Pst Mmbaga mara ni muda sasa nafuatilia clips zako nimekiri na nimekubali kubatizwa nipo MOROGORO Mungu akutunze uishi miaka mingi ili uendelee kuongoa roho za watu.Amen!!!
The truth pastor aki I my self I was looking for help for many years and I go into wrong hands for many years and I have be no peace until I meet this channel God bless you pastor because you saw has the method to go out
Aante Baba Mchungaji, siku hizi wachawi wako wazi makanisani 😱 Mungu aturehemu kwa pend lake, nami naomba Mungu anisaidie oote nitakapopanyaga nijenge madhabahu
Amina,somo lako lanijenga sana,wakati niko chini nainuka tena,ila mamangu mzazi amekua wa madeni hadi natamani kaa baba angelikua angelizuia haya yote,imefika mahali tumuona amekua burden kwa familia na akiulizwa aongei pesa yuafanyia nn yuanza kulia na kusema apangiwe vitu zake aende na wa 50 sasa.please ur prayers is needed to our family,imefika mahali hata mawasiliano na yye,in short nimechoka mambo yke
Mwalimu nimepata kitu, mda mwingi nilikuwa nakufuata ila kuna mda niliona kama kuchoka ivi,lakini tena nimejisikia nguvu mpia za kukufuata na kusoma biblia, naomba pia msahada wako wa maombi and aendelee kunimili Mungu.
Pastor nina shida kama hilo somo nifanye nn nimemkubali yesu lkn bado matatizo yananiandama roho nisizo zielewa wakati mwingine nashindwa kufanya huduma ya mungu
SIKILIZA TENA KWA MAKINI. SIDHANI KUNA ULAZIMA WA SADAKA,SADAKA YA DAMU YA YESU INATOSHA. ILA KAMA UKISUKUMWA MOYONI KUTOA SADAKA KWA KUPENDA FANYA HIVYO
Nilikupigia juzi huku pokea nilitaka kuuliza hivi Mwanzoni mwa biblia tulisoma kwamba adam na eva walimzaa cain na abel ..... Alaf cain akamuua abel alafu Mungu akamwambia roho ya mdogo wako inakulilia alafu baadae cain akawa na wasiwasi alafu Mungu akamwambia kwamba nitakuwekea alama kwenye paji ya uso wako ili wale watu wasije wakakuua sasa pastor ndo mwanzo wa biblia wale watu walitoka wapi?
Amina ,jina la Bwana litukuzwe, Asante mjumbe wa Mungu barikiwa sana na neema yake izidi kukuzungukana familia yako na wana mahubiri tv
Pst Mmbaga mara ni muda sasa nafuatilia clips zako nimekiri na nimekubali kubatizwa nipo MOROGORO Mungu akutunze uishi miaka mingi ili uendelee kuongoa roho za watu.Amen!!!
Amen! Tafuta kanisa letu hapo ujitambulishe
ukitaka kuongea na mtumish
2021
Pastor anaeleweka sana
Thank you pastor for the encouragement against evil powers
God is doing miracles for His children
Thanks pastor, you have helped me seriously God bless you abundantly
Thanks for powerful sermon pastor am watching from gulf may God bless u for more $me also to break all evil spirit in Jesus name 🙏
Amen
Amen pastor nimejifunza kitu kwenye hili somo mungu akubariki
The truth pastor aki I my self I was looking for help for many years and I go into wrong hands for many years and I have be no peace until I meet this channel God bless you pastor because you saw has the method to go out
Amen
Amen
Amen pastor nabarikiwa na somo lako
Amen amen mchungaji, barikiwa sana Kwa mafunzo yako ,Kwa hakika Mungu anakutumia ili tuone Nuru na kufunguliwa🙏🙏🙏
Thanks pastor. May God continue to use you in his vineyard.
Asante sana mutumishi wacha Mungu azidi kukubariki mafunzo yàko yamenisaidia sana
Bwana asifiwe, nashkuru kwa mawaitha ya leo na mungu akubariki sana ,naona nimefunguliwa kwa jina la yesu
Amen
Amen fundisho nzuri sana nashukuru Mungu jinsi anavyokutumia unatuelimisha na tunakuwa huru katika jina la Yesu Kristo barikiwa sana Pastor
Amen
Amen
Katika vizazi vyote Bwana hujiinulia watu Kwa ajili yake mwenyewe; Tumika Kwa wakati wako, Pr. David!
Ihv realized my weakness, thank you pastor, God forgive me, give me strength to serve you my almighty
⁰
Mchungaji kwakweli inatakiwakuomba maombi yakuwa naujasili kunasiku niliingia kwenye mfungo sasa nikiwakwenyemaombi yausiku kunakitu kilianguka pembeni mwaukuta wanyumba kwaupande wanje nilifunguamacho mwiliwote unasisimka uso unasisimka hataliii nikaanzakukemea kwanguvu yaani baadaesana nikapatakuomba kwaujasili kweli tokahapo Namshukulu Mungusana kwamafundishoyako mazuli kwakweli naombakila anaesikia mahubili haya kwakweli Neno huja kwakusikia nakuutendea kazi ujumbe huu muhim utakufaa sana muumini nayeyote anaeusikia🎉🎉❤
Ameen. Ahsante kwa somo zuri. Nimebarikiwa na ninaendelea kufuatilia mafundisho yako yote. Barikiwa Pr.
Amen amen am soo blessed nice courageous and powerful message God bless you pastor
Aante Baba Mchungaji, siku hizi wachawi wako wazi makanisani 😱 Mungu aturehemu kwa pend lake, nami naomba Mungu anisaidie oote nitakapopanyaga nijenge madhabahu
Nimebarikiwa sana pastor.....be blessed 🙌
Hayo mambo ya mizim yanawatesa watu wengi sana mchungaj asante sana kwa kutupatia ujasili
Barikiwa pastor from kenya working in Saudi Arabia
Barikiwa sana mtumishi
Mafunzo bora zaidi....be blessed servant of God...lakini nimecheka kwa "Wangapi hawaelewi"
Amen following from 🇰🇪
Ubarikiwe pastor.
Hili somo lalenga maisha yangu kabisa coz nilinunua ardhi nikaadza msingi na nikakwama since 2018 hadi leo.
Mungu akuinue n kukubariki mt mbaga
asante kwa somo zuri mchungaji tunaendelea kufatilia mahubiri yako
Amen🙏 nimejifunza mengi sana kwa mafunzo yko barikiwa sana
Amen
Asante mchungaji. Umenifungua macho
Barikiwa sana Mch mbaga,mungu anakutumia kutuweka huru
Aminaaa Mungu akumbuke watu wake maana hata mm naona hayo
Ninabarikiwa na somo lenye mibaraka mchungaji 🙏❤️
Abarikiwa leo
Amina mchungaji
Barikiwa pastor
Nabarikiwa sana mchungaji namafundisho
Nakuelewa vizuri sana
Ainuliwe juu Bwana wetu Yesu Kristo
Amen pr David
God continue to bless you
Thank you Lord❤
Mung awabariki nmejifunz kitu kuhusu madhabahu hili Somo limenibariki sana
Amina barikiwa
Bwana akubariki sana mwalimu mimi Naomba namba yako ili tuwasiliane
Amina
Naelewa sasa
Amina,somo lako lanijenga sana,wakati niko chini nainuka tena,ila mamangu mzazi amekua wa madeni hadi natamani kaa baba angelikua angelizuia haya yote,imefika mahali tumuona amekua burden kwa familia na akiulizwa aongei pesa yuafanyia nn yuanza kulia na kusema apangiwe vitu zake aende na wa 50 sasa.please ur prayers is needed to our family,imefika mahali hata mawasiliano na yye,in short nimechoka mambo yke
MUNGU akusimamie na akuonyeshe njia
Some hili linanilenga.Naomba Mola anipe ushindi
Amen 🙏🙏🙏🙏 nimebarikiwa
Bwana akubariki mchungaji
Mungu atuhurumie sisi waja wake.
Mimi ni mpentecoste halisi lakini wew ni mwl wangu
Ameeeen
Barikiwa
Mwalimu nimepata kitu, mda mwingi nilikuwa nakufuata ila kuna mda niliona kama kuchoka ivi,lakini tena nimejisikia nguvu mpia za kukufuata na kusoma biblia, naomba pia msahada wako wa maombi and aendelee kunimili Mungu.
Amen
Ooh my God you are talking with me
Pastor nina shida kama hilo somo nifanye nn nimemkubali yesu lkn bado matatizo yananiandama roho nisizo zielewa wakati mwingine nashindwa kufanya huduma ya mungu
Amen Amen
Somo hili linanihusu pastor nimebatizwa lakini nashindwa hata kuomba naomba unisaidie
Nami naitaji mungu
Pastor Mungu akubariki ila mimi
Barikiwa sana mchungaji. Nina swali, je ni lazima kutoa sadaka ili uvunje madhabau haya??
Zaburi 51:17 Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
2024 bado nakusikiliza
jambo paster unatubariki saana.
Amen
Eeh MUNGU unisaidiye uvunje madhahabu ambyo yanfunga maisha yangu
Swali lingine kuhusu nuhu na safina inamaaana pastor watu waliumbwa wengine maana si kila mtu alikufa kasolo walio ingia kwenye safina
Adam ni mtu si binadamu. Bin-Adam ni wazawa.
n kweli mtumishi lkn kuangusha madhabahu lazm asimame n sadaka ya fedha au vitu na maombi ...ukiomba bila kuomba na sadaka hayaondoki
SIKILIZA TENA KWA MAKINI. SIDHANI KUNA ULAZIMA WA SADAKA,SADAKA YA DAMU YA YESU INATOSHA. ILA KAMA UKISUKUMWA MOYONI KUTOA SADAKA KWA KUPENDA FANYA HIVYO
@@MahubiriPrMmbaga bwana yesu asifiwe mjungaji naomba number ya Whatsapp ili ni bate msaada tafadhali
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.
Nilikupigia juzi huku pokea nilitaka kuuliza hivi
Mwanzoni mwa biblia tulisoma kwamba adam na eva walimzaa cain na abel ..... Alaf cain akamuua abel alafu Mungu akamwambia roho ya mdogo wako inakulilia alafu baadae cain akawa na wasiwasi alafu Mungu akamwambia kwamba nitakuwekea alama kwenye paji ya uso wako ili wale watu wasije wakakuua sasa pastor ndo mwanzo wa biblia wale watu walitoka wapi?
Amina mchungaji
Amen
amen
Amen