kuna za maji na unga.
My heart akhsante kwa kutufundisha wewe sio mchoyo mungu akupe maisha marefu
Ma Shaa Allah Habibty looking nice.
Yummy in my tummy, May Allah bless your hands. Ameen
🙂😘👍
Thanks so much dear,Allah bless both our hands ..Amiin
Allahumma aaamiiin,unaelekeza vzr saaaaaaaana 😍 Allah azid kukuwezesha in shaa Allah 🤲
Aaaaaw mashaAllah 🙏🙏🙏Amin habibty,shukran sana,Allah atuwezeshe sote
@@kekiplus1andonly Allahumma aaamiiin thumma aaamiiin, nataman hata nikufate ulipo niweze kujifunz vzr yaan unaelekeza vzr bila choyo.Allah azid kukuhifadh tupate mamb mazur zaidi.Nakupenda kwaajil ya Allah 😍😋
Nimekupenda bure Dada...nilkuw sijui kupika keki lkini kupitia wew nimeshajua tyr...mungu akubrik sn
Unatufundisha kwa njia rahisi sn. barikiwa sn
@shamsa amos Asante sana,Nafurahi sana kuskia unanufaika na video zangu,tubarikiwe sote dear,
Wow🙃😯😯😮😮😮😮💘🧡❤️🧡💘❤️🧡💘
Yes I tried is so yummy woow mugu aku barika
Fantastic,
Big up mamie
Thanks for supporting
Wawuuu
Nashukuru madam najifunza meng kupitia kipind chako asante ❤❤
I am really inspired with the way you baked the cake.I wanna learn from you more
Jmn naomba no kwa ajir ya darasa I like
Hongera sana rafiki mungu akubaiki tutajaribu
Baridi
Barikiwa sana,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua ni wachache Sana wanaweza kushea walichonacho.Nimejifunza kitu Kikubwa kwako
Amen love,Amen 🙏 🙌 asante sana kwa maombi ya kheri,Mwenyezi Mungu akubariki pia.🙏🙏🙏🙏
Ulikuaga wapi jamani we mdada!?....mwenzio nlikua napata shida but now Alhamdulillah ahsante sn
😂😘😂😂😂😂😂😂jamani pole nilikuchelewesha,ila nimefika sasa..Alhamdullillah Allah aendelee kuniimarisha .
Asante sana kwa support yako
I will give you my support for all your post Yani nimekupenda bure mdada huna account Instagram nikufollow my dear...
Jamani hongera ndugu Kwa kufundisha bila uchoyo ntajaribu barikiwa sana ndugu nimekupenda ❤️
Vizuri sana👌
Wow, I can't stop watching this amazing videos❤❤❤.
Glad you enjoy it!
Thanks for this simple recipe
Kazi nzuri kabisa...rangi uliyotumia yaitwa aje tafadhali
I love the way you do it, thank you dear
Nimeipenda 🥰🥰🥰🥰👌👍❤❤❤
Unawashinda na Walio na vifaa
Nimeikubali sans👌👌👌👍👍❤💯😍
That looks yummy, maybe in the in summer I will bake it. 😋😋😋
Ahsante dada nimejifunza kitu kwako hongera kwakuwa mwalimu wangu❤❤❤
That cake is amazing
Please nna swali baking soda ni gani
Unaeza nijibu ata kwenye fb pls my friend
Hongera sana kazi Yako nzuri nimejifunza
Munguakubaliki kwakipajichako
Allah akuzidishie ukthy
Waooo nzuri sana nimepika keki sasa najiandaa kupamba Asante
MashaAllah..hongera sana
Wow that's a great idea of cake 🥰🥰
mashallah jmn nmejifunza mamy,, nisipokup mauwa yako ntakuw mbinafsi jaman honger❤
Kweli ni raishi na nzr sana
Sanaaa yaniii
Well done ,kazi nzur mimi ambaye nakoseaga kwenye kuandika inakuaje nikitaka kufuta mfano nikosee niandike hapo badala ya happy hahahah😅😅😅😅😅😅
Jitahidi usikosee utaharib cake
I real adore that be blessed
Great idea. Nimetengeza yangu pia. Thanks for your ideas
Amaizng 😍
Naomba uniandikie vitu tunavyo tumia
I like it,so simple dada, shukran kwa kutujuza
Wow looking amazing 👌.
Thanks dear
JAMANI watu wanajua kutengeneza
KEKI
Waoooooo❤ natamani kujua kama ww nizunr san👏👏🌹🌹
Utajua dear,endelea kujaribu mara kwa mara,utaweza
Iko
Vzur
Asante Sana mpendwa nilikubipu napata shida jinsi ya kuandaa ice mungu akubaliki
Nzuriiii
Wooow very simple uktiy allah akuzidishie
Maashallah shukran
Wow.....Hongera sana dada kwa kazi nzuri. Nimeipenda
Hello nzuriii
Asante sana dear,asante kwa sapoti yako pia
😋😋😋😋 hongera dada mashallah
ruclips.net/video/jyMCPLxfPKg/видео.html
ruclips.net/video/jyMCPLxfPKg/видео.html
Waooo nimekukubali wewe n mwalimu mzuri sana barikiwa na Bwana
I love it!
Nice mwakan nitamuandalia mmewangu pamoja na mwanangu I hope wata enjoy Asante kwakunifundisha
Vanilla n asali
Asante wewe ni mbunifu mzuri sana. Hongera!!
Asante sana
Manshallah
waoo nice
Nimekupenda bureee jamani nitajaribu Mungu akubariki dis😍😍😍
wengne uckivu hakuna so ikiwa na subtitles kuelewa rahis
❤❤❤nimependa am learning how to use jiko. Thanx
mashllh
Kumbe ni simple
Mashallah Allah akuwekeye wepesi kbx nakupenda sana my friend
Hi hi comedy salma Oman sasa nippo Om an Cena ji ko Lanka now where is kutub Mi guess à l'info kouadio gues alakh Nike ka quality usne Dekho tumhen aata oven ovulation to make it again Chromecast muqabla make a joke kutub Minar ji ko legacy à l'info ni cabe naye gane si necesita la cocoyoca I can't Accenture
Aaaaw Asante sana,Mungu akubariki
Sijakuelewa
MashaAllah
😙😙😙
@@kekiplus1andonly ~
mashallah
@@kekiplus1andonly Mambo
Nice one, Thanks for the education 👍 👏 😀 👌
Congratulations for u...nimeelewa somo nitajaribu.....❤ thanks much very....
Thanks dear.... Nimejifunza pia nimependa barikiwa sanaaa
Omad tilayman sizni👍UZBEKISTONdan kuzatiyabman
Mungu akuinue Zaid ya hapo my dear,kupitia wewe naamini nitafanya jambo,❤
Very nice am a father in future I will make it for the family in future..
Ccy its simple nimejalibu kutengeneza nw..nimeweza🤗🤗 its so 😘😘
Duhh hongera kwa ubunifu nimeipenda. Wewe ni mwalimu mzuri
Daaaah so fantastic congrant dadangu nakukubaali
Asante saana dear umenisaidia saana ulinifunza kupika Sasa umenifundisha kudecorate
Wow Aki thanks sikuwa najua kudecorate,but I will try
narudi kutoa shukrani zangu kwako kwa ajili yako mwanangu nimemtengenezea keki ya graduration yake kwa kufata maelezo yako Asante
Nimejifunza mengi Dada,, keep it up 🖐️
Mungu akubariki we dad tena san maana umenifany nijue kupika keki za wanang kwa gharam nafuu san ten bila ya vifaa asante san
Daaa!! Jamaniiii nitajaribu asante kwa somo lako zuri nafurahia
Asante nimetengeneza keki jana nkaipamba lakin sjui nmekosea wap rangi inanyufa hongera mkufunzi uko pw naomba nijue hapo.
habari yako,mimi sijaelewa kitu apo,napenda kuku uliza, hilosufuria uli liinjika jikoni,au ulipomaliza kuandaa keki ndo uli liinjika jikoni, au unaliweka kabla ili lipate moto,je moto unakuwa wakiasi gani,maana hata chumvi ikikaa mda mrefu inaungua,samahani naomba unielekeze,nimeyapenda hayo mapishi,uko vizuri
Sufuria iyo ndo inaigiza kama oven yako,kwaiyo lazima iweke motoni kama dakika 20 kabla kuweka keki ili ipate joto,na ipokee mchanganyiko wa keki ikiwa imechemka ili iweze kuivisha keki yako,lasivyo itachelea.
Moto wa kiasi tu kulingana na ukubwa wa sufuria yako na mchanfanyiko wako wa keki
Wakati wote nimekuwa nikiona upishi au uandaaji wa keki ni kazi ngumu mno hasa ukizingatia sina baadhi ya vifaa vya keki, LAKINI kupitia wewe nimeona ni kitu simple sana na rahis katika mazingira yoyote, ubarikiwe sana
Hongera Sana dada and nimejifunza kuika keki❤🎉
Wow awesome ❤❤❤ you are a good teacher ❤❤❤
Woow mashallah 👌👌umetuma elimu nzuri mungu akuzidishie ❤💕💖
Woooohw asante kwa darasa nzuri na lenye kueleweka
Jaman dada asante nimekuelewa vizur
Wow,naenda kujaribu kubeki kekisasa,asande
Asante tume iyona njiya rahisi kweli 👍👍👍👍
Thanks I like it ... it's so nice and I will also try it
Barikiwa sana Kwa elimu nzuri
Wow! I cann,t stop watching I like it
Nimeipenda umenielewesha mpk nimeelewa Ni nzuri