Tunakuombea sana pr Uishi maisha marefu ili uzdi kufundsha watu ukweli wa kumjifunza Huyu Mfarume Ajae kwa mala ya pli Ahsantee Barikiwa Mtumishi wa Bwana
Amina mtumish lakn nimegundua na ww bad unahubili kuhusu makansa hususana roman cathorik kumbuka kila mtu ana Iman yake so usiwasemee na wap wanajua ila wameamn ilivo hivo samahan sio kwa Nia mbaya lakn
Barikiwa Sana Pastor Ila Ninazo namba zako Mara Nyingi natuma msg Wathap kwa bahati mbaya Sana hazijibiwi nilikuwa naomba msaada kidogo kidogo katika eneo fulani.
#Mchungaji Mmbanga umeguza kuhusu inverted cross, ati wanadhihaki Kristo, je, SDA logo nayo iko na maana gani kwanza sababu ukiangalia huo msalamba ni inverted umejificha😢😢tufanyeje sasa
Leo na barikiwa ila nina ulizo vile vile Je kenye imani yetu yawa sabato kuna Betera yawa J. A ambayo ndaniyake pana iso alama za munyama naitaji pasta uniweke wazi na izo alama za vitambaha ya wa J. A Mbon kuna mufano wa piramide????
Hiyo bendera ya israel ni ya nn soma ufunuo 3:9 hata wateule watadanganywa toa hiyo bendera humo hao waisrael walilaaniwa wakanyang'anywa ufalme matayo 21:43 usipotoa we ni mpinga kristo
Amen Bwana azidi kukutumia kuueleza umati habarinjema ya ufalme uwena moyo mkuu Mungu hatakuacha kamwe
Tunakuombea sana pr Uishi maisha marefu ili uzdi kufundsha watu ukweli wa kumjifunza Huyu Mfarume Ajae kwa mala ya pli Ahsantee Barikiwa Mtumishi wa Bwana
Mungu atuzidishiye roho mtakatifu, bila roho mtakatifu atuwezi lolote
Asante sana mchungaji nimesaidiwa sana Kwa mafunuo mazito Mungu atusaidiye
Amina mungu atukuzwe milele zote ubarikiwe pasta mmbaga
Pastor,,asante sana kwa somo hili . Unabii inabidi utiliwe mkazo sana kipindi hiki cha zama za mwisho
Amen hakika mungu akubariki pastor Kwa mafundisho mazuri
Glory be to God Almighty.what a great revelation!!!.... Amen 🙏🙏🙏
Barikiwa mtu wa mung
Amina mtumish lakn nimegundua na ww bad unahubili kuhusu makansa hususana roman cathorik kumbuka kila mtu ana Iman yake so usiwasemee na wap wanajua ila wameamn ilivo hivo samahan sio kwa Nia mbaya lakn
Lakini acha ukweli asemwe. Je unaamini katika wokovu wa Kristo Yesu juu ya ondoleo la dhambi?
Ameen barikiwa sna mutumishi kw ujumbe huu muzito sana lkn unafundisha mengi asnte sana🎉
Amen. Blessings pastor Mmbaga
Barikiwa mtumishi kwa kuwafunulia watu kweli ya MUNGU.
asante yesu kwa kuiona nuru
Mungu tusaidiye baba yangu tu ishinde dunia
Amen!
Mungu akulinde pst
Amina..
Barikiwa Sana Pastor Ila Ninazo namba zako Mara Nyingi natuma msg Wathap kwa bahati mbaya Sana hazijibiwi nilikuwa naomba msaada kidogo kidogo katika eneo fulani.
Naomba utueleze kama waliohaki Tv zako wamerudisha tukusifie maana tulipata hofu❤
#Mchungaji Mmbanga umeguza kuhusu inverted cross, ati wanadhihaki Kristo, je, SDA logo nayo iko na maana gani kwanza sababu ukiangalia huo msalamba ni inverted umejificha😢😢tufanyeje sasa
Amina
The gmail is supposed to look blue
Haifanani na Gmail tu inafanana pia na bahasha
Amina mtumishi,kwani channel ilihakiwa,ju ile ilikua na more than 200k subscribers
Leo na barikiwa ila nina ulizo vile vile
Je kenye imani yetu yawa sabato kuna
Betera yawa J. A ambayo ndaniyake pana iso alama za munyama naitaji pasta uniweke wazi na izo alama za vitambaha ya wa J. A
Mbon kuna mufano wa piramide????
Pastor Mmbaga is this ur channel i know na how comes only 1k subscribers?????
Yes! It is our second and backup chanel
Hiyo bendera ya israel ni ya nn soma ufunuo 3:9 hata wateule watadanganywa toa hiyo bendera humo hao waisrael walilaaniwa wakanyang'anywa ufalme matayo 21:43 usipotoa we ni mpinga kristo
Pole! Ungeuliza ujibiwe. Hilo ni kanisa la Baptist ambalo Mchungaji ali alialikwa,hivyo vitu alivikuta hapo.
#Erik, mwenye hekma huchunguza kwanza kuliko mpumbavu mwenye maneno meeeengi akijiona mweye haki kuliko wengine.
Jina la BWANA libarikiwe.
Unachocoment hakisomeki Daniel.
@@stellamariki6852 nimerekebisha stella.