Habar kaka Joel Nanauka. Nimejifunza kitu kikubwa Sanaa hasa kwenye eneo lakujiwekea akiba kaka. Nimeanza kujiwekea elfu kumi kila siku mpaka mwaka 2027 bila kuzitumia.nimetenga matumizi yangu na kuweka iyo akiba bila kuigusa kataka 2027 nipanue biashara yangu kwa izo akiba kaka.nitakua na million kumi naaa Mungu anisimamie kwailo .
nashukuru Sana kiongozi umefanya Sasa nijue muelekeo wangu wa maisha ni upi almost for years nimefanya kazi lakn hakuna nilicho ambulia but Sasa ni wakati wa kubadilika kwangu
Natamani sana siku moja ningekutana na wewe lives nafikiri nitaweza kubadilika na kuishi kusudi langu kwa Mungu. Kama una class la kuwamentor nisaidie.
Nimejifunza vitu tofauti kwenye maisha sasa ninafikiri nje ya box,, Mungu akubariki sana,ili tuweze kubadilisha Tanzania 🇹🇿 yetu na kuwa miongoni mwa nchi bora duniani… →
ni kweli ila watu hawana uaminifu unapompa mtu akufanyie jambo wanakuharibia ndio mana mtu anaamua kufanya mwenyewe kila jambo.tupe njia ya kufanya usiweze kuharibiwa mambo yako
Nadhani nipo kwenye kundi no 1 ambalo nimefanya kaz nnayoipenda kwenye shirika Fulani ,lakini nilikuwa sipati malipo kama inavyotakiwa,mim binafs niliacha kutokana na msukumo niliokuwa nao ndani,mana niliona ndoto yangu itakufa nisiposimama mim binafs,hivyo pamoja na changamoto,nilisimama imara zaid na nna mpango wa kufungua kitu changu binafs
kaka mm ufanyagii kazi Wang katka kuajiriwa kwangu kaka nikwamba nikiingia kwenye kazi nakuta nafanya vitu ambavyo vinafnya watu kkubali na kuelewa na wingine wananiambia kwamba Nina kitu Cha utofauti nisicho kijua mfano nimeajiriwa ofisin Wateja wanaongezeka na faida zinaongezeka labda unakuta kazi iliyum a
Habar kaka Joel Nanauka.
Nimejifunza kitu kikubwa Sanaa hasa kwenye eneo lakujiwekea akiba kaka.
Nimeanza kujiwekea elfu kumi kila siku mpaka mwaka 2027 bila kuzitumia.nimetenga matumizi yangu na kuweka iyo akiba bila kuigusa kataka 2027 nipanue biashara yangu kwa izo akiba kaka.nitakua na million kumi naaa Mungu anisimamie kwailo .
Halleluyah Pastor Joel NANAUKA Naomba nikuone MTU WA MUNGU Nahitaji Ushauri wako nipo hapa DAR
huyu sio pastor, ni coach 😊😊😊😊😊😊
Nafuatilia sana mafundisho yako. Naomba uwe my life coach.
Ubarikiwe Sana Mkuu! You've a blessed mind. Thanks to Lord!
nashukuru Sana kiongozi umefanya Sasa nijue muelekeo wangu wa maisha ni upi almost for years nimefanya kazi lakn hakuna nilicho ambulia but Sasa ni wakati wa kubadilika kwangu
Excellent,,,,,!!! You are an invisible man who knows the secret of the secret world. Keep opening the eyes of God' s people.
Uko sahihi barikiwa sana
Wewe ni Mwamba xana Nanauka, kazi mzuri Mkuu.
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu kwakweli unaelimisha jamii vizuri sana.sio siri wengi tunaishi bila malengo
Amina Brother Nanauka. I will become the best International Author and Speaker one day..!
Daaaaah thanks brother nimeelew man me student issue iyo inanikuta sana tu, So now nishaipata "5rules" ❤
Habar mkuu kweli nimeipenda na mm nataka kuanza kuweka malengo na muda japo sahiv nimeajiriwa
Nimeelewa Sana hii sasa Mimi kwaupande wangu Mungu amenijalia vipawa vingi nitajuaje nikipawa gani mafanikio yangu yalipo teacher J nanauke nisaidie.
Dah!!! Joel unaweza sana, we ni kichwa. Hongera, Mungu akubariki.
Napea madini mengi kutoka kwako, Asante una badirisha sehemu kubwa ya life style yangu
Nauza mosquite killer lamp 🚿 njoo watssap 0788562260 Andika LAMP
Asante sana. Kwa kweli itasaidia Sana. Wengine tunahitaji kusukumwa.
Mwl ubarikiwe
Asante my mentor
Great sound, lord bless you for everything, long life strong health
Safi sana umenigusa vizuri muno.
Asante sana kaka, nafikiri nahitaji ushauri zaidi
god bless you brother by carlos
Ahsante mkuu
I real understood, may God bls you
Ahsante mwalimu wang
Asante kaka kwa kunijaza maarifa
Shukran sana kaka nimejifunza mengi sana toka kwako
ubarikiwe
Madini adimu haya bro, asante sana
Thanxsss...brzaa.....💥💥💥💥💥💥💫💫💫
Respect sir
Hapa nimejifuza mambomeghi sana yani kweli waeleweka kakanghu mughuakuzidishiye neema kwamafunzoyako
Barikiwa joel unanifanya kila siku kujifunza kupitia ww
Your the best
asante,kaka ila studio si muache kupigapiga Ka mziki kwani lazima,kanaondoa kumuelewa MTU vizuri.
Ubarikiwe sana bro upo vzr
best motivational advice my brother
Tunashukur sn kwa mafundixho yko
Napenda saaana kujifunza naamin ntafanukiwa
Hongera
thanks so much brother
Uko vizuri sana
you are so brilliant
God will bless you, everyday you are coming with a new things and its a food for brain.
Shukran Sana kaka.....!!
Nakubali sana
Endelea unavutia katika nafasi ya uwalim
I got u brother
ni kweli kaka Joel
Asante sana
Natamani sana siku moja ningekutana na wewe lives nafikiri nitaweza kubadilika na kuishi kusudi langu kwa Mungu. Kama una class la kuwamentor nisaidie.
Barikiwa sana
Mungu akubariki sana
shukran bro
Joel mimi najenga biashara yangu mtandaoni je nifanyaje ili nijenge core genius yangu mtandaoni
Samhan ntajujaje upekee wangu
Kaka Joel umenisaidia kujifunza vitu tofauti kwenye sasa ninafikiri nje ya box, Mungu akubariki kaka
Mimi ni mwanafunzi nilikuwa nafaula physics kuliko wote hadi maks 90 lakini saivi na feli physics sijui sababu
Kweli kaka
Sawaaaaaa
Asante kaka
Nimejifunza vitu tofauti kwenye maisha sasa ninafikiri nje ya box,, Mungu akubariki sana,ili tuweze kubadilisha Tanzania 🇹🇿 yetu na kuwa miongoni mwa nchi bora duniani… →
nimekujua kupitia rafika yangu nimekukubali
asnte kaka angu n kweli kbxa
bora uishi kwa uwez wako
Nauza mosquite killer lamp 🚿 watssap 07 88 5622 60
God bless you broo.
Safi
da imeisha bado hajamaliza yaani ubalikiwe tunaomba hivi kama utatengeneza dvd utatusaidia sana
sure ishi kwa uwezo wako
Kabsa
kaka joel una madini ya thamani kila siku unakuja na madini kuntu!ubarikiwe sana uzidi kutuelemisha ntakutafuta kaka!
Kaka mungu akubariki sana na nakutakia viatu vyako
Hongera Nanauka
Safi
ni kweli ila watu hawana uaminifu unapompa mtu akufanyie jambo wanakuharibia ndio mana mtu anaamua kufanya mwenyewe kila jambo.tupe njia ya kufanya usiweze kuharibiwa mambo yako
Nataka kuuliza swali
Asante kaka.
Asante kaka j
Yap
I've unajua we mtu ni jiniaz
Nadhani nipo kwenye kundi no 1 ambalo nimefanya kaz nnayoipenda kwenye shirika Fulani ,lakini nilikuwa sipati malipo kama inavyotakiwa,mim binafs niliacha kutokana na msukumo niliokuwa nao ndani,mana niliona ndoto yangu itakufa nisiposimama mim binafs,hivyo pamoja na changamoto,nilisimama imara zaid na nna mpango wa kufungua kitu changu binafs
Nafanya kazi kubwa ila mshaala wng mndogo so! Sijuw nifanye nn bro
KAZI gn UNAFANYA boy wassap 0788 5622 60
Kweli wewe kaka kuwa TO ilikuwa halali yako kabisa ,nakukubali sana bri
Joel nakukubari sana kwauwezo wako
Nimeipenda
Brother nahitaj kukutan na wew
Peter Edward god
dahh!! ukoo vzury kaka naomba namba zako
Nikilala, nikiamka, nikitembea, nikikaa sauti yako inanizunguka akilini. Umekuwa breakfast kaka Nanauka. Naendelea kukufatilia, sijaongea bado, nitakuja kuongea, Kwasasa bado najifunza.
sumi odilo m
Hapo mwishoni umeniacha, kama hao watu sahihi wa kuwapa hilo jukumu hawapo kabisa... yaani una watu mizigo, kila kazi kwake hajui....inakuwaje?
Niko Kilimanjaro natamani kuja kwenye seminar yako
Yani kama meme ninavyo penda kufanya sanaa Ya maigizo 😪🤦♀️ila sijapata nafasi???
yes
Ni kwel kaka
Vitabuu tunapataa wapiii?
Kitabu napataje nipo kigoma kasulu mjini ...msaada tafadhar
Kak kila unachokifundsha hcho ni kwa ajl yng
Mister joel, nipo tofaut na ww kidogo!!?ni bora ufanye kilakitu ili ukifel usije kujuta ni kwanin hukufanya baadhi ya vitu fulan....!!!
Kuna mtu ukimualika semina/warsha ya ujasiriamali au kitu cha muhimu anapuuza lkn vishughuli visivyo na tuja hakosi hata kimoja,,,nmejifunza kitu
Kwa mfano
Nina namba ako mkuu lkn whatsapp aipatikan nnaomba unitumie inayo patikana
Serengeti hotel
umenigusaaa..
kaka mm ufanyagii kazi Wang katka kuajiriwa kwangu kaka nikwamba nikiingia kwenye kazi nakuta nafanya vitu ambavyo vinafnya watu kkubali na kuelewa na wingine wananiambia kwamba Nina kitu Cha utofauti nisicho kijua mfano nimeajiriwa ofisin Wateja wanaongezeka na faida zinaongezeka labda unakuta kazi iliyum a
Nataman kujua zaid
natatizo la kutotimiza malengo
Kaka napata wapi mawasilino yako.
ibrahim muzuri namimi nip no yake
Eliazaly Emmanuel aja nitumia adi Leo sijui itapatikana vipi
Nahitaji Kitabu cha timiza malengo yako
ROBERT MAGIGE karibu sana tuwasiliane 0745-252670 au +255 68 305 2686
vitabu vyako vinapatkan wap
100%