Mchungaji ubarikiwe maana tunazidi ku neemika kupitia neno lako, ila ninalo swali moja Mchungaji wangu Kuna tofauti gani kati ya WATU NA BINADAMU? Maana ukiongea hiyo kauli huwa inanichanganya
Ndio maana linaitwa pambano kuu, shetani yuko vitani kuvuna Wake na Mungu wetu Ni Mungu asieeelezeka, kuna maswali hatutakuja pata majibu mpaka Yesu arudi. Jukumu letu Ni kumuamina na kumsujudia
Amina Baba Mungu akubariki Sana kwa mafundisho .
Nakuelewa sana pastar naomba niombee mtumishi wa Mungu ndo nimeanza huduma napitia magum sana kwenye huduma hata lango la huduma limefungwa
Amina pasta nabarikiwa sana na mafundisho
Pastor mbaga mimi nakuelewa sana
Mungu aturehemu
Amen
Mungu akubariki kwa mafundisho ya hekima Mungu aendelee kukumia
Amen ninabarikiwa sana na mahubiri haya
Ameen Ameen
Amen,Mungu atuhurumie sana
Mungu tusaidie na tupatie nguvu kuliishi hili somo
Amina 🙏
Amina
Barikiwa sana PR Mbaga
Ni kweli pastar uyo mwombasa alichimba ata visima vya maji kwa mskin naw ye nguvu
Amen
Amen
Nimebarikwa pastor,pray for my family
Amina sana
Hapo keenye WiFi nisaidie kwa maombi nice na limit kwenye shughili zingine kwenye Internet
Mchungaji ubarikiwe maana tunazidi ku neemika kupitia neno lako, ila ninalo swali moja Mchungaji wangu
Kuna tofauti gani kati ya WATU NA BINADAMU? Maana ukiongea hiyo kauli huwa inanichanganya
Ikiwa shetani aliharibu huko mbinguni na MUNGU akaamua kumuondoa huko kwann tena MUNGU anarudi kufanya nae majadiliano ??
Swali zuri sana
Kuna maswali hayauliziki, hayajibiki,mbona uyaulizee????
Ndio maana linaitwa pambano kuu, shetani yuko vitani kuvuna Wake na Mungu wetu Ni Mungu asieeelezeka, kuna maswali hatutakuja pata majibu mpaka Yesu arudi. Jukumu letu Ni kumuamina na kumsujudia
Amen