SEHEMU YA PILI YA AINA NNE ZA UTOAJI WENYE BARAKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 76

  • @EstherMoraa-bp3jt
    @EstherMoraa-bp3jt 9 месяцев назад +2

    Pastor may God continue to bless you and your family

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Год назад +3

    Asante Pastor kwa kubadilisha maisha yangu kiroho. Naamini kuanzia hapa nitakuwa mtu mwingine kiroho na kimwili pia. Mungu akubariki kwa somo zuri sana.

  • @gracerupia3550
    @gracerupia3550 2 года назад +2

    Asante sana kwa mahubir. Ambayo yanatusidia kuwa karibu na Mungu. Na kuishi maisha mazur hapa duniani. Asante sana Mungu azidi kukupa maarifa uzidi kutufundisha hekima ya kimungu na kidunia.

  • @alfredkenz380
    @alfredkenz380 2 года назад +7

    Watching from Dubai
    We are blessed to have you pastor
    Long live sir

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 2 года назад

    Amina Amina Mungu akubariki pastor mbanga nimependa sanaa somo hili na siyo kulisikiliza tu nalifanyia kazi

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 11 месяцев назад

    Amen pastor mungu akubariki na Asante Kwa ujumbe huu mzuri hakika mungu wa mbinguni akuzishiee Maisha marefu

  • @cristinekenya1050
    @cristinekenya1050 2 года назад +3

    Asante pastor Kwa SoMo jema na nmejifunza kuhusu utoaji be blessed

  • @monicakilatu5780
    @monicakilatu5780 Месяц назад

    Ubarikiwe sana mchungaji mafundisho yako ni mazuri yanatuweka karibu na Mungu

  • @sarahemukule
    @sarahemukule Год назад

    Asante sana pastor,nimejifunza kitu katika fundisho hili mungu akubariki sana

  • @costernyamba3752
    @costernyamba3752 Год назад

    Oo paster asante Kwa SoMo nzuri nitalitendea kazi Barikiw

  • @scolaabasi5957
    @scolaabasi5957 2 года назад

    🙏🙏🙏 pastor kwa kunifungua somo hili limenigusa Sana Tena sana

  • @andjelanikandolo6046
    @andjelanikandolo6046 Год назад

    Asante sana mchungaji ,
    Maneno yote yamenigusa, zidi kutukumbusha. Asante sana.

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 2 года назад +1

    Amen nabarikiwa na kuelimika nashukuru Mungu kunena nami kupitia mtumishi wake barikiwa Pastor

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 Год назад

    Asate sana mafundisho mazuri nimejifuza kueshimu wazazi nakuwabea barikiwa mutumishi wa mung u 🙏🙏🙏🙏

  • @franciselectronicrepair2823
    @franciselectronicrepair2823 2 года назад +1

    dah kweli uchoyo haulipi barikiwa sana mtumishi🙏

  • @agnesseunice5632
    @agnesseunice5632 2 года назад +1

    Be blessed pastor mmbaga because l am blessed tooo

  • @mkubwahasani4916
    @mkubwahasani4916 Год назад

    Amina mchungaji na mwalimu Mungu akubariki

  • @violetteiradukunda7761
    @violetteiradukunda7761 2 года назад +1

    I received the very powerful message today, watching from Texas

  • @danielivutomutonye5578
    @danielivutomutonye5578 2 года назад +1

    Thanks so much for the teachings. God bless you as you continue serving our almighty God

  • @ryoaishodo309
    @ryoaishodo309 2 года назад

    Watching from japan man of God be blessed Amen

  • @sikuzanibusanya7352
    @sikuzanibusanya7352 2 года назад +1

    Amina Amina ubarikiwe mtumishi wa mungu😢😢😢🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 2 года назад

    Asante sana mchungaji kwa somo nzuri. Barikiwa sana.

  • @willbroadmassay2061
    @willbroadmassay2061 2 года назад +1

    Nakukubalijapo I'm not an SDA Church member,be blessed

  • @juxt4sure
    @juxt4sure Год назад

    Thanks pastor i never new this before,God bless.

  • @richardtwinzi58
    @richardtwinzi58 2 года назад +2

    My place of admiration and inspiration as well as perspiration.......stay blessed my favorite pastor ....to God be the glory ..........Amen

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад +1

    Leo umenigusa kwa vingi mno,Asante kuwaambia ndugu zetu Afric kama huku nje hatuokoti hela

  • @annwangui8096
    @annwangui8096 Год назад

    Hello pastor, please remember me in your prayers,nimelemewa na loans,pesa nyingi sana,zinaisha bila ya kufanya chochote,na depression imenilemea

  • @alvenialyasa3826
    @alvenialyasa3826 2 года назад +1

    barikiwa sanaa Kwa Mafundisho ya baraka

  • @lailajeremia1259
    @lailajeremia1259 2 года назад

    Amen balikiwe sana mtumishi

  • @nzambimanaprosper5150
    @nzambimanaprosper5150 2 года назад

    Nami nimebarikiwa saana na somo hii. Mungu akubari saana.

  • @moisekingombe5603
    @moisekingombe5603 2 года назад

    Ubarikiwe mchungaji,nime gushwa kabisa moyini mwangu kupitia mafundisho Haya.

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 2 года назад +2

    Nimezitumia hizi njia tatu bila kujua ya nne ya wazazi hasa Baba naanza kuitumia kesho Mungu nisaidie

  • @alicesidi9601
    @alicesidi9601 2 года назад +1

    Amina nabarikiwa sana be blessed Pastor Mmbaga 🙏🙌

  • @elizabethribiru6406
    @elizabethribiru6406 2 года назад

    Hongera Sana pastor,lakini si vifungu zinakiriwe kwa mtandao au upunguze spindi kindogo,ubarikiwe sana

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 года назад

    Tumekosa nithamu ndio maana tunaishi muda mfupi maadili yamepotea Asante kwa somo

  • @mandevubanda9715
    @mandevubanda9715 2 года назад

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 Год назад

    Amina Kwa mafundisho haya ,mungu atukuzwe.

    • @elienew3788
      @elienew3788 2 месяца назад

      Halleluia Glory be to GOD thank you so much

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 2 года назад +1

    Amen watching from saudi be blessed pst

  • @elizabethribiru6406
    @elizabethribiru6406 2 года назад

    watching from Kenya

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 Год назад

    Aminaa 🙏🙏🙏

  • @beatricesabi2371
    @beatricesabi2371 2 года назад

    Ubarikiwe Pastor

  • @seciliakatani7852
    @seciliakatani7852 2 года назад

    Amina mchungaji barikiwa

  • @cycyaziza1339
    @cycyaziza1339 2 года назад +1

    Amen amen

  • @alvenialyasa3826
    @alvenialyasa3826 2 года назад

    Amen pastor

  • @beatriceomino6266
    @beatriceomino6266 2 года назад +1

    Mungu nisaidia 😢😢😢😢😢😢

  • @hamenyimanainnocentbgoya2456
    @hamenyimanainnocentbgoya2456 2 года назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @iloveafrica
    @iloveafrica 2 года назад

    Bujumbura we are together

  • @sherrilljeremy462
    @sherrilljeremy462 7 месяцев назад

    How can I get pst Mbagas no please I'm in Kenya

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 2 года назад +2

    You are my father was kiroho

    • @seiframadhan3387
      @seiframadhan3387 2 года назад +1

      Kila siku itwayo Leo lazima nikufuatilie nabarikiwa sana najinsi Mungu anavyokutumia kutufikishia habari njema

    • @annachachage4931
      @annachachage4931 2 года назад +1

      Hata mimi namuelewa sanaa, pastor huyu,

    • @rachelchristopherowiti9388
      @rachelchristopherowiti9388 2 года назад +1

      Kwa kweli ni baraka kubwa sana kwangu na kwa wengi pia!🙏🙏🙏

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 2 года назад

    Amina

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад +1

    Kweli hapa tunachapa kazi

  • @joelfrancis2181
    @joelfrancis2181 2 года назад

    Amen

  • @koyassa4509
    @koyassa4509 2 года назад

    Jambo diamond platinum ujambo uko?

  • @duncankithuka7319
    @duncankithuka7319 2 года назад

    Amen.

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад

    Hiyo ya Ayubu mayai iko wapi?

  • @solomonnanguni2688
    @solomonnanguni2688 2 года назад +2

    Mchungaji, niseme nini kwani wanikosha kiroho. Yaani hutuba zako unazotupa mtandaoni mtu akitulia na kukusikiliza anapiga hatua mbele kumjua Bwana.

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 2 года назад

    Pastor kama huna wazazi walishakufa je inakuwaje?

  • @rukundoclementine6472
    @rukundoclementine6472 2 года назад +1

    Kila siku nafurahi kusikiriza mahubiri haya kwa maana ananijenga sana

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 2 года назад

    Pastor please I want to talk to you

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад

    Mimi walikufa…. Wengine wako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.

  • @zawadimotela6149
    @zawadimotela6149 2 года назад

    Ubalikiwe mtumishi nakufuatilia nikiwa tunduma

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 года назад

    Niache ujinga ndiyo

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 года назад

    Ninaomba kunichambulia makabila 12 ya Israel

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 года назад

    Bwva, fungua mioyo yetu ili tuelewe!

  • @ceccy6077
    @ceccy6077 2 года назад

    Amen

    • @rogerwaboi1943
      @rogerwaboi1943 Год назад

      Pastor nina swali umesoma kitabu ch kutoka kuwaheshimu wazazi niutoaji vipi?

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 9 месяцев назад +1

    Amen