Hapa kazini kwangu nimeshakutana nayo kwa maboss na wafanya kazi wenzangu lkn nilijitahidi na kazi sikukata tamaa mwisho nilifanikiwa Asante kaka unanielimisha sanaaaaaa
Post kama hizi zinahitaji kuwa na views kuanzia Billion na kuendelea,lakin tatizo watanzania wengi tunaishi na tabia kama hizi cz tunahisi kama tuna disiwa kumbe tuna pewa Elimu....Kaka unaweza sana #WorkHard #I_got_α_chαnges 4ur words.
Ujumbe mzuri sana kunawatu wanaweza wakasema vibaya sababu umewazidi cheo au umewazidi pesa au kiwango flani. Mwingine anweza sema vibaya sababu tu umemkopesha pesa anachelewa kulipa nawe unaitaka hivyo anaanza kupakaza mbovu. Mwingine labda alikua rafiki lakini ukamtenga sababu anapenda Starehe wewe unapenda kuwekeza hivyo lazima aseme mbovu. Ahasante kwa Ujumbe Bro.
Brother ni kioo cha jamii nizaidi ya mwalimu ww ni zaidi ya mshauri unayoyasema yoteee ndio tulionayo kwenye jamii na ndio changa moto zetu hakika Allah akubarik daima uwe na maisha marefu mia 900
Nakusikiaga Sana kaka ila sijawahi pata muda wa kukufuatilia hakika kuanzia leo maneno yako ni chakula changu Cha kila siku Kama iliyokuwa kwa mitimingi!.
Brother mm nina shida kubwa sana màana anae nisema vibaya ni mume wangu na kila akisema ukimuuliza anasema nimeteleza nisamehe anarudia kila mara najikuta naumia sana lakini hajali
Asante kwa sharing. Ikumbukwe mtu wenye matunda yaliyokomaa na kuiva ndio hurushiwa mawe. Wanatusha mawe ili nawe uwarushie matunda yako. Nini cha kufanya. Kusanya mawe jenga jukwaa kubwa endelea kung'aa watakuzoea.
Thanks kaka nimependa somo lako kwani napitia hizi hatua zote lakini umenifungua mawazo kwa sababu haya yote nilikuwa nafanya na kumbe nilikuwa sahihi kabisa ahsante kwa kuniongezea nguvu na hatua mia mbele.Barikiwa
Asante kwa ushauri wako nitaendelea kuufanyia kazi. Mimi nimekutanana na makundi hayo yote na yameniumiza sana na kujisikia kukata tamaa sana lkn huwanaachilia baadae ili maisha mengine yaendelee japo huwa kunakipindi nasikia sana kuumia tena.
Aisee asante sana kwa maneno yako mazur nimezidi kujifunza vitu vingi hata watu watu wakijaribu kunisema vibaya na puuza na songa mbele mungu akubarik sana joel nanauka
Waooooo!!!!! Nmejifunza. Nmekutana na kundi la 3 but pia la 4 hadi nmeamua kumake decision Ya kuhama kituo cha kazi licha ya kwamba maeneo yale nilkua Tayar nmeanzisha biashara yangu Nzuri. Nilikua depressed Kwa kipindi kirefu. Nashukuru Mungu now baada ya kuhama nmetulia na inabidi kuanza MAISHA/KUJIPANGA vizuri.
Asante sana.napitia hayo kazini nafanya kila jukumu langu vizuritu.lakini mtu mmoja aliepewa mamlaka uniripoti vibaya.emefikia nakosa Raha oficini. kila ninachofanya yeye nikibayatu.
Asante rafiki yangu wa dhati nimeguswa ni watu wa karibu kama ulivyofundisha walitaka kunishusha thamani,sasa ntakabiliana nao sitakubali wafanikiwe nasonga mbele,thanks very much.
Kwakwel brother unafundisha vzur sana aisee na nmekuelewa sana na ninakuombea maisha marefu yenye baraka na mafanikio makubwa sana katka maisha yako yote 🙏🙏
Nimekua nikisemwa vibaya tena pale tu ninapoongea Ukweli ktk kufikisha ujumbe sehemu tofauti ndugu marafiki. Lakn leo umenifungua ufahamu wangu kaka Joel nanauka Mungu akubariki sana
Asante Sana kaka daa elimu yako nzuri sana haya mambo yako Sana kwenye jamii zetu. hata ndugu kwa ndugu tuliozaliwa pamoja ipo somo la nne ilo saana Mungu akubaliki Sana..
Asante Sana Joel,yaan mm n mkenya bt mafunzo yako yamenifanya niiujue ulimwengu,najiona hata mtu akinifinyilia namna gani tyr huwa nmepata jawabu lake,maisha s rahisi Ila n rahisi ukijikubali na kujitoa vilivyo,barikiwa kaka
@@joelnanauka kaka na je kama sitaki kabisa kuzungumza nae yaani kila siku group ya whatsap mambo ya kazi ananisema vibaya yaani ana na kagroup ka wenzie ka wa5 nilishamcomfront face to face ila kwa sasa sihitaji kuongea nae tena, je nikimkalia kimya?bado ataniona mnyonge?
Kaka nashukur sana nimejifunza kitu allah akubariki sana. Ila mimi hayo yote yananikabili kwa sasa,nilichokifanya ni kuwapuuzia na sina habari nao kbsa,na nahisi imenissidia kiasi fulani hv cha kuumia
Asante kaka kwa somo lako nzuri mm nakutana naye kwenye familia tena naishi nayo, nimepata wakati mgumu sana hadi nimejikuta yule alinisema vibaya nimemchukia na siongei naye zaidi ya salamu kwakweli napata tabu sana kuishi naye kwasababu sikutegemea kama yy angeweza kunisema hiyvo
Asante saana kwa kweli masomo yako yanatujenga saana Mungu azidi kukupa afya njema kbsa. Mimi kundi la pili na la nne lakini sana sana kundi la pili la kutaka kushusha thamani yangu muendelee kutupa ushauri. Asante barikiwa zaidi.
Blaza Joel Nanauka. Nakubali kazi yako lakin Naomba ujaribu kuweka vitabu vyako katika online viwe katika e-book Kwan utaweza kujipatia kipato lakin kubwa zaid utatusaidia sisi WA mikoan kupata kwa wepesi
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ningekupenda zaidi ukiwa unaongeya tu kiswahili bila kucanganya vingereza maana tunawatu wasosikia kingereza arafu kiramara tunaombwa eti tuwaelezee umemaanisha nini sisi tunaomba uwe unaonge kiswahili mwanzo mwisho❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Asante sana kaka kwa ushauri wako watu wa Ivo Nami ninao ninapoishi lkn baada ya kuwagundua tabia zao niliamua kukaa kimya ila bado wanaongea ila mi Niko kimya
Ahsante sana ,mm wakati nipo chuo Uganda nilikutana na point ya 4 kwa watanzania wenzangu lakin nilifocus kwenye masomo yangu at end I got award. best student
Asantee sanaa mm nipo kwenye ndoa ila mume wang ali weza kuwa na mwanamke mwingine naa aka mpa namba yang nakuaza kunitumia sms zakejeli na kunambia maneno yakuumiza sanaa' sasa hii Hali Bado inanitesa sanaa zile sms bado zinaishi kwenye kichwani kwangu nimeshidwa kuzisahau
Hapa kazini kwangu nimeshakutana nayo kwa maboss na wafanya kazi wenzangu lkn nilijitahidi na kazi sikukata tamaa mwisho nilifanikiwa Asante kaka unanielimisha sanaaaaaa
Post kama hizi zinahitaji kuwa na views kuanzia Billion na kuendelea,lakin tatizo watanzania wengi tunaishi na tabia kama hizi cz tunahisi kama tuna disiwa kumbe tuna pewa Elimu....Kaka unaweza sana #WorkHard #I_got_α_chαnges 4ur words.
Ujumbe mzuri sana kunawatu wanaweza wakasema vibaya sababu umewazidi cheo au umewazidi pesa au kiwango flani. Mwingine anweza sema vibaya sababu tu umemkopesha pesa anachelewa kulipa nawe unaitaka hivyo anaanza kupakaza mbovu. Mwingine labda alikua rafiki lakini ukamtenga sababu anapenda Starehe wewe unapenda kuwekeza hivyo lazima aseme mbovu. Ahasante kwa Ujumbe Bro.
Maneno Lugendo Ni Kweli kabisa
Brother ni kioo cha jamii nizaidi ya mwalimu ww ni zaidi ya mshauri unayoyasema yoteee ndio tulionayo kwenye jamii na ndio changa moto zetu hakika Allah akubarik daima uwe na maisha marefu mia 900
Nakusikiaga Sana kaka ila sijawahi pata muda wa kukufuatilia hakika kuanzia leo maneno yako ni chakula changu Cha kila siku Kama iliyokuwa kwa mitimingi!.
Brother thanks
Brother mm nina shida kubwa sana màana anae nisema vibaya ni mume wangu na kila akisema ukimuuliza anasema nimeteleza nisamehe anarudia kila mara najikuta naumia sana lakini hajali
Naomba msaada
I like this guy Nanauka ananimotivate sana my God blessed u more
Mungu akubariki xana kaka huwa naelewa sana Masomo yako na yananifundisha sana
This is one among your best speech.Hongera sana Teacher
Asante kaka nimejifunza ilikuwa na kerwa Sana na binadamu km hawa lkn Sai nitawapotezea niangalie mambo yangu ya maana
Asante Yesu, nimepata majibu maana nimepitia changamoto hizi kazini kwangu. Barikiwa bro uishi milele
shukrani sana. endelea kubaki na sisi kuna video nyingi zinakuja
Big up bro mungu akupe long life na ukuongezee uwezo zaidi ya juu ulinao @
Asante kwa sharing. Ikumbukwe mtu wenye matunda yaliyokomaa na kuiva ndio hurushiwa mawe. Wanatusha mawe ili nawe uwarushie matunda yako. Nini cha kufanya. Kusanya mawe jenga jukwaa kubwa endelea kung'aa watakuzoea.
Thankyou bratherwew ni mshauri sana kwenye jamiii muda mwingine huwa tunakatamaaa kupitia watu wanaotuzunguka
Umeongea ukweli kabisaa 🙏.Mimi hapa kazi ninachangamoto mengi sana😢😢kusemwa,kudharauliwa na kukosa furaha😢
Pole sana 😢
Kiukweli sio wewe tu,Kuna watu ni mashetani hasa makazini
Asante umeniponya kidonda kikubwa mno mungu akubariki Sana 🙏🙏
Jamani Mimi nimekutana na yote. KWA sasa napambana na kundi no nne. Asante kwa kunipa njia ya kuishi nao. Wooowooooo. Keep on what you doing. 💪💪💪💪💪💪
Thanks kaka nimependa somo lako kwani napitia hizi hatua zote lakini umenifungua mawazo kwa sababu haya yote nilikuwa nafanya na kumbe nilikuwa sahihi kabisa ahsante kwa kuniongezea nguvu na hatua mia mbele.Barikiwa
Kaka Asante kwa ushauri makundi yote manne nimekutana nayo.
Thanks brother for the powerful speech, your helping me on my way of life.
Ahsante kaka kwa kutufundisha vyema mungu akubariki
Asante sana kaka elimu yako ni pana mno malipo sina ila mungu atakulipa
Asante kwa ushauri wako nitaendelea kuufanyia kazi. Mimi nimekutanana na makundi hayo yote na yameniumiza sana na kujisikia kukata tamaa sana lkn huwanaachilia baadae ili maisha mengine yaendelee japo huwa kunakipindi nasikia sana kuumia tena.
Exactly brother, may Allah bless your hand work
Asante kwa somo nzuri. Mimi karibia nimekutana na makundi hayo lkn ni wale ambao hawana cha kufanya na oppressors
Aisee asante sana kwa maneno yako mazur nimezidi kujifunza vitu vingi hata watu watu wakijaribu kunisema vibaya na puuza na songa mbele mungu akubarik sana joel nanauka
Waooooo!!!!!
Nmejifunza.
Nmekutana na kundi la 3 but pia la 4 hadi nmeamua kumake decision Ya kuhama kituo cha kazi licha ya kwamba maeneo yale nilkua Tayar nmeanzisha biashara yangu Nzuri.
Nilikua depressed Kwa kipindi kirefu. Nashukuru Mungu now baada ya kuhama nmetulia na inabidi kuanza MAISHA/KUJIPANGA vizuri.
Samwel Alex pole kwa changamoto na hongera kwa kuchukua hatua haraka kabla mambo hayajaharibika
Pole sana,Mungu mwema utafika utakapo tu
Asante sana.napitia hayo kazini nafanya kila jukumu langu vizuritu.lakini mtu mmoja aliepewa mamlaka uniripoti vibaya.emefikia nakosa Raha oficini. kila ninachofanya yeye nikibayatu.
Nakushkuru mwalimu Joel nimezungukwa na vitu hivo nimepata majibu leo asant sanaa
Barikiwa Sana kaka J Umenigusa kwa sasa hapo kwenye kusemwa kuna ambao wanakusema kwa watu wengine hawa tunawakabili vipi
Asante sana kwa elimu yako nzuri nimejifunza kitu kwa somo lako mungu akubari sana mwalimu
Asante rafiki yangu wa dhati nimeguswa ni watu wa karibu kama ulivyofundisha walitaka kunishusha thamani,sasa ntakabiliana nao sitakubali wafanikiwe nasonga mbele,thanks very much.
Kwakwel brother unafundisha vzur sana aisee na nmekuelewa sana na ninakuombea maisha marefu yenye baraka na mafanikio makubwa sana katka maisha yako yote 🙏🙏
Barikiwa sanaa mimi karibia Anna zote nimekutana nazo sema nashukuru nimepata mbinu yakukabiliana nao🙏🙏🙏
Asante sana nimejifunza kitu kwa upande wangu makundi yote nimeshakutana nayo
Nakuelewa Sana nitaendelea kukufatilia thank you my brother
Nimekua nikisemwa vibaya tena pale tu ninapoongea Ukweli ktk kufikisha ujumbe sehemu tofauti ndugu marafiki.
Lakn leo umenifungua ufahamu wangu kaka Joel nanauka Mungu akubariki sana
Ahsante Sana kaka Joel umenirudisha now ,daah nilikuwa nataman kuacha Kaz eti. Nimekuwa jasili
Mungu akubaliki sana akufanyie wepesi katika mambo yako
Thanx brother umenifundisha mambo mengi Sana'a
Kiongozi me nakuelewaga sana motivation zako na napenda sana kukusikiliza #God_bless_you👏👏👏
Barikiwa sana Mimi niwafanya kazi wenzangu huwa kila siku wanaenda kinisema vibaya kwa boss alafu wakiwa na Mimi wanajifanya marafiki
Asante Sana kaka daa elimu yako nzuri sana haya mambo yako Sana kwenye jamii zetu. hata ndugu kwa ndugu tuliozaliwa pamoja ipo somo la nne ilo saana Mungu akubaliki Sana..
May God bless you! You are the one whom I appreciate
We n Bora sana kaka, Kaz nzur ubarkiwe🎉
Asante Joel umenibadisha kweli.
Asante Sana Joel,yaan mm n mkenya bt mafunzo yako yamenifanya niiujue ulimwengu,najiona hata mtu akinifinyilia namna gani tyr huwa nmepata jawabu lake,maisha s rahisi Ila n rahisi ukijikubali na kujitoa vilivyo,barikiwa kaka
Asante sana Mr .Noel mimi nimepitia hayo umesema mahali nahishi na mmoja anajinya rafiki yangu
Ukweli kundi namba 1na 2 nimekuta a nao kazini japo kuna wakati namba 2 niliwahi kumjibu akapunguza kuongea asantee Sana kaka
Nice presentation...binafsi nishakutana na makundi yote 4
Thanks for your hospitality
Ahsante brother. Joel
Nimefurah mno nilichukia ila kwa kukusikiliza wewe nimepona....God bless you my brother
Asante kwa elimu yako
Thank you God bres you
Kaka Joel yesu akubariki sana
Asante sana pastor nimejifunza kitu 🙏
Wanataka kunitoa kweny focus.... huyu mm kabisa watu wanataka kunitoa...I'm keeping doing the right thing , Asante sn kaka
Seif Zongo kabisa Zongo
Tuko pamoja
Shukraan brother barikiwa sana
Thanks for message bro joel
Dah hii nzuri sana
Asante sana nikweli nimejifuza Sana.
Thank you so much teacher joel for the power full speech I Lean something god bless you so much
Lauchungu Lau Ameen thanks so much Lauchungu
god bless you my brother
@@joelnanauka kaka na je kama sitaki kabisa kuzungumza nae yaani kila siku group ya whatsap mambo ya kazi ananisema vibaya yaani ana na kagroup ka wenzie ka wa5 nilishamcomfront face to face ila kwa sasa sihitaji kuongea nae tena, je nikimkalia kimya?bado ataniona mnyonge?
Very powerful bro!!!
Thank you for sharing your experience
leo nimeweka koment broo umegusa sehem sahh kk
Ubarikiwe kwa maneno mazr
Kaka nashukur sana nimejifunza kitu allah akubariki sana.
Ila mimi hayo yote yananikabili kwa sasa,nilichokifanya ni kuwapuuzia na sina habari nao kbsa,na nahisi imenissidia kiasi fulani hv cha kuumia
Joel my mentor,,,,,,,unaongea na mimi asante brooo asanteee sanaaaa
Winnie Mlay nashukuru sana karibu tuendelee kujifunza
Safi sana brother
Powerful words mwalimu....
Thanks dear brother
Uko vizuri sana kk. 💕
Asante kwa funzo hilo
Salute unabadili maisha yangu kila kuitwapo leo your words they empower than I can imagine
David Nh‘aranga thanks so much nashukuru sanaa
Asante kaka kwa somo lako nzuri mm nakutana naye kwenye familia tena naishi nayo, nimepata wakati mgumu sana hadi nimejikuta yule alinisema vibaya nimemchukia na siongei naye zaidi ya salamu kwakweli napata tabu sana kuishi naye kwasababu sikutegemea kama yy angeweza kunisema hiyvo
Asante saana kwa kweli masomo yako yanatujenga saana Mungu azidi kukupa afya njema kbsa. Mimi kundi la pili na la nne lakini sana sana kundi la pili la kutaka kushusha thamani yangu muendelee kutupa ushauri. Asante barikiwa zaidi.
Ahsante kaka nimejifunza
Nikweli kaka barikiwa sana
Blaza Joel Nanauka. Nakubali kazi yako lakin Naomba ujaribu kuweka vitabu vyako katika online viwe katika e-book Kwan utaweza kujipatia kipato lakin kubwa zaid utatusaidia sisi WA mikoan kupata kwa wepesi
Una mafundisho manzuri na shati lako linzuri sana wewe ni mwalimu ? Unaongea ukweli mno unanifurahisha ndiyo shida ya sisi wanadamu
Ha!ha!ha,shirt zuri au siyoo!
Serious broo nimekukubali🎉🎉🎉
Hii video kaka Joel inafunza sana mungu akubariki broo
Asante xana kwa lecture kaka ,kweli kabisa uyasemayo
Asante sana kaka Joel leo nimekuelewa vzriiiii kbsa Mungu akubariki
ahsante brother nakupata
Asante kaka nimejifunza sana
ni kweli kabisa hata kazini kwetu wapo
Bomba sana
Thankyou brother i follow your advice very wise
You light brother
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ningekupenda zaidi ukiwa unaongeya tu kiswahili bila kucanganya vingereza maana tunawatu wasosikia kingereza arafu kiramara tunaombwa eti tuwaelezee umemaanisha nini sisi tunaomba uwe unaonge kiswahili mwanzo mwisho❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Asante kwa somo kaka mkuu
Asante sana kaka kwa ushauri wako watu wa Ivo Nami ninao ninapoishi lkn baada ya kuwagundua tabia zao niliamua kukaa kimya ila bado wanaongea ila mi Niko kimya
Uko vizuri xana Mr Joel
Asante sana duh rafiki hao wote nimekubana nao nashkur kwakunikumbusha
Ahsante sana ,mm wakati nipo chuo Uganda nilikutana na point ya 4 kwa watanzania wenzangu lakin nilifocus kwenye masomo yangu at end I got award. best student
Asantee sanaa mm nipo kwenye ndoa ila mume wang ali weza kuwa na mwanamke mwingine naa aka mpa namba yang nakuaza kunitumia sms zakejeli na kunambia maneno yakuumiza sanaa' sasa hii Hali Bado inanitesa sanaa zile sms bado zinaishi kwenye kichwani kwangu nimeshidwa kuzisahau
Thanks bro I'm more studying every day the thorough of your thanks so much.
Kundi naomba 2 na no 4 wananitesa kazini kaka.Nimejifunza shukrani
Shkrani kaka Joel, nikwel bro unacho tufundisha kuna watu raha yao nikuona mtu kachukia.
Kaka ushauri wako ni mzr sana mungu akubariki akutie moyo 🙏🙏🙏
Ahsante kaka Joel kwa ushauri na mafunzo pia nimebarikiwa
Thank you Sir
Hongera sna
Shukran sama kak unatusaidia sana
Me ni miongozi wa watu ninaesemwa vibaya Sana sana nikiwa naenda kazini na nikimaliza mda wa kazi naenda Kusoma masomo ya kawaida
Remain blessed bro.....
Nice speach God bless you Brother.
Nikweli kaka angu unayoyasema ni kweli