Mimi rafiki yangu wa kweli ni Allah pekee yake na sijawahi kuwa na tatizo nikatawadha na kuswali wakati naongea navuta taswira km Yuko karibu yangu wallah nikitoka hapo sina ninachibakiza wa kupoteza Allah ndo rafiki, na mshauri wa kweli na Hana mfano shukrani Kaka kwa maarifa Allah akulipe badala inshaAllah
Kuna wakati nilipitia ktk iko kipindi Cha kukaa mpweke lakin namshukuru Mungu sasa Niko na thaman zaidi nahitaji kuongeza thaman , ahsante bro kwa somo zuri
Nimefurahi kukufaham kaka joel kwa kweli ushauri wako ni muhim kabisa niko naanza kufaidika mungu akulipe kwakweli na nitaendelela kufatilia kipindi chako
Yani kwangu mimi binafsi sijawai kuskiliza maneno mazuri ambayo yanamyomtia moyo mtu kama haya mungu akubariki aendelee kukupa maono zaidi ili uzidi kutusaidia sisi ambao tilikua tumekata tamaa asante sana brother
Asante Sana nimeanza kuinuka japo bado changamoto ni tunawezaje tukaziba myanya ya hela kutoka sababu tunapata pesa lakini ndugu na jamaa wote wanategemea hpo hapo je nifanyaje
Nimeipenda hiyo five second rule nina imani itanisaidia coz kuna wakati huwa nawaza mawazo ambayo hayafai hata kidogo be blessed brother joel kwa kazi unayoifanya Naomba nikuambie hiki kitu leo Katika kumtumikia mungu kuna njia nyingi nyingi ikiwemo uchungaji,unabii na kadhalika hakika hata wewe unachokifanya leo hii huna tofauti na hao watumishi wengine ambao ndio wameonekana wanamtumikia mungu
Asante sana, wewe jiniasi sana wa masiala ya elimu hii nimependa sana kufatilia masomo bado nashidwa sana kuzibiti Hali ya kukaa na wezangu wakati wa shida hata nikikaa Sina ujasiri Je nifanye Nini walimu Joel nanauk.
Asantee kaka joel kwa elimu yko, ww ni jasiri muongoza njia hakika sasa napata mwanga kwenye maisha yangu , kweli kuna watu hawajui thanani za watu hapa dunia but mimi naamini ni mtu wa thamani japo watu walio nizunguka hawaiyoni thamani yangu ila mimi ni wathamani .
Asante kwa kupata madini mengine ila nashukuru sijawahi kufikia hatua ya kupoteza thamani coz kwenye maisha yangu nina misimamo yangu ambayo sitaki niyumbishwe na mtu hata awaje kwangu.
Shukran kaka,,, nitafanyia kaz kipaj,,, na ubunifu niliojaaliwa na muumba,,,, na nitafanya kitu kimoja kwa muda mrefu nione faida yake,, na kufany kingine tena kwa, ufanisi wa hal ya juu il niwe juu kimaisha
Kaka hongera sana. Mungu akubariki uwe na maisha marefu. Unatusaidia kwa kweli. Siku zote umekuwa ni role model kwangu kila ninaposimama mbele za watu....
My all time Mentor you're doing a very good works to help others God will never leave you alone ,For me all of them I'm going to work on it #SeeYouatThetop🙏🙏
Asante kwa dalasa lako zur naomba ushaur mm nimwanafuzi wa chuo ada lakn kwa sasa ada imekosekana kulingana na uchumi wa nyumbani je nfanye nn nam napenda kusoma?
Kazi nzuri sana brother, kama kawaida. Hapa sasa jamii ishindwe yenyewe tu kujifunza. Mungu akujalie afya na umri mrefu hii kazi ifike mbali zaidi.
Success Path Ameen nashukuru sana
imenigusa sana hii vdeo..
big up brow and may god bless you...
SEE YOU AT THE TOP
@@clemenceonesmo5429 Yeah
Success path where you are
I don't listen for many time for your advice
mimi ni wathamani sana ,na lazima nitimize malengo yangu pasipo kujali hali gani napitia katika muda huu, ahsante sana brother
Kukataliwa haimaanishi huna thamani ila wanao kukataa hawajajua thamani yako,,, asante sana kaka Joel ubarikiwe sana
Mimi rafiki yangu wa kweli ni Allah pekee yake na sijawahi kuwa na tatizo nikatawadha na kuswali wakati naongea navuta taswira km Yuko karibu yangu wallah nikitoka hapo sina ninachibakiza wa kupoteza Allah ndo rafiki, na mshauri wa kweli na Hana mfano shukrani Kaka kwa maarifa Allah akulipe badala inshaAllah
😮😮😮😮😮😮😮😮
😮😮😮😮😮😮😮😮
Kuna wakati nilipitia ktk iko kipindi Cha kukaa mpweke lakin namshukuru Mungu sasa Niko na thaman zaidi nahitaji kuongeza thaman , ahsante bro kwa somo zuri
Nimefurahi kukufaham kaka joel kwa kweli ushauri wako ni muhim kabisa niko naanza kufaidika mungu akulipe kwakweli na nitaendelela kufatilia kipindi chako
Mimi nimke bora
Mimi ni mama bora
Mimi nimshindi
Mimi ni mfanyabiashara mkubwa
Nimeumbwa kuwa Mshindi
💪💪
Namekulike bure
Da!,Mda mwingine natamani hata ni "LIKE" mala nyingi nyingi....lakini haiwezekani...Asante sana kaka J
Kukataliwa ni kwa muda tuu (1)kaka Joel Mungu akupe maisha marefu uendelee kutusaidia.hakika umeletwa dunian kwa makusudi
Mashaallah mungu akulinde na akupe umri mrefu ili uzidi kutuelimisha nakupenda bure akh kwa mafunzo yko juu nakuelewa kiundani kibisa🫡🫡🫡🫡
Ubalikiwe Sana Joel kwa kazi yako maana una tusaidiasana
Yani kwangu mimi binafsi sijawai kuskiliza maneno mazuri ambayo yanamyomtia moyo mtu kama haya mungu akubariki aendelee kukupa maono zaidi ili uzidi kutusaidia sisi ambao tilikua tumekata tamaa asante sana brother
Nimejifunza kitu kutokeya mafunzo yako,kwanzai kesho natoka ndani asante kaka ALLAH akupe umri
Umenibadilisha mno , Mara nyingi unakua kama unaniona. Kazi nzuri unatuokoa na kutuponya wengi Nanauka. Barikiwa kaka
Asante Sana nimeanza kuinuka japo bado changamoto ni tunawezaje tukaziba myanya ya hela kutoka sababu tunapata pesa lakini ndugu na jamaa wote wanategemea hpo hapo je nifanyaje
Totally my blood u hav changed my life may God bless you mor
NANAUKA nahisi ni mtumishI wa MUNGU pia mana hii si kawaida , he lift me up, asante MUNGU BABA
Shukran sana
Nimeipenda hiyo five second rule nina imani itanisaidia coz kuna wakati huwa nawaza mawazo ambayo hayafai hata kidogo be blessed brother joel kwa kazi unayoifanya
Naomba nikuambie hiki kitu leo
Katika kumtumikia mungu kuna njia nyingi nyingi ikiwemo uchungaji,unabii na kadhalika hakika hata wewe unachokifanya leo hii huna tofauti na hao watumishi wengine ambao ndio wameonekana wanamtumikia mungu
Habari yako ndugu!God bless you!
Asante sana, wewe jiniasi sana wa masiala ya elimu hii nimependa sana kufatilia masomo bado nashidwa sana kuzibiti Hali ya kukaa na wezangu wakati wa shida hata nikikaa Sina ujasiri Je nifanye Nini walimu Joel nanauk.
Asantee kaka joel kwa elimu yko, ww ni jasiri muongoza njia hakika sasa napata mwanga kwenye maisha yangu , kweli kuna watu hawajui thanani za watu hapa dunia but mimi naamini ni mtu wa thamani japo watu walio nizunguka hawaiyoni thamani yangu ila mimi ni wathamani .
Asante kwa kupata madini mengine ila nashukuru sijawahi kufikia hatua ya kupoteza thamani coz kwenye maisha yangu nina misimamo yangu ambayo sitaki niyumbishwe na mtu hata awaje kwangu.
Kaka Joel, thank you very much and be Blessed you and your family.
Nimepitia ktk hli moja wapo kat ya hayo, thanks am being proud of u my brother! Be safe and long life
Nimepita maisha ya kuanguka kibiashar baad ya hapo nikaw naakaa tu peke yangu niliwaza meng
Kwa sas najichangany na watu aisee somo zur san ahsante
Asante bro joel umeanza kuniamsha upenz wangu wa yanga nauhamishia kwako kwanzia ss mm ni shabiki wako kwa kuwa unaijenga san
Shukran kaka,,, nitafanyia kaz kipaj,,, na ubunifu niliojaaliwa na muumba,,,, na nitafanya kitu kimoja kwa muda mrefu nione faida yake,, na kufany kingine tena kwa, ufanisi wa hal ya juu il niwe juu kimaisha
what a good message stay blessed my brother
Múngu akuingozee broo Wang nmeeeza kufunguka na kitu nlichojua cwez acha muñgu p1 ñawe
Asante sna kk Joel,mm htu ambayo nataka kuchukua kwa ss ni kuzingatia nn ninachotaka kukifanya
Kaka hongera sana. Mungu akubariki uwe na maisha marefu. Unatusaidia kwa kweli. Siku zote umekuwa ni role model kwangu kila ninaposimama mbele za watu....
54321 Mimi niwathamani, Mimi ni mtu muhimu sana na ndoto yangu itafika mbali Inshaalah
Mungu akubaliki sana kaka Joel
asante kaka nanauka kwa elimu ombi langu natamani kupata vitabu unavyo andika kikiwemo cha timiza malengo nifanyeje
Ulindwe na mungu
Sikubali THAMANI yangu ipotee kwa JINA LA YEU KRISTO.
Mungu akubarik sn kwa mafundisho
Asante Sana ubarikiwe kila unachokifanya kinagusa ufahamu wangu Na nazidi kukua kifikra napenda Sana masomo yako yanazidi kunifanya niwe imara zaidi
Ndio hii Ni njema Sana kurudisha uthamani wangu kwa kufuata namba 5
Shukran Kaka kwa somo zur nmejifunza mungu akubark
Kwa kifupi tu ndugu tunakuombea dua njemaa uendelee kutuamsha zaidii na zaidiii
Kwer kabisa asant san unanifunza san kwakwer 💯💯💯💯💯💯🙏🤝🤲💣
Nakuelewa sana broo Jumbe zako zinanijenga kila iitwapo leo Barikiwa sana.
Asanté kwa ushauri wenu, unanifariji sana niko kwenye shida iyo iyo
Ahsante sana rafiki yangu,kwasiku lazima nkuskilize rafiki wenye muangaza kunimulikia mbele nnakoenda kila siku .ahsante rafiki ndoto yangu lazima itatimia ntaongeza thamani yangu🤝
True Sir #Nanauka #LetsBringBackOurValue
Kuna wakati lazima ukataliwe ili uwe bora zaidi.. Goodmorning
kaka minandela sana kuku fatia naona kabisa mungu anazidi kunigngua kili ila pia nilikiu nahitaji;:;vitabu
1. Every rejection is temporary. Kukataliwa sio mwisho wa ndoto zako.
2. Kukataliwa hakuondoi thamani yako. Usische kujithamini.
3. Usikae peke yako. Jichanganye na watu wazuri.
4. Tafuta ushauri kwa watu waaminifu.
5. Chunga fikra zako. Waza mema . Waza kuongeza thamani yako positively.
Mungu akubaliki sana brother
Ubalikiwe sana mkuu umenisaidia sana
Asante sana umenisaidia kwenye kupangua mawazo mabaya
kweli kaka mimi nimepoteza hamasa ya maisha kabisa kutokana na watu wangu wakaribu niliyokuwanao ila leo nimejifunza sana
Aksante sana bro Joel kwa semina zako MUNGU akubariki kaka!!!
Yaani wewe kaka unakipajiii cha juu sana.
Asante it‘s open mind now
Asante kaka nashukuru kwa ushauri wako nimezid kuwaza na mawazo negative
Asante saana umeiponya nafsi yangu ubalikie
Hasante sana, kaka nanauka,kila siku naangalia video zako,,,,zimenizidia sana
Nami pia
asante mwalimu...kwakweli unatujenga...mimì ni wa thamani
Dah brother unaniensipire sana katika maisha yangu
Genius man in Tanzania from United Kingdom
Thanks for your advice brother God bless you
Amen
Yaaan umenifungua kiakil kaka nashukulu sana
ahsante ubarikiwe mtumishi
u give me another reason to live.thanks a lot
Hongera kaka Kwa elimu yako mungu akubariki natamani course zako siku moja
Ahsante saaana
Brother Nanauka
May Almighty father help you
To go ahead
Mungu akuongoze uzidi kutusaidia
Asante kaka, Nazidi kuongeza ujasiri wa kutimiza ndoto yangu.
Kwanzia leo sinto kaa tena ndani kujifungia peke yangu na kuwaza mawazo chanya
Nmesikiliza almost video zako kama hamsini brother najiona tayari Mimi ni mtu mkubwa sana popote ntakapokutana na wewe lazima nikushukuru kwa vitendo
sana kaka mi niko na ww kama maji na samaki aman sana
Asante kaka wish ningekujua mapema
Asante sana kaka nimwjifunza kuondoa mawaza mabaya kwa kuwaza mazuri.
kaka Nanauka hio ya kutafuta watu me sijaikubali kbs! utamwambia mtu jambo lako basi atakutangaza weee
Kaka Joel napitia hili, Asante kwa somo 🙏
Mimi Ni Mshindi
Ahsante brother
Nafarijika sana namafundisho yako hakika ww unanipa mwanga sana
Ur gud bro .it has really, really touched me
Nimegundua tupo wengi wenye shida humu😂😂😂😂
Dorah Albert kujifunza hakuna mwisho😂😂
@@joelnanaukashalom
😅😂😂😂😂
hahahaha
Be blessed bro....
Asante San ... mungu akubaliki San
Thanx bro,natamani kuwa mfanyabiashara maarufu,I think you will help me climb the ladder
My all time Mentor you're doing a very good works to help others God will never leave you alone ,For me all of them I'm going to work on it #SeeYouatThetop🙏🙏
daaaah thank brother mungu akubarik
Naomba unisaidie hali ya kutoka kwenye madeni na kuyashinda.
Ahsante sana kiongoz somo nzuri sana
Keshiri asante demuwangu kanikataa mm najisogeza wadauu karibuu
Asaantee kaka
😁😁hiyo kawaida hasra hiyo peleka kwenye mafanikio she will regret for loosing u
shukran kaka napata ujasir kutoka kwako ahsante sana ubarikiwe
Pole
Kweli brother yaani somo lipo makini sana ubarikiwe🙏🙏
Tunavunja mawazo mabaya na kutengeneza mawazo ya kujiamini asante sana brother
Asante kwa dalasa lako zur naomba ushaur mm nimwanafuzi wa chuo ada lakn kwa sasa ada imekosekana kulingana na uchumi wa nyumbani je nfanye nn nam napenda kusoma?
Nice my brother nakuelewa sanaaa........ 😍😍
Asante Sana Joel wewe Ni mwalimu mzuri Sana💪
Hakika brother nimejifunza kitu kipya hakika mungu akuwezeshe usipungukiwe
Ndoto yangu lazima itatimia Amen I like that.
Gooood
Umenigusa sana kwa kujifungia ndani
Namba NNE ww ndiye unatusaisia wanajamii;JOEL NANAUKA
Uko vizuri ndg somo ni nzuri sana
Kaka uko vizuri mungu akubriki
Nimeipenda hiyo....
5 4 3 2 1.....👌👍💞🙏🙏🙌🙌👯🤗
Ahsant sana brother Kwa somo zuri sana napita ktk wakat ngumu sana kikazi ila ahsant umenitia moyo
ahsante san bro
Asante sana elimu zuri