Hii ni speech ya kimataifa kaka Joel Nanauka. Hii ni speech inayoamsha akili zote zilizolala. Hii ni speech ambayo ni ya kusikiliza kila siku ya maisha inaamsha hisia na shauku. Hakika umekuwa bora sana kati ya WATU ambao ni bora hapa nchini kuamsha watu na kuhamaska kuchukua hatua. Mungu akubariki sana sana. Ahsante. by JULIUS Michael
Niliwahi kufeli mitihani ya secondary, nikawa narudia kuna baadhi ya ndugu waliniita kilaza😭💔, at the end nimepamba na nitapambana mpk sehemu iliyopiyiliza, na mpk sasa waliojiona wanaakili na waliojiona wanafaa ndio hao hao wanaonitumia text na kuniambia, wananiamini zaidi, hakika Mungu km alikuchagua uwe mkuu utakuwa tuu no matter what 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nashukuru kupita mafundisho Yako kuna mambo mengi sana na ya msingi umenijenga na naendelea kujengwa kupitia mafundisho yako Mungu 26:17 akubariki sana.
Wawoo nilikuwepo iyo siku ,,,sikuwahi kuenda kwenye mkesha na nisinsinzie lkn kwa mara ya kwanza hii siku nilikesha na nilikuelewa kaka angu,,ubarikiwe sana
Dah!!! Hii Speech imenijenga tena na kunitoa machozi!!! Brother Joel Nanauka ninakufuatilia sana miaka mingi now!!! Speech zako zimenibadilishia maisha!!😢💪💪💪 Nilipata nguvu ya kuacha ajira 2019!!! bila kujua nini nitakwenda kufanya, Bt nilijifunza kutoka kwako na niliiamini nafsi yangu kile iliniambia kufanya, Now nimefikia hatua nzuri tu kibiashara💪💪💪 Mungu akutunze sana, na kukubarikia Kila uchao🙏🙏🙏
Ahsante Mungu kwa ujumbe mzuri kupitia mtumishi wako nahisi iyi video ni jibu tosha ya yalio ni sibu mda huu hakika Mungu husema nasi kwa njia nyingi hata huyu, ujumbe ni moja wapo barikia sana kaka Joel.
Mungu kakupa kipawa Cha pekee Kaka umenitoa chin sana katika mafundisho yako mpaka hapa nilipo ni kwa kufwatilia RUclips tu Kaka naomba uandae semina ya kuja Arusha ili nasi tupate kubarikiwa zid🙏🙏🙏🙏
Hakika mimi ninmshindi na malengo yangu yatatimia. Asante sana na Mungu anisaidie. Hakika dunia ni watu na ukiwaangalia watu watakichanganya. Nabadilisha fikra sasa nasonga mbele
Hakika kaka mungu akuinue zaidi ya unavyofikiri hapa nilipo speech yako inaniliza nalia kwa sababu nimependa mnoo hivyo tutaonana juu form to day am the best in this world
Nakuelewa sana kaka Joel... kwa kweli leo nimepata amani hata nafsi yangu imeinuka na nimejiona mimi na ninajiweka ndani yako kaka Joel na kwa uweza wake Mungu nami nitakuwa.

Naomba unicheki
Kuna kitu umeongea kimenigusa
A111
Hongera Sana!!!
Hii comment imenitoa machozi , maana nimekumbuka mbali sana
nimeiskiliza kwa hisia sana hii
Nakataa kufeli, mimi n mshindi kuanzia sasa na kuendelea, Mungu nisaidie nitimize malengo yangu.
Aiseee, nimekupenda bure toka vilindi vya moyo wangu,I wish ungekuwa Kaka yangu,umenifurahisha,umenipa ujasiri,umeniondoa ujinga,zaidi umenipa tumaini jipya,nachoweza kusema Mungu azidi kukutunza
Amen Amen Amen 🙏
Nashukuru kupita mafundisho Yako kuna mambo mengi sana na ya msingi umenijenga na naendelea kujengwa kupitia mafundisho yako Mungu 26:17 akubariki sana.
Wawoo nilikuwepo iyo siku ,,,sikuwahi kuenda kwenye mkesha na nisinsinzie lkn kwa mara ya kwanza hii siku nilikesha na nilikuelewa kaka angu,,ubarikiwe sana
ajionavo mtu nafsini mwake ndivo alivo,uwezi kushindwa kabla ujakubali kushindwa, nimeelewa vizuli shuklan kwa somo zuli Mr nanauka.
Amina, kweli kuna nguvu kubwa ya kukiri kwa kinywa na matendo,by Mithali 18:20-22.
Sawaaaaaa pastor
Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana
Mchungaji Mungu amekubadilisha kiasi kwamba namshangaa Mungu sana
Shukran najikuta mie kabisa
Barikiwaa mnoo, hakika na imani Mimi ni mtu mkubwa sio mda mrefuu🔥🔥🔥kwa jina la YESU kristo 👏👏👏👏
Kina kitu kimechoma moyoni kwa kusikiliza maneno yako bro nakupenda sana na unaniongezea ujasiri wa kusonga mbele
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏
Mungu akuweke miaka 1000 kaka hakika umekuwa baraka sana kila ninavyo kusikiliza kuna kitu nachukua barikiw sana 🙏🙏🙏
Amiin ishalaa nakutakia mema molaa akuzidishie barika maisan mwako ishalaa
Asante San kwa elimu yako father 🙏
Dah!!! Hii Speech imenijenga tena na kunitoa machozi!!! Brother Joel Nanauka ninakufuatilia sana miaka mingi now!!! Speech zako zimenibadilishia maisha!!😢💪💪💪 Nilipata nguvu ya kuacha ajira 2019!!! bila kujua nini nitakwenda kufanya, Bt nilijifunza kutoka kwako na niliiamini nafsi yangu kile iliniambia kufanya, Now nimefikia hatua nzuri tu kibiashara💪💪💪 Mungu akutunze sana, na kukubarikia Kila uchao🙏🙏🙏
Nashukuru kupita mafundisho Yako kuna mambo mengi sana na ya msingi umenijenga na naendelea kujengwak kupita mafundisho yako Mungu akubariki sana.
Ahsante Mungu kwa ujumbe mzuri kupitia mtumishi wako nahisi iyi video ni jibu tosha ya yalio ni sibu mda huu hakika Mungu husema nasi kwa njia nyingi hata huyu, ujumbe ni moja wapo barikia sana kaka Joel.
Ameen,Utukufu kwa Mungu
Nanauka uko bize Sana kuihidumua jamii mungu akubariki
Nimefulahi sana kwa maneno hayo na yameniingia kisawasawa lazima nibadilike sana kimaisha na namini sana ❤
Kweli wewe ni kifaa cha Mungu,, najivunia Sana
"Unainua imani yangu kila wakati brooh!!!! Come on brooh Joel!!! Lini utakuja arusha kwa ajili ya kongamano!!!!tunakungoja pia huku
Mafindisho Yako yanamibariki sana uwepo wako kwangu ni wamhim sana ahsante
Hii ni nzuri zaidi
Mungu awabariki saaana na kukuzidishiya siku za kwishi
Kaka Mungu amekufungulia kutuonesha njia tulio wengi sana. Kilichobàki ni kujisalimisha tu.
Amen ubalikiwe sana
I am glad for you man of God
Asante sana kaka Joel akika naona kuvuka kwa viwango vya juu sana kupitia mafundisho haya.
Stand room
Mungu azidi kukuinua zaidi kaka nimebarikiwa sana
Mungu akuongezee maarifa, nitabadilisha mawazo mabaya, nakataaa kufeli
Hii ni video ambayo imenijengea Kitu Kikubwa sana...na ninapenda Sana Kuisikiliza , Napenda Imani za hivi
Nashukuru Sana🙏
Word....nabadilisha nnavyojiona
Nakupenda sana brother your the best 🇹🇿🙏.
Aminaaaa! Kumb 28:13
Mungu akubariki sana kwa ufunuo unao ufunua ni mkubwa sana kupita maelezo
Ahsante Sana kwa elimu yako kiongozi, bwana akupe nguvu
Najikuta sasa nataka kusikiliza kila unachozungumzia🙏🙏🙏,
You are inspiring me into this field, hope you'll see me at the top where you are 💪
Nakataa kuwa mtu wa chini ❤
Mungu kakupa kipawa Cha pekee Kaka umenitoa chin sana katika mafundisho yako mpaka hapa nilipo ni kwa kufwatilia RUclips tu Kaka naomba uandae semina ya kuja Arusha ili nasi tupate kubarikiwa zid🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana kaka joel kuanzio leo mm ni wa thamani na nitatimiza malengo yangu
Ahsante sana kwa fundisho hili.
Limenitia nguvu sana na nitajibadilisha ninavyojiona.
Akili yangu na maisha yangu vitakuwa na nilivyondani yangu.
j mungu akuinue zaidi namimi niko nyuma yako
Asante sana ,ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.
Amen mtumishi thanks
upo makin sana kaka🎉
Amen god bless you 🙏🙏
Ameeeen barikiwaa sanaa Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Ninasababu Ya Kusema Ahsanteeee Sana Broo Ubarikiwe Sanaaaa. Mwenyezi Mungu Akuinue
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu
Ameen,🙏
Jamaa upo vizuri Sana aisee Kwa mafunzo
Nakupenda sana maneno yako Kaka mungu ataniongoza siku zote za maisha yangu
Kaka Joel video zako zinanujenga sana mungu akubarik sana
Asante sana ubarikiwe na Mungu
Wow the God of mercy is working
Unanibariki sana kaka Joel.Mungu aendelee Kuku bariki
Bwana akuongezee maarifa zaidii,Asnte sana wanoa vichwa vya wengi broo
😢😢😢😢Barikiwa sana mpendwa hakika nmejifunza mno😢
Ubarikiwe sana Joel ww n Lulu ya Tanzania najifunza mengi juu yako
Hakika mimi ninmshindi na malengo yangu yatatimia. Asante sana na Mungu anisaidie. Hakika dunia ni watu na ukiwaangalia watu watakichanganya. Nabadilisha fikra sasa nasonga mbele
Na ww umefatilia hiki kipind leo km mm hakika tutafanikiwa
Kaka joel kwakweli MUNGU akubariki sana kwa mafundisho mazuri unayotupa
Ameen Bariki
Amina mtumishi neno LA Leo linaenda kubadilisha maisha yangu ubarikiwe sana
Nitapata vip hiki kitabu
Kazi nzuri sana kaka asante
Nashukulu sanaa mungu aniwezeshe lakini mungu akupe maisha marefu
Am the Head nt atail in Jesus name na jitangazia ngambo ya pili
Ameen nabarikiwa zaidi kaka
Holy Spirit Amen 🙏🏼
Asante sana mwalimu Joel, God Bless YOU, Amen 🙏🏼
Nataka kuwa mtu mkubwa katika hii dunia hii nanauka mungu akubariki sana
Mafundisho yako yananisaidia sana Asante.
Hakika kaka mungu akuinue zaidi ya unavyofikiri hapa nilipo speech yako inaniliza nalia kwa sababu nimependa mnoo hivyo tutaonana juu form to day am the best in this world
Shukrani sana kaka Joel Nanauka! Umeniinua hatua nyingine.
Dah! Nimekusikiliza nikajiona mimi ni shujaa sana,n frm today am a billionaire girl
Joel your among best motive speakers I have seen
Help me your nomber plz..
Nakuelewa sana kaka Joel... kwa kweli leo nimepata amani hata nafsi yangu imeinuka na nimejiona mimi na ninajiweka ndani yako kaka Joel na kwa uweza wake Mungu nami nitakuwa.
Ubarikiwe sana mwl
hpna hii inataka kuntoa machozi kabisa daaaahhhh mwenyeazi MUNGU akuweke Mr joel
Amen,Songa mbele
Asante sana kaka joeli na mungu azidi kukubarik na ulioyasema yaendelee kukaa ndani ya moyo ili niendele kuwa na miutisha katika kutimiza ndoto zangu
Asant sana Kaka mungu akubariki umenivusha Mahalia.
Wow am changing my mind to more postive....groly be to GOD
Shukran kaka. Mm umeniinua kimawazo maàna nais mawazo!!!!
Amen, Ahsante Sana
Nitafaulu,sitaaibika,mi ni mshindi na mwenye nguvu
Unanibariki mwanangu nakosa changusema
Ubarikiwe Sana,Nimejifunza kitu🙏
Barikiwa uwe na maisha marefu
Aminaaaaaa baba❤❤❤
I love this person because he is only my rolemodel to my life. Godbless him
Mungu aliyeumba mbingu na nchi aendelee kukutunza
Mungu akubariki Sana kaka
Be blessed. Amen🙏🙏
Kaka asanteeee ubarkiwee
huyu jamaa alistahili kuwa mchungaji mwema kabisa , hongera kaka nakukubali sana
Asante sana kaka mungu akubariki kwa elimu hii.
Nnanauka mungu akujalie malsha marefu
MUNGU akutunze saana
Ameen
Ahsante mwalimu
Nimebarikiwa na hili neno kwa kweli.. ubarikiwe na MUNGU