Barikiwa mtumishi wa Mungu unatutia moyo sana haswa nyakati ngumu mimi huwa nakimbilia masomo yako mana nitakutana na nguvu mpya, mana kwa hakika kuna wakati hata biblia huwwzi kusoma na kuomba unaishia kulia hujui hata useme nini maneno yanaisha, endelea kunikumbuka kwenye maombi yako 🙏
Mchungaji Mmbaga umenisaidia sana katika maisha yangu.. nimeona umuhimu wa mafundisho yako hasa maombi ya ulinzi na kujikabidhi mikononi mwa Mungu kabla ya kuanza siku. Nimeona miujiza na ujasiri katika kazi zangu. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Namshukuru sana Mungu kwa mengi aliyonitendea ndani ya familia kwa mwaka 2023 na 2024 Mama yangu aliugua na hata kupata ulemavu ila namshuduia Bwana yesu ameweka ulinzi juuh yake na kumponya had leo namshukuru sana Mungu kwa jambo hilo pia ulinzi ndan ya familia yangu na mim mwenyew 🙏 🙏 🙏
I was almost differing my university studies when I was in second year ...but God gave me a good work that us enabled me to pay fee and other arrears until now I'm in my fourth year of study se...I love good with my whole heart ❤️ 😊 for his support and care upon my education journey. And many more life breakthrough. Amen
MUNGU nijalie nipate kazi, nitoe kwenye hivi vifungo vya maisha vinavyonikabili, ninakushikuru kwasababu mimi ni mpya sana na najivunia kuwa mtoto wako katika jina la YESU Amen🙏
Hakika somo hili limenipa ujasili wa kimungu kwani kila jaribu ninalopitia mungu analijua kwani kupitia hilo jaribu hufanya njia ya kuliondoa, barakiwa sana mtumishi
Maisha yake yabadilike akamjue mungu kwa namna ya pekee naomba afunguliwe maisha yake pia mungu aweke uweza katika kichwa chake amfundishe namna ya kuomba
Mungu anisaidie, nimekuwa yatima tangu Mdogo Sana, familia yangu wote walikufa ,lkn mpaka Leo bado ni mpweke , nimekuwa mkubwa lkn bado najiskia yatima Sina mume ninalea mtoto wangu pekeyangu, sitegemei msaada popote,
Pastor for sure kupitia mahubiri haya ijapo mtoto wangu alichomekewa vitu kwa nyumba namshukuru huyu mungu kwa kumweka awe hai pamoja na watoto wake,ubarikiwe sana
Ujumbe mzuri sana Pr. Mungu wetu ni mwema sana kwetu. Hutulinda dhidi ya hatari mbali mbali hata mimi anaendelea kuniokoa ktk ugonjwa. Nazidi kung’ang’ania nikiamini ataniponya.
Amen.. Mungu akutunze Paster ile hofu nilokuwa nayo imeondoka week hii naenda kwenye chumba cha operation nilikuwa naogopa sanaa . Baada ya kusikiliza ibada hii imeondoa hofu yangu yote .
Mungu akubariki sana kwa kututiya moyo kupitiya mafundisho haya yanayo tutiya moyo. Mimi binafsi napitiya changamoto na wakati mgumu maishani.Na nimehangaisha mafikiri yangu huku na huku nikitafuta msaada lakini nafurahiya sana kusikiya asubui hii kama kwa Mungu tu ndiko kunakuwa usalama. Naanza tangu sasa kujisalimisha kwa Mungu ili yeye mwenyewe aongoze maisha yangu. Alinde familia yangu na atuokoe na majanga tunayo yapitiya. Anipe nguvu ya kusona Zaburi hiyi ya 91 kila wakati ninapo pitiya wakati mgumu maishani. Anipe mwisho muzuri kuliko mwanzo.
Asante sana pastor kwa mahubiri matamu,niomba uombee ndoa yangu napitia changamoto mingi pastor,pia mtoto wangu mmoja amekohoa kwa mda mrefu akipimwa hakuna kitu kinaoneka nitashukuru barikiwe sana.
Pastor mdogo wangu Benjamin John anapitia changamoto kubwa ya maisha ,unafanya kazi [ni nesi mwenye degree) akipokea mshahara anachezea kamali hela yote anakosa hata hela ya kuna ana familia ya mke na watoto wadogo 2 mapacha wanakosa chakula na pesa ya mahitaji,mbaya zaidi ana madeni mengi sana kwenye bank tofauti tofauti, microfinance tofauti tofauti na watu Binafsi mbali mbali ,pastor naomba maombi yako juu ya hili
Mungu niinue kiuchumi katika biashara yangu kwa kunipatia wateja wengi sanaa ili kupitia biashara hii niweze kukutumikia wewe, Mungu imarisha ulinzi,,,na uondoe maagano na minyororo yote yaliyowekwa juu yangu.
Bonge la speech ever ever nina hakika ni Roho mtakatifu anaongea juu yake....yaani nimeamka moyo wangu ukasema msikilize uyu leo Kifaranga usilalamikie maji yanapita chini ukasahau mvua kubwa iliyozuiliwa na mbawa za mama❤❤❤❤❤
Amina pst niombee atima yangu ufike pia nipate kibari naweza pata kibari Cha Cha kupewa Kaz ikiisha pesa spewing na mm nimeokoka naona siwez kufanya vulugu nazan kibari niombee kibari watu kabla ya Kaz wananifurahia Kaz ikiisha awanipend kwenye pesa spat niombee
Barikiwa mtumishi wa Mungu unatutia moyo sana haswa nyakati ngumu mimi huwa nakimbilia masomo yako mana nitakutana na nguvu mpya, mana kwa hakika kuna wakati hata biblia huwwzi kusoma na kuomba unaishia kulia hujui hata useme nini maneno yanaisha, endelea kunikumbuka kwenye maombi yako 🙏
Amen
Naelewa sana masomo yako mchungaji barikiwa
Mchungaji Mmbaga umenisaidia sana katika maisha yangu.. nimeona umuhimu wa mafundisho yako hasa maombi ya ulinzi na kujikabidhi mikononi mwa Mungu kabla ya kuanza siku. Nimeona miujiza na ujasiri katika kazi zangu. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Naomba Mungu amponye mwanangu Jack Mwaipopo figo na gas
Mungu azidi kukubariki mchungaji naomba uiombee familia yangu kwa machanga na magonjwa yanayotusumbua,mahubiri yako yanaendelea kututia moyo.
Nashukuru mno kwa mahubiri yako. Yamenigusa sana. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Namshukuru sana Mungu kwa mengi aliyonitendea ndani ya familia kwa mwaka 2023 na 2024 Mama yangu aliugua na hata kupata ulemavu ila namshuduia Bwana yesu ameweka ulinzi juuh yake na kumponya had leo namshukuru sana Mungu kwa jambo hilo pia ulinzi ndan ya familia yangu na mim mwenyew 🙏 🙏 🙏
Just in time message.be blessed.You are one of my mentors for quite some time and I thank God for you.Mungu akulinde na familia pia. Amen
Pastor nashukuru kwa mafudisho ya kipekee nabarikiwa sana naona mabadiriko katika maisha yangu mungu asifiwe
Asante muchungaji kwa SoMo nzuri. Uniombeye mungu anipe mwicho muzuri kiloko mwanza
Mchungaji Mungu akubariki sana yaani unanipa nguvu mpya napitia magumu ila masomo yako hakika yananipa nguvu
I was almost differing my university studies when I was in second year ...but God gave me a good work that us enabled me to pay fee and other arrears until now I'm in my fourth year of study se...I love good with my whole heart ❤️ 😊 for his support and care upon my education journey. And many more life breakthrough. Amen
Muchungaji, Mungu akuzidishiye nguvu ya kumutumikiya na azidi kuku funuliya maneno yake mingi
Barikiwa sana pr binafisi mahubiri Yako hunitia nguvu daima
MUNGU nijalie nipate kazi, nitoe kwenye hivi vifungo vya maisha vinavyonikabili, ninakushikuru kwasababu mimi ni mpya sana na najivunia kuwa mtoto wako katika jina la YESU Amen🙏
Mungu mchungaji anakutumia kufungua vifungo vya watu dhidi ya shetani Mungu akubariki Sana tunatiwa nguvu sana
Naomba Mungu anipe mwisho mzuri na fanmilia yangu yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Mungu akupe mwisho mzuri na familia yako yote Amen🙏🏼
Hakika somo hili limenipa ujasili wa kimungu kwani kila jaribu ninalopitia mungu analijua kwani kupitia hilo jaribu hufanya njia ya kuliondoa, barakiwa sana mtumishi
Amena libarikiwe jina la bwana yesu christo kwa upendo
wake
Unifundisha hiyo zab nimepata wokovu mkubwa moyoni mwangu
Asante sana.
Maisha yake yabadilike akamjue mungu kwa namna ya pekee naomba afunguliwe maisha yake pia mungu aweke uweza katika kichwa chake amfundishe namna ya kuomba
Mungu akubariki sana mchungaji.
Amina barikiwa Saana Pr
Asante kwa maombi yako. Mungu nisaidie nisiangamie mimi watoto wangu. Ulinzi wa KiMungu uwe juu yetu. Barikiwa mch. Kwa mafundisho
Amina nabarikiwa na mahubiri nashkuru Mungu kwa yale aliyonitendea.kuna siku Mungu alijibu ombi langu mpaka nikaona natoka machozi
Thank you so much God bless you
Mungu anisaidie, nimekuwa yatima tangu Mdogo Sana, familia yangu wote walikufa ,lkn mpaka Leo bado ni mpweke , nimekuwa mkubwa lkn bado najiskia yatima Sina mume ninalea mtoto wangu pekeyangu, sitegemei msaada popote,
Asante kwa hili som mchungaji
Amen asanti sana mchungaji mbaga ..nabarikiwa sana nikiwa Dubai mungu akubariki
Mtumishi asante sana,haya mahubiri yamenifungua sana Mungu akubariki na aendelee kukutumia ili tuzidi kupona
Pastor for sure kupitia mahubiri haya ijapo mtoto wangu alichomekewa vitu kwa nyumba namshukuru huyu mungu kwa kumweka awe hai pamoja na watoto wake,ubarikiwe sana
Barikiwa sana mchungaji pia unanibariki aswaa
Amen 🙏 🙏 🙏 ubarikiwe sana
Mchungaji naomba Mungu asidie sana familia yangu kila tukipanga latiba za ibaada atutimizi latiba,naomba Mungu aingilie kati yetu
Asante kwa somo zuri mchungaji ubariliwe sana
Ujumbe mzuri sana Pr. Mungu wetu ni mwema sana kwetu. Hutulinda dhidi ya hatari mbali mbali hata mimi anaendelea kuniokoa ktk ugonjwa. Nazidi kung’ang’ania nikiamini ataniponya.
Nimetumia mafundisho yako unayo tufundisha hakika muujiza mkuu naona nimepiga hatua sana yesu akutunze kwaajili yetu
Thanks for your prayey
Tangu unifundishe, ninasoma Zaburi kila siku. Ni Raha Sana, kuamini ahadi za Mungu❤
Ameeen napokea mahitaji yangu
Hello pastor please pray for my financial freedom and God to brake the spirit of poverty in me .thank you
Asante sana ,Mch .Mmbaga. Tunakuombea daima ,wewe ,familia na team nzima ya Mahubiri Tv
Amen pastor Mmbaga,matumaini yangu yataendelea kipindi tanuru linawska moto,nimejifunza kumshukuru Mungu
A m so blessed pastor u are my mentor everytime I listen to the msg of God through u may u b a blessing to many souls with ur family b blessed 🙏
Amen.. Mungu akutunze Paster ile hofu nilokuwa nayo imeondoka week hii naenda kwenye chumba cha operation nilikuwa naogopa sanaa . Baada ya kusikiliza ibada hii imeondoa hofu yangu yote .
Naomba baraka kwenye ndoa za watoto wangu.
Kila wakati nikingia kwenye mawazo unanipea nguvu sana mtumishi, nimejifunza mengi sana,be blessed 🙏🙏
Mtumishi naomba maombi yako nipone maradhi yangu naamini MUNGU atatenda. Kupitia wewe amina 🙏🙏
Barikiwa pastor kwa mafunzo mazuri
God bless you pastor 👏🙏
Amina. Somo ni nzuri limenibariki.Naendelea kufatilia masomo yako
Amina, Mchungaji Barikiwa sana kwa kazi njema. Unanibariki sana
Amina sanaaaa, mimi nimkatoriki ila huwa nabarikiwa sana namahubiri yako
Ubarikiwe sana pastor.
Mungu akubariki na familia yako ibarikiwe🙏
Pasta mungu akubariki sana kwa kazi yote umetenda
Mungu akubariki sana kwa kututiya moyo kupitiya mafundisho haya yanayo tutiya moyo. Mimi binafsi napitiya changamoto na wakati mgumu maishani.Na nimehangaisha mafikiri yangu huku na huku nikitafuta msaada lakini nafurahiya sana kusikiya asubui hii kama kwa Mungu tu ndiko kunakuwa usalama. Naanza tangu sasa kujisalimisha kwa Mungu ili yeye mwenyewe aongoze maisha yangu. Alinde familia yangu na atuokoe na majanga tunayo yapitiya. Anipe nguvu ya kusona Zaburi hiyi ya 91 kila wakati ninapo pitiya wakati mgumu maishani. Anipe mwisho muzuri kuliko mwanzo.
Amen 🙏 🎉
Mwenyezi Mungu azidi kukutumia na kukubariki kwa ajili ya watu wake. This is very powerful.
Ahsante umenijenga Kwa Imani nitakuwa chiñi ya mkono wa Mungu
Mungu ninaomba unikumbatie mimi, watoto wangu na familia yangu yote ktk ulinzi wako!! Unisaidie na kunitia nguvu na ujasiri ktk kazi yangu!! Ameeen
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
Asante sana pastor kwa mahubiri matamu,niomba uombee ndoa yangu napitia changamoto mingi pastor,pia mtoto wangu mmoja amekohoa kwa mda mrefu akipimwa hakuna kitu kinaoneka nitashukuru barikiwe sana.
Bwana Mungu aibariki ndoa yako na pia amesha mponya mtoto wako AMEN 🙏🏽
Amen. Mungu nilinde.na familia yangu kila iitwapo Leo
Naomba roho ya madeni na oma zinitoke kwa jina la yesu Amina🙏
Asante sana Mungu kwa Mtumishi wako.asante Mtumishi kwa mafundinzo.
Naomba Mungu anipe amani ya moyo na uchumi leo nipate pesa niifanye kazi ya Mungu. Amen
Asante sana pastor kwa mahubili mazuri nikiomba naishiwa nguvu.
Barikiwa mtumishi , hicho kitabu nilipewa kupitia Kwa ndoto nilipogonjeka Sana sijawahi kusahau venye nilikua nakisoma kila wakati
Amina mtumishi nabarikiwa sana na mahubiri yako
Pastor mdogo wangu Benjamin John anapitia changamoto kubwa ya maisha ,unafanya kazi [ni nesi mwenye degree) akipokea mshahara anachezea kamali hela yote anakosa hata hela ya kuna ana familia ya mke na watoto wadogo 2 mapacha wanakosa chakula na pesa ya mahitaji,mbaya zaidi ana madeni mengi sana kwenye bank tofauti tofauti, microfinance tofauti tofauti na watu Binafsi mbali mbali ,pastor naomba maombi yako juu ya hili
Asante mtumishi wa Mungu ,nimeondolewa hofu na Mungu aendelee kukutia nguvu tunabarikiwa sana namahubiri yako
Mungu niinue kiuchumi katika biashara yangu kwa kunipatia wateja wengi sanaa ili kupitia biashara hii niweze kukutumikia wewe,
Mungu imarisha ulinzi,,,na uondoe maagano na minyororo yote yaliyowekwa juu yangu.
Amen,🙏🙏
Asante mchungaji naamini kweli Mungu ananitetea sana hata kwenye mauti dhidi watoto wangu somo hili lina tia nguvu kumtumainia Mungu wetu
Mchungaji barikiwa kwa masomo yako.
Amen Amen Amen
Aksante sana mchungaji
Moto waMUNGU ufunike busines,watoto ... nimepokeya kwa jina la yesu
Mungu akubariki mtumishi wa Bwana
Nimejaribu kusikiliza mahubiri yako kila siku kweli mungu ako nawe nabarikiwa sana sana mtumishi.barikiwa.
Barikiwa na mungu asi ku acilie kwa ajili ya utukufu wake. Tuna kufwata ku tokea drc .
Bwana ni mwema sana nina ushuhuda mwingi sana juu ya mungu mkuu amenitendea makuu mno
Amina mchungaji naomba uniombee familia yangu inasumbuliwa na nguvu za Giza
Mtumishi wa mungu endelea kutuongoza na kutuombea sisi tunaonewa utuombehe
Mungu Mwenyezi waupendo akuzidishiw Roho ya ufafanuzi
Katika jina la yesu kristo alie hai
Bonge la speech ever ever nina hakika ni Roho mtakatifu anaongea juu yake....yaani nimeamka moyo wangu ukasema msikilize uyu leo
Kifaranga usilalamikie maji yanapita chini ukasahau mvua kubwa iliyozuiliwa na mbawa za mama❤❤❤❤❤
Ee Bwana ninakushukuru kwa Neno lako ninakuomba umwokoe kijana wangu Robert katika ulevi. Mungu umbariki Mchungaji wetu
Mungu akuinue sana mch mmbaga
Amen amen My pastor God bless you abundantly
Mchungaji Mungu akubariki kwa somo nzuri
Barikiwa Mchungaji, nami nikumbuke katika maombi.
MCHUNGAJI Mbaga Asante sana nazidi kubarikiwa na kuwa na natumaini ninapopitia changamoto maana unafundisha masomo ya kututia tumaini🙏🙏
Amen pastor Mungu akuongezeye zaidi.
Amen, Mchungaji natamani kuwasiliana na wewe lakini nakosa njia rahisi nifanyaje, barikiwa sana kwa Mahubiri/mafunzo Maziri
Barikiwa sana Baba yetu, ni ukweli usiopingika tunaponywa hata kwa kusikia mahubiri yako Kubwa naomba kupata mwongozo wa namna ya kupata vitabu vyako.
Amina pst niombee atima yangu ufike pia nipate kibari naweza pata kibari Cha Cha kupewa Kaz ikiisha pesa spewing na mm nimeokoka naona siwez kufanya vulugu nazan kibari niombee kibari watu kabla ya Kaz wananifurahia Kaz ikiisha awanipend kwenye pesa spat niombee
Mungu akubariki kwaneno nzuri ambalolimetufunzamengi
Pr, mungu mwenyezi akubariki kwa maubili yako. Muombee mdogo wangu. Ameota anachomwa kisu, ubavuni mwa mikono wake wa kushoto. Na Sasa ni mgonjwa.
Asante tumishi wa Mungu kwa kuendelea kutulisha chakula kitamu cha kiroho
Naomba Mungu uniponye magonjwa yote yanayosumbua . Amen
Asante pr kwa somo nzuri MuNGU awe pamoja nasj
Amen mtumishi ubarikiwe Sana 🙏🙏