FUNGA HIVI UONE FAIDA ZAKE | PR. DAVID MMBAGA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии •

  • @LightnesShoo-d3q
    @LightnesShoo-d3q 3 дня назад

    Amina Mungu azidi kukutunza sana umefanyika baraka sana kwetu kwa mafundisho mazuri.

  • @PaulMakona
    @PaulMakona Месяц назад +1

    Amina pr mbaga mungu aendelee kukupa neema ninabarikiwa na mafundisho yako mungu akubariki

  • @EsperenceGilbert-w4y
    @EsperenceGilbert-w4y 18 дней назад

    Amina

  • @elizabethbwire1480
    @elizabethbwire1480 3 месяца назад +2

    Amina kwa mafundisho mazur hakika tumejifunza mengi ambayo tulikuwa hatuyajui mungu azidi kukutia nguvu uzindi kutufundisha

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 Месяц назад +1

    Amen.Asante Pastor Mmbaga kwa mafundisho yanayotusaidia na kutujenga

  • @LeticiaLubimbi
    @LeticiaLubimbi Месяц назад

    Mungu wetu akubariki sana , umezidi kuwa mbaraka kwangu

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 Месяц назад +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nakufatilia kutoka hapa nchini Australia nabarikiwa sana na mafundisho yako mazuri

  • @LenaAuko-tj1io
    @LenaAuko-tj1io Месяц назад

    Amina najifunza mengi mno kutoka kwako my pastor barikiwa sanaa

  • @TickoAlex
    @TickoAlex 2 месяца назад +2

    Daaah!mwaka huu kambi letu lilikuwa la mibaraka kikubwa mnooo.ifunda tumepata upendeleo wa hari ya juu sana kutoka juu mbinguni 😊

  • @joycekerenge3605
    @joycekerenge3605 2 месяца назад

    Amina Pr Mmbaga

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 3 месяца назад

    Asante mchungaji kwa mafundisho mazuri mafundisho yamegusa maisha yote ya binadamu

  • @ngolorose
    @ngolorose 3 месяца назад +1

    Amina mchungaji Nina barikiwa kila siku na mafundisho yako ubarikiwe sana.

    • @faustermtavangu8212
      @faustermtavangu8212 2 месяца назад

      Asante kwa uponaji binti yangu amejifungua salama namshukuru Mungu Barikiwa sana Mchungaji.

  • @aidakashoro5185
    @aidakashoro5185 3 месяца назад

    Pr Ubarikiwe sana, nimeimarika kiimani kupitia mafundisho unayofundisha. BWANA akubariki akuongezee Maisha ili wengi tuokolewe.

  • @oman798
    @oman798 3 месяца назад

    AMINA

  • @dieumeKivuku
    @dieumeKivuku 2 месяца назад

    Amen

  • @EsperenceGilbert-w4y
    @EsperenceGilbert-w4y 18 дней назад

    Amina