Watu wanapokukata sio kwasababu hauna thaman. Bali bado hawajajua thaman yako👌👌👌 ni maneno yamenigusa sana kikubwa sante Mr.Nanauka kwa kushare nasi mungu akulinde🙏🙏
Woow somo makini sana yaani mimi nilikua na hasira sana nashukuru nimejua kuithibiti now nipo simple hata mtu akinisingizia jambo ambalo sijafanya yaani siwazii hata kidogo ndio kwanza sina habari nashukuru sana brother somo lipo makini yaani nimekua na ujasili wa ajabu nazidi kumuomba m mungu azidi kunipa nguvu💪💪 ya mafanikio kweli ambae hakuijua Thamani yako leo hii anakuona wa Thamani nae akikuona wa Thamani haitakiwi kurudi tena nyuma fanya kama zile zilikua ni changamoto za mafanikio hivyo ni vizuri kukaa mbali nao shukraan brother ubarikiwe sana 🙏🙏
@@aminaramadhani9388 muombe sana m mungu akuepushe na hasira yaani ni Mbaya sana hata mtu anapokuudhi ww usijibu chochote fanya hivyo kwa cku Tatu harafu uone matokeo baadae utaona ni kawaida tuu japo kua utaambiwa unadharau lakini sio dharau ila ni jinsi utakavyo idhibiti hasira
Nimeijua akaunti yako tarehe 3 mwezi wa saba mwaka 2019 nimepata manufaa mengi sana naamini ningeijua toka mwanzo ningekuwa mbali sana. Sasa nafurahiya kwa kiwango cha juu kumiliki smartphone sababu mwanzo nilijilaumu kununua simu hii.mungu akujaalie afya na nguvu ya kuendeza hili.
Namshukuru Mungu hisia zngu zte huwa nazimaliza kwa kuongea peke angu..inafurahisha lakn ndy njia pekee ambyo huw inanizuia kufnya k2 chchte chenye kuleta negative impact..kuptia hli somo ntazidi kuongea peke angu tyuuu ili maisha yaendee😁
Somo nzuri sana, hisia ipo, tena kila siku huja na maovu yake, bila kutawala hisia hizo, you will get disappointed day by day but siri yangu moja ya kutawala hisia zangu ni kuishi katika neno la Mungu And you too can do the same, meditate on the word, keep it in your heart it will always refresh you😊
Hisia ya kukataliwa imenitesa sana nimepata moyo sana wa kusonga mbele nilikataliw kwa mda mrefu na mtu niliyempenda kwa dhat iliniumiz sana na ilenitesa sana mpk Leo nikikumbuka bas uwa natokw na machozi naiman ipo siku mambo yatakuw mazuri nashukur sana kak joel
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka Leo umenifundisha sana mimi nimepotesa kazi kwa sababu ya hasira ahsante sana kwa elimu yako ya bure mungu Akubariki sana
Asante Sana mpendwa wetu nimebadilika Sana toka nilipoanza kukuangalia na nimefaidika mnooo kwenye maisha yangu, Mungu akupe maisha marefu kka ww nimtu muhimu Sana kwenye jamii
Yakwanza na msho ( hasira na huzuni) jamaniii duh. Najtaid sana lkn inakua ngumu sana kushnda ilaa kwahil somo kaka Nanauka naiman nitavuka & u can see me at the top. Mungu akupe maisha marefu kwaajil yetu 🥰🥰🥰
Mimi ninaasira sana pia na kunamtu nampenda alafu yeye hanitaki alafu nashindwa kukubali Kama sitakiwi so nabaki Kulia tu maisha yangu yote , ila kutokana na video hii nimejifunza kitu
Ujumbe mzuri sana. Nahii nitazingatia sana sababu ukiwa na hasira kali hatakama unazo Biashara unaweza kuzifunga kwa Hasira sikuzote usiamue jambo kwa haraka sana. Inatakiwa kwanza ushushe pumzi Peace Bro
Dah bro sina la zaidi ktk hisia ya hasira umenigusa kwa kiwango kikubwa sana nashukuru nitajihidi kutozingatia maneno ya wanaonikera naamin 100% nitafanikiwa.
Nanuku kutoka kwa moja ya clp yako.Ukichukua kipande cha dhahabu ukakiweka kwenye banda la ngombe kitenyewa na ng'ombe kwa sababu ng'ombe hawajui thamani ya kile kipande cha dhahabu, Nakukubali sana bro Mwenyezi mungu azizidi kukuwezesha.
Natamani nipate njia nzuri ya kukuuliza badhi ya maswali muhimu sana yanayonisumbua kwa mda mrefu ila hongera nmekuelewa vzuri sana na umenionyesha kitu kipya leo,Mungu akibariki sana
Hisaia za kusingiziwa, na kuweka watu walinizingizi moyoni. THANKS NIMEPATA VITU VYA MAANASANA, NILIKUWA NAONGOPA TO STAR SMALL AND TO DO FOR BIG WEL VISION.
Thanks my brother umenibadilsha Sana mpaka Leo nmeacha kaz nafungua medical clinic yangu ,mungu akubarki sana naomba sku moja nikutembelee ofsn kwako japo spajui ,kwangu ni hisia ya kkataliwa
@@joelnanauka ntakuja kka make nakuja hapo dar es Salam kuagza ultrasound China ni kwaajr yako uliwahi kutoka speech zako moja ukasema mkubwa Wa mshahara syo maendeleo nashkru mungu namasave naenda kununua
Thanks so much you are my life coach am improving my life and learning every day through your RUclips channel I went through rejection na hasira but now I control them Amen 🙏🙏
nimeomia sana kuhusu kutawala hisia zangu nilishakosa kazi kwahasira chrngine kusingiziwa yaani mpaka leo siongei nahuyo mtu nanimemuacha kwenye kazi aendelee
Yani tangu niijue hii account jamani kiukweli najiona nazidii kujifunza mengi ....am proud of you bro......kuanzia Leo nitaweza kuzicontrol hasira zangu. Ubarikiwe.
Yote ambayo umesema joel nayaishi yaani nikikosa ga tenda au nikagundua watu ambao waliniahidi watanisapot nikagundua walikua wananuda ganya moyo wangu hua nahisi Kama unavujia damu kiukweli hua naumia sana
kiukweli natamani haya masomo yko wengi wangejoin hii account yko wajifunze nadhan wengi wangebadilika dah Mie nashukuru kuijua hii account ninayomengi yakusimulia na faida nyingi nilizozipata kwa kujifunza masomo yko.
kuna msemo unanitesaga Sana na kunirudisha nyuma "Ng'ombe wa masikini hazaiii"ukweli natoka ktk familia ya kimasikini ingawa najishughurisha kwa biashara ndogo ndogo Ila kuna wakati huondoka hamu ya kufanya kaziii kwa kujiambia siwezi kukuwa kibiashara kwa kuwa mie uzao wa kimasikini
Thanks a lot Kwa somo lkn hapo pa kusingiziwa dah huwa inauma lkn nachukua mda linapita na naongea nao kawaida lkn moyon ukikumbuka unajipa moyo linapita asante nitazidi kutokujali hii hali asantee
Watu wanapokukata sio kwasababu hauna thaman. Bali bado hawajajua thaman yako👌👌👌 ni maneno yamenigusa sana kikubwa sante Mr.Nanauka kwa kushare nasi mungu akulinde🙏🙏
ubarkiwe sana nina hisia za huzuni mara kwa mara lakin kwa somo hili naamin ntabadilika asante
Haya maneno yamenipa nguvu mpya kwenye maisha yangu ubarikiwe Sana mm naona umenigusa pote ila hasa hasira
Kukataliwa kulinifanya nipoteze furaha na amani takriban miaka minne. kupitia somo hili nmekua mpya kabisa. Barikiwa sana Kaka Joel.
Pole mwaya hyo ypo san, tena mtu anakuchuki bila sbabu.
kbx
Woow somo makini sana yaani mimi nilikua na hasira sana nashukuru nimejua kuithibiti now nipo simple hata mtu akinisingizia jambo ambalo sijafanya yaani siwazii hata kidogo ndio kwanza sina habari nashukuru sana brother somo lipo makini yaani nimekua na ujasili wa ajabu nazidi kumuomba m mungu azidi kunipa nguvu💪💪 ya mafanikio kweli ambae hakuijua Thamani yako leo hii anakuona wa Thamani nae akikuona wa Thamani haitakiwi kurudi tena nyuma fanya kama zile zilikua ni changamoto za mafanikio hivyo ni vizuri kukaa mbali nao shukraan brother ubarikiwe sana 🙏🙏
Ulifanyaje mpaka ukaidhibiti hasira??yani mim Nina mahasira mpaka bas
@@aminaramadhani9388 muombe sana m mungu akuepushe na hasira yaani ni Mbaya sana hata mtu anapokuudhi ww usijibu chochote fanya hivyo kwa cku Tatu harafu uone matokeo baadae utaona ni kawaida tuu japo kua utaambiwa unadharau lakini sio dharau ila ni jinsi utakavyo idhibiti hasira
Ukhty Najrat Girl hongera sana na Ahsante kushare nasi stori yako inasaidia sana wengine kujifunza pia
Ahsante brother@@joelnanauka ubarikiwe sana 🙏🙏
Kaka Joel Ubarikiwe najua umewekwa na Mungu hapo kwa kusudi fulan hata kama hauhubiri kuna namna unasema kwa msaada wa Mungu
Simon Kidamui Ameen nashukuru sanaa
Nimeijua akaunti yako tarehe 3 mwezi wa saba mwaka 2019 nimepata manufaa mengi sana naamini ningeijua toka mwanzo ningekuwa mbali sana. Sasa nafurahiya kwa kiwango cha juu kumiliki smartphone sababu mwanzo nilijilaumu kununua simu hii.mungu akujaalie afya na nguvu ya kuendeza hili.
Namshukuru Mungu hisia zngu zte huwa nazimaliza kwa kuongea peke angu..inafurahisha lakn ndy njia pekee ambyo huw inanizuia kufnya k2 chchte chenye kuleta negative impact..kuptia hli somo ntazidi kuongea peke angu tyuuu ili maisha yaendee😁
Ha!ha!ha,unaongeaga vitu gani na kwa namna gani?
Asante sana
Nimejfunza mengi Sana uinuliwe Sana kk yetu kwa kutupatia upeo na kutuonesha njia
Somo nzuri sana, hisia ipo, tena kila siku huja na maovu yake, bila kutawala hisia hizo, you will get disappointed day by day but siri yangu moja ya kutawala hisia zangu ni kuishi katika neno la Mungu
And you too can do the same, meditate on the word, keep it in your heart it will always refresh you😊
WORK OF GRACE amen
WORK OF GRACE thanks.Powerful 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@@joelnanauka most welcome🙏
Hisia ya kukataliwa imenitesa sana nimepata moyo sana wa kusonga mbele nilikataliw kwa mda mrefu na mtu niliyempenda kwa dhat iliniumiz sana na ilenitesa sana mpk Leo nikikumbuka bas uwa natokw na machozi naiman ipo siku mambo yatakuw mazuri nashukur sana kak joel
Hisia unapokataliwa,si kwasabb hauna thaman bali bado hawajaijua thaman yako......broh.....ubarikiwe...
Tatu yussuf kabisa tatu,ndio ukweli wenyewe
Me namshukuru Mungu kukufahamu ndugu.... You're the big teacher kwetu....Mungu akuzidishie"
Rama Abuu nashukuru sana Abuu,pamoja sana
asante sana mwalim..... mimi hisia za hasira..... nadhani ni muda wangu wa kubadilika na kucontrol
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka Leo umenifundisha sana mimi nimepotesa kazi kwa sababu ya hasira ahsante sana kwa elimu yako ya bure mungu Akubariki sana
Asante Sana mpendwa wetu nimebadilika Sana toka nilipoanza kukuangalia na nimefaidika mnooo kwenye maisha yangu, Mungu akupe maisha marefu kka ww nimtu muhimu Sana kwenye jamii
Yan kaka angu nimeitwa hodari kuptia ww kuna wakat nlianguka ckuchoka nliloinuka hakuna alieelewa weng walnfata nwashaur njia gan nlitumia nkawajibu nlikubali kuanguka kwangu then nkaama nkajfuta nkaendelea Mungu azd kukupgania libarkiwe tumbo liloruhusu ukawa zawad kwetu
Yakwanza na msho ( hasira na huzuni) jamaniii duh. Najtaid sana lkn inakua ngumu sana kushnda ilaa kwahil somo kaka Nanauka naiman nitavuka & u can see me at the top. Mungu akupe maisha marefu kwaajil yetu 🥰🥰🥰
una nisaidia sana mkuu mungu akupe nguvu ueendelee kutupa mawaiza
kiukweli hiliumia sana kwakusinguziwa maana nilichukiwa nakila mtu ila nilimuachia mungu
Mimi ninaasira sana pia na kunamtu nampenda alafu yeye hanitaki alafu nashindwa kukubali Kama sitakiwi so nabaki Kulia tu maisha yangu yote , ila kutokana na video hii nimejifunza kitu
Pole sana,utapata mwingine,Mungu yupo
Bro unagusa uharisia kabisa wa maisha na hakika tunajifunza Sana kutokana na Shule Unayo itoa humu.
Minashukuru mungu nimeweza kuzikabil hisia zote. Nashukur kwakuendelea kutujuza mungu azidi kukubariki kaka
Ujumbe mzuri sana. Nahii nitazingatia sana sababu ukiwa na hasira kali hatakama unazo Biashara unaweza kuzifunga kwa Hasira sikuzote usiamue jambo kwa haraka sana. Inatakiwa kwanza ushushe pumzi Peace Bro
Asante kaka, Mungu akubariki
Dah bro sina la zaidi ktk hisia ya hasira umenigusa kwa kiwango kikubwa sana nashukuru nitajihidi kutozingatia maneno ya wanaonikera naamin 100% nitafanikiwa.
kadri khalfan kabisa utafanikiwa 👏👏👏
Balikiwa sana kaka Joel🙏🏽ni vitu vingi najifunza, na bado nitaendelea kujifunza. Mola akutumze daima kaka🙏🏽. Nimejifunza kitu hapa.
Thanks kaka
Nanauka kinachonitesa Mimi nihisia za mapenzi nashindwa kujizuia kabisa naomba ushauli nifanyaje
Ukiacha hisia zikuendeshe utaishia kufeli #fid_Q quote
UnAweza kukataliwa Leo harafu kesho wale waliokukataa wakakuimbia nyimb0 💪💪💪💪💪💪
Seif Zongo kabisa ndio ukweli wenyewe
Nanuku kutoka kwa moja ya clp yako.Ukichukua kipande cha dhahabu ukakiweka kwenye banda la ngombe kitenyewa na ng'ombe kwa sababu ng'ombe hawajui thamani ya kile kipande cha dhahabu, Nakukubali sana bro Mwenyezi mungu azizidi kukuwezesha.
Thanx sana sana may God bless you bro..!! nimeyapitia mengi ktk hayo kweli najifunza mengi..
Hisia ya tatu,ilinitesa Sana , namshukr Mungu hapa nilipo Sasa
Hatua zote ni nzuri ya kunyamaza ukiwa na Hasira nimeipenda sana Asante sana Ubarikiwe
Exactly ,,,I learn something Broo,
Big up
uzun tu kaka angu sababu daaah najiona kushindwa sanaa ktk maisha yangu
Natamani nipate njia nzuri ya kukuuliza badhi ya maswali muhimu sana yanayonisumbua kwa mda mrefu ila hongera nmekuelewa vzuri sana na umenionyesha kitu kipya leo,Mungu akibariki sana
Shukran brother JESUS bless you
kaka umesema neno zuri,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ni kweli ni vema kutawala hisia,be blessed JOEL
Watu wanapokukataa sio kwamba hauna thaman bado ila bado hawajajua thaman yako. Respect broo
Hatua zote ni muhimu kwakweli, thank u so much teacher Joel.
rahemah Rahemah karibu sana
Hisaia za kusingiziwa, na kuweka watu walinizingizi moyoni.
THANKS NIMEPATA VITU VYA MAANASANA, NILIKUWA NAONGOPA TO STAR SMALL AND TO DO FOR BIG WEL VISION.
Nice points kaka thanx very much hakka ww ulistahili kuwa Tanzania One...Congratulations ming ming ziwe juu yako Ubarikiwe sana
Ably Sonco Ameeen Ahsante sana Namshukuru Mungu
Asante Sana hapo kwenye kukotroo hasira ndio shida niliyokupa nayo
Amekerwa na BOSS anaamua kuacha Kaz,,anaenda kusota hovyo
Nashindwa niseme ni hipi ndo issue sana kwangu ila kwa ayo yote nimejifunza kitu kipya.. Maisha Mema Brother
nilihangaika sana katka kuumia kihisia nilipokua nakataliwa katka uhusiano lakin kuanzia Leo nimejifunza kutokuumia kihisia
Umenibariki sana kwa somo hili niko viwango vingine vyakufika mbali Mungu akupe hekima zaidi
Thanks my brother umenibadilsha Sana mpaka Leo nmeacha kaz nafungua medical clinic yangu ,mungu akubarki sana naomba sku moja nikutembelee ofsn kwako japo spajui ,kwangu ni hisia ya kkataliwa
kelvin ihashe hongera sana kwa hatua,karibu sana ofisini,tuwasiliane 0756-094875
@@joelnanauka ntakuja kka make nakuja hapo dar es Salam kuagza ultrasound China ni kwaajr yako uliwahi kutoka speech zako moja ukasema mkubwa Wa mshahara syo maendeleo nashkru mungu namasave naenda kununua
Anaye kukataa ajajua thamani yako katika maisha,mafanikio yake
Thanks so much you are my life coach am improving my life and learning every day through your RUclips channel I went through rejection na hasira but now I control them Amen 🙏🙏
Hisiya ya kuzingiziwa Joel Mungu anisaidiye nashindwaga kabisa Mungu aniraisishie
Asante sana kaka Joel kwafunzo lako Nzuri Thanks so much Brother
bahatia amani karibu sana,Nafurahi kusikia hivyo
Safi sana,napata findisho kubwa Mwalimu.
Thanks nimejifunza kitu muhimu ubarikiwe sana🤝🤝👍
Hisia za mapenzi either kuachika na kujiona huna thamani sehemu yoyote
nimeomia sana kuhusu kutawala hisia zangu nilishakosa kazi kwahasira chrngine kusingiziwa yaani mpaka leo siongei nahuyo mtu nanimemuacha kwenye kazi aendelee
Allah sw akuzidishie hki.nafatilia
Joel umetufundisha vitu vya point sana hongera
I hisia ya hasira inanisumbua Sana , naitaji msaada wako kaka
Thanks my brother always unaelekeza njia kwa maelezo na somo lako
Kesho nitainuka Tena...wow so nice Brother.... I like the way unavyofikisha ujumbe wako... you talk with all emotions..#..see you at the top
Edson Laurence Mwagamasasi thanks much 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Hatua zote ni muhimu Sana Asante kwa kutuelimisha,Tumejifunza mambo mengi kupitia wewe na yana msingi sana Mungu akubariki sana,
Yani tangu niijue hii account jamani kiukweli najiona nazidii kujifunza mengi ....am proud of you bro......kuanzia Leo nitaweza kuzicontrol hasira zangu.
Ubarikiwe.
kaka nimekuelewa sana na ilo funzo la leo limegusa kabisa maisha yng ngoja nianze kulifanyia kazi
Somo zuri tukutane kipindi kijacho 🙏🙏🙏🙏 ila hisia za huzuni apo umenena braza inabidi tuzingatie sana hii hisia
Yote ambayo umesema joel nayaishi yaani nikikosa ga tenda au nikagundua watu ambao waliniahidi watanisapot nikagundua walikua wananuda ganya moyo wangu hua nahisi Kama unavujia damu kiukweli hua naumia sana
Asante kwa mafundisho mazuri
Shukuran sana kaka Joel, we na kaka Eziden mnatupa motivation sana Mungu awatilie wepesi katika kazi zenu
Hello kaka Joel asante tena kwa elimu nzuri zaidi ya kutujenga, nataka kuwa public speaker, nahitaji mwongozo zaidi kutoka kwako!
Ahsante sana kwa somo safi,keep it up bro
Mungu amekutumia kuniponya ktk haya.asante kaka Nanauka
Ni kweli,wakati mwingine vita nikumuachia mungu apigane nao,hiyo,ya tano,kweli,nichangamoto
hisia za kusingiziwa dah hua cwez kuzivumilia kabisa. thank you kwa somo ntalifanyia kazi
Hisia za Huzuni na Hasira..kuanzia Leo ninasamehe.nimeamua kuwa na Furaha
Gervas Robert safi sana,hongera sanaaa
Asante kaka angu kwa somo lako vizuri ila mm katika namba 2 hiyo nashukuru mungu nimeweza kuitawala
Habau Agway Ameen ahsante sana
kiukweli natamani haya masomo yko wengi wangejoin hii account yko wajifunze nadhan wengi wangebadilika dah Mie nashukuru kuijua hii account ninayomengi yakusimulia na faida nyingi nilizozipata kwa kujifunza masomo yko.
Diana Malingumu thanks Diana,naamini Kadiri Muda unavyoendelea wataifahamu
Habari kaka Joel ukweli nafurahi sana napo sikiliza masomo yako kwani hayaniachi bila kitu mungu akubaliki sana
Asante
Asantee mwalimu
Tupo wengi mpendwa hata mi pia nimefaidika mnoo kwenye maisha yangu
kuna msemo unanitesaga Sana na kunirudisha nyuma "Ng'ombe wa masikini hazaiii"ukweli natoka ktk familia ya kimasikini ingawa najishughurisha kwa biashara ndogo ndogo Ila kuna wakati huondoka hamu ya kufanya kaziii kwa kujiambia siwezi kukuwa kibiashara kwa kuwa mie uzao wa kimasikini
Asee Barikiwa Sana kaka umenisaidia kwenye hisia ya kusingiziwa Mungu nisaidie.
Amina mtumishi
Goat 🐐 🙌 Mr. Nanauka
thks bro Joel nimejifunza kityu
Michael Donasian karibu sana
brother Joel mi sina mengi ila
Mungu akubariki
STEPHEN JONAS Ameen nashukuru sana
Hivi kalibun nimekutana na changamoto ya kusingiziwa asante kwa somo kaka nanauka
Mungu akupe afya njema uzidi kutuelimisha Yani vyote vimenigusa 👏👏👏👏👏
Motivated to write a book,thank you brother Joel Nanauka
Patrick Mwazyunga safi keep it up
Asante
hisia ya kuwa chini hii inanitesa sana nshashindwa namna ya kuitawala kabsa (feeling of being poor) inatesa namna gani ntainuka,
#SeeYouAtTheTopToo
Phanuel Paul pole sana naamini unaishinda
Thanks.. Hasa hapo kwenye kusingiziwa
nakufuatilia vzur bro
Ahsante kwa somo zuri docta🤝
Dah hisia za hasira zimenijaa kwel
Tunashukur sana kwa somo nzuri
Hisiaaaa y kukataliwa na huzuniii nisaider joel
Somo zur sanaa
Thanx bro, somo zuri sana asa kwa sisi vijana maana mambo yote matano yanatutawala kwa wingi
piddy adolph karibu sana tuendleee kushare na wengine pia
Nashukuru sna kaka leo umenijenga kiakili fikra na hisia mungu akubariki sna kaka. #seeyouathetopbro
Thanks a lot Kwa somo lkn hapo pa kusingiziwa dah huwa inauma lkn nachukua mda linapita na naongea nao kawaida lkn moyon ukikumbuka unajipa moyo linapita asante nitazidi kutokujali hii hali asantee
Kukataliwa na Mme wangu
Mafanikio ya mt huambatana na kiwango cha kuhimili hisià źake
Nashukuru sana,,bro Let's keep on nakuelewa sanaa
Barikiwa