Fix You: Namna ya kuishi na watu wenye tabia tofauti kabisa na wewe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 61

  • @martinegreg6337
    @martinegreg6337 Год назад

    Nakipenda sana kipindi hiki kuliko vipindi vyote vya sns..... Ubarikiwe sana Dada kamureen

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Год назад +4

    Masha Allah kipindi kizuri sana cha kujifunza

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад +3

    Asante sana tunafaidika sana na hichi kipindi

  • @beatricefrankngalubutu1448
    @beatricefrankngalubutu1448 Год назад +3

    Yniii Irene umependeza ad sio poa❤❤❤ ad tumeshindwa kuconcentrate na kipindi mwanzo😂😂😂😂😂

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha Год назад

      Aaah weee😂😂😂, host kama host

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад

      ​​@@irenekamugishakweli kabisa umependeza sana, kale kabeauty kako ndio kamechomoza zaidi❤

  • @salomejuma1177
    @salomejuma1177 Год назад +4

    Asante dada umependeza sana

  • @leoniapaulo7752
    @leoniapaulo7752 Год назад +3

    Thanks Irene kwa hichi kipindi, nimejifunza mengi sana.

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 Год назад +3

    CHA KUJUA.
    UKUBWA ni kutambua kuwa hata sisi tunatabia MBAYA zinazokera wengine.
    Watu wengi wanaona.MABAYA ya wenzao. Hawana MUDA wa KUCHUNGUZA tabia zao. Hii ni changamoto

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Год назад +2

    Jamaa anajua sanaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 Год назад +4

    My dada Leo umependeza sana

  • @ElyMgaya
    @ElyMgaya Год назад +3

    Umependeza Sana leo

  • @ingabireritha3740
    @ingabireritha3740 Год назад +1

    Yeah I really like the show congratulations again kwa kazi nzuri sister

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 Год назад +4

    Irene umependeza sana leo

  • @MUTAMBOASHA-ve7sn
    @MUTAMBOASHA-ve7sn Год назад +4

    Umependeza sana da Irène, Mada nzuri sana! Nakipenda sana kipindi hichi Ila Niko DRC ( Goma) nashukuru

  • @williamjumbe1928
    @williamjumbe1928 Год назад +1

    Umependeza sana dada irine tuletee Dr Chris mauki siku moja

  • @kelvinndege2200
    @kelvinndege2200 Год назад +1

    Darasa tamu sana 🙏🏿🤞🏿

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 Год назад +1

    Powerful message bro thanks.

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Год назад +1

    Kuna mabinti wachafu ukipishana nao utasema Bora gari taka usafi umepotea kushoto kazi ipo nashukuru ❤Dada kamgisha kwa kutuletea mwalimu

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha Год назад

      😂😂😂jamani jamani

    • @msangodiesel3132
      @msangodiesel3132 Год назад

      @@irenekamugisha ukichanganya na makucha ya bandia wanafanya usafi sangapi

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 Год назад +1

    wow umependeza sana. from Italy

  • @متعبالصيعري-ك2ي
    @متعبالصيعري-ك2ي 11 месяцев назад

    ubarikiwe xna

  • @mussafoum6562
    @mussafoum6562 Год назад +2

    Nice one Irene

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Год назад +3

    HUYU JAMAA ARUDI TENAAA😮😮

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +2

    Mimi nimeo neutravit yaan anaongozwa na hisia badala ya akili yaani moto wake si wa kitoto natarajia kula kona nisije kufa mapema.
    Analipuka dk yeyeto iwe ni usiku mchana,makelele,maneno machafu makali ugomvi ukali alikosa malezi single mama plus kutokea kabila lile la kibabe aelewi,mjuaji

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Год назад +2

    Yani nimeelewa Sana Yan,,dada Irene naomba utuletee walimu Hawa Kila siku,,inatujenga Sana na inatusaidia,, kipindi kizuli da irene

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay Год назад +1

    Hapo kwenye uchafu pagumu..hahahaa

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +3

    Mwanamke mgomvi mkorofi mtukanaji mwenye mdomo mchafu wa maneno makali ya laana unaishije nae

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha Год назад +1

      Hili tutalifanyia kazi

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 Год назад

      🤣🤣🤣 Dada Kamureen,sisi watazamaji wako wengine tuko na changamoto ya afya ya akili......

  • @dianamashala426
    @dianamashala426 Год назад +3

    Irene umependeza, naomba usinyoe tena plz

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha Год назад

      Hahaha hii itategemeaa kama ntawezana na nywele

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys Год назад

    Irène Dada uyo Mda ni mwingi Mno em tufanyieni basi Part 1 na Part 2 😮😢 Ni Movies zk Nigeria 😢😅😂😂

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 Год назад +2

    Huyu Jamaa ana material mengi ila huyu dada anamlimiti

    • @hopechidera
      @hopechidera Год назад +1

      Yaan anafundisha poa sana,bali Irene kamstop kabisaaa😢

    • @realswahilicultural8140
      @realswahilicultural8140 Год назад

      @@hopechidera yeah kabisa huyo dada awpewe kipindi Cha udaku 😂😂

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 Год назад +1

    Na elimu yote hio unakuta anateswa na mapenz🥹

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 Год назад

    Huyu leo ametupeleka chaka, anachoongea akieleweki, anapotosha jamii, ondoa hii interview kabla ujapata negative review nyingi kutoka kwa subject matter experts amabo wanaelewe haya mambo kwa kina.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Год назад

    Oya😢, hamjaelewa somo au, mbona sifa tu kwa Irene😅
    Ila kingereza leo kimekaangwa, mpaka kimejiinamia🥱

  • @vicentluzonola1325
    @vicentluzonola1325 Год назад

    Nimesikiliza vipindi vyote lkn hk kipindi cha leo mwalimu sjamwelewa kwenye hzo tabia anachanganya mafaili sana tena sana tu, 🤭😁😂

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Huwezi ishi na mtu mwenye tabia ngumu

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +2

    Mtu aliyekosa malezi unaishije nae

  • @susans4490
    @susans4490 Год назад +1

    Nashizim ndo watu gani kk

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 Год назад

    Iren sasa mengine ni kama roho inaambukiza cjui tutibuje?nimelelewa na mzazi mmoja na wanangu wanalelewa na mzazi mmoja sasa naponaje na wanangu wataponaje?

  • @YetenesNzogela
    @YetenesNzogela Год назад

    Jaman mtu anakaa kimya 3months et umsubiri arudi kwenye mood yake?? Hiyo ni ndoa au ni nini?? Irene we need more explanation

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Год назад +1

    Nakufurahia binti yangu,lakini umeniangusha,nilipenda mtindo wako wa nywere uwezi Amini nilinyoa,Sasa naona umependeza nitafanyaje?