VIZUIZI VIKUBWA VYA BARAKA MAISHANI MWAKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 202

  • @germinuspastory8278
    @germinuspastory8278 2 года назад +6

    Oh Mungu wangu ama kweli tunazidi kupata Elimu mpya inayotufungua macho karibu katika kila hubiri tunabarikiwa sana barikiwa sana Pastor Mmbaga na jina la BWANA Mungu litukuzwe ssna

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 2 года назад +3

    Amina mtumishi huwa ninakufuatilia sana. Mimi nilishashindwa kuwasikiliza wasabato kwakuwa zamani nilikuwa ninapenda kuwa nao karibu kwakuwa wenzetu wanafundishwa sana biblia. Ila changamoto yao wanakiburi mno ukiwa nao mahubiri yao yanahusu tu siku. Lakini wengi wao wanazungumzia siku tu ila kwa matendo mengine maovu huwa hawana hofu kwenye kutenda. Mungu atusaidie kuona boriti kwenye macho yetu.

  • @kigunapaul7579
    @kigunapaul7579 Год назад +6

    Amen,be blessed pastor. Your sermons delivers me always.

  • @ruthnzota6427
    @ruthnzota6427 2 года назад +22

    Napenda saaanaaaa mahubiri ya mchungaji Mmbaga kwa sababu ndani ya mahubiri ana story nzuri sana, yaaani naweka gb 15 zinaishia kwake🙏

  • @kinyasofilms5112
    @kinyasofilms5112 2 года назад +7

    Good bless you father Good job nimejifunza pakubwasana na nitaenderea kufatilia chaneliyako napenda unavo fundisha ukweri wachungajiwengi wasasa wanaogopa kufundisha ukwerii ubalikiwe Sana na nakuombea mwishowako uwe mzurii 💞💞💞

  • @nicepallangyo1860
    @nicepallangyo1860 Год назад +2

    Amina pastor nimebarikiwa sana somo linanihusu Mungu anisaidie nibadilike

  • @andreajohn3897
    @andreajohn3897 Год назад +1

    Pr ujumbe huu ni wa Baraka Sana Mungu atusaidie sote tujitadhimini upya kwa changamoto ya Kiburi

  • @wilsonKukali-ij2gf
    @wilsonKukali-ij2gf Год назад +2

    Ameni pastor mi hufatilia mafunzo yako walai Mungu akubariki

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 2 года назад +5

    Amen am soo blessed nice courageous message God bless you pastor

  • @florencenekesa8243
    @florencenekesa8243 2 года назад +8

    Amen 🙏🙏 barikiwa sana mchungaji kwa neno bora sana,Mungu tusaidie

  • @AugustinWOKOVU
    @AugustinWOKOVU Год назад +1

    Amen Pastor, hata hiyo unazungumuzia hapa, sisi wasabato tumekuwa wanafiki sana, hata pia wachungaji wengi dhambi hii ni ndani mwao. Augustin toka Goma, DRC

  • @margrethkaserikali1458
    @margrethkaserikali1458 2 года назад +3

    Nabarikiwa sana.Mungu azidi kukufunulia zaidi na zaidi ili tukue kiroho🙏

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 2 года назад +4

    Amen Mungu naomba unipe kuelewa nisikutende dhambi

  • @MARIE-iy4bx
    @MARIE-iy4bx 2 года назад +2

    Hubarikiwa sana na mahubiri ya mmbaga,na kujenga Imani yangu

  • @pascalnicolaus6986
    @pascalnicolaus6986 2 года назад +2

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako 'Mungu azidi kukutumia zaid mtumish wa Mungu

  • @pendophilipo131
    @pendophilipo131 2 года назад +8

    MUNGU, awenawe popote utakapo kwenda, kuptia wew umenibdilsha; natmani siku nikuone barikiwa Sana.!

  • @priscapili4938
    @priscapili4938 2 года назад +2

    Ubarikiwe mtumishi nimejifunza neno la mungu limeingia moyoni

  • @amozmwaz1494
    @amozmwaz1494 2 года назад +2

    Nimebarikiwa na neno mungu azidi kukufunulia zaidi amen

  • @stephenmuimi6294
    @stephenmuimi6294 4 месяца назад

    I can not stop listening to you teaching may God blessed

  • @williumngowi2025
    @williumngowi2025 2 года назад +3

    MUNGU akubariki Sana Mtumishi wa MUNGU.. masomo yako hunibariki Sana.

  • @twinaweloyceissack6076
    @twinaweloyceissack6076 2 года назад +2

    Binafsi nakuelewa, nakupenda, nabarikiwa napata furaha na sijawahi kuchoka kukusikiliza. Bwana akutunze mtumishi wa Mungu

  • @mwanaidimasatu-ie9ts
    @mwanaidimasatu-ie9ts Год назад +2

    Mungu akubalik mchungaji akika ata Mimi nausingizisana

  • @barakajohn2647
    @barakajohn2647 Год назад +1

    Mungu akubaliki sana mchungaji mbaga Kwa mahubili ya kiroho

  • @richardenocy8443
    @richardenocy8443 2 года назад +1

    Tunataman Aya mahubiri yafike kwa makansa yetu yatabadilisha maisha yetu ya ukirsto wetu wa kiburi Mungu akutumie vyema mchungaji

  • @halimaamuli1978
    @halimaamuli1978 2 года назад +3

    Mafundisho yenye manufaa🙏🙏🙏🙏, ubarikiwe sana pastor

  • @rastarasim5810
    @rastarasim5810 Год назад +1

    Amen ,,,,,,,,mahubiri yananifunza mengi na naendelea kujifunza Kila siku.

  • @beatriceomino6266
    @beatriceomino6266 2 года назад +3

    Mungu niondolea kiburi kwa maisha

  • @ElvinaLuvuno-d7u
    @ElvinaLuvuno-d7u Год назад +1

    Nimeji funza mengi nimebarikiwa pastor neno limeisha in suspicious way no prayers 🙏

  • @asgricie5230
    @asgricie5230 8 месяцев назад +1

    Asante mchungaji kwa fundisho hili

  • @bongosofas5821
    @bongosofas5821 Год назад +1

    Mungu akubariki sana mchungaji,napata kijifunza mengi

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 2 года назад +1

    Asant sana Pr nashukur nimejifunza vitu muhm sana barikiwa

  • @williammussa5621
    @williammussa5621 2 года назад +6

    Huyu pastor Ukimsikiliza kwa kufikiria utaelewa mambo vzuri mno

  • @jacquelineyona2247
    @jacquelineyona2247 2 года назад +1

    Mfalme wetu YESU KRISTO na asifiwe Sana milele na milele.
    Ninajisikia kuendelea kumpenda MUNGU wetu Sana Kwa sababu yako Mchungaji Mbaga.
    Huwa na furahiya sana tena sana ninapo kuwa nasikia jinsi MUNGU wetu anavyo kuwa na kutumiya Kwa Muhubiri ujumbe wake.
    Na ubarikiwe na Bwana wetu YESU KRISTO na MUNGU wetu awabariki Sana na wale pia ambao wanafanya Tuwe naona na kusikia haya Mahubiri mazuri ya BWANA wetu YESU KRISTO.

  • @AnnaZablon
    @AnnaZablon 9 месяцев назад

    Pastor nakupenda san Huwa napata nguvu ninaposikia mahubir Yako barkiwa sana

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 2 года назад +1

    Mchungaji ubarikiwe kwa mafundisho yako napatafaraja na matumaini juu ya maneno haya🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @tulimwaipopo-eq3be
    @tulimwaipopo-eq3be 11 месяцев назад +1

    Uko vizuri sana mchungaji wangu

  • @NaftaliZaphania-ql9wk
    @NaftaliZaphania-ql9wk Год назад +1

    Mungu akubariki Sana pastor,hata kama hatujuani,kwa hakika sijawaiamini pastor mwingine lakini mahubiri yako nayaamini Sana napenda kuyadownload ,natamani uniombee pia

  • @DamalisMachumu
    @DamalisMachumu Год назад +1

    barikiwa mwanangu David.

  • @SebastianMwita-f9v
    @SebastianMwita-f9v 9 месяцев назад +1

    Pastor nimekuelewa sana

  • @floraa4928
    @floraa4928 2 года назад +1

    Mafundisho mazur sana jaman barikiwa baba tufundishe tusipotee

  • @mbokamicrocreditltd5862
    @mbokamicrocreditltd5862 Год назад +1

    Kweli kabisa

  • @theopisterbulamu9497
    @theopisterbulamu9497 2 года назад +1

    Aminaa ubarikiwe uko na Akili nyingi, napia mwalimu mzuri

  • @happinessnjarabi2136
    @happinessnjarabi2136 2 года назад +3

    Mungu akubari mtumishi wa Mungu.

  • @AmonFrank-m8n
    @AmonFrank-m8n 11 месяцев назад +1

    Mchungaji mungu akubariki neno

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Год назад +1

    Ameen barikiwa sana Mutumish wa Mungu

  • @pendophilipo131
    @pendophilipo131 2 года назад +1

    kuptia wew nimebdilka, barikiwa Sana.!

  • @richardstephen640
    @richardstephen640 2 года назад +1

    Asante kwa ujumbe mzuri pastor mbaga

  • @sporahmwaikambo1345
    @sporahmwaikambo1345 2 года назад +1

    Asante Pr. kutusema ukweli, tumekuwa wanafiki katika Ukristo

  • @rosembwambo635
    @rosembwambo635 2 года назад +1

    Barikiwa pr Mungu akupe uwez mkubwa

  • @leokadiamwamba7732
    @leokadiamwamba7732 2 года назад +1

    Asante kwa mahubiri mungu akuinue zaidi

  • @onesmoelias8509
    @onesmoelias8509 2 года назад +1

    Amina nmebalikiwa kwa somo zuri hakika mungu atuondolee kibur

  • @kwambokakwamboka8382
    @kwambokakwamboka8382 2 года назад +1

    God bless,watched u from galf

  • @kombeonaumishenaritv642
    @kombeonaumishenaritv642 2 года назад +2

    Aminaa pr

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 года назад +1

    Amen ubarikiwe san Mchungaji

  • @veerynganyu7766
    @veerynganyu7766 2 года назад +1

    Ubarikiwe Sana unatuludisha kwenye mstari

  • @dominicmapujila8434
    @dominicmapujila8434 2 года назад +1

    Hakika ni Mungu ameongea kupitia kinywa chako yanipasa kutubu Barikiwa sana

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 года назад +1

    Tukiacha iki kiburi basi YESU ATAKUJA IVI KARIBUN., MUNGU AKUBARIKI PASTOR na azidi kukufunulia maono mengine ili tuzidi kupona zaidi na zaidi AMINA

  • @DoriceMoffat-hw4mt
    @DoriceMoffat-hw4mt 7 месяцев назад +1

    Nimeipenda hubir yako

  • @frolapaulfrola5647
    @frolapaulfrola5647 2 года назад +1

    Nabarikiwa na masomo yako

  • @strongmummy580
    @strongmummy580 2 года назад +1

    Ukweli mtubu Asante Sana tubarikiwe pamoja

  • @linzah7563
    @linzah7563 8 месяцев назад +1

    Mbona somo limeishia njiani mchungaji

  • @DoriceMoffat-hw4mt
    @DoriceMoffat-hw4mt 7 месяцев назад +1

    Pst.david mmbaga

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 года назад +1

    Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga

  • @vailetyjaphety7542
    @vailetyjaphety7542 2 года назад +1

    Amina sana muchungaji ubarikiwe

  • @MSDQIEDS-ru1px
    @MSDQIEDS-ru1px Год назад +1

    Munguakubariki

  • @francismasha7286
    @francismasha7286 Год назад +1

    Mimi naeka bando zaidi ya 15 tena naomba Mungu aniwezeshe nizidishe mana nabarikiwa kwa mahubiri yake kwani naona Mungu atanibadilisha kupitia mahubiri yake

  • @SamweliMushi-c7f
    @SamweliMushi-c7f 11 месяцев назад +1

    Ubalikiwe sana

  • @haloonofficial5949
    @haloonofficial5949 2 года назад +1

    Mahubiri yako yananifunza nakuniludisha kwenye msitari kila siku mungu akubariki mchungaji

  • @OscarWilson-c9d
    @OscarWilson-c9d 11 месяцев назад +1

    Amen mchungaji

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 2 года назад +1

    Mungu ni mwaminifu kila siku na kila saa

  • @MonicaGervas-fs4nd
    @MonicaGervas-fs4nd 6 месяцев назад

    Amen San mola akupiganie katka Kaz yako

  • @soleswihale2257
    @soleswihale2257 2 года назад +1

    Ahsante kwa Mahubiri mazuri

  • @julianacharles9828
    @julianacharles9828 2 года назад

    😀😀😀😀😀uliona Nini kwenye hicho chumba!??

  • @kabuwoorutasi418
    @kabuwoorutasi418 2 года назад

    Asante sana pastor ! Nimejifunza sana mungu akubariki

  • @gracewambura3573
    @gracewambura3573 9 месяцев назад

    Ubarikiwe Na bwana
    mtumshi Wa baba

  • @BethaMarekera
    @BethaMarekera 10 месяцев назад +1

    Andante Baba sema tupone

  • @LovenessNakaona-q1q
    @LovenessNakaona-q1q 9 месяцев назад +1

    Amen pastor

  • @azariakajiru2385
    @azariakajiru2385 2 года назад +1

    Tumeelewa Asante san

  • @atukuzwepeter9451
    @atukuzwepeter9451 2 года назад

    Baba anguu naomba kuuulz kuna mtu anaweza kusoma bible nzima toka mwanzo ad ufunuo na kiimalz yotee ba kuelewaa

  • @karatagodfrey9899
    @karatagodfrey9899 2 года назад +1

    Mch ubarikiwe sana

  • @elizabethshigangalivuze9187
    @elizabethshigangalivuze9187 2 года назад +1

    Bwana yesu atusaidie sana..

  • @priscamsuha-qt6ry
    @priscamsuha-qt6ry Год назад

    Ameen🙏

  • @sylviesaidi5740
    @sylviesaidi5740 5 месяцев назад

    Unibariki san jamani pastor David ubarikiwa sn😂

  • @atupakisyekyando890
    @atupakisyekyando890 2 года назад +1

    Barikiwa mtumishi wa Baba

  • @priscapili4938
    @priscapili4938 2 года назад

    Mtumishi umenijenga kiroho

  • @joycekasimbazi9817
    @joycekasimbazi9817 2 года назад +1

    Amen nashukuru mchungaji

  • @eustina837
    @eustina837 2 года назад +1

    Asnte kwa mahubir

  • @esthermasatu2386
    @esthermasatu2386 2 года назад +3

    Ameeen ameen pastor

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 10 месяцев назад +1

    Ameen Ameen

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 2 года назад +4

    Asante kwa mahubiri haya.Barikiwa

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 Год назад +4

    Amen Amen 🙏🏻

  • @kananisarafe8582
    @kananisarafe8582 2 года назад

    Pr hao umetufunza ni kweli kabisa,sisi wadventiste inatupashwa kubadirika.

  • @jamaliuisso9203
    @jamaliuisso9203 2 года назад

    Pr. Nashukuru kwa somo lako na Mungu azidi kupitisha mafundisho yake kwako ila nilikuwa naomba clip nyingine inayomalizia somo hili tafadhali

  • @anastaziafrancis191
    @anastaziafrancis191 2 года назад +1

    Mungu tusaidie watoto wako

  • @japhetdanniel2413
    @japhetdanniel2413 2 года назад +1

    Mungu atusaidie ila imeishi njiani

  • @alldoniemmanuel6451
    @alldoniemmanuel6451 2 года назад +1

    Amén ubalikiwe sana

  • @julianacharles9828
    @julianacharles9828 2 года назад

    Pastor hata Mimi siku nikikuona leive nitakukimbilia tu. Nitaomba uniguse tu na mkono wako juu ya kichwa changu. Sitakubali usiniguse pastor.

  • @kumbushomlamka4897
    @kumbushomlamka4897 2 года назад +1

    Mungu atukuzwe

  • @ivanamkapa2369
    @ivanamkapa2369 2 года назад

    Yaani mbaga yote kama umeniongerea mimi

  • @francismasha7286
    @francismasha7286 Год назад

    Mimi nimeanza kulingana venye ninamsikia mahubiri yake sidhani kuwa nitaachana naye nàona mpaka end life