Mauaji Gaza: Dunia yalaani Mashambulizi ya Israel yanayoongeza Vifo na Uharibifu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 104

  • @Mindset_99-m
    @Mindset_99-m 4 часа назад +1

    Hasbunallahu waniimalwakiil 🇵🇸🇵🇸🇵🇸

  • @RitbayRitbay
    @RitbayRitbay 3 часа назад

    حسبي الله ونعم الوكيل

  • @AliSam-r6l
    @AliSam-r6l 7 часов назад +7

    IKIWEZEKANA UMOJA WA MATAIFA UVUNJWE HAUNA MSAADA WOWOTE KATIKA HII DUNIA

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 6 часов назад +2

      Acha Israel is isambaze upendo kwa magaid😂😂

    • @PaulinaLunyonga
      @PaulinaLunyonga 4 часа назад +2

      Wanaanza kuomba huruma,,, Israel akitaka Amani wanatangaza wameshinda ila hivi vichwa vya kiislamu vina madudu kweliiiii 😂😂

    • @gentilnkurikiye8157
      @gentilnkurikiye8157 3 часа назад +1

      @@PaulinaLunyongaShetani Wewe

    • @PaulinaLunyonga
      @PaulinaLunyonga 3 часа назад

      @@gentilnkurikiye8157 sawa malaika wewe

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita Час назад

      Monyewe una madudu kwenu mbona matukio hayaishi kushabikia vya wengine aaaah ​@@PaulinaLunyonga

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 6 часов назад +6

    Yemen ikiishambulia Israel wote wako kimya ila Israel ikianza kufanya mashambulizi kelele zinakuwa nyingi... kuhusu Gaza wakulaumiwa ni Hamas...kama Mateka wangeachiliwa mashambulizi yangeisha...

    • @AbdulkadirMwalimu-t3w
      @AbdulkadirMwalimu-t3w 5 часов назад

      You know nothing

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 5 часов назад

      @AbdulkadirMwalimu-t3w tell us what you know homie

    • @mirajiabdallah1339
      @mirajiabdallah1339 3 часа назад

      una uhakika hao mateka wapo kweli au ni geresha tu

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 часа назад

      Hyu ni kafir na na Allah amewaandalia adhabu kali

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 3 часа назад

      @mirajiabdallah1339 kama mateka hawangekwepo hakungekuwa na jamii inayoitwa Palestine pale Gaza

  • @SalamaBakari-eh1mz
    @SalamaBakari-eh1mz 57 минут назад

    Hiyo Dunia ni waongo wanafiq hawalaani chochote wanafirahia kwani wao sio wanaowaongoza hao Mazayuni lakina wajuwe Iko siku ya kuja kuyajutia hayo yoote wanayo yafanya

  • @DatiusExavely
    @DatiusExavely 6 часов назад +3

    Kelele hizi zote zingepigiwa Hamas mwezi kumi mwaka jana wakati ilipoua na kuchukua mateka tusingefikia huko.Taarifa za mashambulizi ya Israel na Wahouth Yemen sijaona inawekwa mezani.Au ilikaba watu ikashindwa kutamkika.

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 4 часа назад

      Hao Hamas walifanya shambulio mara moja tu lakini mashetani wa Israel wameua Watu asili zaidi ya 80 ya GAZA

    • @Bahati47
      @Bahati47 58 минут назад

      Kwa mfano unaambiwa utoe ushahidi angalau wa picha tu kwa wa Israel walio uliwa na Israel je utakua nayo?

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 7 часов назад +6

    Warudishe mateka ya watu kwani shda nini hamasi awana uluma na watu wao pia hamas wanavaa nguo za kilahia wanapo pigana vta

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 6 часов назад

      Kwa sababu na israil wana mateka wa kipalestine 6000 kwanini wao wasiwatowe pia?

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 6 часов назад +1

      ​@@salumabdallah2990 kwaiy Israel akiwa na 6000 ndy mkomae na mateka wa Israel wakat uwez amna 😅😅 ndy maana nawambia mwislam mwenye akili kati ya 1000 ni 2 tu😅😅

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 часов назад

      ​@@salumabdallah2990Kwa hiyo hao 6000 ni muhimu kuliko 500000 raia wema waliokufa na wanaoendelea kufa? Akili au matope, Hamas hawana haja na raia wanahaja na majambazi wenzao tu!

    • @PaulinaLunyonga
      @PaulinaLunyonga 4 часа назад

      ​@@africanQueeny-u7oila kweli hawa watu akiri hawana kabisa

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 часа назад

      @@africanQueeny-u7oNa hao wawili labda wawe wame silimu 😂😂😂

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 7 часов назад +5

    Waislamu msirudie Tena kuua wayahudi na kuwateka matokeo yake Ni mabaya Sana Kama mnavyoona Gaza wanachopitia. Yule mchambuzi Ally wa hapa anasemaga usianzishe ugomvi na mtu ambaye huwezi pambana naye. Tunieni njia nyingine ya kudai haki Ila sia kumshambulia myahudi.

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n 7 часов назад +1

      We shoga sio bure

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 6 часов назад +1

      @SelemaniMsuya-q8n sawa nashukuru kwa kuniita shoga Ubarikiwe Sana Kama dini yako imekuruhusu kukashifu watu

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 6 часов назад

      ​@@joshuajohn8533 Kaka aya maslam ayana akili mpaka yaishe 😂😂😂😂 labd upige mpka uyamalize akili zao kama kuku

    • @DAVIDKISWAGA
      @DAVIDKISWAGA 6 часов назад +1

      Jamani niwaombe achananeni na hilo neno kulitumia katika comment's zenu kwani siyo asili zetu watanzania ni wamoja. Hakuna Mungu aneyemuagiza mtu kumtamkia binadamu mwenzie hayo na inaonyesha kama tu tayari kugombanishwa na vita visivyo vyetu kwann fikiri kabla ya kukoment.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 часов назад +2

      ​@@SelemaniMsuya-q8nmashoga huwa wanajuana Kwa hiyo na nyie mnao ita wenzenu mashoga ndo ninyi mashoga haswa WA asilimia 💯

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 7 часов назад +4

    Free GAZA

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 часов назад +2

      Free mateka

    • @Isack-b9k
      @Isack-b9k 2 часа назад

      Rudishen mateka nyie wajnga wapumbav mtakufa wote mnadangnywa na Iran mnaumie ninyi Palestinian

    • @Awatee
      @Awatee 2 минуты назад

      ​@@Isack-b9kkwa weye utaishi milele shetan weye wa kibinaadam laanatullah

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 5 часов назад +1

    Safi sana

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 4 часа назад

      Siku ukijielewa ukafunguka Akili hautofurahia

    • @iddikimia4951
      @iddikimia4951 4 часа назад

      Kweli kabisa unaandika hivi ingekuwa familia yako ungesema hivi watoto 17000 unasema safi au huna watoto wewe

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 4 часа назад

      @@iddikimia4951 HAO NDIO WANAFANYA WAKRISTO WAONEKANE WOTE NI WAJINGA.... MUNGU AMUONGOZE AJUE UKWELI

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 часа назад

      @@iddikimia4951Mbona idadi ndogo sana angalau iongezeke mara kumi ili akili iwakae vizuri

    • @jayvannykhalifa5095
      @jayvannykhalifa5095 2 часа назад

      Huyu ni kafiri mbaya sana tuache udini bimana watoto bado wadogo hawana dini then unafurahia wew ni kafiri mchafu sana

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 6 часов назад +4

    October 7

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 5 часов назад +1

      kisingizio, huwo ni uongo na wizi wa Ardhi, 😂😂😂😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 часов назад

      ​@@MikelSitoekwanini wasiwaachie hao mateka? Mpaka raia wote wafe? Then watamtawala nani?

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 4 часа назад

      @@MsAggie5 Mateka wa ki palestina wako wapi?

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 4 часа назад

      @@MsAggie5 kwanza hujuwi história hii ya Vita..

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 часа назад

      @@MikelSitoe nini bora raia wafe kwa sababu ya wafungwa sio mateka

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 6 часов назад +3

    Piga mpka Allah akija kurudi akupe vifusi maana awa jamaa wanakiburi sana 😢😢 piga mpka kuku

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 6 часов назад

      Sawa

    • @mahamedsalimali671
      @mahamedsalimali671 6 часов назад +4

      Allah yupo na hafi milele ila hao unaowashangilia na ww na mm ndio tutakufa kurudi kwake dhaifu uchi bila nguo hana haraka walahaingiliwi ametoa muda maalum fanya upendalo sikuifika huna wakumlaumu

    • @wadantz123
      @wadantz123 5 часов назад +2

      Alokwambia Allah kaondoka ni nan unafikili kama yule bwabwa wenu yesu aliyeliwa kiboga na was Israel kisha wakamuua 😂😂😂😂😂we kweli senge kama yesu alivyo senge

    • @YamunguMatamya
      @YamunguMatamya 3 часа назад

      Nadhani wewe hauna dini maana hata kama jamaa amekosea ila wewe umezidi na usipojirekebisha hakika laana ipo juu yako​@@wadantz123

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 часа назад

      Allah anauza jicho uarabuni hana mda na hawa mbwa

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 18 минут назад

    Waache kuficha magaidi

  • @anny19988
    @anny19988 5 часов назад +1

    Kwani raia si wahamishwe kutoka Gaza😢😢😢😢

    • @Awatee
      @Awatee 16 минут назад

      Waende wapi?

    • @anny19988
      @anny19988 12 минут назад

      Wapelekwe sehemu yénye usalama. Sasa hapo Gaza si watauwawa wote waishe maana Israel imezuia hadi misaada. Wanakufa kwa mabomu,njaa, kiu, magonjwa.

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 7 часов назад +2

    Hivi nikihitaji malaika angalau wawili niwaokoe kwenye mikono ya ibirisi Israel .. Sijui sheria za Palestine zinaruhusu kuozesha nje ?😭😭kuhusu gharama .mim ndiye ninae elewa uwezo wangu wakiuchumi ukoje

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 7 минут назад

      Kwa huu mwandiko labda uende ukaolewe uarabuni tu!

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 7 часов назад +3

    Wakulaumiwa ni Hamas sio Israel, warudishe mateka kwanza

    • @Bahati47
      @Bahati47 59 минут назад

      SI huna akili ndio mana

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo 48 минут назад

      @ wewe ndo huna akili

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 5 часов назад

    Israel arudi mezani. Tumechoka na hizi news

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 7 часов назад +1

    tumechoka nahizo kaulizao bora wakae kimya tuuu

  • @benjatz1705
    @benjatz1705 2 часа назад

    Warudi makwao Tu aache ailidhi ya wazawa ndo itakua Aman kwaoo

    • @Bahati47
      @Bahati47 56 минут назад

      😂😂😂 nacheka km mazuri vile hivi wa Palestine na wazayuni kina nani wanatakiwa warudi ma kwao? Bara la mashariki ya kati wenyewe ni wa arabu na sio wazungu jiulize wale wazungu pale uarabuni wamefata nini?

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 7 часов назад +2

    Hawa umoja wa mataifa ndio wauwaji wakubwa kazi yao kulaabi tu hakuna hatua wanayochukua

    • @modekaijames
      @modekaijames 7 часов назад

      Hakuna namna ni Mungu tu asimame na watu wa Gaza uwezo wa kibinadamu umeshindikana Mungu awasimamie Netanyahu ni mshenzi sana

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 7 часов назад

      hapana hawana kauli hao

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 6 часов назад

      ​@@modekaijames umoja maita ndio uliwatuma Hamas kuwaua watu Israel kinyama, kumanina zenu mtafirwa mpka mfirike 😅😅😅

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 часов назад

      ​@@africanQueeny-u7oweeeeeeeee! Queen gani Una matusi hivyo lol

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 часов назад +1

      ​@@modekaijameskama Hamas Wana akili hawata rudia tena upuuzi walioufanya kuingia Israel na kufanya mauaji na utekaji. Kama wao hawana huruma na upendo Kwa watu wao wewe ni nani, kwao wao ni sifa.

  • @nanyangahustler4305
    @nanyangahustler4305 5 часов назад +1

    Malizaneni tu wanangu mpaka akili ziwakaeni sawaaa sawaaa
    Kufeni waisraeli kufeni wapalestinaa
    Mpaka mataifa yenu yabaki kuku tuu. Na mabataaa.
    Maana tumechoka kila siku nyinyi . Mnajifanya mnagombania ardhi eti alipewa baba yenu ibrahim na mungu.😂😂😂😂😂😂

    • @wadantz123
      @wadantz123 5 часов назад +1

      😂😂😂😂sasa wakimalizana hao kuku c watakuwa manyoya

    • @anny19988
      @anny19988 5 часов назад +2

      Hili ndo jibu zuri. Wapigane wakichoka wataacha maana hakuna anaetaka kujishusha. Kila mmoja anaona ana haki kuliko mwenzie. Yaaani mambo ya Karne za nyuma huko wanaleta wakati kila mmoja angeamua kubaki kwake kufanya mambo yake haya yasingetokea