Wewe ni teacher mzuri sanaa mungu akupe maisha malefu ili uokoe vijana wengi kusama kweli mungu ndani yaka unatuokoa vijana wengi sana , good blessing you ♥️
Naomba Mungu mwema anipe kibari cha kukutana na wewe mchungaji mbaga kunakitu Mungu ananisemesha sana mm ni mwislam lkn Naomba sana nikutane nawewe 🥺🥺🥺🥺
Mme wangu na shemeji yangu waliokota wallet na mlikua pesa na sisi tulikua bado wageni kabisa hapa USA lakini awaku chua wali muita case manager wetu aka mpafuta huyo mtu na aka pesawa pesa zake na wallet yake
Pastor naomba nieleweshe maana ya ulichokisema nitaulizwa nilitumiaje muda wangu huu utakuwa wakati gani? na km nikiwa tyr mbinguni litakuwa na mantiki gani? Na naomba ufananuzi wa fungu hili (mathayo7:22)
Swali hili ni sasa tunapimwa kulingana na mubaraka tuliopewa na Mungu Yesu atapprudi atakuwa tayari na majibu yote Hilo fungu ni Yesu anatumia mfano kutuhasa tuishi vp tunapomngojea
Mchungaji wangu MWALIMU wangu.MUNGU akupe maisha mareeeeefu ufundishe watu wote !
Mungu anisaidie niwe mwaminifu jinsi alivyo mwaminifu kwa Jina la Yesu, AMEN 🙏🏻 🙌
Aksanti MUNGU akuzidishiye
Niko mugonjwa naamini Yesu ameniponya
Wewe ni teacher mzuri sanaa mungu akupe maisha malefu ili uokoe vijana wengi kusama kweli mungu ndani yaka unatuokoa vijana wengi sana , good blessing you ♥️
Nakuelewa sana mtumishi wa mungu mungu aendelee kukutumie.
Mungu akubariki sana pastor.jina la yesu lipewe sifa
Namshukuru Mungu kwa kukutumia kuleta ujumbe wake kwa watu wake. Mungu akutunze
Amina mjoli wa Bwana, nimekumbuka rafiki yangu Mmoja alinishangaza kwa kauli hii ameamua kutumia UWAMINIFU. WAKE kufanikiwa.
Aminaa pastor mm nabrikiwa na masomo yko siku zote
God bless you pastor David any time watch your teachings ifeel healed thank God for using you to open mind
Pastor Mbaga! Ubarikiwe Sana kwa mafundisho yako MUNGU wa Mbinguni akujaze.
Niombee Pastor nko Saudia .
Nabarikiwa sana Pastor.
Mungu akubariki sana🙏👏
Yes ,soudia Arabia tunakufatiriya mtumishi🎉
Waaoo.....be blessed pastor mmbaga
Pastor naomba uniombee ninaumwa sanaa cjui ninaumwa nn Mungu akubariki
Mungu nifanye kuwa mwaminifu ......Amen
Naomba Mungu mwema anipe kibari cha kukutana na wewe mchungaji mbaga kunakitu Mungu ananisemesha sana mm ni mwislam lkn Naomba sana nikutane nawewe 🥺🥺🥺🥺
Mungu akubariki sana kwa kipaji chako aminaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asanteee Yesu kwa somo hili. Asanteee kwa kua unathamini TALANTA YANGU, Jina Lako TAKATIFU LITUKUZWE 🙏
Ubarikiwe sana Pastor Kwa utayari wako wa kukubali MUNGU akutumie Kwa kiwango hiki,somo ni zuri sana.
Amina yani reo nimebalikiwa sana mungu akubaliki sijamaliza somo nimeshafunguliwa 🙏🙏🙏🙏🙏
1
barikiwa saaana mwalimu ulie tumwa kufundisha kondo WA MUNGU kwasababu mahubiri Yako ina nibadilisha saaana,naomba niwe mwaminifu katika kristo
May God help us be faithful in our gifts no matter how small ,God bless you Pastor and may God keep you in good health .
Yes pastor tuna humia sana kwa kukosa uaminifi Kati yetu ubarikiwe sana
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa somo zuri 🙏🏻
Mungu asifiwe sana
God bless you mtumishi
Ni ukweli kabisaa pia nk uwarabuni nimeona wakirudisha mungu wa mbinguni atusaidie wafirika
Amina pasta barikiwa sana
Amina mtumishi bwana naomba unitendee miujiza wa kutoka kwenye maden na nikitoka nimeahid sintorudia Tena baba nisaidie Niko kwenye taa nyekundu
Mungu akupe ushindi na akutendee muujiza
Barikiwa pr
Nkweli pr hata magari yanalala inje na milango wazi
God please bless pastor, because he gets to touch our hearts through the sermons.Taking you lord for using him.
Mchungaji wangu leo umenichekesha sana.😂😂
Ubarikiwe pastor Mbaga
Nimebarikiwa kwa damu ya yesu
Muchungaji wetu neema yabwana wetu yesu itubaliki nahitaji kujuwa kunamaono nimeona nikiwa ju yabahari natembea kwa kuogerea mpaka nikafika ng,ambo nikavuka nisaidie nijuwe manayake
Asante Yesu Amen Amen ❤❤
Amen yesu kristo atukuzwe
Mungu Baba endelea kubariki huduma anayoitoa Mchungaji ambayo inazidi kugusa maisha ya wengi .Bwana endelea kumpa afya njema AMINA
Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu🙏🙏
God Bless you
MUNGU Atusaidii
🙏🙏🙏 Shalom
Amen 🙏 pastor
Kweli kabisa.niko Dubai na nilipoteza begi yangu.nikarudishiwa kama likivyokuwa
Ubalikiw sana postor
Uraibu unanisumbua naomba mniombee
Kwa upande wangu hubiri limeanza kwa kunibariki hasa hapo kwa Daudi na sauli hizo tofauti zao 😆😆🖐️
Amina
Amina kubwa
Amina pastor 🙏🙏🙏
Amen.
Mme wangu na shemeji yangu waliokota wallet na mlikua pesa na sisi tulikua bado wageni kabisa hapa USA lakini awaku chua wali muita case manager wetu aka mpafuta huyo mtu na aka pesawa pesa zake na wallet yake
Amen
🙏🙏🙏
Kindly ningependa Kupata no ya pastor plz
Pr umenifungua
Yaani haya ndivyo mahubiri niliyoyasubiti Kwa wachungaji wetu, tuwaokoe ndugu zetu police na mahakama na laana hizi, wafanye kazi Kwa uaminifu
Pastor naòmba uniombe kwa sababu natamani nipate mtu anihoe kila wakati napata but tunaachana 10:56 10:58 11:26
Pastor nahitaji number ya simu pliz
Amen
Nani anaweza nitumia no.ya pastor mmbaga plz.niko kenya.
PASTOR MMBAGA USIWE UNANYOA HUO MSTACHI YAAN HIZO NDEVU ZA JUU USIWE UNAZINYOA
😂😂😂 kwann unamwambia hivyo pr
Pastor naomba nieleweshe maana ya ulichokisema nitaulizwa nilitumiaje muda wangu huu utakuwa wakati gani? na km nikiwa tyr mbinguni litakuwa na mantiki gani?
Na naomba ufananuzi wa fungu hili (mathayo7:22)
Swali hili ni sasa tunapimwa kulingana na mubaraka tuliopewa na Mungu Yesu atapprudi atakuwa tayari na majibu yote
Hilo fungu ni Yesu anatumia mfano kutuhasa tuishi vp tunapomngojea
km ni sasa mbona sentesi inayotumika ni ya wakati ujao
Unanifurashisana
Past mbaga Mimi nifanyeje ili nishinde hasira ya bosiwangu?
Past nakuomba San niombe
Barikiwa pr
Ubalikiw sana postor
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen